Omba Rehema Omba toba kwa chochote kilichoshambulia jina zuri la MARIA ili litumike kutazamwa vibaya na kuishi kwa maisha usioyata wala kuyapenda MUNGU Kwa jina la YESU Akufungue na Ulifurahie jina hilo katika baraka zake, Ameni.
Pangilia content zako, kwahiyo unaiponda Israel au unaisapoti. Hata ww unapigana na mitandao ndo maana unahangaika kwa kupiga kelele. Hivyo Kupigana siyo kitu kibaya inategemeana unapigania nini. Na ww unajua namna yako unayohangaikia kupigania UGALI NA FAMILIA YAKO
Amina,kweli mtumishi,nisadie jina la MARIA