Part3_USHUHUDA WA MCHAWI MSTAAFU WA SUMBAWANGA/ALISABABISHA MARADHI KWA UCHAWI WA MITI,DUA NA MAJINI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • #ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

ความคิดเห็น • 63

  • @dokasa9176
    @dokasa9176 2 ปีที่แล้ว +2

    Jacktan nikwambie ubarikiwe sana sana,mm kitambo nilikuwa mkristo vugu vugu si moto si baridi lakini tangu nianze kufuatilia hii promover ndiyo niliokoka kanisa kabisa ile kutoangalia nyuma,kulia wala kushoto natazama mbele hata majaribu yawake moto,nimegundua dhambi ndiyo chanzo ya kurogwa hata kutumiwa majini,Jacktan nakupenda sana Mungu akubariki Dorcah Bonareri from Saudi Arabia

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  2 ปีที่แล้ว

      Asante sana Dorcah Nakupenda pia

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  2 ปีที่แล้ว

      Asante sana Dorcah Nakupenda pia

  • @shadrachkamyori9911
    @shadrachkamyori9911 3 หลายเดือนก่อน

    Ushuhuda wa maana kabisa. Mch Leonard Mungu akupe furaha ya wokovu.
    Mtumishi Jaktan, ubarikiwe kwa kutuletea shuhuda halisi za namna hii. Mungu akulipe sawasawa na mapenzi yake.

  • @wilsonmatunda4937
    @wilsonmatunda4937 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimejifunza mengi sana haswa uhusiano wa waganga wa kienyeji na wachawi. Kumbe ni marafiki sana! Waalaniwe kwa jina la Yesu Christo!

  • @keziaranga6329
    @keziaranga6329 3 ปีที่แล้ว +3

    Huu ushuhuda umenibariki sana, kuna nguvu ya ajabu katika damu Ya Yesu kristo,nikupongeze sana Joktan kwa kutuletea ushuhuda huu hakika roho nyingi zitakuja kwa yesu, Mungu akubariki mchungaji usiache kuwahubiria watu injili.

  • @muhindokeukeu5503
    @muhindokeukeu5503 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa kukuokowa yesu Christo apewe sifa

  • @isabellarkageha7707
    @isabellarkageha7707 ปีที่แล้ว +1

    Amen hakika Yesu ni Mshindi

  • @kmwendemusic5379
    @kmwendemusic5379 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli Yesu mwema na mwenye rehema nyingi siku zote, 🙏Asante Yesu kwa kutoa damu yako msalabani itukomboe

  • @pammymoraamoraa6702
    @pammymoraamoraa6702 3 ปีที่แล้ว +4

    Give glory to God almighty mungu ndio mungu jana leo na milele, ,

  • @riccahcate8126
    @riccahcate8126 3 ปีที่แล้ว +1

    Waaaah!!! Natumai uliomba toba kamili kaka hii ni hatari hadi naingiwa na uwoga lakini nina imani Damu ya Yesu iko juu yetu tunaokusikiliza. Kipekee nakuombea toba kali na Damu ya Yesu inayo mwagika msalabani iikuoshe thabiti. Mungu akukumbuke na akuokoe kabisa usirudi Kule tena. Asante kaka Jactan

    • @nicksonmmbando9635
      @nicksonmmbando9635 2 ปีที่แล้ว

      @@pastorleonarddionizi9333 Naomba Mawasiliano Kaka Mchungaji

  • @haikajohn7580
    @haikajohn7580 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen,yesu nibwana hakuna lisilowezeka kwake yeye aaminie.mungu akusaidie kuulinda wokovu huu uliyogharimu damu ya yesu iliyoyathamani sana

  • @waithirahnaomy1573
    @waithirahnaomy1573 2 ปีที่แล้ว +2

    Ameni amenii ubarikiwe na yesu

  • @admerarobert3485
    @admerarobert3485 3 ปีที่แล้ว +1

    YESU ndiye njia na kweli na uzima ubalikiwe Sana Mtumishi

  • @fredkyara3278
    @fredkyara3278 3 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante Yesu kwa damu yako msalabani

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 3 ปีที่แล้ว +1

    Wacheni Mungu aitwe Mungu. Barikiwa sana Jacktan

  • @vickiemerere4056
    @vickiemerere4056 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna uganga wala uchawi juu yangu na generation yangu kwa jina la Yesu... Hesabu 23:23

  • @habari2558
    @habari2558 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen God is good

  • @neemaduda4186
    @neemaduda4186 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwema sana

  • @fefedordjuma7093
    @fefedordjuma7093 3 ปีที่แล้ว

    Ameeeeeena Ameeeeeena 😭😭😭 nashukuru sana Mungu kuona nimezaliwa kwenye familia ya wokovu 😭😭😭😭😭😭😭😭 Asante Yahweh

  • @dorisgesare7707
    @dorisgesare7707 ปีที่แล้ว +1

    Glory to God

  • @marianachriss2444
    @marianachriss2444 3 ปีที่แล้ว +1

    YESU KRISTO ni Nuru ya ulimwengu wote na ni BWANA na mwokozi

  • @sallymumia8425
    @sallymumia8425 3 ปีที่แล้ว

    Amen ,amen,what a testimony,I have learned alot.

  • @josephomuto3240
    @josephomuto3240 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaaaaah! Ndugu Jaktan Msafiri, Mungu akibariki sana kwa kazi yako nzuri sana na ya kipekee. Kupitia channel hii, nimejifunza mambo mengi sana, sana, saaana.
    Mchungaji Leonardi, wewe ni wa baraka sana, ushuhuda wako umenijenga sana.

  • @alinepascalin8777
    @alinepascalin8777 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwema

  • @evalynerwegasira7485
    @evalynerwegasira7485 3 ปีที่แล้ว +3

    HONGERA KWA KUMPOKEA YESU.

  • @peninahkariuki4679
    @peninahkariuki4679 3 ปีที่แล้ว +3

    Shetani ni mwongo,sasa mtumikie Mungu kwa nguvu na kwa roho yako yote 🇰🇪🙏🙏

  • @myself4128
    @myself4128 3 ปีที่แล้ว +2

    Yaani ndio maana Africa hatuendelei maaana Kuna maroho mabaya tupu yanatenda kazi katika ulimwengu wa roho,bila hata Sababu mtu anakuharibia tu maisha! Shetani amefanikiwa sana sababu ya umasikini na ujinga wetu weusi

    • @africandarling6925
      @africandarling6925 8 หลายเดือนก่อน

      Mmhh ndugu sio kwl kusema watu weusi ndio wachawi au washilikina Apana ata hizo langi nyeupe ni watu wabaya bora ata sie wafrca ndugu tunayaona kwa macho na sio kuadisiwa

  • @shadrachkamyori9911
    @shadrachkamyori9911 3 หลายเดือนก่อน

    Yesu ni Ushindi. Yesu ni Uhuru. Asifiwe yeye aokoaye mataifa.

  • @Shalom2018
    @Shalom2018 3 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema kila siku, kila saa

  • @sarahjudahsarah1263
    @sarahjudahsarah1263 2 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏🙏

  • @benterawuor6950
    @benterawuor6950 3 ปีที่แล้ว

    Hallelujah.

  • @hobokelajackson1947
    @hobokelajackson1947 3 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu asifiwe sana🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @aimablendereyimana48
    @aimablendereyimana48 ปีที่แล้ว

    Habari zenu, Promover TV, mimi nilikuwa nataka kujuwa mafuta ya mtuu ni nini, tunajua mtuu ana damu, mkojo, mate, jasho, sasa mafuta ya mtuu ni nini?

  • @wilsonmatunda4937
    @wilsonmatunda4937 3 ปีที่แล้ว +1

    Viva Promover TV!!

  • @wilsonmatunda4937
    @wilsonmatunda4937 3 ปีที่แล้ว +1

    Jackstan Msafiri Hoyeeeeeee!!

  • @edinambaga776
    @edinambaga776 3 ปีที่แล้ว +2

    Jactan mdogo wangu siku hizi unaalibu watu wanaeleza Sana uchawi kwa muda bila kusikia ukuu wa MUNGU je ktk uchawi ajawai kukutana na Alie okoka hata maswali Kama zamani akuna mpaka mwisho tutachoka tunafatilia kz yako kwakuwa unatujenga kiroho ushauli tu ili kazi ihende mbele hacha kuwa no mpiga pesa tu ila kutangaza ukuu wa MUNGU

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  3 ปีที่แล้ว

      Amen asante kwa ushauri.Maswali mengi zaidi yanakuwa mwisho wa ushuhuda kama wengi walivyoshauri.Hapo kwenye kwenye kupiga pesa sijaelewa kabisa ungefafanua labda.

    • @mahomamahoma775
      @mahomamahoma775 3 ปีที่แล้ว +2

      Mm naona Jack Tan unavyofanya ni sahihi kabisa kuacha mtuu ajieleze kisha mwisho unauliza maswalii,hii inafanya mmzungumzajii awe huru kueleza kwa mtiririko mzuri

    • @justooluoch2468
      @justooluoch2468 3 ปีที่แล้ว

      Ukiacha MTU aeleze maovu aliyoyafanya ndivyo anavyozidi kuwa huru..huu ndio ushuhuda.

  • @haikajohn7580
    @haikajohn7580 3 ปีที่แล้ว +2

    Sasa? Ilehirizi ilikutokaje ile ulioimeza?

  • @eddasang9393
    @eddasang9393 3 ปีที่แล้ว +1

    Weeueee hatariii

  • @yvettekyalika907
    @yvettekyalika907 3 ปีที่แล้ว +1

    .😳😳😳.. Wickedness 😳😳😳😳

  • @mabulamasunga7378
    @mabulamasunga7378 3 ปีที่แล้ว +1

    Mafuta ya maiti yalipatikanaje mortuary?

  • @myself4128
    @myself4128 3 ปีที่แล้ว +1

    Na je? Vita gani ya kiroho ulokutana nayo baada ya kuokoka???hukupambana na maroho (majini) ulokuwa ukiyamiliki?

  • @myself4128
    @myself4128 3 ปีที่แล้ว

    Hukuchoma mapembe na mahirizi yako??utaachaje uganga kwa kuutelekeza katika mji wa mtu?huoni umewaachia majanga? Yale mapepo yatamuingia mtu na bado yanamilki iyo nyumba,na pia kuhusu hirizi na mavitu ulomeza je uliyatapika ulipoombewa?? Manaake katika ushuhuda hujasema kama mapepo yalilipuka wakati wa Deliverence,

    • @truth7796
      @truth7796 3 ปีที่แล้ว +1

      Next episode is coming i think he will tell us more about how he receive deliverence

    • @happyisack8469
      @happyisack8469 3 ปีที่แล้ว

      Kaelezea vizuri sana aisee groly 2 God

  • @rhodahsavayi5146
    @rhodahsavayi5146 2 ปีที่แล้ว +1

    Glory to God