Rais Magufuli: Sipangiwi Kazi, Makonda Chapa Kazi, Usitishike na Mambo ya Mitandaoni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 100

  • @husseinhemedi9314
    @husseinhemedi9314 6 หลายเดือนก่อน +6

    Magufuli alishamuona makonda Big up
    Like zenu

  • @stellawillison1148
    @stellawillison1148 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @emmanuelnyansiro8636
    @emmanuelnyansiro8636 7 ปีที่แล้ว +8

    wasukuma wasukuma wasukuma wasukuma wasukuma wasukuma wasukuma wasukuma

    • @samwelingasa1638
      @samwelingasa1638 11 หลายเดือนก่อน

      Ndo sisi😂😂😂

    • @paulsibu5770
      @paulsibu5770 6 หลายเดือนก่อน +1

      Sisi ndo sisi

  • @Profshab_Company
    @Profshab_Company 3 ปีที่แล้ว +2

    God Bless Mr President

  • @angelinaelishachisongela7859
    @angelinaelishachisongela7859 5 ปีที่แล้ว +4

    Naamini kuwa kila NCHI inatamani kuwa na RAISI kama MAGUFULI aisee WE THANKS YOU GOD

    • @salmatz9081
      @salmatz9081 5 ปีที่แล้ว +1

      Nikweli Angelina elisha chisongela kunasiku nlikuwa nasafir tumefika Zimbabwe wakawa wazungumza kwamba Zimbabwe ipewe magufuli

  • @sirajiamidu9424
    @sirajiamidu9424 7 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana our president najua unajua sana big up to u
    Huyu ndo rais hana siasa na hafati masirah. Ni mzalendo na nchi yake

    • @maulidmaulid326
      @maulidmaulid326 7 ปีที่แล้ว +2

      TANZANIA BADO IPO GIZANI NA WATANZANIA BADO WAPO GIZANI

  • @officialmwerevu5455
    @officialmwerevu5455 5 ปีที่แล้ว

    No comment!! lkn tufike mahali na kufanya ya haki na halali bigup sana my presedent

  • @mako331
    @mako331 7 ปีที่แล้ว +1

    that's my President

  • @georgemassebu2083
    @georgemassebu2083 7 ปีที่แล้ว +9

    Nilitamani kusikia hivi..watu wanataka Rais aongoze nchi kwa maneno ya kwenye mitandao.Makonda ni mthubutu,wangapi walishindwa kupambana na madawa lakini yeye angalau amejaribu,watu wanaongozwa na mihemko ya kisiasa kupinga utendaji

    • @noxlosingida2369
      @noxlosingida2369 7 ปีที่แล้ว +2

      kweli kabisa George umeongea point

  • @fatumaaden5053
    @fatumaaden5053 7 ปีที่แล้ว +1

    The best presdent ever

  • @jacksonbundala2384
    @jacksonbundala2384 7 ปีที่แล้ว +1

    safi sana

  • @josephkomba6695
    @josephkomba6695 7 ปีที่แล้ว +7

    uyu ndo raic nnaemtaka Tanzania

  • @jastingwahila5715
    @jastingwahila5715 3 ปีที่แล้ว +2

    R.i.p Mzee wetu

    • @sifatiiman
      @sifatiiman ปีที่แล้ว

      aende tu mbwa huyo alijiona mungu? 🙄🙄🙄😏😏😏

  • @chokambaya468
    @chokambaya468 7 ปีที่แล้ว +9

    ila hana vyeti sasa na ww ndo ulifukuzawatu kisa cheti sasa uo us.......

    • @vianeyminja575
      @vianeyminja575 7 ปีที่แล้ว

      Ameirhaji112 Haji wengine hatuna haki mkaka..

    • @chokambaya468
      @chokambaya468 7 ปีที่แล้ว +1

      Vianey Minja bas tuwe pole ila ipo siku tutapata haki na sie usjali

  • @gedionkalumbu1995
    @gedionkalumbu1995 5 ปีที่แล้ว

    Thanks Sir

  • @Big-ns6gj
    @Big-ns6gj 7 ปีที่แล้ว

    Safi sana wametuliza mishono sasa.....Nyambaaf!

  • @DismasJohn-o6c
    @DismasJohn-o6c 11 วันที่ผ่านมา

    Pumzika kwa amani mtetezi

  • @HalmenshianisonHalmenshianison
    @HalmenshianisonHalmenshianison ปีที่แล้ว

    Hiyo ndio democrasia ya kweli.

  • @vianeyminja575
    @vianeyminja575 7 ปีที่แล้ว +2

    leo nimeamini hii nchi ni ya watu wachache aisee,.. very disappointing,.. kuna watu wapo juu ya sheria asee...,

  • @duncanmbuthia3492
    @duncanmbuthia3492 5 ปีที่แล้ว

    Hapa kazi tu

  • @EcoEssence_wellness
    @EcoEssence_wellness 7 ปีที่แล้ว +1

    Duh!

  • @ManfaceFildoline-h1i
    @ManfaceFildoline-h1i 5 หลายเดือนก่อน

    Kweli

  • @dechardavid2555
    @dechardavid2555 4 หลายเดือนก่อน

    Makonda watu wa arusha na tz wanamuulzia yupo wap. 07/08/2024

  • @mariej6962
    @mariej6962 7 ปีที่แล้ว +2

    Kwa kuangalia anavyoongoza nchi na mitazamo ya watu, anapoteza kura nyingi sana kuelekea 2020. Matumaini ya waTZ yanayeyuka kama theluji walidhani wamepata kiongozi. Hata kura yangu keshaikosa this time hata afanye nini. Nadhani anakosa sana hekima, hana kabisa.

    • @beatricehenry621
      @beatricehenry621 7 ปีที่แล้ว +1

      Marie Burton we peke yako ss wa chini tuko naye

    • @petromtakati2975
      @petromtakati2975 2 ปีที่แล้ว

      Enjoy na mama samia wako

  • @seniornyungu9718
    @seniornyungu9718 7 ปีที่แล้ว

    Naogopa kusema, Lakin huwezi kuwa sawa kwa hilo

  • @gitu4me
    @gitu4me 7 ปีที่แล้ว

    haha safi sana rais wetu na baba yetu mpendwa

  • @zuberm7129
    @zuberm7129 5 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @mamafadhili8036
    @mamafadhili8036 5 ปีที่แล้ว

    SAFI BABA.

  • @joshuajohn8533
    @joshuajohn8533 6 หลายเดือนก่อน

    Raisi alikua na kiburi Cha uzima Ila Sasa Ni mifupa mikavu.unyenyekevu ndio kila kitu

  • @kayayooisaac4128
    @kayayooisaac4128 7 ปีที่แล้ว +4

    Nimemwelewa raisi wangu kwamba yeye anachotaka ni kazi,we forge cheti, piga watu, tukana, vamia kwake haaaaa hiyo siyo issue anachotaka ni kaziiiiii tu

  • @amirirashidi3379
    @amirirashidi3379 7 ปีที่แล้ว +1

    me yangu masikio tu

  • @ffanklleopord5998
    @ffanklleopord5998 2 ปีที่แล้ว

    Tulikuwa na raisi bangi kabisa

  • @johdreamerworldwide6684
    @johdreamerworldwide6684 7 ปีที่แล้ว +1

    wauza ngano ndo kwisha maana hap kaz tu

  • @ummykapera4660
    @ummykapera4660 5 ปีที่แล้ว

    tofautisha kuteuliwa na vyeti;makondo na mteule;munao uguwa kunyweni panadol mtapoa;

  • @azizawaziry3440
    @azizawaziry3440 7 ปีที่แล้ว +4

    kumbe uyu ndo anamtumuga makonda bac

  • @nurukwawote4716
    @nurukwawote4716 6 ปีที่แล้ว

    Je! Mwanadamu ni kitu gani, hata akawa safi? Huyo aliyezaliwa na mwanamke, hata awe na haki?
    Ayubu 15:14
    Kabla ya uharibifu moyo wa mwanadamu hujivuna; Na kabla ya heshima hutangulia unyenyekevu.
    Mithali 18:12

  • @jahzeelnaftar8413
    @jahzeelnaftar8413 7 ปีที่แล้ว +1

    usukuma moja etii eee baba wa taifa Nyerere alikataa ukabila naona huyu anaurudshaa hayaaa kumbka ww ni baba na kuna watoto wanakuangalia.............

    • @stellandoromi3141
      @stellandoromi3141 7 ปีที่แล้ว +1

      najut kukushangilia kipindi cha kampen

  • @ramlathntagaye3874
    @ramlathntagaye3874 7 ปีที่แล้ว +2

    umesema hutaki kupangiwa kazi asa wakikushauri si ndo utasema wanakupangia

  • @kattongamunna3060
    @kattongamunna3060 7 ปีที่แล้ว +1

    Napita tuu mm

  • @salehejongo2799
    @salehejongo2799 4 ปีที่แล้ว

    Ccm hoyeee JPM.

  • @neemazephania9082
    @neemazephania9082 7 ปีที่แล้ว

    ukiingilia ndo unaharibu kabisaaa........teh teh :) :)

  • @noxlosingida2369
    @noxlosingida2369 7 ปีที่แล้ว +4

    Natamani Gwajima angesikiliza hii live ili afunge vizuri akiomba kupambana na Makonda kkkkkk

    • @sifatiiman
      @sifatiiman ปีที่แล้ว

      kila kitu kina mwanzo na mwisho wakwapi sasa
      🙄🙄🙄jingine lipo limeshaga oza jingine lipo kama zuzu

  • @abdillahmbinga7050
    @abdillahmbinga7050 5 ปีที่แล้ว

    Na ndie hasa rais nimtakaje.

  • @mildredivayo9241
    @mildredivayo9241 7 ปีที่แล้ว

    kenya kwisha kabisa...kila kitu nikutoka inje ? madaktari,sugar,wa china kujenga barabara ooh Mungu tuonakanie

  • @emmanuelmlowe1311
    @emmanuelmlowe1311 7 ปีที่แล้ว +1

    Acha ujinga unataka chet cha ndoa au cha ukuu wamkoa?. hakuna chuo cha ukuu wa mkoa.

  • @racheldauson9471
    @racheldauson9471 5 ปีที่แล้ว

    Hahaaa kwenye mavipost vyenu uwiii magu weww

  • @jameshaule5460
    @jameshaule5460 7 ปีที่แล้ว +1

    We are doomed

  • @ibrahimharuta7333
    @ibrahimharuta7333 7 ปีที่แล้ว +1

    HAHAHA NDYO MH RAIS HAO WOTE TATIZO NI VITA DHIDI YA MADAWA YA KULEVYA'

  • @michaellazaro5070
    @michaellazaro5070 7 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @hapakazi7907
    @hapakazi7907 7 ปีที่แล้ว +1

    umefeli mzee , kwahyo wewe ndo unamtuma afanye utumbo au,,,,,,

    • @mudarthir
      @mudarthir 7 ปีที่แล้ว +1

      Hapa Kazi umefeli nyumbu wacha maneno ya khanga kwenye serikali
      kama unaweza subiri 2020 njoo uwanjani huna amri juu ya rais wetu

  • @yudagerard5501
    @yudagerard5501 7 ปีที่แล้ว +1

    huyu raisi wa ajabu kweli eti kwenye kuchukua form nilichukua mwenyewe,hizo kura ulipata wapi ulijipigia mwenyewe mpaka kushinda?!! ama kweli Tanzania sijui inaenda wapi...Mungu saidia

    • @maryshirima3049
      @maryshirima3049 7 ปีที่แล้ว

      Yuda Gerard 😂😂😂😉😂😂😂

    • @kelvinmahenge1228
      @kelvinmahenge1228 4 ปีที่แล้ว

      Acha ushoga aliamua mwenyew kujaza form ya kugombea ili mpigie kura sio aliamua yy mpigie bali alieashawishi mmpigie kenge mmoja ww

  • @Blackie_blackie9327
    @Blackie_blackie9327 7 ปีที่แล้ว +2

    hahaaa Kwel vi post vimezidi..

  • @emmanuelmlowe1311
    @emmanuelmlowe1311 7 ปีที่แล้ว +1

    unataka chet umesikia alitumia chet kupata ukuu wa mkoa?

  • @saleheinnocent7636
    @saleheinnocent7636 7 ปีที่แล้ว +1

    kazi tunafanya na kuongea pia vyote vinakwenda sambamba mheshimiwa sana hakika imekula kwetu kumbeeeeeeeeee.....

  • @emmanuelmlowe1311
    @emmanuelmlowe1311 7 ปีที่แล้ว +1

    Nchi haiongozwe na maneno ya mitandaoni?

  • @aishashedadi2347
    @aishashedadi2347 7 ปีที่แล้ว

    wambie wenye masikio wamesikia wenye macho wameona walikuwa wamesubilia jb ndo hilo wamelipata

  • @herumankayumba6483
    @herumankayumba6483 6 ปีที่แล้ว

    Pinga.kaz.umebeba.abiria.wengi.kelelezao.usikilize.wengi.tuna.taka.tufike.salama

  • @simonjohn3664
    @simonjohn3664 7 ปีที่แล้ว +3

    huna lolote ni ubaguzi tu wa kimadaraka na ukabila

    • @beatricehenry621
      @beatricehenry621 7 ปีที่แล้ว

      Simon John maulid we ndo huko gizani sie tunaona makonda songa tuuuu

    • @maromagesa8346
      @maromagesa8346 4 ปีที่แล้ว

      Wivu tu

  • @simonfundi5472
    @simonfundi5472 7 ปีที่แล้ว

    Na vyeti feki je na umesma mwenyewe

  • @athonyfrancis8889
    @athonyfrancis8889 7 ปีที่แล้ว +2

    Safii,ila unajiamini lakini hujiamini katika kauli zako,swala la makonda na vyeti limeanzia mezani kwako uhakiki wa vyeti,sasa hii kesi ya makonda kuvamia ofisi ki u jambazi na silaha kwa mtu mwingine angekuwa jela saa hii ni jela bila hata dhamana,kwa kosa la ujambazi wa kutumia silaha(nikimaanisha alivyochukua clip kwenye flash)lakini pia jeuri hii yote ni hela ya kodi zetu.kazi ni vizuri achape na haki atende asione nchi ni yake na unyanyasaji anaoendelea nao usiufumbie macho,usione wanaokushangilia ni wote wanaokushangilia baba .

  • @rajabuabdallah3840
    @rajabuabdallah3840 7 ปีที่แล้ว

    makonda chapa kz

  • @janewacera7812
    @janewacera7812 7 ปีที่แล้ว +1

    Haeleweki Hana msimamo

  • @bahatidan4751
    @bahatidan4751 7 ปีที่แล้ว +2

    waooo magufuli tulikuchagua to guide democracy u allow bashite to attack clouds FM with police and army officers who are paid by tax payers kesho bashite will kill the journalist with the same guns he carries u should resign. wewe si rais wa wanyonge but rais wa bashite na dictators

  • @hapakazi7907
    @hapakazi7907 7 ปีที่แล้ว +2

    huyu rais sometime anakuwa kama hajielewi

  • @azizawaziry3440
    @azizawaziry3440 7 ปีที่แล้ว +1

    cjui Tanzania ya kesho itakuwaje..tumempa nchi chizi ivi kikwete c aludi2 jamn..

  • @sindanosalu7140
    @sindanosalu7140 5 ปีที่แล้ว

    B

  • @safarismasai3086
    @safarismasai3086 5 ปีที่แล้ว

    Chapa

  • @nessa4899
    @nessa4899 7 ปีที่แล้ว

    daaah!! what a horrible dictator. sasa unapanga wewe unajiongoza wewe????????

  • @simonfundi5472
    @simonfundi5472 7 ปีที่แล้ว

    Mzee unamuogopa makonda

  • @vianeyminja575
    @vianeyminja575 7 ปีที่แล้ว

    leo nimeamini hii nchi ni ya watu wachache aisee,.. very disappointing,.. kuna watu wapo juu ya sheria asee...,