Bwana Yesu Kristo asifiwe! tuna mshukuru Bwana kwa huduma nzuri ya kweli anayo ionesha kwa watu wake, ninge shauri kwamba murekebishe hilo jina la huduma, huduma hii ni huduma ya neno la Mungu la kweli, , neno la Mungu sio ukweli, bali ni kweli. jina la huduma hiyo ni kweli sio ukweli.
@@williamdetto3354 Ndio tuna hukumu kila kitu kisicho patikana kwenye maandiko. Na kila kitu tulio amuriwa imeandikwa Kama mnanipenda mtazishika amri zangu. Sasa nionyeshe amri inayo sema tusherekee kuzaliwa kwa Yesu.
Amen Amen Amen ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU
Uliacha nywele nyingi Sana Mtu wa Mungu
Punguza nywele kwa kueshimisha Utumishi wako
Amen Amen Bwana YESU Kristo asifiwe
Amen 🙏 🙏 Asante kwa kunifumbua macho MUNGU awadhidishie na awabariki,BWANA YESU KRISTO atusaidie sana
AMEENA MENA
Amen
Ubarikiwe
Amen Amen
Barikiwa sana. Hallelujah.
Amen 🙏
Amen baba
Bwana Yesu Kristo asifiwe! tuna mshukuru Bwana kwa huduma nzuri ya kweli anayo ionesha kwa watu wake, ninge shauri kwamba murekebishe hilo jina la huduma, huduma hii ni huduma ya neno la Mungu la kweli, , neno la Mungu sio ukweli, bali ni kweli. jina la huduma hiyo ni kweli sio ukweli.
You make 0 sense. Kabla haujakosoa huduma muulize kwanza Bwana. Asante.
nina swali kuhusu trades je ni zambi?
Acheni kupotezawatu. Wapi imeandikwa kua tareh 25. Mwez 12. Ndiokuzaliwa kwa yesu?
Hiyo ndo point ya somo. Kabla ya kuacha comment tumia akili.
Hoja sio tarehe Hoja nikwamba unakubali Yesu christo alizaliwa? Baada ya Hapo utaelewa
Sisi tunasherehekea kuzaliwa mkombozi wetu. Haijalishi. Nitarehe gani
Imeandikwa msihukumu Maine mkahukumiwa

Amen amen
Amen