VITU SITA AMBAVYO HAKUNA KIGOMA "SUPERMARKET, SHOWROOMS, CHUO KIKUU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2022

ความคิดเห็น • 86

  • @ommymp9058
    @ommymp9058 2 ปีที่แล้ว +7

    Nashukuru sana kwa taarifa hii,maana ni upendo wa ajabu kwa wanakigoma maana umefungua milango ya fursa ili wenye uwezo wawekeze,ingawa katika vitu hivo mikoa mingi hakuna Kama singida,kagera nk ila kwakua umeiona kgm naomba mambo haya yafike ikulu hasa UNIVERSITY

  • @lelkaya7912
    @lelkaya7912 2 ปีที่แล้ว +7

    Mimi ni mkongomani ambaye nilizowea kutembelea Kigoma sana, na nafurahi kuona video nzuri ya drone footage ya Kigoma. HASANTE Millard Ayo. Tungependelea kuona mitaa jinsi imebadilika kama Mji mwema Kilima Hewa, Mwanga, Ujiji, . . .

    • @sebastianalbert2857
      @sebastianalbert2857 ปีที่แล้ว +1

      Mimi ni mzaliwa wa Dodoma ila kigoma nimeishi sana maeneo ya kilima hewa nilikupenda sana kigoma

    • @francismadoshi8529
      @francismadoshi8529 11 หลายเดือนก่อน

      Mkoa wa Mwanza hauna University ya serikali. Ile iliyopo imejenggwa na wamisionary! Lini serikali itajenga chuo kikuu kama UCD au UDOM?

  • @mussajuma7119
    @mussajuma7119 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kiuhalisia kigoma Ina badilika kigoma ya mwaka 2000 ni tofauti na ya mwaka 2023

  • @sometimes5621
    @sometimes5621 2 ปีที่แล้ว +5

    Mikoa mingine haina Ziwa wala bandari kama Kigoma. Kila Mkoa una Chuo Kikuu Huria. Hata Kigoma kipo!

  • @KhalidKhan-ud9cz
    @KhalidKhan-ud9cz 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania Dar Esalam mzuri Sana 💝💞💝💞💝

  • @ndimuligobikingwe8562
    @ndimuligobikingwe8562 2 ปีที่แล้ว +2

    Good nimeipenda Sana Ila kunavitu vingine ulivovitaja humo , mikoa mingi havipo , vingi ulivovisema vinapatika Sana Sana dar, Arusha na mwanza tu labda dodoma baadhi

  • @gapablessgadison6863
    @gapablessgadison6863 2 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU atusaidie turudi nyumbani kumenoga waha wenzangu njooni KIGOMA muwekeze😭😭

  • @gracejulius3966
    @gracejulius3966 2 ปีที่แล้ว +3

    Kigoma ina wasanii maarufu nchini wenye uwezo Mkubwa kifedha wanaweza kuja wekeza nyumbani hususani kwenye mapungufu uliyoyaona. Charity begins at home

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 2 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana hiyo itawasaidia watu kujua fursa , naomba piga hivo mikoa yote , kujua nini hakipo..

  • @yasiniamri5458
    @yasiniamri5458 2 ปีที่แล้ว +2

    Nyumban kwangu🔥🔥🔥

  • @mwawekomiuda9779
    @mwawekomiuda9779 ปีที่แล้ว +2

    Ni ukiritimba tu lkn kigoma iliyakiwa kua na kila kitu hata uwanja mkubwa wa ndege hapo ni mpakani hakukutakiwa kukosekana hivyo. Bandari inayopakana na nchi 3. Roho mbaya za watu.

  • @rugendorunene545
    @rugendorunene545 2 ปีที่แล้ว

    This is so Educational.

  • @andrewmachage9102
    @andrewmachage9102 2 ปีที่แล้ว +3

    Showroom ipo bn mji mwema pale ya mzee mmja anaitwa mtei

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana kwa video hii yenye logic

  • @Perfect-migomigo
    @Perfect-migomigo 28 วันที่ผ่านมา

    Ooh okay

  • @musamunyota5645
    @musamunyota5645 2 ปีที่แล้ว

    🙌

  • @davidntahindwa752
    @davidntahindwa752 6 หลายเดือนก่อน +1

    mbona ka wafananisha na Dar

  • @HARMONITZ
    @HARMONITZ 2 ปีที่แล้ว +4

    NIPA ZURI SANA, UMETAJA SITA YA SABA NI VIWANDA HAKUNA. JAPO HAVIPO BADO NITAUPENDA MKOA WANGU.

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว +1

      Mkoa mzuri, tena clean ! Mama Samia atawapa tuzo ya usafi! 🤣🤣🤣 Mmetaja viwanda, nami nitaongezea fursa zingine ambazo hazipo: Ya 8 ni AIRPORT ya kimataifa (kama ile ya Mwanza inayojengwa leo). Ya 9 ni SOKO la kisasa. Ya 10 ni Chuo cha VETA. Ya 12 ni HOSPITALI ya KANDA (Kama ile ya Bugando au ile itakayojengwa Chato). Ya 13 ni RELI (sgr) na STATION kubwa ya KISASA... (Kigoma is a strategic zone (Brdi, Congo, Rda)>>>>>>> Mkoa huu una historia kubwa, ila umesahaulika kwa muda mrefu sasa!

    • @bundende
      @bundende 2 ปีที่แล้ว

      ukwel mtupu uko fact kabisa

  • @salimramadhani740
    @salimramadhani740 ปีที่แล้ว

    From Burundi in Cape Town sawa

  • @micky7626
    @micky7626 2 ปีที่แล้ว +1

    Home swt home

  • @hansmedia9767
    @hansmedia9767 2 ปีที่แล้ว

    Cinema _ #HomeTheter

  • @alluminiumexperttz.12mview13
    @alluminiumexperttz.12mview13 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmewatangazia sunsets hotel bure

  • @user-qg1iy5ov3u
    @user-qg1iy5ov3u 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mkoa wa kigoma ulianza mwaka gani

  • @gejoboyofficialtz8961
    @gejoboyofficialtz8961 ปีที่แล้ว

    My home

  • @jambo3751
    @jambo3751 2 ปีที่แล้ว +1

    ALI KIBA NA DIAMOND njooni huku musikilize hii habari🏃🏃🏃.

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว

      Umemsahau Christina Shusho!

  • @selemanishabani6843
    @selemanishabani6843 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli kabisaaaa

  • @amosmunezero9958
    @amosmunezero9958 2 ปีที่แล้ว

    Wow, very strange, nilishawai kufika Kigoma, sikua najua kama hakuna choo kijuu, mji strategic kama Kigoma unakosa iyo huduma - Eh serekali inabidi itizame ilo jambo

  • @alexjos7625
    @alexjos7625 ปีที่แล้ว

    Kuna mini supermarkets

  • @bigboys016
    @bigboys016 2 ปีที่แล้ว +3

    Ulete supermarket huku umuuzie nani wakati kilakitu sokomalungu kipo,

    • @amelinamwaduga9724
      @amelinamwaduga9724 2 ปีที่แล้ว

      Aswaaaa

    • @ndimuligobikingwe8562
      @ndimuligobikingwe8562 2 ปีที่แล้ว

      Aswaaa inabidi aelewe huyo mwandishi kuwa sisi kigoma tunakula vitu asilia, Nani aende kununua samaki supermarket sh 10000 wakati nikteremka hapo chini ziwan nakija na samaki wakutosha wa buku mbili, nachenchi inarudi

    • @elinamilyatuu7337
      @elinamilyatuu7337 2 ปีที่แล้ว

      Kwahyo unadhani super marketing sawa na local market?ndio maana bado mko gizani mnahitaji mwanga

  • @Burner_Acc
    @Burner_Acc 2 ปีที่แล้ว +1

    Uchumi mdogo Kigoma vyote vilivyotajwa kwenye list havina tija/maslahi huko so haviwezi kulipa kibiashara. Hapo labda serikali ijenge chuo ila sio mtu binafsi lazima upate hasara takatifu. Nonetheless ni mkoa wenye potential. Natoka Kigoma by the way.

    • @hamidahamidu16
      @hamidahamidu16 2 ปีที่แล้ว

      Well explained 👏 👌 👍 🙌 😀 ☺️

  • @jameschubiri9453
    @jameschubiri9453 2 ปีที่แล้ว

    Mme kosa vua kusema

  • @kapelotz9967
    @kapelotz9967 2 ปีที่แล้ว

    Axante

  • @vincosmeticsmarvin
    @vincosmeticsmarvin ปีที่แล้ว

    Kigoma ifutwe tu 😂😂😂😂

  • @cvanoedward3093
    @cvanoedward3093 2 ปีที่แล้ว +1

    Mengine hata Iringa hatuna

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 ปีที่แล้ว

    Lkn si wanafuraha wenyw

  • @ImmanuelRenatus
    @ImmanuelRenatus ปีที่แล้ว

    Kwanza Selikar haina sapoti ya mkoa wetu umeutenga kabisa

  • @patrickntwali2435
    @patrickntwali2435 2 ปีที่แล้ว +1

    Kigoma was part of burundi before white colonial come. kiha and kirundi has same accent

    • @emmanuelchiza7733
      @emmanuelchiza7733 ปีที่แล้ว +1

      Sasa shada ipo wapi,
      Kuna wahaya kagera pia uganda
      Kuna masai arusha pia kenya
      Kuna makonde mtwara pia Mozambique
      Kuna wanyasa ruvuma pia malawi

  • @issabinmaryam7450
    @issabinmaryam7450 2 ปีที่แล้ว +4

    Naskia pia hakuna watu weupe ni kweli ??

  • @user-th9zs2ie4e
    @user-th9zs2ie4e 2 ปีที่แล้ว +1

    Ila saafiii tu c tunajivunia Ivo Ivo

  • @Dottopeche
    @Dottopeche 2 ปีที่แล้ว

    Sio kweli chuo kikuu kipo

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 2 ปีที่แล้ว

    Tanya ivo kwa mkoa wa morogoro

  • @bilalijuma527
    @bilalijuma527 5 หลายเดือนก่อน +1

    Uongo mtupu

    • @user-ji7sy2wi7b
      @user-ji7sy2wi7b 4 หลายเดือนก่อน

      Unabisha nini ? Tembeya ufanye utafiti

  • @emanuelmoshama3899
    @emanuelmoshama3899 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa Lindi ata ivyo vilivyopo kigoma havipo

  • @donaldelias6689
    @donaldelias6689 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwaiyo ndo mtutangaze?

    • @boazgwanko7254
      @boazgwanko7254 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 tumekwishaaa

  • @nasorobangara2924
    @nasorobangara2924 2 ปีที่แล้ว

    Wee pimbi golofa zipo hadi rosha nane

  • @benjaminmshana9294
    @benjaminmshana9294 2 ปีที่แล้ว

    Tafuta neno zuri kuwasilisha unachomaanisha sidhani kama ni sahihi supermarket kuita kitu, chuo Kikuu, showroom nk ukiwa mwana habari ni sehemu ya mwalimu kuelimisha jamii, pls

    • @selemanmaganga6013
      @selemanmaganga6013 2 ปีที่แล้ว

      Ulitaka haitaje? alitaka haite mtu au; Waha bwana wabishi Kweli 😁😁😁

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว

      Benjamin yuko sahihi... Journalist, unaweza kutumia neno "FURSA" (au fursa za kibiashara)

    • @benjaminmshana9294
      @benjaminmshana9294 2 ปีที่แล้ว +1

      @@selemanmaganga6013 naamini hujanielewa kabisa, kwanza hujui Kiswahili hakuna neno HAITEJE wala HAITEJE, pili mimi sio Muha, tatu bora angetumia neno HUDUMA neno VITU SITA ..................., sio mahali pake - afuatilie kwa faida yake na kuuliza si ujinga

  • @boashamah3642
    @boashamah3642 2 ปีที่แล้ว

    Mimi niko huku ulaya nilikuwa ninampango wakureta biashara ya magari madogo madogo

  • @desmond-87
    @desmond-87 2 ปีที่แล้ว +1

    Show room ipo

  • @jameschubiri9453
    @jameschubiri9453 2 ปีที่แล้ว +1

    Mme kosa taarifa
    Kuna mikoa mingi tu hakuna hivyo vitu y kigoma mnakosa weredi

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 2 ปีที่แล้ว

    Ila wana uchawi usisahau

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว +1

      😀🙆‍♀️Hawazidi Tanga, Lindi, Sumbawanga (Rukwa), nk...🚴‍♂️🚴‍♂️🚴‍♂️ Yaani, uchawi unanuka kila mahali 🤦‍♂️ Tumrudie Mwenyezi Mungu, jamaani!🙏🏽🙏🏽🤲🤲

  • @Dottopeche
    @Dottopeche 2 ปีที่แล้ว

    Samahani kwa hiyo comment nisahihi kwa yote yaliyozungumzwa

  • @frankngoloka2589
    @frankngoloka2589 2 ปีที่แล้ว

    Waziri wa Elimu makamu wa Rais wote wanatoka huko,kwanini hawawatendei haki?

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว

      Tutamkumbuka JPM maana alituonyesha mfano Chato! Amebadili kwao katika dakika chache tu!

  • @sidrasidra8616
    @sidrasidra8616 2 ปีที่แล้ว +1

    Kigoma ni Burundi sema tuli wazulumu.😁ukweli ndio huu kata kubali ndio hivyo 🏃‍♀️

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 2 ปีที่แล้ว

      Tupe ushahidi

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

      Burundi yenyewe ilikuwa ni sehemu tanganyika wazungu ndio waliotenganisha

    • @sidrasidra8616
      @sidrasidra8616 2 ปีที่แล้ว

      @@madetetv6576 njoo

  • @francismadoshi8529
    @francismadoshi8529 11 หลายเดือนก่อน +1

    Supermarket na choose kikuu havimo pia shinyanga na simiyu mikoa yenye zahabu na aliasing! Kwanini?
    Hata Geita region iliyo na mgodi wa dhahabu nyingi sana toka mwaka 1898 haina chuo kikuu au maghorofa marefu. Kwanini

  • @chumbulajames9895
    @chumbulajames9895 2 ปีที่แล้ว

    Uko n kelele2 ndy wanajua najungupia

  • @niyomugabojohn8329
    @niyomugabojohn8329 2 ปีที่แล้ว

    Kigoma ni wachawi ndio maana AkunA vyuo vikuu

    • @emmanuelchiza7733
      @emmanuelchiza7733 ปีที่แล้ว

      Uchawi ni mali pia ukitumika kwa busara karibu kigoma

  • @novatusyohana9349
    @novatusyohana9349 2 ปีที่แล้ว

    Vyote hivyo sioni kma vina tija
    Tatzo kubwa mkoa wa kigoma Ni changa moto ya ajira hasa za viwandani maana vijana wote kigoma hatuna ajira zaidi ya kilimo Cha jimbe la mkono

  • @morombotv
    @morombotv 2 ปีที่แล้ว

    Cinema zpo ujafanya uchunguz wewe sema n dogo mwanga