WAKRISTO KUKUTANA NA WASOMI WA KIISLAMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 103

  • @MohammedIslam-t2n
    @MohammedIslam-t2n 15 วันที่ผ่านมา +1

    Asalam aleykum mashallah Allah awape ushindi AMIN Allah akbar

  • @feizalmas
    @feizalmas 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mashaallah nyie ni majeshi hodari wa ALLAH. Mashekhe na yule muongo wa kenya alokataa kuja afuatwee.

  • @SinaHafidhi
    @SinaHafidhi 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mashaallah ALLAH amhifadhi

  • @MohammedIslam-t2n
    @MohammedIslam-t2n 15 วันที่ผ่านมา +2

    Bwana Paulo hii nikuonesha wakiristo hamuna elimu na NI wabishi Sana ndiyo mana muletewe walimu kuanziya chekecheya mpaka university ili mufunzwe ubishi utakwesha na kuelewa mutaelewa insha'Allah amin

    • @SamoraTabaga
      @SamoraTabaga 14 วันที่ผ่านมา

      Hayupo msomi anae weza kumsomea MUNGU jidanganye, MUNGU ni uweza hao mashekhe zako hawna hata nguvu ya MUNGU wanauza uganga wao na ushilikina wao. Hafu unataka wasomi, mjue YESU ndio uzima wako.

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa 15 วันที่ผ่านมา

    Asanteee ma sheikh zetu.allah awabariki.

  • @MwasabuniSuleiman
    @MwasabuniSuleiman 15 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna maneno mazito sana ndani ya bibilia ya lio semwa na mungu usipo mbariki nabii Ibrahim mwenyezi mungu a yuko pamoja na wewe, lakini wa islamu pekee kila sala umbariki nabii Ibrahim

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni 15 วันที่ผ่านมา +3

    Mashallah mashekh wote,napenda uwepo wa sheikh Mbogo mwalim Daniel nishaanza kukuhurumia😂

    • @YohanaMsekefu
      @YohanaMsekefu 15 วันที่ผ่านมา

      Kuna ndacha huko

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 15 วันที่ผ่านมา +1

    Masha'allah Masheikh wetu

  • @NovisMgeni
    @NovisMgeni 14 วันที่ผ่านมา

    Duuu kazi kweli kweli,,

  • @naasibabuu
    @naasibabuu 15 วันที่ผ่านมา +2

    A ssalaam Alaykum, kwa diwani hap mmechemk

    • @darajanida
      @darajanida 14 วันที่ผ่านมา

      nenda wewe basi

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa 15 วันที่ผ่านมา +1

    Ma sheih zetuuu,hawo wajamaa msiwaache wabaneni mbavu mpaka wataje.

  • @swalehissa777
    @swalehissa777 15 วันที่ผ่านมา +1

    Napongeza MaashaAllah

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 15 วันที่ผ่านมา +2

    Mnategemea Taqiah Mwankemwa anakuja kufyeka vichaka vya Taqiah

  • @qwerqasd8597
    @qwerqasd8597 15 วันที่ผ่านมา +3

    Hapo ungemualika na sheikh shafii

    • @saidali9255
      @saidali9255 15 วันที่ผ่านมา

      Angealika shafi!..

    • @AziziRajabu-mv8jz
      @AziziRajabu-mv8jz 14 วันที่ผ่านมา

      Shafi utamkubali kwenye biblia kwenye Quran hawa ni mabigwa

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mtabishana na Sheikh Farisii

  • @MohammedIslam-t2n
    @MohammedIslam-t2n 15 วันที่ผ่านมา +2

    Hilo ndilo tatizo la wakiristo hawana elimu yakutosha hawajasoma waowanaona dini NI kujuwa kizungu bass

  • @MusaRamadhani-wj2dw
    @MusaRamadhani-wj2dw 14 วันที่ผ่านมา

    Hapa mbogo Hatoshi mngemleta ust Kimweri mwanahistoria Dawa ya wachokonezi

  • @alisaid1347
    @alisaid1347 15 วันที่ผ่านมา +1

    Unatuwekea waganga hapo, Yani subhanallah, na huyu kishki Kila siku hao wakina DIWANI wanasema watu wa Sunna ni wakatoliki leo unawaleta kwako kweli kishki!!!!!

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 14 วันที่ผ่านมา

    Allah kabilah.

  • @Yakobolenginai
    @Yakobolenginai 14 วันที่ผ่านมา

    Mm hapo sijaona mudahalo itisheni mudahalo

  • @feizalmas
    @feizalmas 15 วันที่ผ่านมา +3

    Kwenye bango sheikh shafi shafii AKA Mkata umeme yupo kwenye bango naamini atakuepo.

    • @qwerqasd8597
      @qwerqasd8597 15 วันที่ผ่านมา

      Insha Allah natamani awepo

  • @BinHakim
    @BinHakim 15 วันที่ผ่านมา +2

    Tapeli

  • @jefwabaya2637
    @jefwabaya2637 15 วันที่ผ่านมา +1

    Sheikh hii till number ya mchango mbona inakataa, ila niko kenya tafadhali liangalieni hilo

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 8 วันที่ผ่านมา

    Kuna wangine siwakubali hapa ila kwa vile mjadala na wakristo sina budi ila kuwasapoti tu.

  • @clemenceleonard1089
    @clemenceleonard1089 14 วันที่ผ่านมา

    Mwaipopo Rudi Shule

  • @AmirBadol
    @AmirBadol 14 วันที่ผ่านมา

    Mm naomba mwaipopo usije ukamuucha ustadh shafi ,maulana, n'a saidi juma kinyogol hapo mambo yatakuwa mazuri

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mwalim shafi na juma kinyogoli wako wapi

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa 15 วันที่ผ่านมา +1

    Muwabane mbavu mpaka Aache kusema uongo.

  • @hamadimuya7248
    @hamadimuya7248 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mtaona kwanini kanga hana manyoa shingoni

  • @Shomariamuri1
    @Shomariamuri1 14 วันที่ผ่านมา +1

    Mwaipopo amehepa mdahalo na Ndacha😂😂😂😂
    Sasa anakusanya msaada 😂😂

    • @mokitaa8750
      @mokitaa8750 12 วันที่ผ่านมา

      Elimu aiende hivyo unavyo taka wewe .. Kaa kimya

  • @AmanElieza-ly8qo
    @AmanElieza-ly8qo 15 วันที่ผ่านมา +3

    Hapo sasa ungewaambiaa wamchangiaa yule anayeumwaa Figo ili uonee

    • @feizalmas
      @feizalmas 15 วันที่ผ่านมา +1

      Wewe mnafiki Sasa huna la kuongea

    • @ExcitedChefHat-ef5jt
      @ExcitedChefHat-ef5jt 15 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂

    • @AmanElieza-ly8qo
      @AmanElieza-ly8qo 15 วันที่ผ่านมา

      @@feizalmas mm mnafiki kwel bt think capacity nipo mbal kaka funguaa akili maana in public ukiwaambiaa viongoz Huwa wanasaidiaaa aunt of that ni mdomo tuu utapigaaa

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 15 วันที่ผ่านมา +4

    😂😂😂😂😂 Mwaipopo hiyo debet ya kawaida sana na haihitaji kupoteza masaa yote hayo, Yaani rundika masheikh wasomi wooote kwetu Wakristo kuonyesha Qur'an si maneno ya Mungu na ina makosa na ina Aya zilizopungua ni kazi rahisi sana na atawatosha Mwankemwa peke yake!!

    • @feizalmas
      @feizalmas 15 วันที่ผ่านมา

      Hahaa wakiristo mtihani sana

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 15 วันที่ผ่านมา

      ​@@feizalmas Mwankemwa anahitaji dakika thelathini tu kuwaonyesha mapungufu ya Qur'an Kisha awaache mnahangaika na Qur'an yenu kuitetea😂😂😂😂😂😂😂

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 15 วันที่ผ่านมา

      Subutuu atamuweza Nani apo nyooo,mbona yule aliyesema uongo hakuonekana apo .sabab gani,alikuwa kama atashindwa kujibu mawali

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 15 วันที่ผ่านมา

      Mleteni sasa mliysema n'a muoneshe andiko.

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 15 วันที่ผ่านมา

      Tena msikimbiye mje kwa wingi kanisa nzima hamtuwezi

  • @سليمانلوغاجو
    @سليمانلوغاجو 15 วันที่ผ่านมา +1

    Kwakweli mashekhe mnapoteza muda wenu Hao makafiri Hawana lolote hata ukiisikia kiarabu Cha mchongo Bora mngekunywa Qahawa mkatulia zenu kama walishindwa makafiri wakubwa Tena waarabu Eti kafiri Tena mweusi anaweza kosoa Qur-an

  • @WakalaWabukala-f1l
    @WakalaWabukala-f1l 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mwaipopo huna hoja

  • @moneymaker461
    @moneymaker461 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mwaipopo nilikuwa nakusuport lakini kutuekea hao waganga ziiiii hamna kitu

    • @darajanida
      @darajanida 14 วันที่ผ่านมา

      nenda wewe ulikuwa si mganga au hili halikuhusu wewe

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 15 วันที่ผ่านมา +2

    Nyie pigeni porojo zenu tu hapo Mwankemwa anawatosha😂😂😂😂😂

    • @jamalAlly-p2y
      @jamalAlly-p2y 15 วันที่ผ่านมา

      Huyo mwankema anakufurahisheni nyie msiojua kitu maana hata kitabu cha yesu hamkijui badala yake mnasoma biblia sie huyo mwankema tunamuona kama wale waliokufuru zamani na yeye ndio waleo

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 15 วันที่ผ่านมา

      ​@@jamalAlly-p2y Kufuru aliianza Muhammad Mwenyewe

    • @RajabuKikoti
      @RajabuKikoti 15 วันที่ผ่านมา

      Kama kuna watu ambao hawajui kitu kabisa kuhusiana na qur an na lugha ya kiarabu, baas Mwankemwa nimmoja wapo na Sumbaulanga, ((bogas kabisa)hata kukimbia hawa hawataweza wakishindwa ) tena wasihusishwe kabisa kwenye kuchangia mada hiyo maana watatia aibu, kuelezea lugha usiyo ifaham ni vichekesho. Tafuteni wengine huenda wakaweza hata kukimbia wakishindwa.

    • @jamalAlly-p2y
      @jamalAlly-p2y 14 วันที่ผ่านมา

      @paulmushi2428 nyie hamna dini kwahivi wala sitokujibu nyie mmekua sawa na maqaafir wa makka wa zama hizo walivyokua wakimtukana mtume s a w weye na hao wakubwa zako

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 8 วันที่ผ่านมา

    Amekosa kinyogoli tu

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr 14 วันที่ผ่านมา

    Mwaipopo umeenda kumchuwa diwani akatafsiri kurani wakati tafsiri ya neno Alla, anatafsiri ata wanaoabudu ngombe pia anajina la Alla mtihani mkubwa

  • @fundkiboflo
    @fundkiboflo 14 วันที่ผ่านมา

    Kwanini mashekhe wazamani ambao ni wataalamu hawamo km shafi, said kinyogol,mazinge na wengineo mbona kuna wapya wazoefu hawapo kwa nini mwaipopo?

  • @bezalelmbijima8182
    @bezalelmbijima8182 15 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe ndiye unawasema wajinga. Ujinga kama upo si unaondolewa na Elimu wanayopewa! Sasa kama usipopokea Elimu ili uwe mwelevu unakuwa nani? Sisi tunaimani kubwa sana Kwa Mwenyezi Mungu ambaye kwa mamilioni anawvuta waislam kuamini Yesu Kristo na Kubatizwa. Siyo kazi ya wakristo kama wao bali ni Nguvu ya Upendo wa Mungu kwa wote alioandikiwa uzima wa milele.

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa 15 วันที่ผ่านมา +1

    Nyinyi wakristu kama mnafkiri kusema uongo,na matusi ya kuichafuwa Qu,ran na uislam,ni doze kwenu basi endeleyeni kupata doze. Uislam uko palepale nawaislam.haubanduki hadi kiama

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 15 วันที่ผ่านมา

      Hakuna Mkristo anayeichafua Qur'an Bali Qur'an inajichafua yenyewe pamoja na Khadith sisi ni wasomaji tu wa kuonyesha makosa na mapungufu kupitia Qur'an na Khadith 😅

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 15 วันที่ผ่านมา

      @paulmushi2428 wende kulee nenda zako uko kuupotevu mjinga weee.unataka kumpoteza nani wee. Mtajipoteza nyinyi wenyewe.

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 15 วันที่ผ่านมา

      @paulmushi2428 unausomyi gani wewe kubwajinga wee unakosowa kitu gani wee.wakupe hâta juzu huwezi kulisoma mshenzi mkubwa.nakutaka kupoteza wengine.

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 15 วันที่ผ่านมา

      @paulmushi2428 nyinyi hawo hawo ndio mnatamani hata leo Qu,ran ismbuke iunguzwea mbaki n'a izo bibliya zenu potovu zakujiandiya za uongo.

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 15 วันที่ผ่านมา

      @paulmushi2428 sisi hamtuwezi mungu alishatubarikiya neema hâta muuchafuwe uislam ichafuweni Qu,ran vileemnajuwa. Iunguzeni iko kichwani mwetu kuanzia mimba mpaka mtoto anazaliwa anasema Qu,ran.vitab vyoote vie inné viko kichwani mwetu..Sawa?endeleeni kupata douze tu mtachoka wenyewe

  • @omarabdullah3412
    @omarabdullah3412 14 วันที่ผ่านมา

    Siku nyingine ushike adabu yako kuidhalilisha DINI YA ALLAAH kwa kuwaita waganga wanaowaita Waislamu wakatoliki.

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw 14 วันที่ผ่านมา

      mkatoliki mwengine huyu huku unaugua kutokea wapi

    • @samirrubeya2379
      @samirrubeya2379 8 วันที่ผ่านมา +1

      Alijiita mwenyewe mganga..kumtetea huyo alisema waganga

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 8 วันที่ผ่านมา

    Ungemtia na Bachu wa Hadith.

  • @saidmduchu8100
    @saidmduchu8100 14 วันที่ผ่านมา

    diwani eti mtaalamu wa QUR-AN hhhh nimecheka huyo mtu hana moja kichwani

    • @samirrubeya2379
      @samirrubeya2379 8 วันที่ผ่านมา

      Huyu Bachu alibwaga sana maskini.

  • @msambalamjukuu3866
    @msambalamjukuu3866 14 วันที่ผ่านมา

    Dini ni ujinga mtupu kina mtu atamsifia mke wake nashukuru mm Sina dini

  • @Tupena-ov7xq
    @Tupena-ov7xq 15 วันที่ผ่านมา +1

    Quran iliandikwa miaka 100 baada ya mtume mohamed kufa. Hivyo walioandika hata mtume hawakumuona. Kwa hiyo ni maneno ya kuambiwa ndio wakaandika quran. Biblia iliandikwa na walio muona na kuwa na yesu. Sasa ni kweli qurani sio neno la mungu ni neno la kuambiwa

    • @karimuabdala3234
      @karimuabdala3234 15 วันที่ผ่านมา

      Pole sana

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 15 วันที่ผ่านมา

      Unaushahidi?toa andiko. Kama iliandikwa baada ya mtume kufa.na uongo ndio kwamana huna akili yakuelewa

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 15 วันที่ผ่านมา

      ​@@KabatoniBoraa Unataka andiko? Soma Qur'an Surat Ankabut 29: 48 😅😅

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 15 วันที่ผ่านมา

      ​​@@KabatoniBoraa Acha ubishi Kasome historia ya Qur'an iliandikwa lini!! Qur'an iliandikwa baada ya kifo Cha Muhammad Kwa amri ya maswahaba zake Ab bakar na Omar na mwandishi alikuwa ni Zaid Ibn Thabit 😅

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 15 วันที่ผ่านมา

      @paulmushi2428 koma mkome Muhammad sio Sawa Yako tena mtuwe.apa hayuko alisha rejeya tayari kishamaliza yakwake imebaki mimi n'a wewe.onesha sasa iyo historiya ya uongo wako unataka kupoteza wengine. Logo muongo mkubwa iyo historiya uliisoma kukitab gani.chenye sisi atujakiona ebu tuonyeshe icho kitabu

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 14 วันที่ผ่านมา

    Ujingalism