Agulas TV nimekuwa nikifwatia kutoka Kenya,mumenifunza mengi story ya kufuga kuku,nko na swali Nko na kuku Saba,jogoo wawili,na kuku mwera wa tano,Kwa hawa jogoo wawili wanatoshana,lakini mmoja awiki,anapigwa na mwenzake,shida yangu ni huyu jogoo awiki niliskia mayai yake uwezi wekea kuku wa kulalia..samahani Kwa lugha yangu
MUNGU AWABARIKI KWA HUDUMA. Nina kuku mia mo kumi na tatu matetea 73 lakini nakusanya mayai 9 mpaka23 nafanya yote hayo uliyoeleza MOYO UNANIUMA SIJUI NAFERI WAPI NI WAKIENYEJI mazingiira mchana nimezungusha UKUTA na vyumba vya kutagia na kulala
Mm nipo na shida ya kutaks kujua nijinsi gan ya kuku kuanza kutaga na pia mashudu unaweza kuweka kilo ngap? Kma mchanganyo wako wa. Mapumba ni debe kumi ila naomba msaada
Ilo swali la 1 halija eleweka vizuri. Kuhusu kucha nyanya chakula cha kuku Jifunze zaidi jinsi ya KUANDAA chakula kupitia Channel hii ktk video za nyuma
SABABU ZA KUKU KITOTAGA NI NYINGI SANA,KAMA MBEGU,lishe n k .Ebu fuatilia video hii kujua zaidi zipo kama 7 ivi th-cam.com/video/YaJqzbA8fm8/w-d-xo.html
Kuku wangu wanataga mayai makubwa yanakuwa na viin viwili nikweli haya mayai haya totolewi maana niliambiwa hivyo cjawayi kumuachia huwa nayatoa je hii ni kweli hawayatotoi
Iyo ni mapancha na ni kweli mara nyingi uwa yana feli kugawanyika hivyo vtoto kutoka viwili uwa ni ngumu kwa hiyo ni vizuri kuyatenga ayo mayai na uyo kuku kumjua anayetaga hivyo ayo mayai waweza kula au kufanya biashara🙏🙏
Uyatoe mayai kw kiota, fuluga kiota kabisa, kwa kuweka nyasi mbichi na uyo kuku mloweke kwenye maji na mtenge chumba chenye giza kw cku 3 usimpe chakula Wala maji Kisha mfungulie. Kama bado Anataka kulalia rudia Tena ilo zoez
Tunawashukuru Sana mnatupatia wigo mpana wa namna ya ufugaji Bora na wenye tija.mimi binafsi ckuwa natahamu Mambo mengi.
Karibu Sana ndugu ktk channel hii
Napenda sana kufuga nani Imani nitafanya vzr sababu napenda sana
MUNGU AWE nawe
Nashukuru kwa SoMo zuri tangawizi au hicho kitunguu saumu
Tupo pamoja sana
Asante sana kaka, nimejifunza sana kupitia masomo yako
Karibu sana🙏
Agulas TV nimekuwa nikifwatia kutoka Kenya,mumenifunza mengi story ya kufuga kuku,nko na swali
Nko na kuku Saba,jogoo wawili,na kuku mwera wa tano,Kwa hawa jogoo wawili wanatoshana,lakini mmoja awiki,anapigwa na mwenzake,shida yangu ni huyu jogoo awiki niliskia mayai yake uwezi wekea kuku wa kulalia..samahani Kwa lugha yangu
Apo mtoe uyo jogoo ambae anapigwa. Hana kazi apo
Majani hayaonekani vizuri
OK tutajitahidi
MUNGU AWABARIKI KWA HUDUMA. Nina kuku mia mo kumi na tatu matetea 73 lakini nakusanya mayai 9 mpaka23 nafanya yote hayo uliyoeleza MOYO UNANIUMA SIJUI NAFERI WAPI NI WAKIENYEJI mazingiira mchana nimezungusha UKUTA na vyumba vya kutagia na kulala
Pole Sana ndugu. Dawa za minyoo unawapa? Madini je
What is mashudu pls reply thanks this vidio
Mashudu (oil cake) is a residue after seed have been pressed for oil.eg. sunflower etc.
Mashudu is (oil cake) a residure after seed processed to get oil
True🙏
Tuashukusaana kwa elimu ambayo mnatupa sasa kuku ikiwa amezisha unene tunapunguzaunune aje?
Punguza lishe na wape majani kwa muda mrefu Zaid
Mm nipo na shida ya kutaks kujua nijinsi gan ya kuku kuanza kutaga na pia mashudu unaweza kuweka kilo ngap? Kma mchanganyo wako wa. Mapumba ni debe kumi ila naomba msaada
Ilo swali la 1 halija eleweka vizuri. Kuhusu kucha nyanya chakula cha kuku Jifunze zaidi jinsi ya KUANDAA chakula kupitia Channel hii ktk video za nyuma
Kuku wanataga vzr lkn changamoto niliyonayo wakati wa kuatamia hawatotoi vzr yaani naviza ndo mengi nakosea wapi?
Kufanya kuku atotoe mayai video yake ni hii
th-cam.com/video/vERXh3O8Jg4/w-d-xo.html
Ninachangamoto ya kuwa kuku wakae kwa muda gani.ili niwape chanjo baada ya kuwawaliugua na vifo pia.chanjo kwa Hawa waliobaki?
Wape vitamins kwanza kwa wiki 1 alafu wik inayofuata wape chanjo
Nashukru sana kwa mafunzo ya kuku. Mimi shida yangu naomba kujua kuku wa mwezi mmoja hadi kuku mkubwa anakula chakula gram ngapi?
Kuhusu kiasi cha chakula kwa cku fuatilia 👇
th-cam.com/video/eEdCdGU_53o/w-d-xo.html
Ndugu ninashukuru Sana kwa kuendelea kutuelimisha. Naomba unisaidie, kukuwangu wanakula mayai Sana. Je, ni ukosefu wa nini?
Madini ya Calsium wape Chokaa na mifupa kwa wingi au kachukue DCP apo ndyo komesha yake pia ongeza protini kwenye chakula
Ahsante Sana kwa elimu nzuri ya ufugaji unayoitoa. Swali langu Ni je kuku 35 -40 wa kienyeji wanakula chakula kiasi gani kwa siku?
Kama ni wakubwa usipungue Kg 4.5 kwa siku
Kuku wangu wanataga mayai madogo
Wana umri gani? Na ni wa Aina gani? Nitago w ngapi
Ninakuku sabini na nne wamayai yakisasa lkn ninaokota mayai arobaini kwasiku wengine hawatagi nifanye nn watagewote aukunakuku wanakuwa wameumbwa hawatagi?nisaidie mwalimu
SABABU ZA KUKU KITOTAGA NI NYINGI SANA,KAMA MBEGU,lishe n k .Ebu fuatilia video hii kujua zaidi zipo kama 7 ivi th-cam.com/video/YaJqzbA8fm8/w-d-xo.html
Naomba mchanganyiko wa chakula chakuku wamwezi mmoja
Ok
Mimi nauliza " hivi " kuna video nimeona ana sensa kuku wapiwee çhokaa " jee chokaa iyo ya kujendeya au " na makaa ? Himuu nifahamishe hapa?
Hapana si za kujengea . Zipo za mifugo tembelea duka la mifugo watakupatia
Jee?Mashudu kwakimombo nini??
Oil cake
Kuna ugonjwa wa ndui kwenye kuku je matibabu yake ninini
Labda ya asili ndugu. Nenda you tube kaandike tiba asili ya ugonjwa wa ndui by agalus TV
Tunaomba vipimo vya uchanganyaji wa chakila cha kuku wanaotaga
Video ni hii
th-cam.com/video/4efM9a86_qA/w-d-xo.html
Kukuwangu hawatagi Wana mwezi8
Baridi hii ndugu wape vyakula kdindi cha baridi. Jifunze somo hili
th-cam.com/video/CgHitjQMEOo/w-d-xo.html
Kuku wangu ni chotara wanataga kwa kuruka siku hata mbili
Wana umri gani kama wanaanza uwaga ivyo.lakini pia zingatia chakula na Afya yao
Wana miezi sita siku nyingine wanataga viini tu ganda laini
Bado ni utago wa mwanzoni. Zingatia lishe tu wata kaa sawa
Ningeshauri mlete na somo la ufugaji wa bata sababu wengine tunafuga bata na kuku
Ok🙏🙏
Je, naweza kusafisha/kuosha mayai kwa maji? Yaani nawezaje kusafisha mayai?
No no no
mashudu nini
Sunflower oilcakes
Vitunguu naloweka kwenye maji au
Ndyo
Jogoo wanting hawapandi nn tatizo
Kama ni mzito Sana hataweza panda 🐼
Kitunguu swaumu niwPe vifaranga va SIKU ngapi
Kuaanzia wiki 1
Mashudu mfano gunia moja la pumba unapaswa uweke kiasi gani
Debe 2/3
Kuku wangu wanakula sana mayai, nifanyeje?
Sababu na tiba ya kuku anakula mayai somo lake ni 👇th-cam.com/video/g60lTm-IjT0/w-d-xo.html
Jee Ni mashudu ya Sina gani Ni Bora kwa kuku wanaotaga leyers
Nimekusudia mashudu Bora kwa kuku wanaotaga .
Alizetu tu yanafaa
Kuku mmoja anakula gram ngapi ya chakula?
Hutegemea umri wa kuku ndugu 🙏
Let me for what u know as my teacher or through your understand
For detail follow this video 👇
th-cam.com/video/eEdCdGU_53o/w-d-xo.html
Mbona nikiwapa mlusina wanapata mafua ? Au sijajua namna ya kuwaandalia mlusina
Apo labda kuna shida tu nyingine lakini si sababu mlusina
@@AGALUSTV nashukuru kaka
Je mchicha haufai kulisha kama majani?
Unafaa ila usiwape mfurulizo mara nyingi uwa wana harisha🙏
@@AGALUSTV mimi kuku wangu wanataka lakini hawaatamii sababu nini ? Kipindi hiki kizuri sana nimejifunza asante sana
Vp mayai unayatoa kwenye kiota au unayaacha? Tuwasiliane zaidi wasap +255765467484
Naweza wapa bata tangawizi
Hatujui 🙏
Kuku wangu wameacha kutaga na wanakula Sana mayai.nimewakata kile kidude lakin bado.nn nifanye?
Pole ila ni upungufu wa madini ya chokaa na mifupa wape kws wingi watataga
@@AGALUSTV Asante kwa ushaur mungu awabariki
Amina KUBWA🙏🙏🙏
@@AGALUSTV Asante kuku hawali tena mayai.Mungu akubarik
Amina🙏🙏
Nasikia Kuna namna yakujua mayai ya tea na jogoo je nivipi naweza kujua kwakuangalia??
Video ipo ktk channel hii UTAJIFUNZA
Unafanyaje wakati wa bardi
Pili pili na mahindi ndugu wape
Je mashugu ndio nn iyo
Oil cakes
Jeni tajuaje yai bovu na yai Zima kwakuangalia bila kuli pasua kwaajili ya kula
Nina kuku chotara 30 lakin wanataga 15 jetatizo Nini?
Chek lishe yako. Lakini kama ipo sawa wasubilie maana yawezekana walikula vibaya wana mafuta mengi
Mashudu ndo nini jamanii
Ni mabaki ya baada ya mafuta kukamuliwa yaweza kua mawese, alizet au pamba ndyo uitwa mashudu ni chakula kizur kw mifugo
Mashudu ni nini
Is Oil cake🙏🙏
Hii disipi Inasaidia kuku kutaga
Mayai mengi Auinachanganywa
Kwenye pumba
Ndyo uwekwa kwenye chakula cha kuku.
@@AGALUSTV gunia moja la pumba Unaweka kiasi hapo
Hii disipi
Apa sasa Una tu changanya ndugu ukisema Pumba kwani wewe kuku wako unawapa Pumba tu? Kwenye chakula kama icho kg 100 unaweka Kopo 1 la DCP
@@AGALUSTV kilo 100/ miamoja
Na kilo moja ya D C P sawa Nimekuelewa
Pamoja ndugu 🙏🏿
Mambo vp? Naomba namba yako WhatsApp
Tupo pamoja ndugu 🙏🏿TUNAKUTUMIA
Mashudu nini?
Mabaki baada ya kukamua Mafuta ya alizeti, ya Mawese au pamba
Mashudu Ninini. Niambie kwa jina lengine
Sunflower Oil cake
Endelea kutupa elimu mwamba
Pa1 sana 🙏
Tatizo la kuku kudonoana tiba yake nini
Tatzo la kudonoana somo lake ni hili👇🙏
th-cam.com/video/KUBFDRb1TD4/w-d-xo.html
Majina ya Majani haya kwa lunga ya kimobo tafathali
Katika kumpa kitunguu saum lazm nimenye ama nakatakata tu bila kikimenya,na je mboga mboga Kama mchicha au chinez zinafaa kuwapatia
Kitunguu si lazima japo ukimenya ni bora zaidi. Mboga kama izo zinafaa japo ukiwapa mfurulizo sana wana harisha. Kwa iyo utawapa kwa muda utaacha
@@AGALUSTV Asantee kwa Ushauri mzuri
Pa1🤝
Kuku wangu wanataga mayai makubwa yanakuwa na viin viwili nikweli haya mayai haya totolewi maana niliambiwa hivyo cjawayi kumuachia huwa nayatoa je hii ni kweli hawayatotoi
Iyo ni mapancha na ni kweli mara nyingi uwa yana feli kugawanyika hivyo vtoto kutoka viwili uwa ni ngumu kwa hiyo ni vizuri kuyatenga ayo mayai na uyo kuku kumjua anayetaga hivyo ayo mayai waweza kula au kufanya biashara🙏🙏
Niwafanyaje kuku wangu wanapotaka kuatamia Mimi sitaki waatamie,nataka tuu watage naomba nisaidie please
Uyatoe mayai kw kiota, fuluga kiota kabisa, kwa kuweka nyasi mbichi na uyo kuku mloweke kwenye maji na mtenge chumba chenye giza kw cku 3 usimpe chakula Wala maji Kisha mfungulie. Kama bado Anataka kulalia rudia Tena ilo zoez
Asante
Ivi kuku wa chotara saso anaeza kuatamia mayai?
Pamoja
Hapana hawez
Naomba video ya Matumizi ya vitunguu saumu kwa kuku
Matumizi vitunguu saumu IPO apa
th-cam.com/play/PL8xez8Eh4s0GAj-_RugCAMpIbo4c13kDL.html
Samahani naomba kujua ni mayai yapi hasa yanafaa kuatamiwa
Yenye mbegu, yaliyohifadhiwa si zaidi ya wik 3 na yaliyohifadhiwa vzur
@@AGALUSTV ubarikiwe sana na je nitajuaje mayai haya ni ya tetea na haya ni ya jogoo
Ni chek kwa msaada zaidi wasap +255765467484
Nahitaji kujua jinsi ya kuwalea vifaranga wa.cku 1 mm mwenyewe sbb hivi sasa ucku nawalaza kwenye beseni na kuwazungushia ngata nijuze tafadhali
Somo lake ni 👇👇
th-cam.com/video/4xqTBAKBHs4/w-d-xo.html