Tukio Kubwa La karama Lililo tokea kilwa / siyo kila kitu bidaa / Sheikh Waliyd Al had

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024
  • Tukio Kubwa La karama Lililo tokea kilwa / siyo kila kitu bidaa / Sheikh Waliyd Al had
    Sheikh Walid akifundisha Darsa la Tafsiri ya Quraan Ramadhani Mwaka 2020 Linalo fanyika Msikiti wa Kichangani
    Usisahau ku subscribe na kutu follow katika page zetu za insta na Facebook shukraan
    Video by muba Production Magomeni
    Subscribe
    Comment
    Like
    And share
    Thanks

ความคิดเห็น • 135

  • @kingcobra9238
    @kingcobra9238 4 ปีที่แล้ว +10

    Masha allah umenikumbusha mbali sana habari za twayyibal asmai

  • @ibrahimmohammed3100
    @ibrahimmohammed3100 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah Shekhe Walid mungu akupe umri mrefu

  • @mohammedmshiraz75
    @mohammedmshiraz75 ปีที่แล้ว +5

    Allah akuzidishie na azid kukupa umri mrefu wenye faida dunian na kesho akhera

  • @Shakila-t3c
    @Shakila-t3c ปีที่แล้ว +3

    Aslm alkm ww.... Shukran sana sheikh. Jazakallah kheir 🙏

  • @salminasalim5630
    @salminasalim5630 4 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah TabarakaAllah. Sheikh Walid Allah akupe Afya hapa duniani na Ahera. Akupe umri mrefu wenye furaha InShaaAllah

  • @MaryamZuheir
    @MaryamZuheir 8 หลายเดือนก่อน

    Mashallah shekhe ALLAH azidi kukubariki AKIUNUE DUNIANI NA AKHERA TUENDAKO WEWE PAMOJA NA CC AMYN

  • @abdibrown5591
    @abdibrown5591 ปีที่แล้ว +1

    Allah akulinde na fitna na yoyote sheikh na sote atulinde Inshaallah

  • @swalehmkembe7783
    @swalehmkembe7783 ปีที่แล้ว +2

    Nakupende kwa ajili ya allah

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 4 ปีที่แล้ว +5

    Allah akuhifadhi Sheikh Walid

  • @aminajuma9655
    @aminajuma9655 2 ปีที่แล้ว +1

    مشاءالله مشاءالله مشاءالله تبارك الله
    Jazakallah khair badal khair badal khair janatu naghim
    ALLAH awapeni umri mref mashekh wetu mzidi kuruelimisha
    Na hivyo vitabu ni vzur Sana
    Lakn Kuna walimu baadhi Yao wanavipiga vita
    *ALLAH akukinge na adhabu ya moto shekh

  • @yassinijumanne1763
    @yassinijumanne1763 2 ปีที่แล้ว +2

    Wallahi shekh Allah akuhifadhi na akulinde na husda shekh nmekuelewa sana na nmejifunza kitu Allah akubariki

  • @AhmedSaid-xz3kj
    @AhmedSaid-xz3kj 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah ibarek sheikh walid

  • @athumankidole7396
    @athumankidole7396 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah,, hapo kwenye adhana

    • @ismailussi5066
      @ismailussi5066 2 ปีที่แล้ว

      Mashaallah, adhana tam sanaaa

  • @shabanlue7253
    @shabanlue7253 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 ปีที่แล้ว +2

    Ni kwel kabsa sheikh, zaman waislamu walikuwa wanaheshimiwa saana. Sahz dah bas tu

  • @maulidomar4765
    @maulidomar4765 2 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallaa upovizuli kwenye adhana

  • @abuukilanga2249
    @abuukilanga2249 4 ปีที่แล้ว +6

    ALHAMDULILLAH ALLAH AKUBARIK

  • @fadhilaassey2340
    @fadhilaassey2340 4 ปีที่แล้ว +10

    Kuna watu wanachuki binafsi mpaka vifua vinataka kulipuka. Chuki ya wazi kwa shehe haitasaidia piteni kimya kinya. Shehe wetu allah akuhifadhi kuna waja wataka kufa kwa kukuchukia

  • @MaryamZuheir
    @MaryamZuheir 8 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Adhana kumbe upo vzuri shehe nilitamani umalizie

  • @swabrianwar1020
    @swabrianwar1020 3 ปีที่แล้ว +12

    kama huna haja kumskiz sheikh ina haja gani uangalie video utukane umwite mwongo?

  • @yahkiwera3611
    @yahkiwera3611 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah

  • @adasonnondo6898
    @adasonnondo6898 4 ปีที่แล้ว +4

    mashaallah

  • @athumangereza2342
    @athumangereza2342 2 ปีที่แล้ว +1

    MaashaAllah

  • @AdulKiga
    @AdulKiga 4 หลายเดือนก่อน

    Ww ni koo changu katika mashekhe nnaowapenda naww mmoja wapo

  • @humudyhabiby5393
    @humudyhabiby5393 4 ปีที่แล้ว +4

    Asalam Alaykum Sawa sawaaa ✓

  • @allymohammed6704
    @allymohammed6704 4 ปีที่แล้ว +3

    Maashaawallah

  • @Mbumbuko
    @Mbumbuko 2 ปีที่แล้ว +1

    Maashaa Allah

  • @ibrahimsleiman4455
    @ibrahimsleiman4455 4 ปีที่แล้ว +6

    Mashallah Habib kwa Ukumbusho

  • @BashiruShawed
    @BashiruShawed 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna mambo mengi kulwa lakini yanfichwa kwa sababu yanausu uislamu kama ingekuwa ya kukafri yange pewa kipao mbele

  • @barakashaban9698
    @barakashaban9698 2 ปีที่แล้ว +1

    Subhanallah

  • @kombohabib9046
    @kombohabib9046 4 ปีที่แล้ว +5

    Ktk darsa hizi za mwezi mtukufu RAMADHAN,sheikh walidi alituambia ikiwezekana atapanga iwe siku moja ktk wiki atakua anafanya hizi darsa hapo hapo kichangani,je ipoje.

  • @jaafarjacka3320
    @jaafarjacka3320 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah ALLAH Allah

  • @AhmedSaid-xz3kj
    @AhmedSaid-xz3kj 3 ปีที่แล้ว +1

    Jazakallah kheir

  • @afric01
    @afric01 ปีที่แล้ว

    Aslm alkm ww.... Jazakallah kheir 🙏.

  • @NassEscobar-yh5sv
    @NassEscobar-yh5sv 4 หลายเดือนก่อน

    Una dalili ya kumuuita alama..mpotoshaji?

  • @abeidjuma1855
    @abeidjuma1855 4 ปีที่แล้ว +8

    Kisa kizuri cha kisiwa cha kirwa

  • @ebrahimosman5477
    @ebrahimosman5477 3 ปีที่แล้ว +2

    🙏

  • @amirikhatibu1989
    @amirikhatibu1989 4 ปีที่แล้ว +6

    Mawahabi ndio hawaamini makarama

  • @abasaliomar1020
    @abasaliomar1020 3 ปีที่แล้ว +2

    Assalam aleikum sheikh vipi hali yako naomba namba yako tafadhali

  • @abduibrahim7363
    @abduibrahim7363 3 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli kabisa na pamewekwa Alama,

  • @khamiskhalfan1287
    @khamiskhalfan1287 4 ปีที่แล้ว +2

    Asalam alaykum

  • @abubakarhussain8075
    @abubakarhussain8075 2 ปีที่แล้ว +1

    SHEIKH WALID SHUKRAN. HUKU WAMEBADILISHA HIKI KISA WAMESEMA JAHAZI LA WAARABU LIMEGEUZWA JIWE WAKATI WAO WANAJUA UKWELI JAHAZI NI LA WARENO(PORTUGUESE).

    • @ahmadifakimjaka1433
      @ahmadifakimjaka1433 2 ปีที่แล้ว

      Uwongo hauna mipaka kila mmoja na lake visa vya uwongo hivo

    • @noorynmohammedy6063
      @noorynmohammedy6063 ปีที่แล้ว

      ​@@ahmadifakimjaka1433 punguza makasiliko tuletee ww Visa vyako vya ukwel

    • @faridaikussi
      @faridaikussi ปีที่แล้ว

      ​@@noorynmohammedy6063 hahaha

  • @OmaryGubi
    @OmaryGubi ปีที่แล้ว

    By op

  • @hajivuai3454
    @hajivuai3454 4 ปีที่แล้ว +5

    Darsa kama hizi viongozi wetu wa serekali huwaoni kuhudhuria sijui kwanini

    • @myself4128
      @myself4128 11 หลายเดือนก่อน

      Serikali haiongozwi na Dini wala Mungu ila Katiba inaonekana we Juha huelewi kitu

  • @muuibrahim1805
    @muuibrahim1805 4 หลายเดือนก่อน

    Niombeni kwa majina 99,Allah kishasema sasa kwa namna gani utajua wewe hapa ndipo point ilipo ,hapo sheikh Walid kanena point tuache kubeza asee

  • @abuusuleym3676
    @abuusuleym3676 4 ปีที่แล้ว +3

    kazi kupotosha watu tu

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  4 ปีที่แล้ว +2

      Una uhakika maalim faida yake ni nini akishawapotosha hao watu

    • @shosiabdalla6880
      @shosiabdalla6880 4 ปีที่แล้ว +3

      Abuu suleym shekhe anapotosha watu kivipi hebu nieleze na mimi nielewe

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  4 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa atupe muongozo

    • @groundtrader173
      @groundtrader173 4 ปีที่แล้ว +2

      Dont argue with stupid person. Abuu Suleym is a JAHIL PERSON.

    • @zamdinkilala8790
      @zamdinkilala8790 4 ปีที่แล้ว

      We nenda kaimbe taarabu maana nyie mnadini yenu ya Muhammad abdul wahhabi aka mudi gae

  • @ibrahimabdillah5729
    @ibrahimabdillah5729 4 ปีที่แล้ว +4

    Ushirikini ndio anaousifia.....
    Hana zaidi ya upuuzi na upotoshaji

    • @saidimpako5186
      @saidimpako5186 3 ปีที่แล้ว +5

      Yeye anaamini ule ni uwezo wa Allah wewe ndo unaamini ile ni uchawi nani mshirikina

    • @hollyfildspinks2161
      @hollyfildspinks2161 2 ปีที่แล้ว +1

      Ibrahim abdillah,mwana wewe ndo mshirikina

    • @hamisisalimu6908
      @hamisisalimu6908 2 ปีที่แล้ว +2

      Tatizo waislamu hawana kheshma na masheikh zetu. Kila mtu nimjuaji

    • @abdibrown5591
      @abdibrown5591 ปีที่แล้ว

      Weye wakucunguze vizuri weye ni kapyongo

    • @IssaFumo-uw8de
      @IssaFumo-uw8de 5 หลายเดือนก่อน

      Ikiwa Mtume Muhammad (s.a.w)alipingwa tena watu wake wa karibu kabisa.Itakuwa ww bn....Allah akuhifadhi Sheikh Waliid,akulinde dhidi ya mahasidi

  • @salimkaimbwana6598
    @salimkaimbwana6598 4 ปีที่แล้ว +3

    Aliesema bidaa ni Mtume(saw) na si sheikh yeyote.

  • @SamiaomaryRwambo
    @SamiaomaryRwambo 6 หลายเดือนก่อน

    Yani ' mtu kabisa unakuja unakoment unasema shekhe muongo duuuh kama shekhe muongo bas hata kumuamini mola wako pia utawezaa lahaulaa mungu amuifadhi huyu shekhe kama mtume alikataliwa bas nasisi atutaitikiwa nakila mtu

  • @ashiimohmedi6051
    @ashiimohmedi6051 ปีที่แล้ว

    Huyo anae muita shekh walidi muongo"" huyo mm ningekuwa karbu ww mtu wwe kichwa chako kingekuwa halali yangu""walidi anamakosa walidy gajikwezi kma mashekh zenu wengine""huyu walid anahekma kma mtume Muhammad s.a.s""anae mtukana walidy yyte yule hta kma angekuwa bba lazma hta yye ningetoka kwake tusijuane tna""Lakin mtu mwingine mwingne wamtuksna walidy kaa mbali sana na huyu"" mtu"" upanga wangu wakijeshi unakuhu wwe"" Allah atulindie walid kwa mapnzi na huruma zko"" Na kma kuna makosa madgo madgo bas tunakuomba umsamehe" wwe mwenyew wajuwa hatujakamilika..

  • @zaitoonhassan1268
    @zaitoonhassan1268 2 ปีที่แล้ว +1

    Mm naomba nambari niwe nikitoa mchango wangu

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  2 ปีที่แล้ว +1

      Namba ni hii +255765100906

    • @yasirshee3152
      @yasirshee3152 11 หลายเดือนก่อน

      Wengi wameomba number hamukutoa huyu ameomba ili atoe mchango ndio mumechangamka😂

  • @ibrahimabdul8257
    @ibrahimabdul8257 3 ปีที่แล้ว +1

    Na sio kila kiTu ni sunnah na sio kila kitu ni waajibu na sio kila kitu ni binadam na sio kila kitu ni gari...maneno ya jumla jamala...SEMA NI SIO BIDAA

    • @hussenaaghe2760
      @hussenaaghe2760 ปีที่แล้ว

      Acha hadi mungu kuna mashehe wangapi mpaka shehe mkoa dar salaam ulitaka upewe wewe

  • @ismailhassan5662
    @ismailhassan5662 3 ปีที่แล้ว +1

    Hivi huwaga hawajamaa wanasomaga wap jaman yaan niwazushi wakubwa nahawataki kubadilika.

  • @ibnabdillah608
    @ibnabdillah608 4 ปีที่แล้ว +4

    Hii elimu ni dini, angalieni ni KUTOKA kwa Nani mnaichukua dini yenu,watu Kama hawa wanaojuzisha uzushi epuka sana kuwasikiliza

    • @badrudiniabdulkarim1059
      @badrudiniabdulkarim1059 3 ปีที่แล้ว

      Wewe umefuata nini huku kama sio kumsiliza??

    • @hemedysaidy7020
      @hemedysaidy7020 2 ปีที่แล้ว

      Kwa taarifa yako ww ni miongoni mwa wanaoupiga vita uislamu kama ww ndio unajiona bora kusikilizwa elimu yako iko wapi ulio itoa ili tukusikilizeee?!

  • @abuusuleym3676
    @abuusuleym3676 4 ปีที่แล้ว +4

    muongo huyu misikiti yote imeadhini pamoja

    • @groundtrader173
      @groundtrader173 4 ปีที่แล้ว +1

      Foolish comment. Smh!!

    • @zamdinkilala8790
      @zamdinkilala8790 4 ปีที่แล้ว

      Sio kwa ajili ya pembe la shaitwani ni kwa ajili ya waislamu

    • @zamdinkilala8790
      @zamdinkilala8790 4 ปีที่แล้ว +1

      We ulienda huko kilwa kwenye hiko kisiwa au unapiga kelele

    • @hollyfildspinks2161
      @hollyfildspinks2161 2 ปีที่แล้ว

      Cha ajabu nini hapo?

    • @ajmalkiango4715
      @ajmalkiango4715 2 ปีที่แล้ว +1

      Kama ujui sema ujuzwe mjinga wewe nitumie namba zako nikutumie video yake na uone ukweli..mpumbavu wewe

  • @abuusuleym3676
    @abuusuleym3676 4 ปีที่แล้ว +4

    huyu sheikh muongoo

    • @sayeedsaleem6395
      @sayeedsaleem6395 4 ปีที่แล้ว +1

      Sawa tuache atudanganye

    • @hatibuahmadi7237
      @hatibuahmadi7237 4 ปีที่แล้ว +3

      Uongo wake nini? Haya tueleze ukweli unao ujua wewe yaani Kuna watu mmeka kama mikondo vile yaani mnamezeshwa itkadi zako puuzi mnakubali bila hata kutumia akili zenu eti Muongo kaongopa nini Sasa kwaiyo mungu ajasema tu muombe kwa majina yake? au hiyo history alio itoa yakilwa? Yaani inaonekana wewe auna imani kabisa na mungu kama aliweza kumgeuza mke wanabii lutwi kua jiwe atadhindwa kuigeuza iyo meli yamakafiri kua jiwe? Pole sana aisee

    • @ahdal5288
      @ahdal5288 4 ปีที่แล้ว +1

      Uongo wake ni nini?????

    • @abuusuleym3676
      @abuusuleym3676 4 ปีที่แล้ว

      hizo adhkar anazotaja hazijathibiti
      kisha tokea lini misikiti yote ikaadhini kwa pamoja huu urongo wa dahir

    • @abuusuleym3676
      @abuusuleym3676 4 ปีที่แล้ว

      mpuuz anaetumia akili kwenye dini au anaetumia akili

  • @abuumusabmudhhir4353
    @abuumusabmudhhir4353 4 ปีที่แล้ว +4

    هجران مثل هذا الرجُل الجاهل المتعالم من السنة، اتق الله يا هذا، ألآ تذكر قول الله تعالى(ليحملوا أوزارهم كاملة يوم القيامة ومن أوزار الذين يضلونهم) سورة النحل،
    أيها المسلمون لا تغتروا بمثل هذا الكذاب المُلبّس.

    • @mussajangwa4878
      @mussajangwa4878 3 ปีที่แล้ว

      Are crazy?????

    • @hemedysaidy7020
      @hemedysaidy7020 2 ปีที่แล้ว

      Ww mkweli ukweli wako uko wp elimu yako haina viwango pia hata fadhila za walimu wako huna maana elimu zenu zimejaa kibri pmj na walimu wenu nakupa mfano angalia mashekhe wa zamani walivyo kua na elimu zao na Makarama yao leo huu wako wp nyie mnao jiona kama mmekamilika na elimu zenu kubwa mko wap hata dua zenu mkiomba hazijibiwi useme unaimani ww

    • @ajmalkiango4715
      @ajmalkiango4715 2 ปีที่แล้ว

      Wewe acha uwongo tuambie uongo wake nini acha kupotosha ummah... wewe adamu

  • @mujiburajabu1217
    @mujiburajabu1217 4 ปีที่แล้ว +5

    Mpotoshaji huyo hana dalili anazungumza kwa matamanio ya nafsi yake

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  4 ปีที่แล้ว +2

      Sawa tupe wewe dalili maalim

    • @selemohd9060
      @selemohd9060 4 ปีที่แล้ว +2

      Mujibu rajabu acha upumbavu

    • @zamdinkilala8790
      @zamdinkilala8790 4 ปีที่แล้ว +2

      Tangu lini nzi akamsifia nyuki we kazi yako kuchezea mavi

    • @khalidbahorera8106
      @khalidbahorera8106 4 ปีที่แล้ว +4

      Jana nlikua namsikiliza shekhe flan anazungumzia uchawi, akasema waliohatarini zaidi ya kuingia kwenye uchawi na ambao washaingia basi ni hawa maghurafi, na huyu naona ndo kaonesha mfano halisi. Kakiri mwenyewe vitab alivotaja vinatumika na waganga na wachawi af yy anahimiza watu wavisome, duh

    • @zamdinkilala8790
      @zamdinkilala8790 4 ปีที่แล้ว +2

      @@khalidbahorera8106 wewe ni chizi hata Quran watu wanatumia kuloga

  • @soudmilopo6134
    @soudmilopo6134 3 ปีที่แล้ว +1

    mashaallah

  • @musaagwallo5433
    @musaagwallo5433 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah