Kiwanda cha uchakataji wa asali Tanzania

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2024
  • Ufugaji wa nyuki ni moja ya sekta inayotegemewa na jamii nyingi pamoja na serikali katika kuingiza kipato hasa katika ukanda wa magharibi mwa Tanzania huku changamoto kubwa ilikuwa ni upatikanaji wa soko la uhakika.
    Lakini huenda sasa changamoto hii ikabaki historia baada ya kuanzishwa kiwanda cha uchakataji wa asali na kusafirishwa kwenda katika masoko ya nje.
    Mwandishi wetu Alfred Lasteck katembelea kiwanda hicho cha Upendo Honey na kuandaa taarifa hii…
    #bbcswahili #tanzania #kigoma

ความคิดเห็น • 1

  • @fatumakassim2123
    @fatumakassim2123 ปีที่แล้ว

    Naombeni namba zenu niweze waletea asali tufanye biashara