RC ACHAFUKWA, ATIMUA MAFUNDI WAKIWA SITE, AGUNDUA UDANGANYIFU BAADA YA KUSIKIA ANAKUJA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 39

  • @nathanielshauri5135
    @nathanielshauri5135 57 นาทีที่ผ่านมา

    Tunaitaji viongozi na watendaji bora (VRT) MAGUFULI..💪💪

  • @Ushauri235
    @Ushauri235 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mkuu wa mkoa uko vizuri huwa nakupenda sana mimi

  • @rosamanjau6685
    @rosamanjau6685 49 นาทีที่ผ่านมา

    Tunapenda viongozi WA mfano wako,kufuatilia majukumu , hongera mama ,usichoke !! Kazi mbele kwa mbele

  • @maryaugustino8716
    @maryaugustino8716 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Safi sana sendiga jembe letu yaani tanzania tukiwa na wakuu wa mikoa kama huyu hakika nchi itanyooka. Kwanza huyo mama anayejibizana na mkuu wa mkoa angekuwepo magufuli hapo japo angekuwa hana kazi. Mh sendiga umemlea huyo yaani mara moja ungempa mkono wa kwaheri kabisa anaonekana ana kiburi huyu

  • @godfreysimoni4270
    @godfreysimoni4270 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Piga kazi mama na mungu akubariki kwa kusimamia iran ya chama

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unachekesha tata

  • @WilliamIbrahim-dt5nb
    @WilliamIbrahim-dt5nb ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hongera mkuu kwakuwachangamsha vichwa vyao

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv 11 นาทีที่ผ่านมา +1

    Mafundi hawana makosa tena wakati mwingine hata hawalipwi pesa zao woneeni huruma nawao wanaweza kusema ukweli kuhusu huyo eng mafundi wanazulumiwa sana ila hawana wakuwatetea ,shida ipo kwa mnao wapa usimamizi wa miradi ya serkal ,wameshindwa kusimamia familia zao wataweza kusimamia familia ya mwingine? Ebu tutafakari hii na mafundi naombeni like zenu zote

  • @hellenmgonja6137
    @hellenmgonja6137 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hongera madam kwa kazi nzuri

  • @mohamedmarijani
    @mohamedmarijani 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hao ndio wa tz hawafanyikazi mpaka wasimamiwe.

  • @claratemba44
    @claratemba44 19 นาทีที่ผ่านมา

    Dada queren nakupenda sana kutoka ujerumani

  • @claratemba44
    @claratemba44 17 นาทีที่ผ่านมา

    Watoto wetuuuu wote

  • @maryaugustino8716
    @maryaugustino8716 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mama samia rais wetu msikivu tunajua umeiona hii clip mwangalie huyu dad's aliyevaa nguo ya dark blue anakiburi sana toa huyo yeye ndio anafanya mchezo kwenye pesa za miradi ondoa kabisa anakiburi huyu

  • @amedeusmmanga8043
    @amedeusmmanga8043 40 นาทีที่ผ่านมา

    Makini sana huyu Mama

  • @JosephKangungu
    @JosephKangungu ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dada wewe ni makonda na 2 hongera sana .

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kimewalamba 😂😂😂😂 hongera muheshimiwa

  • @user-hj8sc7jv5m
    @user-hj8sc7jv5m 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Rc wengine wafanye hivyo wanalala sana

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Safi sana

  • @MathayoMagavilo
    @MathayoMagavilo 12 นาทีที่ผ่านมา

    Fukuza takataka hao

  • @NtamamiloGibson
    @NtamamiloGibson ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mnaingea sana sijasikia mtu kaliwa kichwa. Kazi iendelee😂😂😂😂

  • @user-hj8sc7jv5m
    @user-hj8sc7jv5m 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Naomba uniajiri Mimi niwe mkuu wa wilaya waone Cha mtema kuni

  • @ibrahimhodabaksh3939
    @ibrahimhodabaksh3939 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    SASA NI UPIGAJI TU

  • @KenedyMboma-zb4cq
    @KenedyMboma-zb4cq ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mipekazi mkuu

  • @ericamkwena7736
    @ericamkwena7736 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mafundi unawaonea

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hata Mimi naona,hao ni vibarua tu hawaelewi chochote,siku zote hufanya wanachoelekezwa,aende adili na wakubwa mwenzake na si hao mafundi maskini kama mimi😢

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Fukuda hao ndo wanachelewesha miradi ili watu wajuu waonekane hamjui kaz makusudi tuu .fukuza wote hap au hamisha leta wengine .sasa pesa wanakaa nazo wanataka nini?

  • @johnmadec3199
    @johnmadec3199 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mkandarasi kalipwa?

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 12 นาทีที่ผ่านมา

    Sasa hao ni watanzania, umewasikiliza wanachangamoto gani ? Kwann usipate chanzo hata ufukuze vibarua au mafundi wkati wao wanasimamiwa na Eng.

  • @storytownTv
    @storytownTv ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Serikali ya chra kiziwi..😂 naona shetani la Uncle magu limeanza kuitekenya Tz upya..saaafi😂

  • @kainimlowe9646
    @kainimlowe9646 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona mafundi wanatembea kama mashoga

  • @ShufainaAhmad
    @ShufainaAhmad 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa fundi anamakosa gan asukumwe😂😂

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mama sendiga niit3 nije nifanye hiyo kaz chap au wameshakula hizo pesa?

  • @jamesmasome359
    @jamesmasome359 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mnawachekea hayo ndiyo matokeo yake...

  • @MabindoMaguzu
    @MabindoMaguzu 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Umefanya sahihi kosalako umekurupuka kufukuza mafundi navibarua wakati hakizao hawajalipwa badala kukuza wasimamizi na wakandarasi

    • @MabindoMaguzu
      @MabindoMaguzu 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Fukuza wakandarasi nawasimamizi

  • @claratemba44
    @claratemba44 18 นาทีที่ผ่านมา

    Nahenden maswali yako

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Engineer 😂😂😂😂