UK student professes his love for Swahili

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • Visit our website www.nairobinews.co.ke
    Like us on Facebook nairobinews
    Follow us on Twitter nairobi_news

ความคิดเห็น • 186

  • @brysonnicholaus5369
    @brysonnicholaus5369 7 ปีที่แล้ว +81

    any swahili person will tell u..his swahili is amazing....like a native

    • @asafubuheri6900
      @asafubuheri6900 4 ปีที่แล้ว

      Unaongea sahihi kenya hakuna Kiswahili lbda Mombasa

    • @xaxicomplex7616
      @xaxicomplex7616 4 ปีที่แล้ว

      Amazing!! brazza anaongea vile vile

    • @kimuei
      @kimuei 3 ปีที่แล้ว

      @@asafubuheri6900 swahili iko pande zote za kenya

    • @mbatatakiazi1678
      @mbatatakiazi1678 3 ปีที่แล้ว +2

      ameongea vizuri kwa sababu alikaa sehemu ambayo kila mmoja anazungumza kiswahili, ambako ni Tanzania (Zanzibar). ukiwa kwenye mazingira ambayo kila mmoja anazungumza lugha fulani, unaweza kujifunza kwa haraka zaidi.

    • @moisemuhirefaustine1385
      @moisemuhirefaustine1385 7 หลายเดือนก่อน

      @@mbatatakiazi1678definitely better than using apps innit

  • @andersonpyaban8042
    @andersonpyaban8042 8 ปีที่แล้ว +30

    damn,your swahili is perfect

  • @thejaramogi1
    @thejaramogi1 9 ปีที่แล้ว +69

    He speaks swahili like it was the 1st language he ever heard as a baby !!

  • @nelick4326
    @nelick4326 6 ปีที่แล้ว +33

    That's the most fluent kiswahili i have ever heard from a mzungu

  • @ckosmah21
    @ckosmah21 4 ปีที่แล้ว +3

    Kka kiswahili kimenyooka unawashinda adi ao wakenya😂

  • @ndiridanniboi
    @ndiridanniboi 9 ปีที่แล้ว +10

    anahongea kiswahili kama mswahili, hongera kaka!!!

  • @ShikuNgigi
    @ShikuNgigi 9 ปีที่แล้ว +15

    Dayumn! Challenge accepted. Bet y'all cannot speak Swahili as good as this guy's.

    • @philwamba
      @philwamba 9 ปีที่แล้ว +3

      Lol ati Kiswahili kimechafuka Kenya 😂😂

    • @ShikuNgigi
      @ShikuNgigi 9 ปีที่แล้ว

      Ukweli tupu.

    • @kelvincuber2695
      @kelvincuber2695 9 ปีที่แล้ว +1

      Jst call me n u see haha

    • @alejuarez8007
      @alejuarez8007 9 ปีที่แล้ว

      ke

    • @kimuei
      @kimuei 3 ปีที่แล้ว

      5 yrs later najua unasema Mashakura 😂

  • @evancymassawekenya7521
    @evancymassawekenya7521 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmmm I like the way anavyoongea Kiswahili ya Bongo

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 3 ปีที่แล้ว +1

    Africa Kiswahili safi zanzibar ukitaka kujua kiswahili njo zanzibar karibu tena zanzibar 🥰 love my country beautiful island zanzibar

  • @Geemuthoni99
    @Geemuthoni99 3 ปีที่แล้ว +1

    Kiswahili chake kizuri kuko changu😩

  • @SwahiliSpicE
    @SwahiliSpicE 7 ปีที่แล้ว +6

    wow! his grammar, vocabulary and connectives are super. Very impressive!

  • @Hassan_Mengi
    @Hassan_Mengi 7 ปีที่แล้ว +18

    Wakenya mpo? Kiswahili chenu eti kimepinda, vp?

    • @charlesmcshonay5901
      @charlesmcshonay5901 6 ปีที่แล้ว +1

      Focus Y Mengi kweli anaongea Kiswahili kizuri kuliko sisi Wakenya.

    • @amaina67
      @amaina67 6 ปีที่แล้ว +4

      La hasha! Kiswahili hakijapinda kwani twafunzwa Kiswahili sanifu shuleni. Tofauti ya Kiswahili Kenya, nje ya darasa, ni kuwa hatulazimishwi kukizungumza kiswahili sanifu. Twaongea Kiswahili kinachotufaa kulingana na eneo unapoishi. Kando na hayo yote, mkenya atakielewa Kiswahili sanifu bila tatizo.

    • @otimsiobetsi3181
      @otimsiobetsi3181 6 ปีที่แล้ว

      Andrew N. - Shida ni kwamba asilimia tisini ya wakenya huongea kiswahili cha mtaa na hata ukitaka kuongea kiswahili sanifu unajikuta naongea kama hao watu wengine yaani hicho cha mtaa. Sababu kubwa ni kwamba hutaki uonekane kana kwamba unaringa.

    • @rourinishein
      @rourinishein 6 ปีที่แล้ว +2

      Focus Y Mengi Katika Kenya nzima, kiswahili sanifu sana sana utakipata pwani ninapoishi. Kusema ukweli nilitambua kuwa kiswahili kimekuwa kibovu nilipoenda kusomea Nairobi. Hadi leo nasinywa sana nikiskia watu wakiongea hicho kiswahili lakini mambo ndiyo hayo. Itabidi uvumilie tu bora unaelewa. Lakini tafadhali waKenya wenzangu sio mambo na maringo tumekiaribu lugha sana hata vitu vidogo tumeshindwa kuvitamka. Kama mwenzangu presenter amejaribu lakini hapo amekula maembe kidogo. Kiswahili kitukuzwe🙆🙆🙆🙆🙏🙏🙏

    • @Mrahamedmalik
      @Mrahamedmalik 6 ปีที่แล้ว

      Kumamazao,,, waki peta muzugu moja aki ongeya swahili,, ati ndiyo mambo yaku shanga,,, miya kabila muhindi mwafirika,, na ongeya, and swahili, kingereza, ma lugha karibu 4 za kabila baniani,, sheng na alewa na kuongea bila breaki ,,, peka leo BBC, CNN AU ALJAZERA hawa kuni temblea kuni uliza mawezo zangu,, muzugu mavi tupu,, mungu ya waafrika, Muna mu abdu ka hamuna bindamu mwingine afahamu swahili 😤😤😤

  • @beatricewanga3502
    @beatricewanga3502 7 ปีที่แล้ว +11

    hahaha ati kishwahili ya kenya imechafuka.kam tukufunze kikuyu basi.wakenya twaongea lugha mingi bana

    • @lifeofsidimswahili
      @lifeofsidimswahili 6 ปีที่แล้ว +2

      Kenya sio chi ya kipekee inayobeba lugha nyingi. Wakenya wana kiburi na wanapenda kurukia lugha za ughaibuni wakidharau na kukejeli kiswahili. Tanzania sana lugha zaidi ya 100 bi dada! Kenya inafaa tupende mambo ya kwetu.

    • @amalcsalim-uu7hk
      @amalcsalim-uu7hk 5 ปีที่แล้ว

      Kuna tofauti ya kabila na lugha..

    • @elvissawe4533
      @elvissawe4533 5 ปีที่แล้ว

      Anaonge kiswahili bora zid mkenya

    • @alimakame3529
      @alimakame3529 4 ปีที่แล้ว

      Sio lugha mingi ila ni lugha nyingi😂😂😂

    • @mbwanamalau1202
      @mbwanamalau1202 4 ปีที่แล้ว

      Kila kabila tz Lina lugha yake na makabila yako 120

  • @mypoemsandI
    @mypoemsandI 7 ปีที่แล้ว +5

    This guy speaks Swahili more than I.

  • @Trumblebee
    @Trumblebee 9 ปีที่แล้ว +20

    Ok, so what? I speak fluent English and I'm yet to be featured and praised on a UK news program...

    • @rockandspace
      @rockandspace 5 ปีที่แล้ว +5

      😂😂😂Swahili is special

    • @neilnelson7603
      @neilnelson7603 4 ปีที่แล้ว

      you are so pathetic, very racist comment.......there are thousands of Africans featured in programs UK and some of them in UK govt.

    • @keivgerrard7597
      @keivgerrard7597 4 ปีที่แล้ว +1

      Swahili is special not English coz everybody can ...

    • @garettclement6671
      @garettclement6671 4 ปีที่แล้ว +6

      After studying almost every subject in English and for nearly two decade, you have no respect for someone who took language for leisure, with little to no material available online. Try and learn some Japanese, Dutch or Spanish and your ignorance will be over before you know it chap!

    • @Justbarbara.B
      @Justbarbara.B 4 ปีที่แล้ว +1

      You are hateful to him because he knows Swahili? Wacha za ovyo bana! You're a racist and you don't even know it.

  • @Shaista1981
    @Shaista1981 9 ปีที่แล้ว +5

    Whoa! Speaks better Swa than I do, actually better than whoever's doing the interview.... impressed much :)

  • @jossyshiks3331
    @jossyshiks3331 7 ปีที่แล้ว +7

    You speak perfect swahili than myself,woooow

  • @fckingkim
    @fckingkim 9 ปีที่แล้ว +26

    That's amazing. I'm ashamed because I can no longer speak Kiswahili sanifu. In my defence, we speak too many languages and Sheng just makes things easier because it brings them all together.

    • @lindatutu2513
      @lindatutu2513 8 ปีที่แล้ว

      yes indeed.

    • @scarmsaniiaggrey1646
      @scarmsaniiaggrey1646 5 ปีที่แล้ว

      Hapo umeweza brathee. Mamorio tutaambia watu nini!?😂😂😂

    • @yellooh
      @yellooh 4 ปีที่แล้ว

      Swahili brought all the languages together back then. There are still many around the world who speak it. It is one of the most interesting languages mostly to women who don't speak it 😊

    • @sweetcriss9791
      @sweetcriss9791 4 ปีที่แล้ว

      Umeowa

    • @hermy768
      @hermy768 4 ปีที่แล้ว

      Walahi hyu mzungu ananishinda😂😂😂😂😂🤣🤣woiii aibu iliyoje

  • @ishmahke9824
    @ishmahke9824 4 ปีที่แล้ว +5

    He speaks swahili so well, yuko vizuri

  • @kiatukichafu
    @kiatukichafu 3 ปีที่แล้ว +1

    He speaks better than kenya indians.

  • @robertsamal8337
    @robertsamal8337 3 ปีที่แล้ว +1

    He speaks better than me

  • @rourinishein
    @rourinishein 6 ปีที่แล้ว +2

    Presenter amekula maembe kidogo kwa sasa yualamba vidole kwa mshtuko. Kiswahili cha mwenzake cha tiririka tiriri kama mchuzi wa bata utakosaje kushtuka. Kama tamu lamba. Hongera kaka Mungu akujalie 👏

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 3 ปีที่แล้ว

    Ma sha Allah. Kijana umenifurahisha sana. Unaongea Kiswahili kwa njia nzuri lakini kuna baadhi ya marekabisho yanahitajika. Kuwa unasema NITAKWENDA badala ya kusema NITAENDA. Kisha uongeze raha kwa kutamka kiswahili NTAKWENDA.
    Mimi nawashukuru Wazungu walinifundisha kiingereza.

  • @depressingskyline1215
    @depressingskyline1215 4 ปีที่แล้ว +3

    Out of all videos and this doesn’t have subtitles.....

  • @Nowandbeyondpod
    @Nowandbeyondpod 9 ปีที่แล้ว +6

    C.I.A....he he he......

  • @franciseva773
    @franciseva773 7 ปีที่แล้ว +2

    Kiswahili yako ni safi kabisa! Tafadhali soma Kitabu yangu, naitwa 'Speak Swahili, Dammit!'. Unaweza kupata kwa Amazon. Hii no mambo zangu, ya kukua mtoto ndogo kwa Tanzania na Kenya. :-)

  • @8419jumaeliud
    @8419jumaeliud 2 หลายเดือนก่อน

    Kinaya ni kuwa Kiswahili cha yule mzungu ni sanifu kuliko cha anayemhoji ambaye ni mwenyeji wa lugha hii.
    Wakenya jamani,tuienzi lugha yetu adimu ya Kiswahili.Mwacha mila ni mtumwa.Huwa na tamauka sana kuwaona baadhi ya Wakenya wakiwadhihaki WaTz eti hawajui Kiingereza vizuri.Eti wanakazania Kiswahili tu.Hivi unatoa wapi ujasiri wa kumsimanga mtu anayezungumza lugha yake ya asili vizuri kuliko wewe mwenyewe?!Hiki Kiingereza tunachojivunia,Mwingereza anapotusikia tukikizungumza yuacheka tu!Huwezi zungumza lugha ya mwenyewe vizuri kama mwenyeji wa lugha yenyewe!

  • @veshiwa
    @veshiwa 3 ปีที่แล้ว

    Kuna wanasanii Kenya wanajiita mbogi ngenje...haha..hapo ndio Swahili ya Kenya imefika

  • @bobwanjala1401
    @bobwanjala1401 4 ปีที่แล้ว

    Huyu kaka kawaonyesha vile kiswahili chetu kinapendwa na kutukuzwa. Waafrika wengi huwa wanajikataa na kutoongea lugha yao adimu na azizi ya kiswahili. Tafadhali ninawaomba muachane na fikira za utumwa hizo. Tafakari na kuzingatie kiswahili chetu.

  • @jacklineshisundi6791
    @jacklineshisundi6791 7 ปีที่แล้ว +5

    well done muzung nice swahili

  • @liberatusulaya2269
    @liberatusulaya2269 4 ปีที่แล้ว +2

    I'm coming from Tanzania,, ...kwakweli uko vizuri assse

  • @zamdasalumu9740
    @zamdasalumu9740 3 ปีที่แล้ว

    Hongera unazungumza kiswahili kizuri nimekupenda

  • @dorisonesmo8814
    @dorisonesmo8814 6 ปีที่แล้ว +2

    kiswahili chako ni cha kiTanzania,uko vizuri sana

  • @andrewsam364
    @andrewsam364 3 ปีที่แล้ว

    Ukijifunza kiswahili tz lazima utaongea vizuri

  • @bernicetera3303
    @bernicetera3303 8 ปีที่แล้ว +11

    to have learnt all that Swahili in about 3yrs only he has done so well...but of course he is speaking what he has been taught....today i can speak good swahili.but because there is nobody to speak good Swahili with that's why I speak sheng...he said he is going to work as interpreter after his education... or even a diplomat...he is a smart guy....its a funny the way a he explains how a Kenyatta university student commented behind his back that she really wanted him so bad not knowing he could understand every Swahili word...then he left a group of student shocked after he responded by asking the young lady how many cows did her father want and then off he proceeds with his business😂😂😂

    • @sethmartin1939
      @sethmartin1939 7 ปีที่แล้ว

      Bernice Tera ni

    • @mercyakinyi973
      @mercyakinyi973 6 ปีที่แล้ว +2

      Bernice Tera imagine that situation 😂😂😂 ati how many cows does your dad want😂😂😂😂 i die

    • @Naamy19X9
      @Naamy19X9 6 ปีที่แล้ว +1

      lol my friends and I once tasted after a guy, not knowing he spoke our home language. Haha we were so mortified when finally revealed that he understood everything we were saying.

  • @grantler1726
    @grantler1726 4 ปีที่แล้ว +1

    Ukweli kabisa! Kiswahili cha kenya hasa bara Nairobi hakina maama.Hii lugha ya "sheng" ni lugha ya machokora,!! Hata hapa kwetu Mombasa hatuitambui, inazungumzwa ni hao wanaotka bara. Aibu kubwa sana kuacha lugha ya maana na kubuni takataka!! Ulichukua uamuzi wa maana,Fanya hima uje Mombasa,na kisiwa cha Aamu (Lamu Island) nawe tukupe shahada, kwani ukihitimu Kiswahili cha miji hii mitatu,( Zanzibar, Mombasa, Lamu) ni kama umehitimu ulimwengu mzima wa Kiswahili.Utatoa Kajama tukupe jina la kimwambao, Upo!!!

    • @simonkobero3601
      @simonkobero3601 4 ปีที่แล้ว +1

      Endelea kujipa imani hiyo hiyo ya Zanzibar, Lamu na Mombasa. Kaka acha shobo Kiswahili kinatumika kwa mapana sana hapa Tanzania iwe Kilwa, Unguja, Tanga, Pemba, Dar es Salaam sasa wewe ona tu Mombasa na Lamu baki hivyo hivyo

  • @wanwan-sd4yu
    @wanwan-sd4yu 5 ปีที่แล้ว +1

    his swahili is better than the interviewer

  • @abdulking1429
    @abdulking1429 3 ปีที่แล้ว

    Wakenya wengi hawawezi ongea kiswahili kuliko huyu mzungu

  • @aliabass9392
    @aliabass9392 3 ปีที่แล้ว

    Unakipata vuzuri kiswhili brother,

  • @bantuvoicemuchaikinuthia2536
    @bantuvoicemuchaikinuthia2536 3 ปีที่แล้ว

    I was listening on radio...I would say he if Kenyan...Not even Tanzanian

  • @jamalmohamud8615
    @jamalmohamud8615 8 ปีที่แล้ว +5

    Ni aibu kubwa sana kuona baadhi ya wakenya hawawezi kuzungumza kiswahili kwa sababu wanaona aibu watatoa picha ya kuwa hawajaelimika. Wageni wanakuja kujifunza lugha hii yetu lakini sisi twaipuuza. Ni jambo la kuhuzunisha sana! 😔

    • @lindatutu2513
      @lindatutu2513 8 ปีที่แล้ว +1

      its a free world. do wat will make you feel the best about yourself. kama ni kuongea swahili ongea ndugu, if its english speak and feel gd about urself.

    • @jamalmohamud8615
      @jamalmohamud8615 8 ปีที่แล้ว +8

      Lady I never said we have to hold people at gun point and force them to speak Swahili. I was just highlighting the sad state of affairs going on with most Kenyans who undermine their language and treat it as a language of the uneducated while the rest of the world is wowed and amazed by the richness of this language.

    • @TheMOSMAK
      @TheMOSMAK 7 ปีที่แล้ว +3

      Nakubaliana nawe kabisa.Mkenya yeyote asemaye hawezi kukizungumza kiswahili hakika ni kukidhalilisha.Kila Mkenya husoma kiswahili kwa zaidi ya miaka kumi kwa hivyo hakuna sababu yoyote kutokijua.

    • @rourinishein
      @rourinishein 6 ปีที่แล้ว

      Jamal Mohamud huwa nashangaa sana na wanyarwanda, wakongo na warundi wanakizungumza Kiswahili bora zaidi kuliko asimilia kubwa ya Wakenya. Aibu iliyoje!

    • @lizzie3724
      @lizzie3724 6 ปีที่แล้ว

      Jamal Mohamud chakushangaza sana ni kuskia baadhi ya vijana wakisema hawajui kuzungumza kiswahili ijapokuwa wamezaliwa na wakalelewa humu.

  • @jcm7625
    @jcm7625 9 หลายเดือนก่อน

    His accent is amazing. Puts me to shame, even when I live in Dar Es Salaam 😅😅😅😅

  • @elvissawe4533
    @elvissawe4533 5 ปีที่แล้ว +1

    Best kiswahili than wakenya jmoni hapa ndo pakujifunzia

  • @jessendegwahmusic488
    @jessendegwahmusic488 2 ปีที่แล้ว

    And Jeff Koinange eti can't talk Swahili

  • @sahalyareyhareeri2406
    @sahalyareyhareeri2406 6 ปีที่แล้ว +2

    Damn ,Applause to him, i ashamed am staying Kenya more than 2 years na sijui kusema love u kkkkkkk

  • @sharonlys1406
    @sharonlys1406 4 ปีที่แล้ว +1

    Hi all of you you should really listen to William Branham's sermons they are so important, urgent they can help you

  • @joelmwaura9172
    @joelmwaura9172 3 ปีที่แล้ว

    Kwanini watu Wana jibu na kizungu Tu hapa. Tuna ungea Kiswahili aki

  • @queenqueen9480
    @queenqueen9480 7 ปีที่แล้ว +4

    Wow amakwel kiswahili sio kigum

  • @hirboabila
    @hirboabila 6 ปีที่แล้ว +1

    Jamani huyu kaongea kiswahili sanifu!!
    More better than me

  • @keivgerrard7597
    @keivgerrard7597 4 ปีที่แล้ว +2

    See even Mzungu know Kenyans aren't fluent in Swahili Languages....Kuyu,Luo and English then Coast regional Mombasa and Lamu are good in Swahili.....but Tz we do Swahili everywhere

  • @princessyvetteevedollyisma2586
    @princessyvetteevedollyisma2586 7 ปีที่แล้ว +2

    wow mpaka nimempenda raha akiongeya kiswahili

  • @SCRUFFY_OMARO
    @SCRUFFY_OMARO 3 ปีที่แล้ว

    Eh no funny mzungu accent at all zeeero

  • @azizalazri1283
    @azizalazri1283 5 ปีที่แล้ว +1

    Apanaa chezeyaa tanzaniya Kwa kiswahilii safii

  • @JIJII420
    @JIJII420 9 ปีที่แล้ว +1

    Dude!!! Yo!! His Swa is better than mine! Woi!

  • @NegSteLucie
    @NegSteLucie 5 ปีที่แล้ว +2

    And this is News worthy?

  • @princemarora
    @princemarora 9 ปีที่แล้ว +1

    Thumbs up... Mimi naongea kingwana

  • @DADDY-i1o
    @DADDY-i1o 2 ปีที่แล้ว

    He's excellent swahili

  • @mocua2910
    @mocua2910 3 ปีที่แล้ว

    Best kiswahili

  • @aminashabdellah1642
    @aminashabdellah1642 2 ปีที่แล้ว

    wow he's so fluent

  • @athmanchimerah3379
    @athmanchimerah3379 4 ปีที่แล้ว +1

    Ata huyu Mzungu anajua Nairobi watu hawajui kiswahili lakini jambo lakushangaza hao ndo wanongoza kwa mtihani ukiuliza wanasema wanakisoma Kenya jamani

  • @gracepatrick647
    @gracepatrick647 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sanaa

  • @tuffgong9951
    @tuffgong9951 7 ปีที่แล้ว +4

    muzuri sisi na watu ya kenya 😂

    • @leahedward8063
      @leahedward8063 4 ปีที่แล้ว

      acha wewe
      kiswahili fasaha kimezaliwa Tanzania

  • @tamaraarama
    @tamaraarama 8 ปีที่แล้ว +2

    Jeez Louise !!!! Your Swahili is on point !!!damn !

  • @bantuvoicemuchaikinuthia2536
    @bantuvoicemuchaikinuthia2536 3 ปีที่แล้ว

    What's his name

  • @restaurantfelician4908
    @restaurantfelician4908 3 ปีที่แล้ว

    Onger sana

  • @DaisyKiprop25
    @DaisyKiprop25 6 ปีที่แล้ว +1

    Eeeh wakenya mkuje muone...this guy is dope he speaks like a friend of mine called Demetry he's also from UK

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 3 ปีที่แล้ว

      Mkuje ndo nini? Sema Njooni! Ipo siku Wakenya mtaenda Uingereza kujifunza Kiswahili. Mmetuharibia sana lugha yetu adhimu ya kiswahili.

  • @catherinelandas3711
    @catherinelandas3711 3 ปีที่แล้ว

    Uko vzur

  • @esiaji
    @esiaji 9 ปีที่แล้ว +21

    Anyone spell some C.I.A. in this?

  • @MusindeKE
    @MusindeKE 6 ปีที่แล้ว +2

    What the hell! He even has the Swahili nuances!

  • @sophialinus1591
    @sophialinus1591 6 ปีที่แล้ว +1

    Hee inapendeza sana! kiswahili kinakua

  • @artisthusnatalal3099
    @artisthusnatalal3099 5 ปีที่แล้ว +2

    Oooh you nailed it !! ¡¡

  • @brakahhamis6621
    @brakahhamis6621 6 ปีที่แล้ว +1

    waoo unaonge vizuri sana karibu tena zanzibar

  • @shifaaal-baity4503
    @shifaaal-baity4503 6 ปีที่แล้ว +1

    🇰🇪🇹🇿smart young

  • @Veryspeedy
    @Veryspeedy 8 ปีที่แล้ว +2

    Wow..hii jamaa ana ongea kiswahili safi sana....

    • @danielshimba4347
      @danielshimba4347 8 ปีที่แล้ว

      huyu Jamaa a naongea kiswahili kizuri

  • @victoriamasawe2249
    @victoriamasawe2249 6 ปีที่แล้ว +1

    Haha karibu Tanzania

  • @toptiertrapperloco600
    @toptiertrapperloco600 6 ปีที่แล้ว +1

    your Kiswahili is on fleek

  • @iragibarumi8435
    @iragibarumi8435 6 ปีที่แล้ว +1

    Wow very nice

  • @bantuvoicemuchaikinuthia2536
    @bantuvoicemuchaikinuthia2536 3 ปีที่แล้ว +1

    Waaaa.... Ame weza Sana

  • @sirkoiemmasings
    @sirkoiemmasings 5 ปีที่แล้ว +1

    He speaks like a native. Nicee

  • @minormine4417
    @minormine4417 4 ปีที่แล้ว

    Mimi ni mtanzania lkn kiswahili cha Kenya sikielewi, kuna siku mkenya aliniambia anataka nimpatie Leso, niliangaika kutafuta Leso, kumbe alikuwa anamaanisha Khanga! Leso ni kitambaa cha mafua "handkerchief"
    Huyu mzungu anaongea kiswahili hasa kuliko wakenya na anaeleweka vizuri.

  • @bantuvoicemuchaikinuthia2536
    @bantuvoicemuchaikinuthia2536 3 ปีที่แล้ว

    So colloquial... so ordinary...
    Never had such fluent ordinary mzungu

  • @mwangikimani3059
    @mwangikimani3059 3 ปีที่แล้ว

    Wow, this guys doesn't have an accent, kudos bro, SWAHILI to the world.

  • @aliceogada9234
    @aliceogada9234 7 ปีที่แล้ว +1

    woi...nadhani anaongea kiswahili kuniliko aki...

  • @sheilah505
    @sheilah505 7 ปีที่แล้ว +2

    hes realy good

  • @azzakhamiz3858
    @azzakhamiz3858 6 ปีที่แล้ว +1

    Wow mpaka raha daah inapendeza

  • @sashaaishajamani1979
    @sashaaishajamani1979 6 ปีที่แล้ว +1

    vizuri sana

  • @komepiza
    @komepiza 9 ปีที่แล้ว

    I give you a straight PASS bro imekizungumza taratibuuuuu....mzungu mswahili wewe na inapendeza zaidi....Hongera kaka...Nawapongeza wazazi wako kukupa hii nafasi humu Africa...Mungu awabariki na azidi kuwapa maarifa..

  • @tegatmerchants407
    @tegatmerchants407 7 ปีที่แล้ว +1

    ooooh he is very very good

  • @rosalynenungari9988
    @rosalynenungari9988 9 ปีที่แล้ว +1

    He has good quality of swahili i like his talking

  • @scarmsaniiaggrey1646
    @scarmsaniiaggrey1646 5 ปีที่แล้ว

    Damn!!!!! This is sick! Like you lying you learned it!! My guy! You are a native! Ng'ombe usiseme ngobe brathe unachoma.

  • @jamesobiri1583
    @jamesobiri1583 6 ปีที่แล้ว +1

    Wow

  • @meshackmihayo7480
    @meshackmihayo7480 3 ปีที่แล้ว

    Very good Swahili my friend...From Dar es Salaam, Tanzania🇹🇿🇹🇿

  • @hasnuumakame9219
    @hasnuumakame9219 6 ปีที่แล้ว

    Bila shaka yoyote ile Kiswahili fasaha kinazungumzwa na kufundishwa vizuri kabisa katika visiwa vya Zanzibar.

  • @annastaziamsami1455
    @annastaziamsami1455 8 ปีที่แล้ว

    safi sanaaa! kiswahili anaongea kama mbongo. lakini angalia wakenya Washoe wakasema hata kiswahili ni chao. kwani olduvai wanasema wao Mlima Kilimanjaro wao, hata raisi wetu wanasema wa kwao

  • @cobyveron
    @cobyveron 5 ปีที่แล้ว

    *French student*

  • @fatstogie
    @fatstogie 2 ปีที่แล้ว

    Love the way he has a better swahili than the interrogator

  • @nishabebe6768
    @nishabebe6768 4 ปีที่แล้ว +2

  • @fatmanoor6146
    @fatmanoor6146 4 ปีที่แล้ว

    Hongera kaka !! Ufanisi wako wa lugha ya kiswahili ni ya hali ya juu

  • @leahedward8063
    @leahedward8063 4 ปีที่แล้ว

    yani wewe unaongea kiswahili cha TZ

  • @fatumabakari1274
    @fatumabakari1274 4 ปีที่แล้ว

    Hongera kaka unaongea kiswahili kizur sana