MWAIPOPO "Alhadi wewe ni mweupe wa rangi tu lakini sio matendo" Omba radhi kwa uliyofanya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 35

  • @taturajabukhalfani7953
    @taturajabukhalfani7953 ปีที่แล้ว +2

    Leo machawa wamegeuka kunguni jamani 😃😃

  • @michaeljohn9070
    @michaeljohn9070 ปีที่แล้ว +1

    Ko mliingizwa chakike sio😆😆😆

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 ปีที่แล้ว +1

    Shekhe mwaipopo na shekhe sharif bila ya ninyi kulipigia kelele hili suala basi naamini huu ujinga aloufanya shekhe alhad mussa basi watu wasingeujua, nawaunga mkono kwa hili.

  • @joumarajab5307
    @joumarajab5307 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😊😀 hawa jamaa waende komedy tu uku sio kwao

  • @fatumashabani9122
    @fatumashabani9122 ปีที่แล้ว +1

    Dini inatufundisha kufichiana aibu , kwa nini tunadhalilishana mitandaon kwan hakuna njia nyingine ya kuelekezana mpaka kwenye mitandao

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 ปีที่แล้ว +2

    Yani leo shekhe wa mkoa anaifanya kazi ya qadhi!! Hahahahaha...hivi kweli ni vituko!! Cheo cha qadhi sio mas-hara!! Alhad mussa nenda kasome kwanza

  • @la_raib953
    @la_raib953 ปีที่แล้ว +2

    hawa ni wanafik tu

  • @athumankagoro4187
    @athumankagoro4187 ปีที่แล้ว +1

    Astaghafir ALLAH naomba uwaone Hawa waja wako yaliyopo nyuma yao ni Aibu kanzu zinakosewa kuvaliwa nao

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 ปีที่แล้ว +1

    Uyu shekhe wa mkoa alhad mussa ni ziro kabisa!! Ata majukumu yake hayajuwi!!!

  • @shamsaelbeity8250
    @shamsaelbeity8250 ปีที่แล้ว +1

    Wewe unataka kufia jela unamjua vizuri alhad?

    • @ninononi3674
      @ninononi3674 ปีที่แล้ว

      Unamjua vizuri Mwaipopo "au unahisi yupo yupo tu

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 ปีที่แล้ว

      Mwaipopo nilikua naona namjua lkn kumbe sikua namjua vzr. Utatoaji miezi sita ya mtu kuachishwa kazi halafu umshambulie kwa maneno tele hali ya kua humjui just kwa maneno ya kusikia tu??? Halafu unakuja kutengua maneno yako baada ya kuona ulokua unamtetea kaachishwa yy kazi. Mwaipopo ni mnafik ajirekebishe.

  • @blackwarrior-animations593
    @blackwarrior-animations593 ปีที่แล้ว +2

    Body language zenu wote hapo ni mnaonekana ni wapayukaji tu !

    • @ahmadseif7241
      @ahmadseif7241 ปีที่แล้ว

      Acha ujinga ww..kwanza unajua chimbuko la hii mada au unacomment ujinga tu

  • @moseskisingi7696
    @moseskisingi7696 ปีที่แล้ว +3

    Ogopa sana unapoungwa mkono na watu ukiwa na CHEO.
    CHEO kikiisha unageukwa siku iyo hiyo.

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 ปีที่แล้ว +1

    Dr. Mwaka si aliita Masheikh wetu wahuni.

  • @umiy1971
    @umiy1971 ปีที่แล้ว +2

    Wacha nisome niifahamu dini yangu mwenyewe maana mashekhe nyinyi wenyewe mnakabana na kujivutia vutia Wala hamfahamiki

  • @sirjcmahiri4634
    @sirjcmahiri4634 ปีที่แล้ว +1

    These pple are actors. I follow them for entertainment purposes. Nothing significant to admire from these guys. Hawa ni watu wa kutafuta hela tu ili maisha yasonge kwa kutumia dini!!

  • @kibwetere1418
    @kibwetere1418 ปีที่แล้ว +1

    Hatari sana hii jamani hawa ndio walikuwa wapambe wake jamani tujifunze kuishi bila kutegemea uchawa

  • @umiy1971
    @umiy1971 ปีที่แล้ว +2

    Juzi mlikuwa upande wa sheikh Hadi mkawashambulia maulamaa Leo mko upande wa maulamaa na kauli ya dct mwaka ya kuwa mashekhe nyie wahuni imejidhihirisha

    • @massybondo3669
      @massybondo3669 ปีที่แล้ว

      Wahuni hawa. Wasela nilijua hawafiki mbali
      watarudi kuomba msamaha kweli chawa hugeuka

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 ปีที่แล้ว +2

    Waislam ndugu zangu imetosha imetosha imetosha basi basi
    Tofauti zisizidi kiwango Cha Undugu wetu katika Imani fichieni aibu huyo ndugu yetu Ili Nasisi Allah atufichiye aibu zetu

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 ปีที่แล้ว +1

    Mbona mnamshambushilia Sheikh Musa,mbayo ushahidi, au umelishwa matango pori? Mbona hamna msimamo. Na Yule Sheikh wa Mwanza mlie mshambulia ni uongo? Mnatuchanganya

    • @mubinaroshan4922
      @mubinaroshan4922 ปีที่แล้ว

      Bakwata pia Ina wachambaji Kila penye ligi Kuna wachambaji

  • @Bashitetako
    @Bashitetako ปีที่แล้ว +2

    Hawa wakapimwe akili tu

  • @hussenihassani4156
    @hussenihassani4156 ปีที่แล้ว +1

    Uislam umehamia mtandaoni waislam tunapohitilafiana turidi kwenye kitabu cha kurani nahadidhi siomitandaoni mnatupa aibu mumuogopemungu waislam

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 ปีที่แล้ว +1

    Kwani kosa nini Sheikh Mwaipopo?

  • @elizabethkiyabo4224
    @elizabethkiyabo4224 ปีที่แล้ว +2

    Hovyooo unafiki mtupu

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 ปีที่แล้ว +1

    Hawa ndumilakuwili hivi nikiwaita panyarod vipi

  • @fatmampunga7385
    @fatmampunga7385 ปีที่แล้ว +1

    Machawaaaaaaaaaa

  • @shamsaelbeity8250
    @shamsaelbeity8250 ปีที่แล้ว +1

    Huna lolote najaa tu inakusumbua

  • @khatibabass3106
    @khatibabass3106 ปีที่แล้ว +2

    Nyinyi mwaipopo nilesema niwahuni kweli kweli