UKITAKA KUJUA MWANAMKE NI KIUMBE CHA MAANA AONDOKE NYUMBANI "PASTOR MGOGO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ย. 2023
- Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: Daniel Mgogo / revdanielmgogo
Instagram: Pastor Daniel Mgogo / pastordanie. .
TH-cam : Pastor Daniel Mgogo th-cam.com/channels/eNr.html...
#PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo
Very true pst.mungu atusaidie katika safari hii ya maisha...Emungu tupe hekma ya kuvumilia Challenge
Pastor unamlika tu ya kwangu God bless you
Nimebarikiwa na haya mafundisho mungu. Atabakikua mungu Kwa kutupa mugogo
😂😂😂😂😂😂😂 sadaka inaenda mbinguni💃🏼💃🏼💃🏼
Ndo maana saizi wanawake tunafinikiwa kuliko wanaume tunazaa Kwa uchungu na tunatafuta Kwa jasho 🙏🙏
Amen ,Nimebarikiwa kbs . YEHOVA akupe nguvu uzidi kutufundisha mengi
Nimebarikiwa na haya mafundisho mungu. Atabakikua mungu Kwa kutupa mugogo
Asante,mafundisho yako yananibariki sana,nipo Burundi hua nakufatilia kwenye youtb,Mungu akubariki sana .
Beside sadaka what about pesa za project kama ujenzi unakuta mlitoa lakini kuna asilimia haipatikani
Baba tunashukuru kwa mahubiri yako❤❤❤
Ameen
Ameeen
Amen
Amen mchunganji wanaume Hawa wengi wamegeuza neno la mungu nimebarikiwa Sana huku malawi
Pastor mgogo mungu akubariki. You are hitting the nail on the head.
Mungu akurinde pastor ❤
Sure
Mungu akuzidishie mafuta muchungaji.From Burundi.
Amee mungu atupe hekima ya kumuerewa huyu mungaji
Amen 🙏 hallelujah 🙏🙏