UKIOTA NDOTO UNAFUKUZWA NA PAKA AU UNASHAMBULIWA NA PAKA UJUE UMEKWISHA // TAZAMA HAPA..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
  • TAFSIRI ZA NDOTO NA NABII FRANK MCHOMVU SAUTI YA RADI

ความคิดเห็น • 29

  • @AudreyMuhimpundu-oo8ek
    @AudreyMuhimpundu-oo8ek 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi niliota paka ananitazama tuu akakosa nguvu akihema kwa shida mpaka akafa nyuma mwenye paka akawa analiya kwa kumpoteza paka wake , ina maana gani nisaidiye unijibu tafadhali 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @AriceGaceri
    @AriceGaceri หลายเดือนก่อน +1

    Nashukuru nimeota siku mbiri nikishamburiwa na paka mweuzi mama na mtoto imeshikiria mtoto ni kama ananyonyesha arafu ikanisamburia mikono nikiwa nina safiri nisaindie 🙏

  • @RukiaSuleiman-f3r
    @RukiaSuleiman-f3r 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeota paka wawili wamekufa shigon kwangu

  • @LuthHamidu
    @LuthHamidu 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi nimeota huyo paka rangi ya Chini hapo akanibana kidole cha mkono wa kudhoto na meno yake lakininilimpiga nafimbo nikamtoboa namti seem ya hajakubwamti ukatokea upande wapili

  • @RukiaSuleiman-f3r
    @RukiaSuleiman-f3r 5 หลายเดือนก่อน +1

    Thafadhali naomba uniambie hii mm nimeota pakq.wawili.wa.kijivu wamekuja na.kuqngukq singing kwangu na wakafa

  • @Bellah-qt1lx
    @Bellah-qt1lx 3 หลายเดือนก่อน +1

    Paka wa orange 🍊 kikung'ata mguu inamanisha nn?

  • @shilongo944
    @shilongo944 9 หลายเดือนก่อน +1

    Na ni mara ya pili mara wa kwanza ni mweusi but hakunifikia alikuwa anataka kuniuma kidole

  • @JacklinAyubu
    @JacklinAyubu 5 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana yesu asifiwe mm nimeota paka wakijivu ana tushambulia miguun nikawa na kemea kwajina la yesu paka anaongea kwasauti ya mwanamke eti ngoja niwaonyeshe hawa watu akawa anatupiga aka nikwarua ila sio sna nikamkemea nikashutuka nipo na kemea usiku 3 -35 usiku

  • @Daddysgal-j9v
    @Daddysgal-j9v 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mm nimeota paka wa brown ywanifatulia kila mahali nikiruka juu ywaruka yaani hataki kuniacha na niliona msichana fulani akiwa na huyo paka..so sijui nia yao ilikua nn

  • @shakiraissa2517
    @shakiraissa2517 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeota napambana na paka mjamzito na huyo paka hua anapenda sana kuja kwenye maeneo yngu ya biashara nilimuota yupo chumban kwangu juu ya kabati nilianza kumtoa kwa mti kule juu ya kabati akachukia akanirukia alitaka kuniparua mkono nikamsukuma hakuwahi kuniparua nikaamka😢 nisaidie nn maana yake.

  • @ChristinaNyaisa
    @ChristinaNyaisa 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mi nliota nashambuliwa na paka mweusi mikononi nikaomba akapukutika hadi akapotea

  • @rayansaldivar2796
    @rayansaldivar2796 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi niota paka mweusi akinishambulia nyuma ya mgongo.

  • @LelaSadiq-z8y
    @LelaSadiq-z8y 10 หลายเดือนก่อน +1

    Niliota napigana na paka mweupe😮

  • @RoseWarui-k1i
    @RoseWarui-k1i 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nafaa nifanye aje nisaidike juu nimeshambuliwa usiku.

  • @WinniePretty-t1v
    @WinniePretty-t1v 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeota nimepambana na paka nimemupasuwa kati kati

  • @VeronicaMayemba-q7y
    @VeronicaMayemba-q7y 10 หลายเดือนก่อน

    Niliota nimeona paka ameingia kwang kutokea darini akabeba hela mezani kwa mdomo nikawa namfukuza ila nikawa nashindwa maana nilifundwa fungwa na nguo had mikono nikawa namfukuza ila akawa anaondoka na hela kuelekea darin, nn maana yake

  • @hanancabdi6531
    @hanancabdi6531 7 หลายเดือนก่อน +1

    Niliota paka wa kijani akininyonya damu

  • @shilongo944
    @shilongo944 9 หลายเดือนก่อน

    Niliota nikishambuliwa na paka wa kijivu na aliniuma kwa mdomo maake ni nn tafadhali

    • @ptvtanzaniaonline6673
      @ptvtanzaniaonline6673  9 หลายเดือนก่อน

      Piga simu namba ipo hapo

    • @shilongo944
      @shilongo944 9 หลายเดือนก่อน

      @@ptvtanzaniaonline6673 Poa nitakupigia

    • @frankmchomvu3585
      @frankmchomvu3585 9 หลายเดือนก่อน

      Umeshambuliwa na Roho za mauti

    • @KihenguKihengu-jp6ef
      @KihenguKihengu-jp6ef 6 หลายเดือนก่อน

      Mm nimeota paka amenishambulia mkono wa kulia kwenye kiganja na kwenye paji la uso