KUNDI LA VIJANA KUPATIWA AJIRA ZANZIBAR | DK MWINYI NILETEWE MAJINA HAYA ........

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 6

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 ปีที่แล้ว

    Alhamdullillah, mashaallah jazakallah kheri. Iwe ya kheri. Ukweli umeongea point.

  • @swahibulfalak4378
    @swahibulfalak4378 ปีที่แล้ว

    Huu mtihani Kwa iyo ajira hizi Mpaka uwe ccm

  • @KipengoKipengo
    @KipengoKipengo ปีที่แล้ว

    Mm nauliza nni maana ya urasimu?

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 ปีที่แล้ว

    Inashangaza kuwa mpaka leo ajira zatolewa kichama na sio kizalendo.Jee hao vijana wa vyama vingine hawana haki ya ajira?

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 ปีที่แล้ว +1

      Vijana wa Hizbu Mapinduzi (Chama Cha Mapinduzi) wanaandaliwa kwa UCHA-WIZI (Uchaguzi wa Wizi) na Uvamizi kupata Ushindi wa Kishindo (Cha Mabom) kutoka Tanganyika.

  • @khamisjr395
    @khamisjr395 ปีที่แล้ว

    Raisi wa watu wote analipa fadhila kwa kikundi Cha Chama chake. C chama Cha mapinduzi kinaamini binaadam wote ni saw. Vp dhana hiyo na alichokisema rais.