KIKEKE AFICHUA SIRI ZA BBC/ TUNARIPOTI MABAYA YA AFRIKA?/ NILIJUA MAPEMA/ ZUHURA YUNUS ALIANDALIWA!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.ย. 2022
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #Dar24 #Dar24Media

ความคิดเห็น • 16

  • @dorothymutegeki7543
    @dorothymutegeki7543 ปีที่แล้ว +4

    Leo ndiyo mmeona kuwa mnatumiwa vibaya. Wakati mnamtukana Rais wetu kipenzi chetu ,Baba Magufuri mlimtukana saana huyu baba leo hii tukae tukusikilize sahau.

  • @user-ly6vf9tf6m
    @user-ly6vf9tf6m 7 หลายเดือนก่อน

    Karibu sana bro.
    Wewe ndio mzalendo na umefanya vizuri sana kurudi kujenga nnchi yako

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 ปีที่แล้ว +4

    Ni uwazi na ukweli BBC ilinikera sana mara nyingi mf. Kuwaongelea viongozi wetu wa Afrika vibaya, mf. Gadaf,Magufuri, n.k nashangaa mbona hawawazungumzii viongozi wa Marekani kwa maovu yao vita na oparesheni mbalimbali tena chafu mno Afrika na duniani kote

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 7 หลายเดือนก่อน

    Baada ya miaka yote kupokea mshahara mnono leo ndio Kikeke unapayuka hayo.......Unafiq wa hali ya juu kabisa !

  • @kasimsaleh7103
    @kasimsaleh7103 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nauliza suala holi kwanini wandishi wa habari wa African hawapewi nafasi za kuwahoji viongozi wa ulaya au American au waondo watakatifu kama vyombo vyao vinavyo viongozi wa African? Naomba jibu ilinijuwa

  • @Zimwilishe
    @Zimwilishe 17 วันที่ผ่านมา

    Ivi uandishi wa habari una mipaka bwana kikeke? Tujuze tafadhali

  • @wilsonmaduhu4921
    @wilsonmaduhu4921 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 ปีที่แล้ว +1

    kaongea ukweli hata mangine hatakiwi kuongea

  • @didasseveline9013
    @didasseveline9013 ปีที่แล้ว +2

    Yaani mnalipwa pesa Ili ukashfu nchi Yako dah!!! Yaani watu wa namna hii mnastaili risasi! Usaliti mkubwa!

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 ปีที่แล้ว +1

    Hao kina Kikeke ni watuma tuu hapo BBC hawatoi habari za ukweli chombo cha habari za ukweli ni Aljazeera tuuu

    • @BIGBOSS-hl3bu
      @BIGBOSS-hl3bu ปีที่แล้ว

      Ukimjua mmiliki wa BBC na al jazeera pia ukamjua mmiliki wake utajua nikweli alijazeera wapo sahihi au laaa 😅😅😅

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 ปีที่แล้ว

    Bbc walishindwa kuonesha ufunguzi wa wold cup 2022 kwa ubaguzi

  • @alexlazaro2974
    @alexlazaro2974 ปีที่แล้ว

    mbona mtangazaji akiuliza maswali haonekani

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 ปีที่แล้ว

    Na wewe tena no comment makubwa