Hio ndio Kigoma ya Mama Samia Sulhu Hassan Huu ndio Mkoa Wangu Nilipo Zaliwa Dar Nimekuja Kutafuta ili Nikajenge Kwetyu KIGOMA Dar Najenga Nyumba za Wapangaji Insha'allah
Yani sisi tuna teseka umeme kila siku pamoja na maji mlio sema hakuna saivi na mvua zote hizi bado mna tugaia umeme na bado mna endelea kuwasha taa za barabarani na umeme huu huu mnao tugaia. Zile taa za Solar ziko wapi??
Kigoma ya Sasa so kama ya zamanii Big up sana mkoa wangu wa home boy
Hio ndio Kigoma ya Mama Samia Sulhu Hassan
Huu ndio Mkoa Wangu Nilipo Zaliwa
Dar Nimekuja Kutafuta ili Nikajenge Kwetyu KIGOMA
Dar Najenga Nyumba za Wapangaji Insha'allah
Masha Allah
Million mia moja wananchi tunapigwa sanaa duuh rest in Peace JPM tutakukumbuka daima
Mnapigwa je wakati limejengwa kipindi Cha jpm
Kama ulaya
Kigoma .... Home boy .... More shine ✊
Kwetuuuuu leka tutigiteeeee
Yani sisi tuna teseka umeme kila siku pamoja na maji mlio sema hakuna saivi na mvua zote hizi bado mna tugaia umeme na bado mna endelea kuwasha taa za barabarani na umeme huu huu mnao tugaia. Zile taa za Solar ziko wapi??
Kigoma ndio inaingia sasa wenzenu zanzibar tumeshatoka uko
Mmeshatoka Mko wapi kwa sasa maana nilikuwa huko😂😂😂😂
Na umeme unavokatika katika hivi,,, hizo TAA ni matumizi mabaya ya pesa za umma
Relax wewe mzee umeme unatumika kidogo sana
wewe endelea kutumia koroboi.. kama kwenu hamna umeme pambana na Hali Yako 😂😂😂
Kigoma hata paweje siwezi kuishi