MUONEKANO MPYA WA SANAMU YA NYERERE BAADA YA KUJENGWA UPYA, UNAIPA MAKSI NGAPI?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ต.ค. 2024
  • Siku chache baada ya watu wasiofahamika kuvunja sanamu ya Nyerere manispaa ya Tabora hatimaye manispaa hiyo imekamilisha ujenzi wa sanamu hilo.
    Mwananchi imefanya mahojiano na Fundi aliyefanya ukarabati wa sanamu hilo ambapo ameeleza namna alivyofanya .
    Amesema sanamu hilo kutokana na malighafi zizotumika linaweza kugharimu zaidi ya milioni 100.
    Video na Johnson James

ความคิดเห็น • 11

  • @EdenMcharo
    @EdenMcharo 8 วันที่ผ่านมา +2

    Jamani hiyo sanamu sio sahihi

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 8 วันที่ผ่านมา +2

    Huyo sio nyerere liludiwe

  • @ThomasMichael-w3b
    @ThomasMichael-w3b 8 วันที่ผ่านมา

    Uyu Jamaal amejitengeneza mwenyewe

  • @Yassinseleman
    @Yassinseleman 7 วันที่ผ่านมา

    Haifanani kabisaaa

  • @nenolauzima5281
    @nenolauzima5281 8 วันที่ผ่านมา

    Nyerere hayupo hivyo, hiyo sura hapana

  • @zaharamlau8817
    @zaharamlau8817 8 วันที่ผ่านมา +1

    Zero

  • @captenndunga6745
    @captenndunga6745 7 วันที่ผ่านมา

    Huyo nyerere au mandela?

  • @exprodigitaltechtv5571
    @exprodigitaltechtv5571 7 วันที่ผ่านมา

    Huyu nyerere wa wapi tena

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 8 วันที่ผ่านมา

    Hannah huyo uliyemtengeneza Simon baba yetu. Mbona uso wake siyo mchangamfu kama wa mwanzo?

  • @epimackjohn461
    @epimackjohn461 8 วันที่ผ่านมา

    Sanamu hii haifanani na sura ya MWALIMU JULIUS K NYERERE hata kidogo na hasa uso haufanani kabisa .

  • @rosegeraldlyimo1269
    @rosegeraldlyimo1269 8 วันที่ผ่านมา

    Negative