Eeeeh! Huyu waziri bado tu hajajiuzuru ,bado ameng'ang'ania kiti?Duuh! Cheo kitamu sana,lkn cheo kina utamu gn kama wizara husika inatuhumiwa kikubwa namna hii??Mmmh! ningekuwa ni mm hata usngz nisingepata.....JIUZURU ww..
Hamna kitu hapo tunasikitija sana bosi wako anasema integisia yake makini kwa chadema si kwa wauaji watekaji watesaji ,kwa mfano angekufa sativa kama kibao msingetafuta wauaji yeye anasema alikuja hapo katika kituo chenu usingeenda midia ilitakiwa wewe kama kiongoz aliandika maelezo ungedili na hicho kituo chako mambo yaanzie hapo ,mnaharibu nchi haikuwa hivi
Huyu bwege anasema eti polisi wakibaini maisha yako yanaweza kuwa hatarini wanaweza kukuhufadhi ili kunisuru uhai wako mbona wasimpevulinzi akiwa nyumbani kwake? Na je kwa nini kama ndiovyo yeye na Rais wasiwekwe rumande kulinda uhai wako badala yake wao wanalindwa na hata ikiwezekana wanaotaka kutoka wanasafiwhiwa njia ili wapite kwa urahisi? Kama Nia ni kumlinda walipasea kumpa ulinzi. Tunakumbuka kipindi cha magufuli Kuna watu walikuwa wakitoa taarifa na uhalifu na Rais magufuli alikuwa akitoa amri ya kupatiwa ulinzi kwa watu wale atuambie ni nani Kati yao alipeldkwa rumande kama njia ya ulinzi. Huyu anaongea utumbo akaambiwa anakasirika
Ck zote mungekua ivo wasfi sio uchawa 🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🇹🇿♥️🙏
Wasafi
Mkazane.mko.vizuri.nawapata.vizuri.kitenge..zebwera.asnteni
Huyu jamaa hafai kabisa kuwa waziri kabisa
Babu masauni uondoke hufai
Waziri unatuangusha sana mnampa mama changamoto zauchaguzi ujao
Akuna uweledi wowote tanzania rushwa imetawala kwa polisi tunamkumbuka sana magufuli mwamba
Mbona mgeni wenu anawatazama vibaya jicho la mnanikera siwapendi
Umeshindwa sera
Kuna vitu havipo sawa kwenye serekali yetu
Masauni hufai Bara,achia ngazi rudi Visiwani Aibu huna
Sasa kama waliotaka kumuuwa ni haohao Police anawezaje kuludi Tena huko huko.
Waziri hanamung'unya sana maneno hamn kitu
Okay sawaaa sawaaa
Acha .......
Waandishi mnahoji maswali kiutani, hamko siriasi
Hajajibu swali anamung'unya maneno
Sativa aende akaeleze Ostarbay tena?
Ivi kweli masauni Bora usingekwenda huko kuhojiwa unatutia hasila kwa majibu Yako
Kiufupi kazi huwezi Yani naona upo kwajiri ya kuilinda ccm Yakoonyesha uwezo wako ambao mungu amekupa
Utopolo tu kwani mafwele hajatajwa na wale polisi wa chang'ombe
Sasa mnamuoji mtekaji 😂😂 hamtapata majibu😂😂😂😂 na anajua kila kitu.
Eeeeh! Huyu waziri bado tu hajajiuzuru ,bado ameng'ang'ania kiti?Duuh! Cheo kitamu sana,lkn cheo kina utamu gn kama wizara husika inatuhumiwa kikubwa namna hii??Mmmh! ningekuwa ni mm hata usngz nisingepata.....JIUZURU ww..
Kaka kitenge hatuna waziri hapo
Sativa mbona kama amefundishwa jinsbya kuongea
Mbn mafwele hakanushi tuhuma dhidi yke?
Jamani mm sisikii vizr nambien waziri anaongea nn maana namuonatu
Hamna kitu hapo tunasikitija sana bosi wako anasema integisia yake makini kwa chadema si kwa wauaji watekaji watesaji ,kwa mfano angekufa sativa kama kibao msingetafuta wauaji yeye anasema alikuja hapo katika kituo chenu usingeenda midia ilitakiwa wewe kama kiongoz aliandika maelezo ungedili na hicho kituo chako mambo yaanzie hapo ,mnaharibu nchi haikuwa hivi
Zamani mbona Ratiba ameeleza kila kitu na kuwajua salio mteja. Kwa nini hawa watu hawajashikwa mpaka sasa?
alfu ulela na ulela nan anakumbuka kitabu hicho
mnataka ushirikiano Gani wakati aliandika maelezo yote police kule katavi?
Huyu bwege anasema eti polisi wakibaini maisha yako yanaweza kuwa hatarini wanaweza kukuhufadhi ili kunisuru uhai wako mbona wasimpevulinzi akiwa nyumbani kwake? Na je kwa nini kama ndiovyo yeye na Rais wasiwekwe rumande kulinda uhai wako badala yake wao wanalindwa na hata ikiwezekana wanaotaka kutoka wanasafiwhiwa njia ili wapite kwa urahisi? Kama Nia ni kumlinda walipasea kumpa ulinzi. Tunakumbuka kipindi cha magufuli Kuna watu walikuwa wakitoa taarifa na uhalifu na Rais magufuli alikuwa akitoa amri ya kupatiwa ulinzi kwa watu wale atuambie ni nani Kati yao alipeldkwa rumande kama njia ya ulinzi. Huyu anaongea utumbo akaambiwa anakasirika
Kitenge nakuuliza kwani yule aliye ingia kwenye gar akaw ataki kutoa maelezo hajashikwa
Huyu.mtu.ameeshajua.hatari.sana.waziri.jihahaami.na.huyo.jamaa.vikosi.vyake.
Homa ya ini inatokea kwasababu ya pombe na madawa.
Kilaza mkubwa
Watekaji huwape ushirikiano upi,
Tutajilinda wenyewe
😂😂😂😂😂😂
Waziri umeongea drama tu. .
Mtawala yohote kugoka kizimkazi ni fhhaifu sans
Sativa amejieleza na tumemwelewa.... Aibu gani hii.... Ukatili gani huu kisa siasa
Mbona majibu rahisi katika mambo makubwa?