ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Mkandarasi anapewa 10000.wakurugenzi wamekula 1milions alafu mkandarasi anafosiwa amalize muradi Kwa pesa zake mfukoni au 🙏
Yeye mkandalasi hajui chochote kama sio wezi kutugani pesa za watanzania wanataka kujifaidisha waho wapumbavu wakubwa
Waziri Mkuu ndio amewaamsha mambo ndio hy,roho ya Magufuli na Nyerere inaishi sasa.
Mh jpm rudi jmn mungu huyu y? Tumemkosea Nini sisi watanzania kunahaja Sasa ya kuungana watanzania wote kumuomba mungu atuhurumie coz Kila cona now niwizi tu waziri mkuu anapo pita daaa Hadi machozi
Naona roho ya MAGUFULI
Huyu wazir kila kitu mpaka usemajiAnamuiga wazir mkuu
😂😂
Iyo ni staili yake ya kuongea hakuna anacho muiga
kwan kuna ubaya kumuiga wazir mkuu wke
Mh samia jafo wizara yake asa ni tamisemi
Haswaa,ni kati ya mawaziri wachache ndani ya baraza la mawaziri ambaye uwezo wake ni mkubwa kwenye utendaji.

Huyu wazir kila kitu mpaka usemaji
Anamuiga wazir mkuu