Mungu Baba ndiye Mungu mmoja tu, ambaye ni Yehova, au Yesu, kwa ukuu na uweza wake aliuvaa mwili akaja kwetu, haimaanishi kuwa kwa sababu alivaa mwili akaja Duniani basi kule mbinguni alikuwa hayuko la, alikuako, Mungu Baba katika kiti chake cha enzi kwa utimilifu wake wote kabisa, pia Roho mtakatifu ni Roho wa Mungu Roho wa Yesu kiristo, sasa Yesu kuitwa Mwana ni kwa sababu ya ule mwili ambao ni kama ganda tu la nnje lakini ndani ni Mungu Baba yetu mtukufu. Yohana14: 10 husadiki ya kwamba Mimi ni ndani ya Baba na Ba yu ndani yangu? Neno hili sio katika utani yani. Ina maana kuwa Mungu baba yuko ndani ya Yesu, Naye Yesu ndani ya Mungu Baba. Kwa hivyo Yesu ni Mungu baba Yetu. Yohana 21:5Yesu anasema wanangu mna kitoweo? Yesu ni Mungu Baba Yetu, nilimsikia pastor ndasha akisema Yesu ni kaka Yetu ,kwa andiko gani? Yesu ni rafi Yetu kukitenda atuamuruyo. Maana hata Baba wa Dunia aweza kuwa rafiki yako ukimpendeza, mtume Mali ya Bwana wewe ni rafiki yangu kwa kuwa unamfahamu Yesu . Emmanuel Mungu pamoja nasi
Mungu wa kweli Ako hapa 1 Yohana 5:20 hapo utampata Mungu wa kweli na wa pekee, wewe na Roho Yako ni mmoja, Kristo na Roho yake ni mmoja, fungukeni ufahamu watu wa Mungu
Bwana asifiwe sana! Mimi kupitia dhamiri safi ni kwamba Hawa watumishi wawili ni Moja amefundishwa na ROho mtakatifu na mwingine amefundishwa na wanadamu (theolojia) hivyo tofauti itakuwa kubwa sana.
Yesu kristo ni mungu kwa sababu ni mwana wa mungu,na kuna mungu (Baba) yule hanjawai onekana then na mwana yesu mzaliwa wa Kwanzaa..na ni mungu pia kwa sababu yeye mwenyewe yesu ni neno la mungu (Baba)
Unapo soma maandiko utagunduwa kwamba YESU anaitwa kwa title nying sana tafauti tu na Mwana, Mtume, au Baba, sasa tukiongeleya hizo title 3 na wakati utakapo juwa hizo 3 titles zinatumika vipi katika maandiko ndo unaweza kujuwa namna gani YESU ni MUNGU na sio kwasabab ni MWANA WA MUNGU aty ndo sababu yeye ni MUNGU. Maana MUNGU ni ROHO na sio MWANADAM , maana YESU alikuwa DUNIANI kama mwanadamu. Matthew 8:20 SON= Only Begotten Son( Mwili ndo ulikuwa umeibeba title ya son kwasabab ya kazi ya kipekee ya Salvation ) John 3:16 PROPHET= Sikuja kutenguwa Torati bali kuikamilisha ( Kwaiyo aliitwa nabii kwasababu alikuja kukamlisha jumbe [maandiko] zote alizowapa manabii wake ) Methew 5:17-20 BABA= Sio mim nazifanya kazi bali ni Baba akaaye ndani yangu ndiye atendaye kazi zake. ( MUNGU mwenyewe ndo alikuwa ameuvaa huwo mwili ili kıtımıza kazi zake ) Jonh 14:10 Kwaiyo kulingana na ueleweshaji unaweza kujikuta ukaungana na upagani wa Catholic kusema Maria ni MAMA WA MUNGU. Bila kuelewa kwamba MWILI haukuwa na utukufu wa MUNGU maana MUNGU sio MWANADAM ila ROHO ILIYOKUWA IKITENDA KAZI NDANI YA MWILI NDO MUNGU maana MUNGU ni ROHO. Kwa uchache BWANA atusaidiye mafunuo zaidi ya kumjuwa yeye ili tuweze kuwasaidiya ndugu zetu. Maana ukubwa wa MAFUNUO uliyo nao juu ya CHRIST JESUS kuwa MUNGU ndo utazidi kuona UKUU WAKE KATIKA FAAMU ZAKO. Peace be unto you
Note:- kwaiyo tunapo sema YESU NI MUNGU hatuongelei mwili, BALI ROHO ILIYOKUWA NDANI YAKE kwasababu MUNGU ni ROHO. Sasa kwa ajili ya SALVATION ilibidi aondoke katika utukufu wa UMUNGU na kuvaa MFANO wa MWANADAM ndo akamilishe SALVATION. Philippians 2:7 Maana isingewezekana bila DAMU na MAJI KUMWAGIKA Leviticus 17:11 na hakuna mnyama wala mwanadamu aliyeweza kubeba huwo msalaba. Kwa DAMU tunatakaswa kwa njia ya REPENTANCE na kwa MAJI tunabadilishwa kuwa viumbe vipya kwa njia ya UBATIZO katika jina la JESUS CHRIST na sio ubatizo mwengine. Romans 6:4
Yesu nimungu halisi tofauti wachungaji wengi wanafata thiologia kuliko roho ndiomàa siku izi hawaangalii wito wanataka vyetii nahapa ndio tatizo yesu kumjua haitaji thiologia ni roho tuuu
Nilkuwa napenda kusikiliza ndacha but wakati walikuwa na mjadala na msabato mwezuye ndacha alikata kuwa Yesu si Mungu, tangu hiyo siku sijawai msikilza
Tengeneza nyele zako ziwe kama za mtu wa Mungu kweli kweli juu nyele za hivi zamani zilikiwa za wasazi pekee. Una ficha nini katika nyele hizo chafu? I’m very sorry but this is truly message to you.
Unalo andiko linalo sema hivyo au unaongea kwa niaba ya mila na desturi? "Hakuna wembe utakaogusa kichwa chake. Atakuwa mtakatifu mpaka wakati utakapotimia ambapo atajitenga na Bwana. Ataziacha nywele za kichwa chake zikue ndefu." - Hesabu 6:5 Mungu anasema hivyo kuhusu yeye aliye chini ya nadhiri. Wewe nae leta andiko. Asante.
Nina swali Kwa mwalimu ndacha,,,maana topic,,,ni YESU KRISTO ni MUNGU au ni MUNGU mrithi??! But naona anagusia kwamba YESU KRISTO nimwana wa MUNGU,,lakini Kwa upande wa MTUME anakubali NDIO YESU ni mwana wa MUNGU,,Kwa kuuvaa mwili na kuja kutukomboa,,,,Sasa JEE vipi kuhusu ,,,,, YESU NDIYE MUNGU au ni MUNGU mrithi hapo???!!.....Kwa mch ndacha anasemaje??
Yesu ni Mungu aliyekamilika bila machanganyo yoyote yeye ndo muumbaji wa vyote.....
Mungu Baba ndiye Mungu mmoja tu, ambaye ni Yehova, au Yesu, kwa ukuu na uweza wake aliuvaa mwili akaja kwetu, haimaanishi kuwa kwa sababu alivaa mwili akaja Duniani basi kule mbinguni alikuwa hayuko la, alikuako, Mungu Baba katika kiti chake cha enzi kwa utimilifu wake wote kabisa, pia Roho mtakatifu ni Roho wa Mungu Roho wa Yesu kiristo, sasa Yesu kuitwa Mwana ni kwa sababu ya ule mwili ambao ni kama ganda tu la nnje lakini ndani ni Mungu Baba yetu mtukufu. Yohana14: 10 husadiki ya kwamba Mimi ni ndani ya Baba na Ba yu ndani yangu? Neno hili sio katika utani yani. Ina maana kuwa Mungu baba yuko ndani ya Yesu, Naye Yesu ndani ya Mungu Baba. Kwa hivyo Yesu ni Mungu baba Yetu. Yohana 21:5Yesu anasema wanangu mna kitoweo? Yesu ni Mungu Baba Yetu, nilimsikia pastor ndasha akisema Yesu ni kaka Yetu ,kwa andiko gani? Yesu ni rafi Yetu kukitenda atuamuruyo. Maana hata Baba wa Dunia aweza kuwa rafiki yako ukimpendeza, mtume Mali ya Bwana wewe ni rafiki yangu kwa kuwa unamfahamu Yesu . Emmanuel Mungu pamoja nasi
Yesu Kristo ndiye Mungu pekee yake
Yesu ndiye Mungu pekee kabisaa ubarikiwe sana mtume.
Mungu wa kweli Ako hapa 1 Yohana 5:20 hapo utampata Mungu wa kweli na wa pekee, wewe na Roho Yako ni mmoja, Kristo na Roho yake ni mmoja, fungukeni ufahamu watu wa Mungu
Bwana asifiwe sana! Mimi kupitia dhamiri safi ni kwamba Hawa watumishi wawili ni Moja amefundishwa na ROho mtakatifu na mwingine amefundishwa na wanadamu (theolojia) hivyo tofauti itakuwa kubwa sana.
Amen 🙏
Yesu kristo ni mungu kwa sababu ni mwana wa mungu,na kuna mungu (Baba) yule hanjawai onekana then na mwana yesu mzaliwa wa Kwanzaa..na ni mungu pia kwa sababu yeye mwenyewe yesu ni neno la mungu (Baba)
YESU NI MUNGU yes we agree, but wrong explanation
Tuelezee yako Tafhathali
Unapo soma maandiko utagunduwa kwamba YESU anaitwa kwa title nying sana tafauti tu na Mwana, Mtume, au Baba, sasa tukiongeleya hizo title 3 na wakati utakapo juwa hizo 3 titles zinatumika vipi katika maandiko ndo unaweza kujuwa namna gani YESU ni MUNGU na sio kwasabab ni MWANA WA MUNGU aty ndo sababu yeye ni MUNGU. Maana MUNGU ni ROHO na sio MWANADAM , maana YESU alikuwa DUNIANI kama mwanadamu. Matthew 8:20
SON= Only Begotten Son( Mwili ndo ulikuwa umeibeba title ya son kwasabab ya kazi ya kipekee ya Salvation ) John 3:16
PROPHET= Sikuja kutenguwa Torati bali kuikamilisha ( Kwaiyo aliitwa nabii kwasababu alikuja kukamlisha jumbe [maandiko] zote alizowapa manabii wake ) Methew 5:17-20
BABA= Sio mim nazifanya kazi bali ni Baba akaaye ndani yangu ndiye atendaye kazi zake. ( MUNGU mwenyewe ndo alikuwa ameuvaa huwo mwili ili kıtımıza kazi zake ) Jonh 14:10
Kwaiyo kulingana na ueleweshaji unaweza kujikuta ukaungana na upagani wa Catholic kusema Maria ni MAMA WA MUNGU.
Bila kuelewa kwamba MWILI haukuwa na utukufu wa MUNGU maana MUNGU sio MWANADAM ila ROHO ILIYOKUWA IKITENDA KAZI NDANI YA MWILI NDO MUNGU maana MUNGU ni ROHO.
Kwa uchache BWANA atusaidiye mafunuo zaidi ya kumjuwa yeye ili tuweze kuwasaidiya ndugu zetu. Maana ukubwa wa MAFUNUO uliyo nao juu ya CHRIST JESUS kuwa MUNGU ndo utazidi kuona UKUU WAKE KATIKA FAAMU ZAKO.
Peace be unto you
Note:- kwaiyo tunapo sema YESU NI MUNGU hatuongelei mwili, BALI ROHO ILIYOKUWA NDANI YAKE kwasababu MUNGU ni ROHO. Sasa kwa ajili ya SALVATION ilibidi aondoke katika utukufu wa UMUNGU na kuvaa MFANO wa MWANADAM ndo akamilishe SALVATION. Philippians 2:7
Maana isingewezekana bila DAMU na MAJI KUMWAGIKA Leviticus 17:11 na hakuna mnyama wala mwanadamu aliyeweza kubeba huwo msalaba.
Kwa DAMU tunatakaswa kwa njia ya REPENTANCE na kwa MAJI tunabadilishwa kuwa viumbe vipya kwa njia ya UBATIZO katika jina la JESUS CHRIST na sio ubatizo mwengine. Romans 6:4
Kama ninapo kwelewa unamanisha yesu ndie Mungu baba?
Amen
AMEN
Amina
Hakika yesu ni bwana na Wala hashei utukufu
Mariam musa AMEN AMEN AMEN AMEN
Yesu nimungu halisi tofauti wachungaji wengi wanafata thiologia kuliko roho ndiomàa siku izi hawaangalii wito wanataka vyetii nahapa ndio tatizo yesu kumjua haitaji thiologia ni roho tuuu
Nilkuwa napenda kusikiliza ndacha but wakati walikuwa na mjadala na msabato mwezuye ndacha alikata kuwa Yesu si Mungu, tangu hiyo siku sijawai msikilza
Sauti katika 52 min ahiisikiki
IS all about Jesus Christ 🙏
Tengeneza nyele zako ziwe kama za mtu wa Mungu kweli kweli juu nyele za hivi zamani zilikiwa za wasazi pekee. Una ficha nini katika nyele hizo chafu? I’m very sorry but this is truly message to you.
OMBA MUNGU AKUPE MARIFA UJUI UNACHO ONGEA
Unalo andiko linalo sema hivyo au unaongea kwa niaba ya mila na desturi?
"Hakuna wembe utakaogusa kichwa chake. Atakuwa mtakatifu mpaka wakati utakapotimia ambapo atajitenga na Bwana. Ataziacha nywele za kichwa chake zikue ndefu."
- Hesabu 6:5
Mungu anasema hivyo kuhusu yeye aliye chini ya nadhiri. Wewe nae leta andiko. Asante.
Wewe Sikiza NENO,achana na nywele ya Mtumishi yaani,mind your own business!
Dacha alieleza vizuri sana nikaelewa
Hayupo rohoni ndacha anawaza mwilini
YESU KRISTO NI BWANA TITO 2:13
Amen,Yesu ni BWANA
I have new song hitting on 🔥🔥💯 NAONA MBALI by STELLAH NDUKU get it and God bless you all
So mwalimu ndacha anasema Yesu Sio Mungu au ni Mungu? Kwa sababu Mimi naona yeye hakubali kwamba Yesu Kristo ni Mungu mwenyewe