JINSI YA KUKUA KIROHO Sehemu ya Kwanza- Innocent Morris

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 60

  • @DorcusSaul-wv9rd
    @DorcusSaul-wv9rd 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Amen Amen 🙏🙏,, sitarudi nyuma ata maneno yawe aje kwangu,, ntasimama na neno lake Mungu,,, nakufatilia nkiwa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @evalynependo3824
    @evalynependo3824 5 หลายเดือนก่อน +5

    Asante sana pastor innocent Morris, kupita maelezo haya,nitatumia neno la mungu katika maeneo ya maisha yangu, najiona nikimiliki vitu vya kifahari katika uso wa inchi kwa jina la yesu kristo amen and Amen 🙏🏻🙌👏🏿❤

  • @NshomaSayi
    @NshomaSayi 20 วันที่ผ่านมา

    Amen mtumishi namuomba Mungu nikue kiroho nizidi kulijua neno la Mungu zaidi

  • @AmidaElias-q5u
    @AmidaElias-q5u 21 วันที่ผ่านมา

    Nabarikiwa sana na hayaafunzo
    Mwenyezi Mungu aendelee kukuweka MTUMISHI.

  • @peninabensonpen870
    @peninabensonpen870 2 หลายเดือนก่อน

    Ameen Ameen hallelujah Hallelujah

  • @PriscaKihiyo
    @PriscaKihiyo 5 หลายเดือนก่อน +3

    MUNGU akubariki sanaaaaaaa mtumishi wa MUNGU kwa somo nzuri sanaaa ni kweli kabisa ni mebarikiwa sanaaaa. Ameeen

  • @MwanaHuseni-jf2lv
    @MwanaHuseni-jf2lv 5 หลายเดือนก่อน +4

    Amen be blessed apostle aki nakuelwa vzur Mungu akulinde 🙏🙏❤️❤️

  • @Marianamsafiri-sm2vx
    @Marianamsafiri-sm2vx 3 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @warshatissa7128
    @warshatissa7128 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe Sana mtumishi maana ni mengi najifunza. Asante kwa mafunzo ya unyenyekevu na tiba ya moyo wangu. Nazidi kutibika

  • @MweshMwesh-dr5lp
    @MweshMwesh-dr5lp 5 หลายเดือนก่อน +3

    Atutarudi nyuma katika jina la Yesu Kristo 🙏

  • @annacharles2842
    @annacharles2842 28 วันที่ผ่านมา

    Mwalimu mzuri

  • @jacklineelias3091
    @jacklineelias3091 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen mtumishi ew mungu nionekanie kwenye eneo la maisha yangu gusa kila kilicho changu 🙏🙏 naomba mungu unikuze kiroho zaid mtumishi naitaji maombi yako

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  2 หลายเดือนก่อน

      Ameen ameeen

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  2 หลายเดือนก่อน

      Nitakuombea. Mungu atakupa haja ya moyo wako katika jina la Yesu Kristo

  • @allenjohn4328
    @allenjohn4328 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen mtumishi wa Mungu

  • @powerofgospeltorecover804
    @powerofgospeltorecover804 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen nakupata mtumishi

  • @TheAngelofGod-b1q
    @TheAngelofGod-b1q 2 หลายเดือนก่อน

    Ooh mtumishi wa mungu,this is me,apo Kwa mfungo yameniguza roho sana,wiki uliopita nilijiandaa kufunga siku Saba nikaanza siku ya kwanza na pili nikasali vizuri bila jaribio lakini siku ya tatu nikafungua saa Saba na kula kabla ya saa kumi na mbili thn huo mfungo kukawa na majaribu sasa nilipofungua na kula nikamaliza kichwa ikaniuma sana Kwa muda mchache na kutulia kabisa Kisha Jana saa sita ya usiku nikashika bibilia kusoma neno nikajawa na uzingizi nikazinsia nikalala hdi saa tisa nikashtuka nikiketi nimeshika bible mkononi nikakasirika sana

  • @lizzymwangi9940
    @lizzymwangi9940 4 หลายเดือนก่อน

    Amen
    Amen
    Amen
    Poweful Sermon 🔥🔥
    🙏🙏🙏Man of God I request part 2 ya kukua kiroho 🤲

  • @DinahEdward-xu6ni
    @DinahEdward-xu6ni 5 หลายเดือนก่อน +2

    Amina barikiwa Munngu nisaidie nikue kiroho🙏🙏

  • @ireneuwimana5385
    @ireneuwimana5385 4 หลายเดือนก่อน

    Eee Mungu wangu unijaze na neno lako ili nizidi kukuwa kiroho, kwa jina la Yesu Kristo. Amen 🙏🏽

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 4 หลายเดือนก่อน

    Be blessed 🙏

  • @GeofreyPenford
    @GeofreyPenford 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu nisaidie nikue kiroho

  • @agneswavinya4268
    @agneswavinya4268 4 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen 🙏

  • @clarasima5447
    @clarasima5447 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙏🙏

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @neemajoseph-nm1cz
    @neemajoseph-nm1cz 5 หลายเดือนก่อน

    Ameee

  • @frolencialupilya6209
    @frolencialupilya6209 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen Kaka

  • @judithnaliaka972
    @judithnaliaka972 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙏 🙏

  • @marysalome-mg4cn
    @marysalome-mg4cn 5 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 be blessed pastor

  • @JenniferKaiza
    @JenniferKaiza 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen

  • @philmonnem7294
    @philmonnem7294 4 หลายเดือนก่อน

    Nmegundua napitwa na vitu vizuri nina mda siyo sana nafatilia mafundisho yako yamenijenga sana Mungu akubariki mno 🙏🏻 asante

  • @floradavid5216
    @floradavid5216 5 หลายเดือนก่อน

    God bless you

  • @AngelMitarimbo
    @AngelMitarimbo 4 หลายเดือนก่อน

    Baba samahan mtumishi wa Mungu naomba haya maufundisho ktk whatsp yangu Natamani kujifunza zaidi somo hli..

  • @faithe4063
    @faithe4063 5 หลายเดือนก่อน +2

    Amen and Amen, pastor naomba unitumie Whatsapp hii najaribu ku download but inakataa

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  5 หลายเดือนก่อน +1

      Kutumia kwa WhatsApp ni ngumu kwa maana ni kubwa sana. Ila hapo kuna option ya kudownload ipo. Unaweza kudownload

  • @BerthaPhilipoShigi-pg4kv
    @BerthaPhilipoShigi-pg4kv 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi autoi vipindi naona najirudia tu

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  3 หลายเดือนก่อน

      Hii ni sehemu ya kwanza. Baada ya mfungo tutaweka sehemu ya pili, tatu na nne

  • @GabinKamwanggabin
    @GabinKamwanggabin 5 หลายเดือนก่อน

    Àmen

  • @JenniferKaiza
    @JenniferKaiza 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna kuludi nyuma tena

  • @ELIZABETHFUNGAMEZA
    @ELIZABETHFUNGAMEZA หลายเดือนก่อน

    .

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen

  • @florarwegerera8025
    @florarwegerera8025 5 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @ledyamatar5530
    @ledyamatar5530 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙏

  • @EstherFrederick-jc5mt
    @EstherFrederick-jc5mt 5 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏