This is me😭😭😭😭when my husband was sick 😢😢 nilikua nikamtunza nikamuosha 😢😢😢 nikamuombea nikamlisha 💔💔💔💔but when he died 🥹🥹🥹🥹walinigeuka na kunikana pamoja na watoto 😭😭😭😭💔💔 keep resting hubby 💔💔🥹🥹🥹
Hakika hizi sauti mbili yake Sarah pamoja na guardian angel katika huu wimbo zinahuwishwa,zinafanya mtu aokoke,atupu ,aliye backslide arudi tens katika wokovu...haleluhya
Nashukuru MUNGU sana kwa nyimbo zako simenipariki sana kila kujao, Naomba MUNGU akutie nguvu zaidi kwa kazi yake unafanya kwa kupariki watu wake kupitia kwa nyimbo ❤ GOD Bless you 🙏 my sister,am Frank matsetse from Kenya.
When i listened to this song at first i really cried to God to forgive them all,my hubby betrayed me with another woman when i was five month pregnant which led to miscarriage i almost died but i thank God He opened doors for me am abroad working very hard for the sake of my twins
This is so deep 😢😢😢😢😢😢 Let's appreciate Madam Sarah by suscribing to her channel, viewing, liking and sharing this great song ft GA kindly. She's been a blessing to many. She deserves more than 100k subscribers. Mech love from Kenya.🙏🙏🙏
Me listening to this song wakati wale watu nilidhani ni marafiki na kuwasaidia wamekuwa watesi na kunisimanga na uongo but I know mungu WA psalms 109 hatalala atanipigania
GREAT SONG 🎵 ❤❤ The song reminds me 2019 , after everything we did together with the father of my son , he abandoned us and I was pregnant almost due , the time I needed him the most , My son is almost 5yrs never seen his father no help from , and is out there enjoying life . I THANK GOD HIS ALWAYS THERE FOR US HIS GRACE IS SUFFICIENT AMEN .
I hosted a guy for 6 months was a church mate but mwisho alienda kuambia pastor simpei food na yeye ndie alikua akipika akijipakulia wueh....good heart suffers the most
Ukweli kabisa. Mimi nilitenda wema Kwa ndugu na dada wa Tumbo moja. Nililea watoto wa kuanzia miezi 9 kuenda juu na mama zao, watoto wengine niliwanunulia Hadi pampers nikawabeba mgongoni nilienda nao kazi. Hayo yote nilifanya nikijua Kuna siku wazazi wao watakumbuka lakini Ile kulipwa nimelipwa na wanazizidi kunilipa, ni Mungu mwenyewe anaelewa. Huwa nauzunika lakini Mungu ni mwema Kila wakati
Who else is here straight from Tiktok 🖐️🖐️
Mm hapa
Mee😅
Me
mee.i love ❤
Me😂
Wenye tumetoka tiktok pita na like
😂😂
Saw it today at tiktok.
Umejua aje lkn
Hahaha...nimetoka TikTok direct huku
This is me😭😭😭😭when my husband was sick 😢😢 nilikua nikamtunza nikamuosha 😢😢😢 nikamuombea nikamlisha 💔💔💔💔but when he died 🥹🥹🥹🥹walinigeuka na kunikana pamoja na watoto 😭😭😭😭💔💔 keep resting hubby 💔💔🥹🥹🥹
Take heart dear
@@philipsitati4153 thanks 🙏
😢😢😢😢😢
It shall be well dear
Musinikumbushe 😢😭😭😭😭
Kila anayesoma comment hii afanikiwe maishani kwa jina la Yesu
Amen
Amen!!!you too
Amen
Amen
Ameni😢
Amen baraka nipewe likes kila anae sikiza huu wimbo apate kubarikiwa gonga like tukisonga
Who ever is reading this comment may God come through in whatever you're praying in silent
Amen and Amen.
Amen 🙏
Ameen
Amen in mighty Name of Jesus
Amen
Story of my life,moyo unauma, wherever you are girls I leave everything to God,najua mnafurahia nikilia 😢
I suffered humiliation from my best friends I supported from my village, when I was going through hard time.
Hakika hizi sauti mbili yake Sarah pamoja na guardian angel katika huu wimbo zinahuwishwa,zinafanya mtu aokoke,atupu ,aliye backslide arudi tens katika wokovu...haleluhya
Binadamu wako hivyo tuu. Ukimpa wewe ni mzuri, ukisema hauna wewe ni mbaya 🤗
kweli kila mtu ana huduma tofauti sana na ya Sarah ni ya kuganga jeraha za mioyo ya wengi
Nimependa sana hii
From TIKTOK to here, sema kuchop onions😭why is she singing our real life!!!
Let me leave this comment here so that i get a reminder to listen to this piece again when someone replies Amen
Nzuri sana
Huo wimbo imenifanya nikalia machozi
Moyo unauma ila stalipiza kisasi ni Mungu anatuliza huu moto......wakikulipa mabaya ...walipe mema tuu usichoke amen
Wow congratulations Mama I love you so much be
Amen Amen mommy nimebarikiwa sana more grace
This song have listen it more than 10 times it really reflect me it talking of my current situation 😢
Ufanikiwe mtumishi wa Mungu
Baraka sana my sister
Where is my family to listen to this song 😭😭😭😭😭😭 God help me to forgive them all
uyu dada nampenda sana anaimba kwa hisia sana
Asante wapendwa kwa huo ujumbe wanadamu hawana shukurani siku zote wanajijali tu.
May God comfort us in every situation that we go through 🙏
This is me moyo unauma😊
My mum came back with new hitisong jameni fanya mu share hii wimbo kila mahari
This song has become my daily dose....
One day this song will hit 1M views and above....from tiktok
Moyo waniuma nataka kurudi kenya boss hataki😢,,Mungu fanya njia nitoke saudi😪
Ngoja wakati wa mungu..relax
Tafuta voo TV nelson atakusaidia he wil rescue u and don't forget to go down on your knees prayers mommy trust our God atafungua njia...and good luck
Uko wapi
😂
Nashukuru MUNGU sana kwa nyimbo zako simenipariki sana kila kujao, Naomba MUNGU akutie nguvu zaidi kwa kazi yake unafanya kwa kupariki watu wake kupitia kwa nyimbo ❤ GOD Bless you 🙏 my sister,am Frank matsetse from Kenya.
To everyone experiencing this heavy and painful heart may the Lord restore peace and strength unto you.This song gives me goosebumps
presenting to you 'Moyo unauma.stay insipired. #DIRECTOR_AUGASTINE #WATULIVU_FILMS
Ngoma kali ,video kali .... DIRECTOR AUGASTINE ameweza sana
Wooow harmony is on point ... guardian please one day ni back please with one of my songs
Barikiwen sana watumish nice song
This song reminds me of someone i wholeheartedly helped in the name of love.only for him to abuse me later.Marco,Our God is watchful
Nyimbo zur sana
I can listen to this song for the whole day without eating, just sitting at one place ❤❤❤
😭😭😭🙏
This song has reminded me of a friend I once helped akakuja kunigeuka na kunifanyia madharau
Eeeehh that song❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢
This is me moyo unauma
That betrayal still fresh,Wamenilipa mabaya but I'll keep on trusting the process..
Huu wimbo umenikumbusha mbali sana
Aki Mimi huwa naguswa Na huduma yako Na wala sichoki kusikia Sauti yako ubarikiwe mno 🙏🙏🙏
Kazi safi sana Director
😭😭 Leo moyo wangu unauma, Mungu nitie nguvu na uniwezeshe🙏🙏. Please God have mercy on me and grant me true happiness and love
God bless you my dear ♥️
When i listened to this song at first i really cried to God to forgive them all,my hubby betrayed me with another woman when i was five month pregnant which led to miscarriage i almost died but i thank God He opened doors for me am abroad working very hard for the sake of my twins
It was for a reason God wanted to show you that he is God.
From TikTok hope tuko wengi 👋👋
All the way from TikTok be blessed
powa sana ✊
So powerful 👏
Amamini mungu n umuitekil wakati
Binadamu ni binadamu tu😢😢😢
Story of my life..Moyo inauma..Very nice song...Good Job DIRECTOR AUGASTINE. video iko dope!
Nyimbo tamu sana, tumeikubali hapa kenya
Video safi... Dir. Agustin ni mnyama🔥
Barkiwa
Very much voice sister
MUNGU akubariki sanaaaaa my Dada
Oooouh my goodness what a song.....🎉🎉🎉
The song as a testimony kama akuna penye inakuguza wewe sijui 🎉🎉🎉🎉🎉😅❤😢
Nice song Nipitie
Song is great....
Thx for this timely song so blessed
Wanadamu hawana wema kabisaa😭😭😭😭😭. Pumziko liko kwa YESU tu
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Moyo inauma haki
I thought this was a new realese kumbe 7 months ago. Woooow ❤
Watulivu film on top
So powerful 😍😍 binadamu tu nyinyi 🥺🥺🥺
Faraja cute Kule Tiktok kanifanya nije mbio kusikiliza huu wimbo😢😢❤❤
Marco Mungu yupo
I lyk thiz collable
Beautiful song
This is so deep 😢😢😢😢😢😢
Let's appreciate Madam Sarah by suscribing to her channel, viewing, liking and sharing this great song ft GA kindly. She's been a blessing to many. She deserves more than 100k subscribers. Mech love from Kenya.🙏🙏🙏
This song is touching all souls
Nice 👍
Waooooooooo mungu akutunze kwanyimbo zako nzur
Hongera my sister kwa kaz ya mungu nzr ikiwa wewe ndio mtumishi wake kwa ujumbe mzr sana nice voice 👍
Me listening to this song wakati wale watu nilidhani ni marafiki na kuwasaidia wamekuwa watesi na kunisimanga na uongo but I know mungu WA psalms 109 hatalala atanipigania
GREAT SONG 🎵 ❤❤
The song reminds me 2019 , after everything we did together with the father of my son , he abandoned us and I was pregnant almost due , the time I needed him the most , My son is almost 5yrs never seen his father no help from , and is out there enjoying life . I THANK GOD HIS ALWAYS THERE FOR US HIS GRACE IS SUFFICIENT AMEN .
Sorry dear keep moving on the same page but God always sufficient 10 yrs down the line we have lucked nothing so far so good i thank God
@@mariamnduko6994 AMEN, GOD IS THE REAL FATHER, WE WILL LACK NOTHING 🙏 .
God is great
Our heavenly father God is always with you never give up just keep on praying.
@@davidmoris7787 AMEN AMEN 🙏
These me right now😢😢😢
I love this song ni God
A nice song indeed .bravo
Nice song...
Mum huyo ni Mimi na naumia sana
Pole rafiki yangu
Wimbo mtamu sana
This song is for me
Tiktok❤❤❤
Now is the time …let’s push this song internationally
I hosted a guy for 6 months was a church mate but mwisho alienda kuambia pastor simpei food na yeye ndie alikua akipika akijipakulia wueh....good heart suffers the most
kazi nzr inabariki sana
Sitakii kukumbuka 😭 😭 2022 ,2023 I go alot BT mungu ni Nani better you help someone you know than you family
Ukweli kabisa. Mimi nilitenda wema Kwa ndugu na dada wa Tumbo moja. Nililea watoto wa kuanzia miezi 9 kuenda juu na mama zao, watoto wengine niliwanunulia Hadi pampers nikawabeba mgongoni nilienda nao kazi. Hayo yote nilifanya nikijua Kuna siku wazazi wao watakumbuka lakini Ile kulipwa nimelipwa na wanazizidi kunilipa, ni Mungu mwenyewe anaelewa. Huwa nauzunika lakini Mungu ni mwema Kila wakati
Mimi hata I can explain bt na sema asante mungu
The best ever may God lift you ministry
Hii Kali kaabsa
So touching, be blessed
Awesome...I love it.. Can't even remember the no.of times have watched..God bless you❤❤❤