BIASHARA YA ASALI INALIPA MZINGA MMOJA UNATOA DEBE MOJA LINAUZWA 150000 KWA MIEZI 3

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2024
  • MAFUNDI WA MIZINGA YA KISASA KUTOKA KIJIJI CHA IBOYA MKOANI NJOMBE WANADAI KUWA BIASHARA YA ASALI INALIPA NA INAWEZA KUZALISHWA KWA WINGI UKITUMIA MIZIGA HIYO
    NI MIZINGA AMBAYO IN NAFASI NDOGO YA KUZALISHIA WATOTO WA NYUKI NA SEHEMU KUBWA YA KUZALISHIA ASALI
    UNAWEZA KUIPATA MIZINGA HIYO KWA BEI NAFUU SAANA PIA WANAWEZA KUSAFIRI NA KUTENGENEZA KATIKA MAENEO YAKO ILI KUPUNGUZA GHARAMA.
    IKUMBUKWE GHARAMA ZA UWEKEZAJI WA BIDHAA HII YA ASLI SIO KUBWA KUTOKANA NA KUWA HAIHITAJI SHUGHULI ZA UFUATILIAJI UKISHA WEKA MSITUNI UNAOWAJIBU WA KUVUNA ASALI TU

ความคิดเห็น • 5

  • @barakalema7274
    @barakalema7274 2 ปีที่แล้ว +1

    Man speak very knowledgeable...

  • @simonimshigwa5322
    @simonimshigwa5322 2 ปีที่แล้ว +1

    nimefurahishwa na maelezo hayo je hiyo mashine ya kuchuja asali inapatikana wapi?

  • @sechagodfrey1936
    @sechagodfrey1936 5 หลายเดือนก่อน

    Mzinga unatakiwa kuwa na ukubwa gani ndani kwa ndani?
    Upana,urefu na kina

  • @sakinaabas6668
    @sakinaabas6668 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba kupata mawasiliano ya fundi mizinga

    • @njbtv2982
      @njbtv2982  2 ปีที่แล้ว +2

      Kataja nambazake kwenye v8deo hiy