Mh mkuu wa wilaya big up sana kwa utu uliouonesha nasaport kwa asilimia 100% kunachangamoto nyingi za kikandalasi, wakizidi kumkata ndo hali itakuwa mbaya zaidi
Kwa kweli kazi ifanyike....kama hawezi apigwe chini. Kuna yule mkandarasi anajenga barabara ya Nyakanazi mpaka Kakonko nae anafaa anyang'anywe kwa kweli. Hamalizi na muda umepita mrefu sanaaa....wananchi wanateseka tuu na vumbi
Aiseee this is so inhuman 🙌🏼...hatukatai anaweza kuwa na makosa lakini kupewa huduma ya kwanza kwa haraka ni haki yaki ..acheni ubabe kisa mmepewa madaraka 😏
hiii siyo sawa ,huyo kandarasi kweli ana shida katika kazi yake lakini hapo alipougua hadi kulala chini alipaswa walau kupewa huduma ya kwanza ,utajisikiaje mtu akipoteza maisha mbele ya macho yako angali ulikuwa na nafasi ya kumuhudumia,nafasi wala cheo cha mtu hakivui ubinadamu wa mtu.vinginevyo muheshimiwa ulizungumza tu kwa hekima ila mkandarasi hakuwa sawa kiafya ungetoa nafasi ahudumiwe.
Hamna m2 anayo nguvu kama yesu na kiongozi bora, ila m2 alipo pata shida yesu alijumuika nao kwa pamoja wa maradhi au vyovyote ila jaman viongozi wito wangu sisi zote binadamu tunazo heshima na kupigiwa salute kwa heshima ila ikifika kiasi mwanadamu mwenzako kuzimia mbele yako na hujiguzi, tunaelekea hua imefikia papaya.
anajenga barabara mbovu na madaraja mabovu yana weza kusababisha vifo na hapo jafo hajupo pekee yake wakati anaongea pale chini alichukuliwa kwenye gari tayari kwenda hospitali
@@jebace hapo hajasemwa kwa Kujenga barabara mbovu usimpe sifa mbaya, kilicho ongelewa hapo ni ku cherewa kumaliza na ametoa sababu anataka ajenge kitu chenye imara na ubora ndio maana Kuna matirio ya mawe yalikua shida kupatikana,hicho ndicho kilicho mcherewesha.
Jafo umeudhalilisha uongozi wako yani mtu ameanguka we bado unaendelea na mkutano wako unajuaje kama amepatwa na shambulio la moyo sio utu huo kwa binadam mwenzio
Du, kweli yaliyoandikwa kwenye vitabu vitakatifu,yanatimia,Siku za mwisho,upendo wawatu utapoa,MTU anaanguka na kupoteza fahamu,lakini mnajifanya hamwoni,,du Mungu tusamehe,utu hakuna kabisa!!
Tatizo uchungu wa pesa za serikali Na kodi za wananchi kwa ujumla Kuna watu hawana uchungu nazo sana, kwa pesa Hizo serikali haipaswi kuwa Na huruma laa sivyo hatutafika Na tutabaki kuilaumu serikali wakati wachache wanazipiga tu.
Speed ya Magufuli sio ya mdhaha alisema kama huwezi kwenda na kasi yake ni bora ukae pembeni tu. Jafo hakwenda kutoa huduma ya kwanza pale na waliohusika na huduma hiyo waliondoa mwili wa Massawe pale yeye aliendelea na maelekezo. Huu sio muda wa Siasa na hairuhusiwi kwani Siasa zilituchelewesha mno. Siasa ni kwenye Mbege na Kahawa. Big Up Jafo Under the Magu No time to politicise.
Hapo umesema kwel huwez tengeneza barabara n unakuta miez hata Saba hujapewa chochote n serikal unaambiwa utalipwa ukimaliza kaz n kumbuka n mabilion n serkal iwe inawahisha malipo si pologo tu
Kapelekwa kupata uduma.ya kwanza .ela ya mwengine ukitumia itakutoa roho .kazimi jamani.mungu amponye kabisa anawaza kutopewa kazi na kama.anamadeni atayalipa vip.bila.kupata kazi .
Binafsi navutiwa na uchapakaz wako. Lakini utu wa mtu kwangu unapita vyote, watu lazima wathaminiwe, waheshimiwe. Kaz hiz zitafanyika tuu whether tuwepo au tusiwepo. Utu kwanza
ndo maana TZ tumebaki nyuma saaana,eti utu!! ela anazolipwa ni za walala hoi,hao je?? ndo maana kazi nyingi zilikua haziishi,kuchekeana,ts time people to be responsible
@@errydeo8865unadhan hiyo hali ya kupuza watu ndo itabadilisha Tanzania. Uyo kaanguka asaidiwe kwanza mambo mengine yaendelee, hii n Tanzania sio China wala nchi zingine zozote zinazoshindwa kujali watu, hatuwez kuaminishwa staili hii ya kupuza watu wanapopata mshtuko waachwe ndo sawa s sawa kabisa
@@deomugu1616 angefanya kazi ya kiuadilifu,yote yasingemkuta! next time atajua bro..na hii kitu wameanza ya kujiangusha,hasa wale wasiowajibika..Muulize Mwanri anawajua..lol..huwezi kazi,achia wawezao wafanye..angeambiwa asiendelee na mradi je?? acheni kutetea vitu ka hivi..utatoaje sababu ya mawe!! wengine wanayatoa wapi??? tufike wakati tuwajibike bana..
Sijapinga, waziri anafanya kaz lakini nadhan busara hana, nachelea kusema utu pia namashaka kwa hili. Angeweza kuishia hapo mengine angemaliza ofisini. Staili hii s kwamba ndo Bora sanaaa s kweli kabisa
@@errydeo8865 mifumo yetu mingi tunaiga nchi jirani hususani ya kiutawala then tunaendelea kuibadilisha ili kuendana na matakwa yetu. Hili la kujali watu kabla ya kuwashambulia kwenye public liwe letu na s kweli kwamba tukijali watu hatutaendelea haya siyaafiki hata
JAMANI too sad...hamna utu? Nyie watu wa wapi aisee..unajua kuna factors nyingi..mtu amekopa ghafla mnamkata mil 88 ..changamoto amesema..SKOL alifanya kazi nzuri sana mbona kipindi cha nyuma..mnampa pressure hamumsaidii...
pumbavu kabisa mtu kadondoka mnashindwa kukatisha maongezi kumpa uduma ya kwanza asije akapoteza maisha hutu kwanza tz hii ya sasa hivi ndugu zetu wengi watakufa roho imeniuma sana wallah
Kwa msiofahamu, Waziri Jafo ni Mzaramo na kama tunavyofahamu ni kwamba mzaramo ni mtu pekee ambayo anaweza akamsema mtu hadi akafa kwahiyo mimi sijashangaa
Ni aibu kubwa jamani! Mtu kaaunguka hata huduma ya kwanza hakuna mnaendelea tu kuongelea barabara! Hivi angekuwa waziri ndo kaanguka mngeendelea na maongezi yenu kweli! Roho mbaya hizo
Watanzania sijui tunaenda wapi kuelewa mambo. Comments nyingi sasa ni za laana kwa waziri,huu unafiki sijui tiba yake lini!? Jaffor kaongea kiungwana kabisa,tena kaongea kiuongozi na siyo kitawala....mbali na hali ikiyojitokeza ya mkandarasi kuanguka yawezekana pia ni mtu ambaye analazimisha kazi mambo yakishakugomea hata kama ulikuwa mzuri mwanzoni waachie wanaoweza..! Sijaona kabisa kosa la waziri. Watanzania tujifunze kuwa weledi na ku-balance mambo kuepuka unafiki.
Subhanallah.! Kumbe Nkweli Kuna Kabila Linaweza Msema Mtu Kwa Maneno Tu Mpaka Akafa 🙊🙊..Iteni Ambulance Basi Jamani..Presha Hatari Sana,Afya Zina Migogoro Walai,
Kama na wewe umeona mkurugenzi Massawe amezimia na mkono wa kushoto kashikilia wallet yake nipe like hapa. Hachomolewi mtu pesa hapo, amezimia au la. Fanya mchezo na mchaga wewe mbele ya pesa :)
Jafo naomba ukumbuke hizo nikampuni za nyumbani Tena kamahiyo skoll imewabeba sana kwenye kampeni zenu tuliona mabango hapa kazi tu na hiyo nembo ya skoll na unajua Kama huyo jamaa kayumba kiuchumi msaidie
Sio ugwan wala ubinadam ata kdg binaadm mwenzia ananguka mnfanya km hamjamuona... Dah am kweli dunia mapito lkn ya yote kila mmoja atajibu kwa alicho kichuma
Jafo nakupenda lakini kwa hili sio,,,barabara ikiisha lakini mkandarasi kaanguka spresha kwa kama vilenuoni,wewe nikiongozi wabarabara au watanzani,,keep him safe then contunue to talk,that guy if willnpassed away from that heart attact GOD will punish you
Alipaswa kusimama kuongelea hayo na kuangalia Hali ya aliyeanguka...na kuuliza umati aliokuwa nao Kama Kuna mwenye taaruma ya udaktari. Hata kwa kuendelea kuongea, unakuwa una maddress Nani,wakati mlengwa mkuu yupo chini Kaanguka.
@@mosesmaiga8600 nafikili Kama jamii tunakuwa programmed(tunaandaliwa) kupitia media,tuzoee na kuona kawaida vitu ambavyo sio vya kawaida, Mheshimiwa Makonda alilizungumzia hili pia alipokuwa anaongelea khs ushoga na namna tunavyoandaliwa kuupokea ushoga kupitia movie za nje. Zamani tulikuwa haturuhusu Dada zetu kuvaa nguo fupi mtaani,tukaletewa movie wahusika wakivaa nguo fupi kutuzoesha hatimaye tukazoea. Kwa njia hiyo hiyo tunafundishwa kuwa wakatili kupitia ukatili tunaouona ktk Movie, kusambazwa kwa clip za Kifo Kama Cha Gadaffi na Sadamu, matokeo Ni jamii tunayoiona Sasa, Ajali inatokea baadhi wanachukua picha baadhi wanawaibia wahanga. Ukiita mwizi kabla hujamaliza kuongea mtu keshachomwa Moto. Taarifa ya habari inakuwa Ni nzuri zaidi ikiwa na taarifa mbaya Kama Ajali etc. Lengo: tunapoelekea mwisho wa dunia,jamii inabidi iandaliwe kupokea matukio ya ukatili yaliyoandaliwa Kama kuteswa au kuuawa kwa watakaokataa kumtii mpinga kristo na serekali yake.
Cheo bwana,,,, jamaa ameanguka hajulikani ikiwa amezimia aua anakata roho kwa mshituko lakini bosi kwa kulinda cheo chake anaendelea kuuliza maswali tu bila kujali kilichotokea. Iko wapi thamani ya mwanadamu hapa?
nampenda jaffo but baada ya kuanguka huyo mkurugenzi angeonesha sympathy hata kwa kuagiza apewe huduma ya kwanza first. Ye ni kiongozi wa watu na huyo pia ni mtu wake, we need what they are doing but our well being kwanza.
Serekali mnafanya vizuri ila hapo waziri na wengineo mngekuwa na ubinadam huyo aliyeanguka ni muhimu zaidi na nikipimo cha busara hata kama anaigiza mngemsaidia kwanza ndo muendelee na ingekuwa ni somo la utu
Africa na viongozi wake wote ndo maana hadi leo wanaongwa na kivuli..huo alio onesha yeye sio ubinaadam kabisa.yani mtu anaanguka zaidi ya dakika 15 hajapatiwa huduma ya kwanza.yalio muangusha hapo sio maneno.ajuwe kuna muumbaji zake nae zinahisabika.
wadau hebu nipeni tofauti ya yakuanguka na kulala...mbona nimejitahidi kutega sikio lakn sikusikia kishindo cha mtu kuanguka..mm macho yangu yameona kama jamaa kalala..
Ee Mungu, si kupatikane mmoja tu Kenya hii wa kuangusha makandarasi hivi....nchi yetu ipone!!!!!
🤣🤣🤣 umenichekesha sana dada.
Mh mkuu wa wilaya big up sana kwa utu uliouonesha nasaport kwa asilimia 100% kunachangamoto nyingi za kikandalasi, wakizidi kumkata ndo hali itakuwa mbaya zaidi
Kwa kweli kazi ifanyike....kama hawezi apigwe chini. Kuna yule mkandarasi anajenga barabara ya Nyakanazi mpaka Kakonko nae anafaa anyang'anywe kwa kweli. Hamalizi na muda umepita mrefu sanaaa....wananchi wanateseka tuu na vumbi
Aiseee this is so inhuman 🙌🏼...hatukatai anaweza kuwa na makosa lakini kupewa huduma ya kwanza kwa haraka ni haki yaki ..acheni ubabe kisa mmepewa madaraka 😏
Anazimia dakika ya 9:26 msimalize bando
I LOVE COMPUTERS hahahaa eti msimalize bando Hhaahahaha
😅😅😅
Uko Sawa
We kiboko
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
hiii siyo sawa ,huyo kandarasi kweli ana shida katika kazi yake lakini hapo alipougua hadi kulala chini alipaswa walau kupewa huduma ya kwanza ,utajisikiaje mtu akipoteza maisha mbele ya macho yako angali ulikuwa na nafasi ya kumuhudumia,nafasi wala cheo cha mtu hakivui ubinadamu wa mtu.vinginevyo muheshimiwa ulizungumza tu kwa hekima ila mkandarasi hakuwa sawa kiafya ungetoa nafasi ahudumiwe.
Hamna m2 anayo nguvu kama yesu na kiongozi bora, ila m2 alipo pata shida yesu alijumuika nao kwa pamoja wa maradhi au vyovyote ila jaman viongozi wito wangu sisi zote binadamu tunazo heshima na kupigiwa salute kwa heshima ila ikifika kiasi mwanadamu mwenzako kuzimia mbele yako na hujiguzi, tunaelekea hua imefikia papaya.
Sio sawa,utu kwanza saidia kwanza mgonjwa mengne yataendelea.
anajenga barabara mbovu na madaraja mabovu yana weza kusababisha vifo na hapo jafo hajupo pekee yake wakati anaongea pale chini alichukuliwa kwenye gari tayari kwenda hospitali
@@jebace hapo hajasemwa kwa Kujenga barabara mbovu usimpe sifa mbaya, kilicho ongelewa hapo ni ku cherewa kumaliza na ametoa sababu anataka ajenge kitu chenye imara na ubora ndio maana Kuna matirio ya mawe yalikua shida kupatikana,hicho ndicho kilicho mcherewesha.
Kijiwe nongwa
Akimwagiwa maji ataamka
SKOLL wamezidi ubabaishaji ndio mana Dar wamefukuzwa.
Jafo umeudhalilisha uongozi wako yani mtu ameanguka we bado unaendelea na mkutano wako unajuaje kama amepatwa na shambulio la moyo sio utu huo kwa binadam mwenzio
Kufoji ni vizuri ukifanikiwa ila ukiumbuka ndo hivyo walizoea mno acha waone cha moro, acha kuchezea mali za umma.
Acha wadondoke tu maana wamezidi ubabaishaji
shambulio la moyo haliko vile bro , mtu anachuchumaa analala we vp ,yule kala ela.
Du, kweli yaliyoandikwa kwenye vitabu vitakatifu,yanatimia,Siku za mwisho,upendo wawatu utapoa,MTU anaanguka na kupoteza fahamu,lakini mnajifanya hamwoni,,du Mungu tusamehe,utu hakuna kabisa!!
Asante sana maaana mkifanya ivyo viongozi mbona tungekua na maendeleo mazuri nmefurahi sana
Inamana mmeshindwa kumpatia huduma ya kwanza au ndiyo sifa akifa je!? Kazi unafanya lkn kwa hapo mkuu umezingua haswa Tena haswaaa
Kama umeona NDULA za mkulugenzi gonga like
Tatizo uchungu wa pesa za serikali Na kodi za wananchi kwa ujumla Kuna watu hawana uchungu nazo sana, kwa pesa Hizo serikali haipaswi kuwa Na huruma laa sivyo hatutafika Na tutabaki kuilaumu serikali wakati wachache wanazipiga tu.
MH: HALI KAMA HII HUWA INATOKEA HATA KWA MUONGEAJI ...SIDHANI KAMA HALI INGEKUWA SHWARI KAMA MH: ANGEANGUKA
Pengine wamehisi kapumzika
n
Speed ya Magufuli sio ya mdhaha alisema kama huwezi kwenda na kasi yake ni bora ukae pembeni tu. Jafo hakwenda kutoa huduma ya kwanza pale na waliohusika na huduma hiyo waliondoa mwili wa Massawe pale yeye aliendelea na maelekezo. Huu sio muda wa Siasa na hairuhusiwi kwani Siasa zilituchelewesha mno. Siasa ni kwenye Mbege na Kahawa. Big Up Jafo Under the Magu No time to politicise.
wazaramo mmenishinda tabia, yani unamchamba mtu mpaka anapoteza fahamu 😁😁😁😁😁😁😁
Hatar sanaa
😂😂😂😂
Duuh
Duuh
Ha ha ha
Utu ndio ubinaadam huwezi jua alikua anawaza nini mpaka ikafikia hatua ya kuzimia ndani ya kazi kuna changamoto pia, nimemuonea huruma.
Umeongea poit, hawa wanajua kuwalaumu watendaj kaz lakin uwez jua shida itakuwa iko kwao pia,wa naona wawanyanyase watendaj kaz
Hapo umesema kwel huwez tengeneza barabara n unakuta miez hata Saba hujapewa chochote n serikal unaambiwa utalipwa ukimaliza kaz n kumbuka n mabilion n serkal iwe inawahisha malipo si pologo tu
Point kabisa wanatabia ya kuwacheleweshea hela
Hata huruma hana
Kapelekwa kupata uduma.ya kwanza .ela ya mwengine ukitumia itakutoa roho .kazimi jamani.mungu amponye kabisa anawaza kutopewa kazi na kama.anamadeni atayalipa vip.bila.kupata kazi .
Jaman hadi nmejckia vbaya alvyoanguka 😔
Binafsi navutiwa na uchapakaz wako.
Lakini utu wa mtu kwangu unapita vyote, watu lazima wathaminiwe, waheshimiwe. Kaz hiz zitafanyika tuu whether tuwepo au tusiwepo. Utu kwanza
ndo maana TZ tumebaki nyuma saaana,eti utu!! ela anazolipwa ni za walala hoi,hao je?? ndo maana kazi nyingi zilikua haziishi,kuchekeana,ts time people to be responsible
@@errydeo8865unadhan hiyo hali ya kupuza watu ndo itabadilisha Tanzania. Uyo kaanguka asaidiwe kwanza mambo mengine yaendelee, hii n Tanzania sio China wala nchi zingine zozote zinazoshindwa kujali watu, hatuwez kuaminishwa staili hii ya kupuza watu wanapopata mshtuko waachwe ndo sawa s sawa kabisa
@@deomugu1616 angefanya kazi ya kiuadilifu,yote yasingemkuta! next time atajua bro..na hii kitu wameanza ya kujiangusha,hasa wale wasiowajibika..Muulize Mwanri anawajua..lol..huwezi kazi,achia wawezao wafanye..angeambiwa asiendelee na mradi je?? acheni kutetea vitu ka hivi..utatoaje sababu ya mawe!! wengine wanayatoa wapi??? tufike wakati tuwajibike bana..
Sijapinga, waziri anafanya kaz lakini nadhan busara hana, nachelea kusema utu pia namashaka kwa hili. Angeweza kuishia hapo mengine angemaliza ofisini. Staili hii s kwamba ndo Bora sanaaa s kweli kabisa
@@errydeo8865 mifumo yetu mingi tunaiga nchi jirani hususani ya kiutawala then tunaendelea kuibadilisha ili kuendana na matakwa yetu. Hili la kujali watu kabla ya kuwashambulia kwenye public liwe letu na s kweli kwamba tukijali watu hatutaendelea haya siyaafiki hata
Siku nyingine UTU kwanza.
Unafanya kazi vizur waziri lakini kumbuka Utu kwanza
Tuna utu
Tuna utu
Hutambui nini maana ya utu, naona unajina la kikristo Leonard embu kasome 1kor 13 ndipo uje tuzungumze
Kazkaz
Kuzimia sio kufaa
Jamani afya ndio kila kitu, tujalini utu pia na thamani ya uhai wa mtu.
Mmmh dhambi hadi huruma
Huyu itakuwa alikuwa anaumwa! Pole mwaya! Hizi kazi ngumu kweli ktk awamu hii! Ni mchakamchaka kila kona!
JAMANI too sad...hamna utu? Nyie watu wa wapi aisee..unajua kuna factors nyingi..mtu amekopa ghafla mnamkata mil 88 ..changamoto amesema..SKOL alifanya kazi nzuri sana mbona kipindi cha nyuma..mnampa pressure hamumsaidii...
pumbavu kabisa mtu kadondoka mnashindwa kukatisha maongezi kumpa uduma ya kwanza asije akapoteza maisha hutu kwanza tz hii ya sasa hivi ndugu zetu wengi watakufa roho imeniuma sana wallah
O God i pray u give us Ugandan's leaders like this
Daaaaah!! Jmn Eeeh mwenyezi Mungu Mnyooshee Mkono wako huyu Mkurugenzi apone asimame Tena
Huku kuabudiana kutaisha lini jamani 😢😢😢😢 Watu watakufa kwa presha
Ni mjanja huyo, nilishawahi kukutana nayo
Kwa msiofahamu, Waziri Jafo ni Mzaramo na kama tunavyofahamu ni kwamba mzaramo ni mtu pekee ambayo anaweza akamsema mtu hadi akafa kwahiyo mimi sijashangaa
😂😂😂😂 hahahha
😂😂😂
Hahahaha jaman;
Hahahahaahhahaha
😢😢😢🚶♀️🚶♀️
Sauti ndogo mno 😡😡
Simu yako tuu
Ina maana na mimi simu yangu mbovu?
@@hatiburamadhani9875 sauti ni ndogo sana sio sim yako
@@allymaganga6084 basi hata yangu mbovu🤗
ilyn Payne nikajua cm yangu
Tuheshimu utu wa binadamu kazi zipo tu. Imeniuma sana hata kumjali hkuna kiongoz kweli ungesaidia apate huduma ndo uendelee
Kuanguka ni maumbile, mmefanya makosa makubwa kutompa huduma ya kwanza mara moja pale alipoanguka
Hawakujari utu
True
Changamoto kazini pole sana mzee
Nimekuelewa sana mkuu hii kitu kuielewa ni ngumu sana
Vifo vingi hutokea kwa kukosa msaada kwa wakati.
True
mkandaras, kaamua kupumzika, kidodo, mambo ni fire
Haaaaaaah
Nimecheka San🤣🤣🤣🤣
@@saidhuma9739 ni hatari
Daaah😂😂😂😂
Hahahahha
Bwashee nimekukubali hoja ilikua nzito sana bila kujilaza kiaina ungeanguka kikweli ukweliii
hio kazi ndio nzuri kuliko zinazomalizika upesi upesi
Ni aibu kubwa jamani! Mtu kaaunguka hata huduma ya kwanza hakuna mnaendelea tu kuongelea barabara! Hivi angekuwa waziri ndo kaanguka mngeendelea na maongezi yenu kweli!
Roho mbaya hizo
Acha ujinga wee nawe
@@hassanovajunior6972 una homa au?
Watanzania sijui tunaenda wapi kuelewa mambo. Comments nyingi sasa ni za laana kwa waziri,huu unafiki sijui tiba yake lini!? Jaffor kaongea kiungwana kabisa,tena kaongea kiuongozi na siyo kitawala....mbali na hali ikiyojitokeza ya mkandarasi kuanguka yawezekana pia ni mtu ambaye analazimisha kazi mambo yakishakugomea hata kama ulikuwa mzuri mwanzoni waachie wanaoweza..! Sijaona kabisa kosa la waziri.
Watanzania tujifunze kuwa weledi na ku-balance mambo kuepuka unafiki.
Watanzani tunahitaji Rais Kama Jpm ukiwasikiliza wananchi huongozi Nchi Jaffu kosa lake Nini? Hapo
Subhanallah.! Kumbe Nkweli Kuna Kabila Linaweza Msema Mtu Kwa Maneno Tu Mpaka Akafa 🙊🙊..Iteni Ambulance Basi Jamani..Presha Hatari Sana,Afya Zina Migogoro Walai,
Dah jaman kumbuka mwanga wa jua ni jicho la Mungu mpaka hapo hvyo Mungu anaona sote tu viumbe wake utu kwanza apelekwe hospital jamani
Kama na wewe umeona mkurugenzi Massawe amezimia na mkono wa kushoto kashikilia wallet yake nipe like hapa. Hachomolewi mtu pesa hapo, amezimia au la. Fanya mchezo na mchaga wewe mbele ya pesa :)
Ubinaadam kwanza jamani kama kaanguka myama hata imani hamna jicho la mungu linaona
Jafo nimtoto wakizaramo. Hapendagi upumbavuuu. Big up my brother.
Jafo naomba ukumbuke hizo nikampuni za nyumbani Tena kamahiyo skoll imewabeba sana kwenye kampeni zenu tuliona mabango hapa kazi tu na hiyo nembo ya skoll na unajua Kama huyo jamaa kayumba kiuchumi msaidie
Tatizo viongozi wetu ndio chanzo mpaka wengine wanaanguka...Inaumiza sana aisee
Kwenye kufoji ukifanikiwa ni vizuri sana ila ukibanwa ndo hivyo tena hii nchi yalikuwa wameizoea vibaya kwhy acha wapambane wamezoea ushenzi.
Viongozi munajifanya kama nyinyi ndio wenye kugawa rizq kuweni na utu mujue mungu ndie anagawa rizq
Pole Afya yake inaonekana haikua nzuri
Jaman mheshimiwa anaendelea kuongea tu wakati mtu kaanguka kwahyo haoni umuhimu wa binadamu anajali kazi tu daaah jama!!!
Hapo kachemka jafo
Sio ugwan wala ubinadam ata kdg binaadm mwenzia ananguka mnfanya km hamjamuona... Dah am kweli dunia mapito lkn ya yote kila mmoja atajibu kwa alicho kichuma
Ila muwe na utuuuuu Tanzania jamaniiii
Achawafe tunataka maendeleo
Sio vizuri kabisa roho ya mtu na barabara jamani
@Ali Bakari ź
nice tz
Huwa namwelewa mh jafo
Huyu jamaa mwenye shat la kitenge nimemuelewa sana
Jafo nakupenda lakini kwa hili sio,,,barabara ikiisha lakini mkandarasi kaanguka spresha kwa kama vilenuoni,wewe nikiongozi wabarabara au watanzani,,keep him safe then contunue to talk,that guy if willnpassed away from that heart attact GOD will punish you
Hii Serikari ya sasa inafanya kazi kwa kiki, mwenzako kaanguka inawezekana kwa Presha wewe bado unafoka tuu...... sio sawa
Nawahangaa wale wote mnao msema jafo ana utu amfatilii kati yamawaziri kwenye huruma nipamoja na jafo kwahiyo mlitaka jafo afanyeje acheni unafiki
Alipaswa kusimama kuongelea hayo na kuangalia Hali ya aliyeanguka...na kuuliza umati aliokuwa nao Kama Kuna mwenye taaruma ya udaktari.
Hata kwa kuendelea kuongea, unakuwa una maddress Nani,wakati mlengwa mkuu yupo chini Kaanguka.
@@ellykibale190 mpk waziri kufika hapo ujuwe alikua kashamchoka na huyo alikua anazuga kwani umesikia kafa tulizoea kuiishi kwa mazoea mno
@@mosesmaiga8600 nafikili Kama jamii tunakuwa programmed(tunaandaliwa) kupitia media,tuzoee na kuona kawaida vitu ambavyo sio vya kawaida,
Mheshimiwa Makonda alilizungumzia hili pia alipokuwa anaongelea khs ushoga na namna tunavyoandaliwa kuupokea ushoga kupitia movie za nje.
Zamani tulikuwa haturuhusu Dada zetu kuvaa nguo fupi mtaani,tukaletewa movie wahusika wakivaa nguo fupi kutuzoesha hatimaye tukazoea.
Kwa njia hiyo hiyo tunafundishwa kuwa wakatili kupitia ukatili tunaouona ktk Movie, kusambazwa kwa clip za Kifo Kama Cha Gadaffi na Sadamu, matokeo Ni jamii tunayoiona Sasa, Ajali inatokea baadhi wanachukua picha baadhi wanawaibia wahanga.
Ukiita mwizi kabla hujamaliza kuongea mtu keshachomwa Moto.
Taarifa ya habari inakuwa Ni nzuri zaidi ikiwa na taarifa mbaya Kama Ajali etc.
Lengo: tunapoelekea mwisho wa dunia,jamii inabidi iandaliwe kupokea matukio ya ukatili yaliyoandaliwa Kama kuteswa au kuuawa kwa watakaokataa kumtii mpinga kristo na serekali yake.
SUBHANALLAH. Jamani siku zote tukifanya ibada tuombe MALLA atupe hekima busara tatu atukinge na maradhi ya kiburi.
Ameen
Nliskiaga tu ktk redio sikuona picha ila hajatendewa haki kabisa jaman hata first Aid wangesogea apate hewa japo kidogo miili ya watu jaman sio sawa
Duuuhh mh.jafo mkurugenzi anahitaji Huduma Ya kwanza
Pole babaaangu loho imeniuma sana
Msaidieni basii mwenzenu japo ana makosa, kweli cheo dhamana
Cheo bwana,,,, jamaa ameanguka hajulikani ikiwa amezimia aua anakata roho kwa mshituko lakini bosi kwa kulinda cheo chake anaendelea kuuliza maswali tu bila kujali kilichotokea. Iko wapi thamani ya mwanadamu hapa?
Utu ulikuwa enzi za Yesu tu,yaan hao jamaa wanaect kama hakuna kilichotokea
Msimkate pesa ,mpeni ofa amalizie barabara ktk HIO time limit. Kama atashindwa ndio mutakata total day. Kama ataweza kukamilisha basi bonus kwake.
Jaman msifanye sifa kwenye roho za watu Itafika hatua wananchi tutachoka potelea poteee
mtachoka wewe na nani au unafikiri kila mmoja ni nyumbu kama wewe potelea mwenyewe......kama huyo n baba yako kampeleke hospitalin
Kwanza hajaanguka kalala mwenyewee labda baada ya maumivu
Afe kabisaa anakula pesa zetu halafu kazi hakuna pumbafuuuuuuuu
Jibu ni moja tu watanzania hatupendani ingekuwa hapo jafo ndo kaanguka chini ingekuwaje 😭😭😭😭
Duh kachomoa betri kimykmy ameona haliwaki ika ikabdi ajimwage chni.ingalikuw ni mim nngeachia hoone kila mtu akimbie😂😂😂😂
Godfrey Tarimo 😂😂😂😂 Umenishinda tabia kwa kweli
Nanin tena mpwa??😀😀😀
UTU kwanza toeni huduma Kwa alieanguka haki za binadamu ziko wapi ?
nampenda jaffo but baada ya kuanguka huyo mkurugenzi angeonesha sympathy hata kwa kuagiza apewe huduma ya kwanza first. Ye ni kiongozi wa watu na huyo pia ni mtu wake, we need what they are doing but our well being kwanza.
Yani sijampend huyu waziri kabisaaa ana ubinadamu kwa nini wasingempatia huduma ya kwaza huyu waziri hafaii kuwa kiongozi
Eti afai siungeenda wewe kuongoza yani atumbuliwe yeye narais kwajili yaujinga wake afe tu
Epuka kibamia uume mdogo kuza uume refusha na kunenepesha kwakubonyeza hapa👉th-cam.com/video/WAooF8RUziU/w-d-xo.html
Serekali mnafanya vizuri ila hapo waziri na wengineo mngekuwa na ubinadam huyo aliyeanguka ni muhimu zaidi na nikipimo cha busara hata kama anaigiza mngemsaidia kwanza ndo muendelee na ingekuwa ni somo la utu
taarifa kuwa huyu mkurugenzi wa SKOL amefariki ni za kweli??
Yupo
Kiboko ya mchepuko mkomeshe mchepuko wako akome bonyeza Napa👉 th-cam.com/video/Ibinv6AOfMI/w-d-xo.html
Fanya Fasta uamke utembee mzee baba najua u azingua umeanguka kidizaini
Pole sana mkurugenzi
Sio sawa
Waziri acha roho mbaya utu kwanza
Hii ni usanii wa Serekali au? Maana yake hata first aid hakuna, maisha ya mkandarasi sio muhimu. Kazi itakwisha vipi
Daah huruma
jamaa anaigiza bna mtu gani anazimia alf anaishikilia waleti😂
Alafu wanasema kaanguka mbona nimeona kalala taratibu tyuu
Masawe huyo
Simasawe
Atakua mnyabi 😂😂😂😂
Una dhambi
Skoll,Del Monte ni wa hovyo sana,Dar es salaam wametimuliwa.
Huduma ya Kwanza?????😎
Hiyo ndio busara ya Waziri.. Ipo siku utahitaji msaada kuliko huyo mnayemdhulumu pesa zake na Mmemkosea utu wake na bado mmenuia kumuadhibu Zaidi.
Kweli wazaramo balaa, kamsema mtu mpka kazimia na bado anachonga
Alipaswa kupewa huduma ya kwanza papo hapo na sio kumuangalia tu na kuendelea na maagizo, sisi sote ni binaadamu sio Wanyama wa porini.
Dah!! Jaman angalia na mazur aloyafanya mwanzo, co kumuhukumu kwa koxa moja huo Ni uonevu.
Africa na viongozi wake wote ndo maana hadi leo wanaongwa na kivuli..huo alio onesha yeye sio ubinaadam kabisa.yani mtu anaanguka zaidi ya dakika 15 hajapatiwa huduma ya kwanza.yalio muangusha hapo sio maneno.ajuwe kuna muumbaji zake nae zinahisabika.
Naona jamaa kamua kupumzika chin ya miguu ya boss anajua hapo akimka hapo kazi tu..... Hahahaha pole ndugu
Hawa wote wasenge mpaka waziri! Mtu kaanguka hata kuonesha ubinadam kwanza, hivi sifa za kutaka kumfurahisha Bwana mkubwa tutauwana jamani!
Ni wapumbavu tu wanaoshangilia tukio la huyu jamaa kupoteza fahamu. Binafsi nilikuwa nampenda sana jafo ila kwa sasa acha nimpende yesu
What Yani mtu ameanguka but hakuna mtu anajali buh
Hakuna kitu bora kama utu yaan mtu anaanguka ila mazungumzo yanaendelea kama kawaida aibu
Akimwagiwa maji ataamka
Kaanguka kwa matatzo yake2 hakuna maneno ya ajabu hapo yakumuangusha mtu dada
Yan mtu kaanguka bado anaendelea kuongea??? hizi barabara tukifa si tunaziacha tu, kiukweli sijaona hata mtu mmoja aliyejali hapo, sad
🤣🤣 Duh Magufuli kweli pumzika kwa amani. Ulileta mwedokasi.
Iv angefia hapo? Utu haupo Tz
Acha nikauze maandazi mitaani 😀😀 kazi ya kuajiriwa Malaika mtoa roho anaweza kukupitia kabla ya wakati🤣🤣🤣
Hahaaaa
wadau hebu nipeni tofauti ya yakuanguka na kulala...mbona nimejitahidi kutega sikio lakn sikusikia kishindo cha mtu kuanguka..mm macho yangu yameona kama jamaa kalala..