UTAPENDA MAHABA YA ESHA BUHETI AKIMPIKIA CHAKULA MUMEWE LIVE UKUMBINI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
- #Eshabuheti #wasafi #wasafitv #wasafifm #diamondplatnumz #harmonize #singleagain #clouds #comedy #tiktok #amapiano
#diamondplatnumz #harmonize #singleagain
#diamondplatnumz #harmonize #singleagain
#diamondplatnumz #harmonize #singleagain
#diamondplatnumz #harmonize #singleagain
#diamondplatnumz #harmonize #singleagain
#diamondplatnumz #harmonize #singleagain
#diamondplatnumz #harmonize #singleagain
#topbrandtzstudios #diamondplatnumz #harmonize #singleagain
#diamondplatnumz #harmonize #singleagain
#diamondplatnumz #harmonize #singleagain
#yanga #simba #azamsports #uhd #diamondplatnumz #youtubeshorts #tiktok #youtubeshorts #tiktok #youtubeshorts #tiktok#youtubeshorts #tiktok#weddingphotography #Weddingvideos #weddingideas #weddings #garab #diamondplatnumz #top #topbrandtz #topbrandtzstudios #tiktok #tiktokvideo #instagram #instareels #youtubeshorts #harmonize #singer #singleagain
FOR THE EVENT OF YOUR DREAMS
BOOKING HERE PROFESSIONAL SERVICES VIDEOGRAPHY AND PHOTOGRAPHY 🎥📸
PIA USISAHAU KUSUBSCRIBE KATIKA TH-cam CHANNEL YETU KWA MATUKIO YAJAYO MENGI NA MAZURI
Follow us on social Network
Instagram: topbrandtz. / topbrandtz
Facebook: topbrandtz studios. web.facebook.c....
Topbrandtz made it
Bookings: +255712653061
Emails: topbrandtz@gmail.com
©2023 Topbrandtzstudios. All rights reserved.
Nice couple Ongera sana Esha na Amad mungu awake maisha marefu❤❤❤❤❤♥️♥️♥️🐘🌹🌹🌹😄😄🎁🎁🎁🎁🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🥤🥤🥤🍷🍷🍷🍾🍾🍾🍽️🍽️🍽️🍴🍴🍸🍸🥃🥂🥂🥂🥣
Esha mmoja tyu❤❤🌹
Mashaallah mungu akaweke Baraka katika ndoa yenu ❤❤❤
Nakupenda sana mtanga mwenzangu❤❤❤
Huyo so mtanga kakulia tanga tu
Maasha Allah
Watu wa Tanga tujuane hapa
Dada uko vzr❤
Nimependa anavyojiachia tu yaan yu huru...💝
Waoooo nimeipenda sana hiyooo
Xaxa harusi inakaa kma ya kina monica,na benedict ,mbona msifanye ya kiislamu moja kwa moja direct
wallah. wabongo mnakazi sana. asa apo mnanukishana. vitungu namishera yenu iyo duh
🤣🤣🤣🤣
Tulia wewe mume apikiwe
Nice
Hajanawa mikono
🤣eh
@@nancyg8664 huwezi anza kupika bila kunawa mikono Mara kushikana na watu Mara kupokea pesa na huku unapika jamani kulikon?
@@fredrickymuxhy668hapo wala haJagusa chochote Zaid ya kumimina tu na upishi uendelee angekua amekatakata vitu ungekua na sababu ya kusema hanawa mikono
Kunawa mikono ni muhimu sana
@@mgenisaid4499 kwahiyo esha na kiwango chake chose hajui umuhim wa kunawa mikono wataka kusema au walimwengu bora Wali tembele
Ushamba tu, Waafrika tunapenda pilika.. vyote hivi na wataenda kuachana na serengeti wake
Mwenyewe mshamba tu vile vile Kuwa mvumilivu na wewe ukifikia hatua yako utafanya ushamba wako 😏
@@haryanyawu640 Siwezi kujipikilisha na Mashela ukumbini .. hata kidogo
@@leylamohamed9939 sasa huyo upishi ndo fani yake jamani kwahiyo mwenzio huyo hata akiumwa muhimu hako kajiko kadogo kanakaa kitandani kwenye kimeza chake anampikia mumewe
@@leylamohamed9939ndo utulie sasa
Kila mtu anafanya anachokipenda then tunatofautiana interest ...
Mswahili shida
Huyu ndio kasema shishi anashep km kabat la milango 4 sa sibora shishi hat hips na tako analo sa huy mbona km simba Dume 😂😂😂😂
😂😂😂
Siyo kabati la milango 4 ni kibanda cha m-pesa 😂😂 kweli kabisa shishi amekuwa mnene mno too much
Ww tunda umeniganya nicheke Simba dume
Wewe Simba dume ulimuona wapi?
Watajua wenyewe
Mmmh mbona munashughuli kweli Kwani huyo mwanaume kaanza Kula chakula cha huyo Esha Leo tumuambie Tu dada wanaume ni Baba mmoj si ajabu kadem kake kapo hapo kamchepuko kake kanakuchora Tu unavyojihangaisha wanaume hawaridhiki
Mashaallah
Watu wa tanga tuko vizur kila sekshen
Tupo hapa
Mmma.aaamaaaa huyo
Jaman mtang huyo
Kila harusi ina vionjo vyake muacheni jmn sasa ww sholewa
Niko hapa
😂😂😂😂😂😂
Anaolewa mara ya ngapi huyu
MashaAllah
❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥