Mimi ningepewa uongozi ningefungia michezo yote kwa 10yrs pia ningefunga kazi zote za Boda Boda ninge funga mifumo ya u meme mashambani na kuchimba visima vikubwa na kukopa kwa ajili ya green house ninge vutia wawekezaji na vyuoni ninge support elimu ya international market na IT
Big Up, Kaka mkubwa uwekezaji Ndio tunao uhitaji Tz. Vijana amkeni acheni kushabikia mpira na Siasi. Uwekezaji kwanza.
Hongera Sana kaka Mungu Akuzidishie uweze kuwapa vijana wetu fursa katika kampuni yako Asante.
Hongera kwa uwekezaji huu,mzalendo mwenzetu,ni mfano wakuigwa,Mwenyezimungu akuongoze vema ktk.mradi huu!
HUYU ANA AKIR SANA UJIO WA TREN HAUMUATHIRI KWA SABABU HAKUWEKEZA KWENYE MABAS TU NA NDIVYO INATAKIWA KIWA❤❤
Hata route zake ziko kimkakati imagine songea to Dar Songea to Mwanza Songea to Moshi Songea to Bukoba Dar to songea via lindi
Hata route zake ziko kimkakati imagine songea to Dar Songea to Mwanza Songea to Moshi Songea to Bukoba Dar to songea via lindi
Kuna mzee mmoja yupo songea huko anaitwa mwilamba nae yuko vizuri ingependeza kwenda kumpatia airtime pia
Mwilamba ni hatari kwa mahindi,halafu yupo simple tuu
Afadhali mahindi yatapata wateja kazaneni kulima mambo safi kabisaa
SAFI SANA , MZUKA MZUKA BONGOLAND, ONGERA SUPERFEO
Unatuonyesha njia kwa kweli hongera sana
Daaaah kazi ya mikono yetu
Ongera sana boss
Hongera sana
Safi Sana Kaka mkubwa but wafanyakazi mtakao Fanya Kazi muwe makini😂😂na kazi😂😂 wenye D mbili wamenielewa
niko songea miaka mingi lakin nilikua sikujui
that's kinga boy
Nipo Songea ila sijafahamu hiki kiwanda kipo maeneo gani?
Namanditi
Namanditi pale stand?
Yes
MUNGU AKUTANGULIE
Namkubali,,,sana super feo ,,,
Jambo jema kuwekeza ktk viwanda
Mimi ningepewa uongozi ningefungia michezo yote kwa 10yrs pia ningefunga kazi zote za Boda Boda ninge funga mifumo ya u meme mashambani na kuchimba visima vikubwa na kukopa kwa ajili ya green house ninge vutia wawekezaji na vyuoni ninge support elimu ya international market na IT
Uko vzur sema michezo ni burudan.ungetuachia tu hapo man
Ndomana hujawa kiongozi kwa akili zako ungefungia ata read more......
Tunamshukuru Mungu haujawa kiongozi maana kwa akili hizo tungekua masikini mara 1000,haufahamu kama michezo nayo imetoa ajira kwa ma elfu ya watu
Ni kweli ila tutafanya nn au tutatenda nn wakati hizo nafasi hatuna?