Sumry ana capitalize kwenye ukubwa wa eneo lakini wale wanaotaka kuingia kwenye kilimo sio lazima uwe na ekari 100 ndio utengeneze hela kwenye kilimo. Unaweza kulima high value crops kwenye ekari 1-5 na ukawa milionea kwenye kilimo. It all depends jinsi utakavyoweza kuitumia kila kipande cha ardhi ulichonacho kwa ufanisi. Tuanzie hapo. Kwenye hiyo ekari moja unaweza kutumia drip irrigation na green house chache. Nafikiri issue kubwa ni mbili au tatu; kujua nini cha kuzalisha na soko lake na pili kujua jinsi ya kupata mtaji.
Mzee wangu namkubali sana katika wamiliki wa mabasi huyu mzee summry namba moja wa pili shabiby watatu abood, nne namaliza na mchaga mwenzangu Brasto makundi big up sana wazee wangu amanipa matumaini sana kupambana na mm kuja kumiliki bus kama zenu
Hongera kwa interview nzuri. Tunataka za namna hii. Pili serikali iangalie zao la mahindi kama zao la biashara na chakula ili watu wawe huru kulima, kutunza na kuuza ili watu wafaidike na kilimo cha mahindi. Serikali inunue ya kwakwe ya kutosha na wengine waendelee kuuza wanavyoona inafaa ndio italeta kilimo cha ushindani. Sumry anasema ana gunia 47elfu lkn hawezi kuuza ingawa mahindi kutoka zambia yanaingia na kuuzwa. Hapo ni kuwatia hasara wakulima.
Kati ya maisha ninayo yatamani ni kua mkulima mkubwa,kilimo kinalipa lakini pia kilimo ni furaha.kinampa mtu raha pale anapoenda shambani na kutazama ule muonekano wake inaleta raha na faraja.
Kilimo kinakuw na furaha pale mkulima anapoona mazao alioyapanda yamekubali lkin yakigoma kilimo kinakuw majanga, da mungu atufanyie wepec kwa yale tunayoyafanya, au co mkubwa
Asa sisi wabongo tunaoishi nje tunapenda kuona vitu kama hivyo kwani vinatupa upeo na mawazo wa kutaka kijiendereza kimaisha nyumbani TZ, Millard Ayo we the best online news thanks, keep it up homy.
Millard makala kama hizi ndizo zinakutofautisha na wengine, nakusihi sana kaka karibu kufanya kipindi kirefu na uhiji vitu vingi zaidi. Hoji zaidi juu ya teknolojia wanazo tumia(machinery) na pia masoko. This is inspirational bro
Mashaallah Allah akubarik na akuhifadhi wewe na biashara zako. Unajitahid sana. Watanzania tunajivunia sana kuwa watanzania. Nchi yetu nzuri sana na watu wake wazuri sana. Inasikitisha tukiona tunagombana kwa mambo ya kipuuzi. Sisi tunatolewa mfano na nchi za jirani kwa umoja na mshikamano wetu. I'm proud to be Mtanzania. Mungu wabariki wafanya biashara halali wote .
Hizi ndio interview zenye akili Sana Sana. Na wa tz tuache uvivu. Cheki huyu jamaa amenunua pori na anapata shida kweli kusafisha but mwisho wa siku utasikia oo tuna taka Ardhi yetu wanakijiji hao, baada ya kuona Shamba ni safi na ni kubwa. Big Up Summry
asante sana millady kwa habari nzuri nimeingalia hadi mwisho unanikumbusha kipindi naangalia economic documentary hongera kwa habari nzuri narudia tena
safi sana ayo TV tumechoka kila siku wanasiasa lisu, lisu lisu, lisu lisu, tunataka habari kama hizi zibazowafungua watu ubongo kwamba maisha yanaendelea. siku nyingine unatembelea viwandani kama kawa.
Hongera sana Millard; Kwa kweli hizi ndiyo video za kutuletea, siyo maudaku kila saa; yanatusaidia nini? Big up sana kwa video nzuri mno; nimejifunza mengi; japo kama imeishia nusu hivi; next time tuletee yote.
Binaadamu ss ni wanafki sana tulivyoona kwamba hatoi mabasi tukasema amefilisika hana hela, kumbe mwenzetu alikuwa anatucheki tu sasa hv ana ongelea mashine za milioni mia sita mia ngapi wacha apige kazi maana ss watanzania ni wavivu sana , keep up sumry never give up.
Hizi ndizo interview tunazotaka...sio Mtoto kamtapeli baba yake wa kambo,sjui nini nini...tupe ubunifu wa kibiashara ili nasi tuelimike na tuthubutu. Ahsanteni Ayo
millard ayo hiz ndo habar kaka tunazo zitaka lkn yale ya diamond na zari hayatusaidii sisi ni kwa mapenz yao lkn tunapo pata habae km hiz tunafunguka ki upeo wa mawazo na mtazamo kuu yaaisha shrakran mkuu ayo#
B gap sana Millard Ayo kwa kazi nzuli unayo ifanya katika ndoto zangu nilizo kuwa na zifikilia ni kuonana na Millard Ayo live ili kutimiza ndoto zangu...

Kabsa kaka
Nimekupenda bure, uko humble, huna mbwembwe unaongea kama mtanzania halisi na sio ngozi nyeupe. I'm inspired!
Kaka Millard hizi ndo interview tunazoitaji kuziona sisi watu wa kilimo inatupa hamasa sana..kuona mwenzetu amewekeza kiasi hicho .. Shukran
Mzee wangu namkubali sana katika wamiliki wa mabasi huyu mzee summry namba moja wa pili shabiby watatu abood, nne namaliza na mchaga mwenzangu Brasto makundi big up sana wazee wangu amanipa matumaini sana kupambana na mm kuja kumiliki bus kama zenu
Hongera sumry serikali ikupe mikono,iingilie kati mahindi kutoka inchi za inje ipigwe marufuku👍💟
Honger San mkuu unae jituma mungu akujalie uhai mref kwan ukipat ww nasisi tunapat
Hongera kwa interview nzuri. Tunataka za namna hii. Pili serikali iangalie zao la mahindi kama zao la biashara na chakula ili watu wawe huru kulima, kutunza na kuuza ili watu wafaidike na kilimo cha mahindi. Serikali inunue ya kwakwe ya kutosha na wengine waendelee kuuza wanavyoona inafaa ndio italeta kilimo cha ushindani. Sumry anasema ana gunia 47elfu lkn hawezi kuuza ingawa mahindi kutoka zambia yanaingia na kuuzwa. Hapo ni kuwatia hasara wakulima.
SAFI SANA MR MILLARD AYO NA HONGERA MR SUMRY KWA KWELI UMENIFUNUA MAWAZO SANA!!!
Mungu akubarik sana Mzee Sumry,nasi tupo nyuma yako tunachechemea
Kati ya maisha ninayo yatamani ni kua mkulima mkubwa,kilimo kinalipa lakini pia kilimo ni furaha.kinampa mtu raha pale anapoenda shambani na kutazama ule muonekano wake inaleta raha na faraja.
george massebu ukitaka kufurahia kilimo uwe na hela la sivyo kitakupa majonzi pia😀
dida mugya Ninajua sana ndugu,ni maisha ya kiTanzania na hayana ugeni kwangu
Good
Kilimo kinakuw na furaha pale mkulima anapoona mazao alioyapanda yamekubali lkin yakigoma kilimo kinakuw majanga, da mungu atufanyie wepec kwa yale tunayoyafanya, au co mkubwa
Kweli
Uongezewe zaidi Bwana Salim Sumry..Mungu akubariki zaidi
Shukurani sana mtu wangu wa nguvu Millard Ayo Asante kwa taarifa nzuri sana endelea kutuelimisha kupitia taaluma yako M/mungu akubariki.
Kaka milard leta habar kama hizi za maendeleo na sio mda wote kututangazia mambo ya instagram ya diamond na zari hayana maana kwetu..
nassa abdul 😂😂😂 kweli dear
nassa abdul kabisa ndugu yangu
Kwel bro yani nimekua inspired dah tunatamani kufanya kilimo cha kisasa tatizo hatuna elimu ya kilimo wala mitaji ya kutosha
nassa abdul true
swadaktaa....
Allah atie baraka katika biashara zako, Amiin
Aamin yarabi
This is soo great,how African people can be creative and produce large scale farm produce!! Big up brother Sumry!!
Asa sisi wabongo tunaoishi nje tunapenda kuona vitu kama hivyo kwani vinatupa upeo na mawazo wa kutaka kijiendereza kimaisha nyumbani TZ, Millard Ayo we the best online news thanks, keep it up homy.
Huyu mzee ameniinspire shukrani zangu ziende kwake..alale mahala pema
Millard makala kama hizi ndizo zinakutofautisha na wengine, nakusihi sana kaka karibu kufanya kipindi kirefu na uhiji vitu vingi zaidi. Hoji zaidi juu ya teknolojia wanazo tumia(machinery) na pia masoko. This is inspirational bro
Mashaallah Allah akubarik na akuhifadhi wewe na biashara zako. Unajitahid sana. Watanzania tunajivunia sana kuwa watanzania. Nchi yetu nzuri sana na watu wake wazuri sana. Inasikitisha tukiona tunagombana kwa mambo ya kipuuzi. Sisi tunatolewa mfano na nchi za jirani kwa umoja na mshikamano wetu. I'm proud to be Mtanzania. Mungu wabariki wafanya biashara halali wote .
Very interesting....safi sana aisee Mr.Sumry
Insipiring interview. Thanks Millard
Nakukubali mtu wangu Wa nguvu Millard ayo
Daaah!!! Appreciate from sumbawanga my homeland sumry the great
Safi Sana ndiyo maana nahamia shambani na Forex hukohuko
Shukran sana kaka mirado
Ubarikiwe kaka Millard kwa interview km hii kwa watu km cc tuliokuwa tunategemea xhule tumepata new idea
Hongera mzee salum mola akubariki kw kazi zako nazidi kukuongezea kipato kwa kz yako inshaAllah
Hizi ndio interview zenye akili Sana Sana. Na wa tz tuache uvivu. Cheki huyu jamaa amenunua pori na anapata shida kweli kusafisha but mwisho wa siku utasikia oo tuna taka Ardhi yetu wanakijiji hao, baada ya kuona Shamba ni safi na ni kubwa. Big Up Summry
Nakubalii sana
Hongera sana bwana mabasi kwa kufanya kazi nzuri kama hiyo
Asante sana milad Ayo habarii nzurii sana sio kila Sikh diamond na Zarii wao wanakula kuku sie wanatumalizia mb zetu hapo tu ejifunza sana
asante sana millady kwa habari nzuri nimeingalia hadi mwisho unanikumbusha kipindi naangalia economic documentary hongera kwa habari nzuri narudia tena
Hongera Salumu
iko powa sana bro...unajitahidi sana Millard MUNGU akuongeze.
kilimo hakina kodi unachokipata chote cha kwako kuliko mabasi unakimbizana hovyo na mlundikano wa kodi na kero za madreva
Na Faini Polisi Juu Dah....
kweli kaka kikwazo matrafki
aisee kumbe kilimo hakina kodi.
Hussein H Kitambi kodi unalipa kwenye ununuzi wa pembejeo
@@ramadhanimustapha3244 kodi ipo kaka ukinunua hata mbolea na ukumbuke wakat wa mauzo kaisar yupo
safi sana ayo TV tumechoka kila siku wanasiasa lisu, lisu lisu, lisu lisu, tunataka habari kama hizi zibazowafungua watu ubongo kwamba maisha yanaendelea. siku nyingine unatembelea viwandani kama kawa.
mmmh duuh hongera zake..
Huyu mzee sio Milionea ni bilionea..
Hongera sana Millard; Kwa kweli hizi ndiyo video za kutuletea, siyo maudaku kila saa; yanatusaidia nini? Big up sana kwa video nzuri mno; nimejifunza mengi; japo kama imeishia nusu hivi; next time tuletee yote.
Safi sana na hongera sana kwaubunifu mzur
Hongera sana salum Sumry kwa upigaji kazi mwanaume wa shoka
This is epic, Millard. Tuletee na Bakhresa, Manji na Dewji...
Masha'Allaaah!! Mola akupe taufiq
I appreciate Ua work bro @Millardayo!!!
Duh nimeipenda kweli Mzee anaona mbali hongera kwa hilo
Ongera sana mr summry kilimo ndiyo habari ya mjini natamani kurudi shamba 👍👍
Binaadamu ss ni wanafki sana tulivyoona kwamba hatoi mabasi tukasema amefilisika hana hela, kumbe mwenzetu alikuwa anatucheki tu sasa hv ana ongelea mashine za milioni mia sita mia ngapi wacha apige kazi maana ss watanzania ni wavivu sana , keep up sumry never give up.
🤣🤣🤣🤣
Mash Allah mabruk salum sumry
Kazi nzuri Brother
Asante
I love that...no Jodi...Big up Baba Magu
Alhamdululah Allah akuongoze vema use mfano bora!
Hizi ndizo interview tunazotaka...sio Mtoto kamtapeli baba yake wa kambo,sjui nini nini...tupe ubunifu wa kibiashara ili nasi tuelimike na tuthubutu. Ahsanteni Ayo
Hongera sana milard ayo Tunaomba mwendeleza wa hii habari it's very interesting!
hawa ndio watu wanatakiwa dunia.I want to be just like him
cutting edge nimeipenda hiyo..
cutting edge rty ur best ma dear u will inshallah hakuna mtu alozaliwa na kazi kila kitu ni bidii na akili yako
cutting edge madaraka
+Omari Bongo kazi ngumu hii
safi sana .mungu akujalie sumry.
Nimeipenda
Welcome all to TOP T
Wow SAFI SANA MZEE WETU
Nimependa hiyo very inspired about agriculture.
bro imetulia sana...tunaomba mwendelezo
interesting aseee, muendelezo wa hbr hii tunautaka kaka Millard ayo
sawa mtu wangu, shukrani kwa kutazama Fred
+Millard Ayo
brother nifanyie mpango wa namba zake nikafanye kaz kwake
nijib inbox 0759930001
millard ayo nicheki kwa 0753996407 tufanye kazi kaka
Millard Ayo Sasa umekuwa, kwa tani za habari. Mb zetu ni hisa zako .
Thanks M. Ayo
kweli Mr summury umedhubutu na umeweza mungu akuongoze uendeleee kufundisha watu ujasilia mali your risk taker
Hii nzuriiiii.....,,Inspiring
good interview halafu kuna kitu nimekijifunza kweli ukitaka kufanikiwa amini katika kitu unachokifanya #Millard ayo kunywa soda nakujaa kulipa
safi sana millard nimejifunza kitu kikubwa sana kwa hii interview yani tunatakiwa kutazama fursa mbali mbali kwa jamii
Aisee nimeipenda sana hii
Nimependa sana sana hii mzee sumry yupo makin nakazi
Wow very interesting big up millard
millard ayo hiz ndo habar kaka tunazo zitaka lkn yale ya diamond na zari hayatusaidii sisi ni kwa mapenz yao lkn tunapo pata habae km hiz tunafunguka ki upeo wa mawazo na mtazamo kuu yaaisha shrakran mkuu ayo#
Nilifanikiwa kufika Msipazi farm, kiukweli Sumry kawekeza halafu sio mchoyo wa maarifa. Nilifundishwa vitu vingi sana na kuwa encouraged.
Umetumia zile akili zako hasa Milard kuleta hii...hujatumia za wale.....kazi nzuri sana
Duh safi sana
Ndugu yangu ❤❤❤
very interesting kiukweli nataman nijue more and moree woow
Salum hongera kaka
Safi sana salum sumry
Congratulation...We want this king of interview and treat subjects that are really helpful.
Kwakweli kwenye mabasi ulikuwa unachelewa....huku ndio mpango mzima...unatupa hamasa hata sisi ambao tutaanza na heka moja...👍
kilimo hakiongopi
I salute u @millardayo 🙌🏾
asante sana Seif Ali kwa kutazama AyoTV na kuniachia comment yako hapa
+Millard Ayo y moto hiyo barikiwa bro
@@millardayoTZA mbona unajibu text wachache zingine huzion it's mean
mashallah amenihamasisha
Hongera salum mdogo Wangu.
millard ayo hakika wewe ni noma!kip it up nakuona mtu mkubwa na heshima kede kede baadae
Safi sanna ndugu salum sumry
best interview so far
Safi salumu summry kwa kuingia katika kilimo
Mshkaj anataja million mia sita kama jero vile life is not fair me nasubir nicheze biko, tatu mzuka nipate wa walau buku tano
Issa Kherry hahahaha nimecheka
Issa Kherry 😂😂 Issa Wacha wivu😂😂
Issa Kherry hahhah umeona....daah
Issa Kherry 😂😂😂 noma sana
Hayo ndiyo maisha amelima hekari 2000 lengo afike 5000 duu mwenyez mungu amfanyie wepesi
Big up sana brother millad
Safiii saana nimeipenda zaidi
Kazi nzuri sana @millard ayo
Millad nimeipenda hiyo,niombee kazi naiweza hiyo machine,
Masha Allah nimeipenda
Mzee upo sahihi madereva madereva mungu nifanye niwe tofauti na madereva anaowataja boss huyu
aisee this is the best interview so far ukiachilia zile za kina mika mwamba.
mashaa Allah
good milard
Haya bwana nimemuona Sumry kwa mara ya kwanza na nimejifunza kitu. Pamoja sana mdogo wangu Milard endelea kutuletea ishu za kutafuta hela
Safi kwa hii interview
Safi sana bro Millard
jamaa anatisha sna kahama VEIN,namshauri aanze pia kupaki unga auze sembe kwa kwenda mbele.BIGUP SUMRYFARM
Hello Millard, kwa video za namna hii utabadilisha mitazamo ya watanzania wengi sana. Thank you
Ni kweli
B gap sana Millard Ayo kwa kazi nzuli unayo ifanya katika ndoto zangu nilizo kuwa na zifikilia ni kuonana na Millard Ayo live ili kutimiza ndoto zangu...