Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh,mm nimeota nimepatiwa mtoto mchanga nikambeba kifuani kama vile mtu akijifungua anaekewa mtoto wake kifuani ....je ni nn maana yake
Nimeota nipo na mama na kuna kaka yetu ambaye kachanganyikiwa anatukimbiza tukiwa na mdogo wangu wa mwisho ambaye sasa ni mkubwa nimeota yupo mdogo nimembeba
Mimi nmeota mwanangu katoka shule afukafikia Kwa jiran wanaanza kucheza ala akaanguka akaumia akaanza kulia na mm nkaanakumchapa ila wakat namchapa nkamuona akuwa amenenepa pana
Nikulize miliota nikikimbizwa na mtu nikiwa nimebemba mtoto mkononi kukaja mtu akanisaindia nikiwa na mtoto wangu tena yule alikuwa ananikimbiza alikuwa baba yangu mdogo ambaye alikufa kitambo na alikuwa mwenda wazimu
Ukiota wanawake wawili wamekuja kwako alafu wanakuambia kuwa wameleta watoto wawili jinsia tofauti tena umeota na majina eti wamekuletea nyumbani kuwa ni wa mume wako. Mini maana take?
Ahsante kwa Elimu
Mnajitia kutoa namba za simu, mkipigiwa mnakata, sms wasap hamjibu .....😢
Asante mama Mimi niliota mtoto wangu amekuwa mkubwa
Asante sana
Asante sana kwasomo nzuri 🙏Mimi niliota nachapa mtoto wangu viboko paka nikamuumiza vidonda
A,alaykum mimi nimeota mtoto wangu anakufa nikiwa nimembeba ubavuni mana baada yakuingia kijani kwenye skio lake maana yake nini
Mama kaota mdigo wangu kaludi mdogo
Mm nimeota utupu wa mtoto wangu wa kiume
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh,mm nimeota nimepatiwa mtoto mchanga nikambeba kifuani kama vile mtu akijifungua anaekewa mtoto wake kifuani ....je ni nn maana yake
Ukiota umelala chini n dogoro jipya n umelala n n mtt mchanga usiemjua
Nje kuota ndoto mtoto wangu amejifungia
Naomba namba ya sm tafadharini
Sallam alleikum vipi kuhusu ukiwa unamlisha mtoto wako
Nimeota nipo na mama na kuna kaka yetu ambaye kachanganyikiwa anatukimbiza tukiwa na mdogo wangu wa mwisho ambaye sasa ni mkubwa nimeota yupo mdogo nimembeba
Niota mdogo wangu amemupa shangazi mtoto wangu ila shangazi hakuonesha upendo kwa mtoto uyo Aka rudisha mtoto kwa mdogo wangu wa kiume
Mii nimeota mtoto wangu kafarikii
Ukiota unaletewa watoto wawili WA jinsia tofauti na unaambiwa kuwa ni wa mume wako,
Je nikiota Mimi mwenyewe nazaa mtoto inamaana gani
Jee na mtoto ambaye siyo wako ??
Mimi nimeota mtoto wangu amelazwa hospitali
Jee una ota Mtoto hata si wako njee unataka ku m adabt
Je ukiota unakabidhiwa mtoto aliekufa na unamkataa inamaanisha nini??
Je ukiota unaretewa hera kwako na watu wengi wanatokea mbere na nyuma ya nyumba yako ukawa unapokea unapereka ndan manayake nin
Mimi nmeota mwanangu katoka shule afukafikia Kwa jiran wanaanza kucheza ala akaanguka akaumia akaanza kulia na mm nkaanakumchapa ila wakat namchapa nkamuona akuwa amenenepa pana
Mimi nimeota mwanangu nimemzaa mnene na anamwili baraa
Nmeota mwanangu anaanguka kinyumenyume maan yke nni
Nini maana ya kumuota kiogozi wa ichi yako ambae ameshakufa unamuona ndotoni na ukimfata anapotea na mbele unaona tembo wakubwa wanakufukuza
Nimeota mtoto ananikimbilia kwa nyuma
Ukiota una mtoto na haujawahi kuzaaa hii vip
Ukiota unapewa hera nawatu wanareta kwako unapokea unapereka ndan inamaana gan
Ma ukiota Mtoto Wa njee haumjuyi
Nikulize miliota nikikimbizwa na mtu nikiwa nimebemba mtoto mkononi kukaja mtu akanisaindia nikiwa na mtoto wangu tena yule alikuwa ananikimbiza alikuwa baba yangu mdogo ambaye alikufa kitambo na alikuwa mwenda wazimu
Baraka unazo tele lakn zinawindwa
ukiota mkeo mlioachana anakuficha mtoto na kumuingiza ndani akiwa amelala.ishara gani
Je ukimwota mtoto wako ametumbukia baharini....kisha ukamwokoa?
hata mm nmeota hivyo cjui ni nin
Na ukiota ntoto ndogo ametumbukia kisimani na kafariki
Kuota mtoto wangu Ni mdogo wakati ni mkubwa maana yake nini??
Mimi pia napata hiyo ndoto 😢 sijapata mana yake
Na kama nimeota mtoto wangu wa kiume amekufa n sielewi venye alikifa inamanisha nini
Mimi nimeota mwanangu nimempeleka kwa dada angu akae nae akawa ananilili na ananingangania hataki kukaa pale maana yake nini
Mim niliota nmemkata mwanang wakiume kidudu
Niliota mwanangu pamoja na mdogo wako ambao wanasoma darasa moja wamehamishwa shule na wamepelekwa mkoa mwingine in
Nimeota namtoa mtoto mgongon nampa mtu anambeba uku nikimkimbiza mtu amenibia pesa zangu nn maana yake
Ukiota mdogo yupo mdogo na umembeba wakat ni mkubwa
Tena nikaota nikifanya mapenzi na mtu mwenye sikuwahi muona uso mpaka sasa naota naye tukifanya mapenzi lakini sijawahi kuona uso
Tafuta maombi ya kipinga roho ya jini mahaba yako mengi TH-cam
ill or evil spirit' na hutawahi kuwa na' haja' na your partner kaa uko naye bcoz you have a spiritual partner.
Be delivered from that spirit I Jesus name.
Kuna kipindi Cha ndoto kilichopita km kuhusu kujifungua comment zilifungiwa cjapata kuuliza swali
Ukiota wanawake wawili wamekuja kwako alafu wanakuambia kuwa wameleta watoto wawili jinsia tofauti tena umeota na majina eti wamekuletea nyumbani kuwa ni wa mume wako.
Mini maana take?
Yamaanisha nini ukiota uko na watoto wandogo wanakusaidia kufanya usafi
Nje ukiota uacheza na watoto tu.nn mqana yake
Na ukimuota mwanao Kwa mkubwa na anakukinga yaaaani anasilaha
jee ukiota watoto umewaona watoka Madrasa usiku.ila wakati ulipowaona wanacheza na kuimba.Jee ni nn maana yake
Ukiota binti yako anapata hedhi ya kwanza
Ukiota mvua nn maana yake
Ukiota mtoto wako anatembea mwenyewe na bado mchanga inamaanisha nini
Prosperity, blessings
@@rosemarymutugi5570ukiota mtoto mchanga anazungumza nini maana yake. Hata kuzungumza hawezi bado
Ivi ukiota umezaa mtoto wa kike na wakiume huku ukiwa mjamzito ndoto hiyo Ina maana gani
KwnmKama wewe ni mtu w
Na ukiota unafanya mapnz na mtoto mdog je
Ukiota majina ya watoto wako
Ukiota mtoto wako anatoa msahada kwa mzee na mtoto bado mdogo
'Prosperity' pray for it dear
Ukiota unapiga mtoto wako
je ukiota mtoto wako amefariki akiwa mikononi wako ni nini maana yake?
Mm nimeota hivyo sijui nn maana yake we ushajua
Niliota.mke wangu kazaa na mtu mwingine