Mh. PETER PINDA;ASALI NI UTAJIRI MKUBWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2024
  • Alie kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Peter Pinda aeleza faida nyingi zitokanazo na Mazao ya Nyuki kama Asali ambazo watu wengi hawazijui,ni mara baada ya kutembelea Banda la Asali na Mali Asili yaliopo katika Maonesho ya Kimataifa ya Dar es Salaa(SabaSaba).

ความคิดเห็น • 22

  • @danielkwilemba4715
    @danielkwilemba4715 7 หลายเดือนก่อน

    Awesome

  • @LyambaLyamfipa-c6e
    @LyambaLyamfipa-c6e ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa elim

  • @LyambaLyamfipa-c6e
    @LyambaLyamfipa-c6e ปีที่แล้ว +1

    Nimekubali

  • @juliuselisha1423
    @juliuselisha1423 2 ปีที่แล้ว

    This is the truth. Congratulations to our leader for this light.

  • @kingsolomon0
    @kingsolomon0 3 ปีที่แล้ว +2

    Thanks , Prime minister for the info regarding the benefits of bee keeping . love from jirani mwema , Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @consiliazakaria3219
    @consiliazakaria3219 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa kunishawishi nlikuwa nakusikiliza nlivyo kuwa Dada wa kazi saivi na milki mizinga zaidi ya elf1000 Mungu akubariki Baba angu ishi ili wengine waishi ubarikiwe mnooo Katavi oyeee

  • @heradiussdereck2257
    @heradiussdereck2257 2 ปีที่แล้ว

    asante sana, barikiwa sana baba

  • @consiliazakaria3219
    @consiliazakaria3219 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Baba na mimi nina mzinga yangu zaidi ya elf1000 huko huko Katavi Mungu akubariki mnoo

    • @daudiulaya2747
      @daudiulaya2747 2 ปีที่แล้ว

      Naomba mawasiliano yako ndugu yangu. Nami nipo kwenye mchakato wa ufugaji nyuki

  • @wilicksngelime8928
    @wilicksngelime8928 2 ปีที่แล้ว

    Nashuru sana mzee wetu

  • @evalinemaiko5328
    @evalinemaiko5328 3 ปีที่แล้ว

    Nakushuru sana mheshimiwa kwa kutuelimisha watanzania, kweli nimeteseka miaka 2 lakini kwa asali ni kiboko.

  • @emmanuelmasoko1013
    @emmanuelmasoko1013 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana mh waziri mkuu mstaafu

  • @msnkuli6089
    @msnkuli6089 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwakweli huyu baba ameni inspire nami nina mizinga yangu sasa. 🇹🇿

    • @tanzaniampyakaulimbiu3553
      @tanzaniampyakaulimbiu3553 ปีที่แล้ว

      Tunaomba mchango wa kugharamia harusi ya MBUNGE (David Ernest Silinde (MTANZANIA)) na Mcheza soka (Misa Rodríguez (Mhispania)) ITAKAYOFANYIKA MBINGUNI MBEYA

  • @asililishekuwaombeawatoto5222
    @asililishekuwaombeawatoto5222 3 ปีที่แล้ว

    Hongernisana

  • @sufiansaid2023
    @sufiansaid2023 3 ปีที่แล้ว

    Sio rahisi wakakuelewa mheshimiwa, ila kuna manufaa makubwa saba kutokana na nyuki

  • @mitioneline5189
    @mitioneline5189 4 ปีที่แล้ว +4

    Hakuna comments coz watanzania hampendi kujishughurisha

  • @ghatynyantebu592
    @ghatynyantebu592 ปีที่แล้ว

    Hakuna mawasiliano.
    Nani anishike mkono tupande wote!??

  • @alexandrinadomaino9868
    @alexandrinadomaino9868 4 ปีที่แล้ว

    Jaman kumbe anajua mambo ya nyuki.