Acha urishikina ww,Indonesia ni jinsi gani imani yako ilivyo haba na wansokuunga mkono,yani M'mungu umemsahau kabisa,hujui nguvu uwezo na maajabu yake,subhaanallah!!..
...Husilete SIASA WEWE.... Kwa hiyo kama yupo sehemu maswali ya kujiuliza 1. Anaishi kwa nani haiwezekani alale nje SIKU zote 2. Anakula nini 3. Wananchi hawamuoni huko mtaani Sikia Mtafuteni msiseme yawezekana Yuko sehemu kajificha MTAFUTENI MPAKA APATIKANE uwe mwili au nguo APATIKANE.😢
Mbona unasema hivyo je yeye ndio alompoteza msijenge chuki zisixo na sababu tuombe mungu mtoto apatikane akiwa salama machungu ya wazazi ni mazito jamani
Huyo mtoto asiogope kuja kama anahofu kipigwa mana anatesa watu jamani
Mungu yupo atapatikana tu
Mi sizani kama bado yupo mliman jamani yawezekana ameshatoka anaogopa kurud nyumbani
Hapo watahangaika sana bila mafanikio, dawa ni kuwafuata wazee wa kimila wafanye yao
Ndo ukweli bila hivo awawezi kumuon
Acha urishikina ww,Indonesia ni jinsi gani imani yako ilivyo haba na wansokuunga mkono,yani M'mungu umemsahau kabisa,hujui nguvu uwezo na maajabu yake,subhaanallah!!..
@@LuluAquai hivi unajua unachokiongea kweli au umeamua uhandike tu msj uonekane na ww umejibu
...Husilete SIASA WEWE....
Kwa hiyo kama yupo sehemu maswali ya kujiuliza
1. Anaishi kwa nani haiwezekani alale nje SIKU zote
2. Anakula nini
3. Wananchi hawamuoni huko mtaani
Sikia Mtafuteni msiseme yawezekana Yuko sehemu kajificha MTAFUTENI MPAKA APATIKANE uwe mwili au nguo APATIKANE.😢
Mbona unasema hivyo je yeye ndio alompoteza msijenge chuki zisixo na sababu tuombe mungu mtoto apatikane akiwa salama machungu ya wazazi ni mazito jamani
Weeeh yaani Bado ? Kuna ma hope's kweli hapo ? But Mungu yuko nae
Ageliwa nachatu guo zigepatikana
Kuna chatu huko? Mungu anekana Joel apatikane
Unaweza ficha mtoto wamtu nawakati anatafuta
Agelikufa kuguru wagepiga milio porini