TUNDU LISSU ATINGA SHULE KUTOA DARASA "UNAWEZA KUWA RAIS, DOKTA, MWANASHERIA KAMA UKIWA NA ELIMU"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024
- Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara Tundu Lissu amezungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Inspire iliyoko Kibaha mkoani Pwani.
“Ukiwa na elimu, na elimu unaweza kuwa yeyote unayetaka kuwa, unaweza kuwa mtu yeyote. unaweza kuwa Rais wa nchi hii, unaweza kuwa daktari, mwanasheria, unaweza kuwa unachotaka" Lissu
Asante Mr.Tundu Lissu,,, Wanafunzi wangu "INSPIRE SECONDARY " wame'enjoy sanaaaa👏👏
On of the most real inspiring figure✊✊.
Vamoos🎉 inspire secondary 👌👌 ,, make your life inspiring
🔥🔥🔥🔥
Good 👍🙌
Elimu ndio kila kitu sisi wengine elimu ndio imishia hap four
Huyo mkuu wa shule hana bahati siku si nyingj utasikia
@@whitneywhitney283 🥹😂😂
Yunifomu gani hizo na joto lote la tanzania ujinga wa watu weusi hata sisi tumesoma tulikuwa hatuvai hivyo
Out of all good things about the occasion, you just saw the uniforms, it's sad.
Kwamba uniform ndo zinasoma?? Au ndo ajili ya mtu. 🥹🥹 Na hapo mtu mweusinkaingiajee😂
Nina wasiwasi na hiyo Elimu yako😂😂
Hivi umewahi kuona uniform za mazinde juu wewe?na unaona performance zao?hii shule ni nzuri sanaaaa no matter hizo uniform wanazovaa
@@Mc_creative28piga huyo bado anapumua 😂