Rais Mwinyi amemaliza ziara yake nkoa wa Kaskazini Unguja

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein
    Ali Mwinyi, amezitaka Halmashauri za Wilaya na Mabaraza ya Miji
    kutumia vyema fedha wanazokusanya kwa miradi ya Maendeleo,
    badala ya kujikita katika matumizi ya kawaida..
    Dk. Mwinyi amesema hayo katika mkutano wa Majumuisho uliofanyika
    Ukumbi wa Skuli ya Bumbwini, baada ya kukamilisha ziara yake ya
    siku mbili katika Mkoa wa Kaskazini Unguja, kuangalia shughuli za
    maendeleo .
    Katika ziara yake hiyo Rais Dk. Mwinyi ametembeelea
    maaeneo mbali mbali, ikiwemo Msikiti wa Jumuiya
    Fisabilillah Tabligh Markazi uliopo kidoti, ambapo ameahidi
    kuchangia shilingi Milioni hamsini (50,000,000),
    Follow us on:
    FACEBOOK;
    SpotiLeo: / spotileo-176. .
    HabariLeo: / habarileo
    DailyNews: / dailynewstz
    INSTAGRAM;
    HabariLeo: ....
    SpotiLeo: ....
    TWITTER;
    Twitter HabariLeo: Ha...

ความคิดเห็น •