UYUU MAMA MSIWE MNAMUOJII MARA KWA MARA MNAZIDI KUMUUMIZA SANA MOYO WAKE MTU ANAONGEA UKU AKIJIZUIA KUTO KULIA LAKIN BADO MNAZID KUMUOJI MKIMUUOJI MUMEWE INATOSHA TU
Mtoto wa kiume wa pekee nayaona maumivu ya hawa wazaz jmn😢😢😢😢Mungu awatie nguv jmn tunawaombea Sanaa mtoto apatikane akiwa hai inshallah Kwa jina la yesu
Mnawahoji nini hawa wazazi ilhari hata mtoto hajapatikana nyie mnaweza acheni kuzidi kuchoshwa watu huyo mama mbajua maumivu aliyonayo jamani uwiiiiiiiiii
Toa Maelezo vzr🤔alikuambia hataki shule?angekua hataki shule,si angetorokea Nyumbani?angesubiri siku ya kupanda study tour?kabla ya kuchangia mada,vaa uhalisia wa Mzazi😢
Mi naona saa zingine kuna vichaa wa comment ivi kwann lkn hamuwaz kabla kuongeaa.Waoneeni huruma wazazi jmni. mtoto anauma.shule alikeleza kua hataki daahh mnaumiza jmni
UYUU MAMA MSIWE MNAMUOJII MARA KWA MARA MNAZIDI KUMUUMIZA SANA MOYO WAKE MTU ANAONGEA UKU AKIJIZUIA KUTO KULIA LAKIN BADO MNAZID KUMUOJI MKIMUUOJI MUMEWE INATOSHA TU
😢😢😢😢😢😢😢 pole sana mumy
Tunaomba wote kwa imani zetu kaka Joely apatikane akiwa mzima na salama
MUNGU tunaomba tenda miujiza yako
Amina.
mungu mwma mtoto lazima apatikane akiwa hai pole sana babaa polesanaa babaa pole sanaa mamaaa
Duh,, mtoto anauma ukijaribu kuvaa viatu vya huyu mama duh😢
Yaani hayaelezeki kabisa
Mtoto pekee wa kiume na normally mtoto 1 wa kiume ndo jicho la mama
Yn ht uyu baba anaumia sn na kipenzi kbs kwa baba uyu mtt
Inshaa Allah huyu mtoto atapatikana mzima wa Afya kwa uwezo wa Allah na rehma zake
Family Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.ila naamini Joel yupo salama
Mungu uwafanyie wepesi mtoto apatikane
Insha Allah utampata mtoto wako akiwa hai endeleya kumtegemeya Allah
Mungu wetu anasikia maombi, naamini Joel atapatikana hivi karibuni.
Mtoto wa kiume wa pekee nayaona maumivu ya hawa wazaz jmn😢😢😢😢Mungu awatie nguv jmn tunawaombea Sanaa mtoto apatikane akiwa hai inshallah Kwa jina la yesu
Mungu amsimamie huyu mtoto
Mnawahoji nini hawa wazazi ilhari hata mtoto hajapatikana nyie mnaweza acheni kuzidi kuchoshwa watu huyo mama mbajua maumivu aliyonayo jamani uwiiiiiiiiii
Mungu amusaidie Joel arudi nyumbani akiwa hai
Ataonekana kwa uwezo wa Mungu Pole sana baba joel
Dua na maombi ndo nguzo kwasasa Joel yupo atarudi tu Inshallah
Myngu atamlinda atapatikana tuu akiwa hai kabisa. Pengine yuko kwq rafiki zake
milard muoga sijawahi ona yaan taarifa za kupokonywa kamera tunaziona vyombo vingine duh
Anaogopa kuiweka hiyo habari kwenye channel yake
Mungu wangu nakuomba mtoto huyu apatikane
Akipatikana tuambiwe jaman
Kijanazur jamani mungu tunakuomba mrudishe mtoto huyu nyumbani
Kwan mwalim kafanyaje jaman nikuomba mungu msilaumu mwalim
Kwanini MBWA wa Polisi ameshindwa kupata harufu ya Mtoto?
Watafute makomanda kutoka Chuo cha MWEKA Moshi.
HIIVI HUU MTOTO/MWAFUNZI ALIKUWA NA SIMU?
Ushauri wangu kuhusu hili ,huyu mtoto yawezekana yupo mtaani tuu mahali amekaa .Ushauri wangu jitihada zinazoendelea wapite mitaani pia kumtafuta .
Hivi mbona tunashuhudia mambo magumu hivi jamani. Mungu tusaidie mwenyezi Mungu tuepushe na haya tunayo yaona
Mwalimu atafutwe ajibu kilicho mtoa kwenye hili tatizo
jaman kwan haya yote yanatokana na nini waganga au hili ni agizo ambalo ambalo limetolewa na watu ambao wapo nje na uwezo wetu
Wanajeshi wangesaidia wale wana mbinu lazima wangempata huyo mtoto.
Yarabi twakuomba Joel apatikane akiwahai hujawahi kushinda na chochote
Milimani wanapenda kujivunza nn
Jamani uyu mtoto sizani kama yupo mlimani
Yn mtt 1 tu ndo alopotea jmn kaa we mtt unatesa baba ako
Au alimezwa na.chatu
We baba pole sana lakini weka tofauti pembeni mungu ni mwema mtoto atapatikana vizuri
Duhh
Basi watu wotee waliokuwa kwenye msafara watoe maelezo yanayoeleweka na kufanana maelezo yakamilike
Jameni,why hatumiyi sniffing dogs? Iko perfect kutafuta as long as iko guwo ya mutoto.Dogs are smart and fast.😢
Joel jitokeze mwanangu umeshakuwa maarufuu huku
Yani
Jamaa mbona anaonekana kama wamika 14 ako bakakanjuile
Tour guide walikuepo?
Au huyo mwalimu kaondoka nae?
😭😭😭😭
Baba mwalimu hana kosa mambo aya ila poleni kwa yote. Mwalimu hakuwa na nia mbaya
Sasa kwnn asionekane?
BALAAA
MUNGU ATAMPA ULINZI UTAMPATA AKIWA HAI NASALAMA AMNI YARABI MTOTO ANAUMA USIKIE TU KWA MWENZIO
Kiusalama nahisi wamemfucha kwanza huyo mwalim
Usalamaa ganiii😮😮
Huyu dogo hataki shulee,yupo ni nzima naamini Mungu atatendaaa
Hacha ushamba una huakika gani kama htaki shule,,, watu wko siliasi na kumtafta mtoto alfu unabna mapua, mlete bac kama unajua alipo