@@VisentJohn-r3r mjinga wewe kwani ni lazima ajitaje kuwa yeye ni mwana ccm anarudia propaganda za kijinga wanazoongea ccm kila kukicha wkt watu wanakufa
Umesema kweli ila mnachelewa sana kutoa ukweli wa matukio kama hayo. Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki Afrika. Wanatakia shari nchi hii tunakuomba Mwenyezi Mungu uwadhihirishe wanafiki waongo waziwazi ili watu wengi tuwajue na dunia iwajue
Nafikiri kama CHADEMA wangekuwa wanahusika bila shaka wangeshakomeshwa. Toka enzi za akina Dr. Ulimboka; Gwanda, Saanane kifo cha Mwangosi n.k. Kama kweli kuna mtu anaehusika na utekaji na mauaji nje ya mfumo basi mfumo wetu wa usalama ni dhaifu kuliko watekaji na wauaji. Ukue ni muda mrefu sana. Mungu atusaidie Watanzania hii hali isitupeleke kwenye maovu mengi na damu nyingi.
Mungu haziakiwi, Atajibu kwa wakati wake na hakika hafurahii kuona maisha ya viumbe vyake yanakatishwa na shetani awaye yote. Kaini alimuua mdogo wake Habili, MUNGU hakumuacha kaini salama. Lkn kumbuà hàta uniue leo hata wewe hutaishi milele ipo siku utakufa tu na yawezekana ukafa kifo kibaya kuliko changu. MUNGU mwenyezi simama na walió upande wako na wàoñeshe watesi wetu uwepo wako
Suala la uhai wa.watu halihitaji siasa. Duniani huko watu huungana kukemea mauaji pasipo kujali itikadi zao za kisiasa ama za kidini. Lakini hapa kwetu tunagawanyika kiitikadi kila linapokuja suala la kukemea mauaji. Hii ni shida kubwa sana
wanachama wa chadema tukaneni tu lkn ukweli ndio huo the end will justify the truth. Nyinyi andamaneni tu tukaneni kwenye mitandao lkn mwisho mtaelewa wana ccm ni watu makini na waelewa nyinyi sasa sijuui mnabahe mpya badala ya kutafakali mna tukana ,ngoja tuone mwisho wa albadiri ya tanga na mahdara ya damu ya mzee kibao,sisi wenye akili tunaona njia hiyo nyeupe ya kukamatwa watekaji,tunaendelea kula mtori nyama tutazikuta chini,
Lakini chadema wameomba chombo huru kutoka nje kuja kuchunguza. Tusikubali kueneza propaganda za kijinga kwa manufaa ya kisiasa kwenye uhai wa watu. Laiti Kama mngejua maumivu ya familia za walizopotelewa na ndugu zao.
Dr Mvungi tumefanya nae kazi Gazeti la Uhuru na Palamagamba Kabudi Agrey Mlimuka Ndimara Tegambwage Salvatory Rweyemamu Saidi Nguba hao Badwin Mziray Shoo ambao kwa sasa hao ni marehemu Viongozi wakubwa nitawataja muda mwingine
CCM sasa inatapa tapa hata kuwahonga wapumbavu kama hawa kuongea ujinga ......wanajua bado tupo kwenye zama za giza .....hatujui michezo yao na serikali yao. Bado hamjasema, mtasema mengi sana
Nyinyi mnaweza kuwekelea mtu kauli zenu hazi ponyi taifa Ruhusuni mawazo ya wengine Toa ushahidi kwa wakati siwatu wakiwa namambo ya msigi mnaaza kupiga kifua olewenu munao ongea uwongo mungu ata waziba mdomo
Hilolijamaaa linasemann hata aibu halioni Chadema wanalalamika kutokuchukiliwa hatua kwa matukio hayo,,, kama chadema ndy wahusika,, kwanin selikali na polisi haichuwi hatua dhidi ya chadema,,,,, au ndy tuseme,,,, polisi wameshindwa kuchukua hatua,,,, sasa kwann sis watanzania tusiwalaumu
Dr slaa aliongea juu ya hatari ya red Brigade alipewa pesa na nani, ndugu wa marehemu chacha wangwe wanaugovi na viongozi wa chadema,baada ya kumuua,lisu alipigwa risas na haohao
Aisee mm bado najiuliza sana mbona haya masuala yanatumia nguvu nyingi kutuaminisha wananchi??? Nani aaminike huyu anasema ili huyu anasema hili tuhiamini serikali au chadema??
Sasa kama wauwaji lisu na mboe Sasa ao usalama wa mama wako wapi inabidi wanampelekea taarifa za mkutano tu za mauwaji hawaleti dah bado tunahitaji uchunguz wa kina
Kama Kuna ukweli ndani yake na ndio maana Dr Silaa alisema kwamba Chadema Tunatekana sisi Kwa sisi na hakuna kiongozi yeyote wa Chama chetu Chadema haliyewahi kukanusha.
Ninaamoni duniani kote propaganda imekuwa sehemu ya maisha ya watu na siasa. Maendeleo hayahitaji maneno sana bali utulivu na akili kubwa. Maneno kama haya ni uchochezi na kuongeza taharuki kwenye jamii. Kwa kuwa utaratibu upo kikatiba na kisheria, 1 ni President, 2. Bunge na 3. Mahakama. Taarifa za kweli lazima zitolewe kupitia mifumo ya mihimiri hiyo.
Mungu akulinde ujumbe umefikia.watanzania tumekuelewa na tumejua watekaji.mashehe wa Tanga wamemaliza kazi,na damu ya marehemu kibao itakuwa juu yao.asante Kwa uzalendo,hakika wewe ni mtanzania mzalendo
Taifa la Mizaha ili. JPM aliuza wtz hua hajui kutafakari? Mizaha Mizaha.Kuna elimu kubwa Raia ipo kwenye tamthilia zinazo onyeshwa kwenye vibanda umiza. Tutafakari kuepusha balaa. Kusingiziana haisadii
Yani hakuna mtu mjinga kama huyu chawa unataka cheo nakuonea huruma kama kweli ni chadema kwa nini hawakamatwi watiwe nguvuni hii serikali ina interijensia ya hali ya juu wangeisha kamatwa wote ccm wanaakiri hawawezi kukupa cheo kwa sababu hata wao wanajua unaongea uwongo
Watu hawamfahamu mbowe ivi ninyi mnafikili wakina mdee walienda bungeni kwa kuhongwa na magu bila baraka za mbowe wabunge 19 wanunuliwe wote tena majembe yanayoaminika sio kweli mbowe anajuwa kila kitu namuamini msiamini mbowe atawarudisha woote kwenye uchaguzi mkuu huyu ndio mbewe
Kila ninavyo zidi kumsikiliza huyu jamaa ndivyo ninavyo ona ana zidi kuni kela maana naona nakasilika nilikuwa simjuii na bado simjuii ila nisha mtoa kwenye siasa ana ongea kama mlevi
Alietekwa anasura imepakwa mafuta hivyo. amelipwa huyu aje aongee uzushi msimuamini. Wapo wengi kama hawa, mbona anatetea chama tawala tu na kukisifia. TUSIWAAMINI KAMA HAWA WASALITI
Uchunguzi uanze na wewe We unaitukana serikali,rais chama cha ccm na jeshi kuwa ni vidhaifu muwe mnatumia hata akili ya kizaliwatu huon aibu fala wewe😢
Huyu anaye ongea ni Mpumbavu kama chadema ni Watekaji wameiomba serikali ilete uchunguzi wa kijaji au Sikotrendi kama ni chadema au ni poris au wahuni tujue ukweli upo wapi.
Dr Wilbrod Slaa mwenyewe ambeye alikuws lulu chadema ameshawahi kusema chadema Kuna genge la watekaji. Wananchi kuweni na akili.
Vuguvugu la utekaji huko ni la siku nyingi. Slaa alisema ukweli
Mmmmmm kwa kweli mnatupandisha hasira wananchi,Ila siku ipo Mungu atajibu
Yaani Ccm wana siasa za maji taka sana. Hawa wana weza sababisha maafa makubwa sana.
Nondo aligundulika walio mteka ni Ccm na iko wazi
Kakwambia ni mwana ccm ,mbona wao wanalipoti kichama acha uboya kolo
@@VisentJohn-r3r mjinga wewe kwani ni lazima ajitaje kuwa yeye ni mwana ccm anarudia propaganda za kijinga wanazoongea ccm kila kukicha wkt watu wanakufa
@@musa-v3f matako
Chadema hawana sela wao ni vulugu kira siku mungu saidia Tanzania 🇹🇿💯👏
Umesema kweli ila mnachelewa sana kutoa ukweli wa matukio kama hayo. Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki Afrika. Wanatakia shari nchi hii tunakuomba Mwenyezi Mungu uwadhihirishe wanafiki waongo waziwazi ili watu wengi tuwajue na dunia iwajue
Asante kwa hilo umetufungua
Nafikiri kama CHADEMA wangekuwa wanahusika bila shaka wangeshakomeshwa.
Toka enzi za akina Dr. Ulimboka; Gwanda, Saanane kifo cha Mwangosi n.k.
Kama kweli kuna mtu anaehusika na utekaji na mauaji nje ya mfumo basi mfumo wetu wa usalama ni dhaifu kuliko watekaji na wauaji.
Ukue ni muda mrefu sana. Mungu atusaidie Watanzania hii hali isitupeleke kwenye maovu mengi na damu nyingi.
Polisi anza na huyu awape ushirikiano awe alitwekwa na chadema ama nani atoe ushirikiano
Polisi wa nchi hii huwa hawakamati hawa chawa wa CCM
Annsema ukwili kwa sababu yupo Chadema na kesha tekwa
@@MohamedRashid-py7ro Si ndio aende mahakamani ili tujue ukweli wa mambo,kwa sababu CCM ni mabingwa wa kuwatengenezea watu kesi
Mh! Mungu anajua ukweli wote.
Mungu haziakiwi, Atajibu kwa wakati wake na hakika hafurahii kuona maisha ya viumbe vyake yanakatishwa na shetani awaye yote. Kaini alimuua mdogo wake Habili, MUNGU hakumuacha kaini salama. Lkn kumbuà hàta uniue leo hata wewe hutaishi milele ipo siku utakufa tu na yawezekana ukafa kifo kibaya kuliko changu. MUNGU mwenyezi simama na walió upande wako na wàoñeshe watesi wetu uwepo wako
Chadema 40 yao imefika huwa wanajifanya Watanzania na Serikali ya Tanzania na chama cha CCM Chadema ndio wausika
Suala la uhai wa.watu halihitaji siasa. Duniani huko watu huungana kukemea mauaji pasipo kujali itikadi zao za kisiasa ama za kidini. Lakini hapa kwetu tunagawanyika kiitikadi kila linapokuja suala la kukemea mauaji. Hii ni shida kubwa sana
Sawa kabisa hilo wananchi tumeligundua
Tanzania Polisi Mwiteni huyu Mtu anaweza kuwasaidia kupata Information Nyingi na Nzuri kuwapata Watekaji na Wauaji Wasiojulikana.
Wqliandika free Sativa mbona mwenyewe baadae ya kupona akiri kuteswa police na kupelekwa Arusha Hadi Katavi
Ukweli utajulikana tu. Hawa CHADEMA ni wahuni sana sana. Huu utekaji ni wao
wanachama wa chadema tukaneni tu lkn ukweli ndio huo the end will justify the truth. Nyinyi andamaneni tu tukaneni kwenye mitandao lkn mwisho mtaelewa wana ccm ni watu makini na waelewa nyinyi sasa sijuui mnabahe mpya badala ya kutafakali mna tukana ,ngoja tuone mwisho wa albadiri ya tanga na mahdara ya damu ya mzee kibao,sisi wenye akili tunaona njia hiyo nyeupe ya kukamatwa watekaji,tunaendelea kula mtori nyama tutazikuta chini,
Lakini chadema wameomba chombo huru kutoka nje kuja kuchunguza. Tusikubali kueneza propaganda za kijinga kwa manufaa ya kisiasa kwenye uhai wa watu. Laiti Kama mngejua maumivu ya familia za walizopotelewa na ndugu zao.
Chadema inazidi nguvu polisi kias kwamba hawawez kuchunguza
Dr Mvungi tumefanya nae kazi Gazeti la Uhuru na Palamagamba Kabudi Agrey Mlimuka Ndimara Tegambwage Salvatory Rweyemamu Saidi Nguba hao Badwin Mziray Shoo ambao kwa sasa hao ni marehemu Viongozi wakubwa nitawataja muda mwingine
CCM sasa inatapa tapa hata kuwahonga wapumbavu kama hawa kuongea ujinga ......wanajua bado tupo kwenye zama za giza .....hatujui michezo yao na serikali yao. Bado hamjasema, mtasema mengi sana
Upo sahih sana ndugu yetu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿👏
Kweli hawa wanafanya siasa chafu...
Jamani msizarau mtu anaweza kusaidia tukapata waalifu hao wanaotajwa siwakamatwe
Mungu anakuona
Mbona kaka yangu siwachadema Wala CCM mbona amepotea hadi Sasa hajaonekana acha usanii
huyu anajua kinachoendelea... amesema akina Soka wanekufa! kumbe wameshakufa!!!! Atueleze vizuri tukabebe miili ya watoto wetu
Ww unahisi wapo wap
Macheni uchawa aseee kaandamano km kawaaa
@@FrenkMushi-i7fnyny mkipewa nchi taharifa ya habarj mtasoma kichaga wabaguzi sana
Nisimulie basi baada ya maandamano ikawaje😅
@@PirlyKingu Mimi nashangaa wahusika wenyeji wa mandamano hawakuonekana ,wakati tuliwategemea kua ndio watetezi sijuwi walienda wapi
Nyinyi mnaweza kuwekelea mtu kauli zenu hazi ponyi taifa
Ruhusuni mawazo ya wengine
Toa ushahidi kwa wakati siwatu wakiwa namambo ya msigi mnaaza kupiga kifua olewenu munao ongea uwongo mungu ata waziba mdomo
Mama samia masuala sensitive mnaleta mzaha watu mioyo inavuja damu mnaleta watu wanaongea mavi l kweli
Hilolijamaaa linasemann hata aibu halioni
Chadema wanalalamika kutokuchukiliwa hatua kwa matukio hayo,,, kama chadema ndy wahusika,, kwanin selikali na polisi haichuwi hatua dhidi ya chadema,,,,, au ndy tuseme,,,, polisi wameshindwa kuchukua hatua,,,, sasa kwann sis watanzania tusiwalaumu
Kushuhudia uongo ni dhambi kubwa kwa Mungu.Endeleeni tu yana mwisho.Acha uzushi wewe Mungu anakuona.
Wewe ndie mjinga
Tupe ukweli unaoujua ,au ndio mnaofuata mkumbo
Watu wanapewa pesa waongee ujinga kweli nguvu ya chadema nikubwa sana kuckia maandamano kila mtu anabwawaja anavotaka
Dr slaa aliongea juu ya hatari ya red Brigade alipewa pesa na nani, ndugu wa marehemu chacha wangwe wanaugovi na viongozi wa chadema,baada ya kumuua,lisu alipigwa risas na haohao
Aisee mm bado najiuliza sana mbona haya masuala yanatumia nguvu nyingi kutuaminisha wananchi??? Nani aaminike huyu anasema ili huyu anasema hili tuhiamini serikali au chadema??
Sasa kama wauwaji lisu na mboe Sasa ao usalama wa mama wako wapi inabidi wanampelekea taarifa za mkutano tu za mauwaji hawaleti dah bado tunahitaji uchunguz wa kina
Jitu Kama hili nilipumbavu Kama sio jehu basi linautindio wa ubongo Kama Wana ccm ndiyo Hawa ni nyumbu kasoro kukaa porinitu
Huna jipya nyie ndo mnaingamiza nchi mandano nihaki yakatiba ww unazungumza kitu gani marekani yenyewe akiuwawa mtu watoka barabarani wew nimhujumu uchumi😢
Kuna ukweli ndani yake,nakuelewa
Uchawa gani .Ninyi wajiga mbowe na viongozi wa chadema wakuu wanahusika na mstukio.hayo
Iko siku Mungu anatambua ukweli
Hivi polisi hamuone huyu anaeroboka akamatwe awape ushahid wa wanaouwawa mnamuongopa kwa kuwa ni mccm.
Wewe kama Cyprian musiba msema kweli God lema jambazi ukimuangalia tu unajua jambazi
Huo ni ukweli kikulacho kiko nguoni mwako mwako
Chadema ina nguvu gani kuishinda polisi.Acha uchochezi na kuipeleka nchi pabaya.Polisi mkamateni huyu awasaidie upelelezi.
Chadema wauaji na wanabebwa na mabeberu mbowe, lisu na lema, mnyika hawa ndio viongozi wa dili zote wanawazuga watu tu na wachungaji wao wamo ktk hili
Sasa kma chadema wanaweza kufanya hayo yote na serikali yako ikashidwa wakamata bas una jeshi dhaifu sana na serikal dhaifu sana 😂😂@@AliAhmed-m1o2u
Mbowe na lisu ndio wameuza bandali pamoja na loliondo
Nardhis,kama hujui jambo usizungumze,kwani bandari imeuzwa wapi
huyu ni fala tena mafala wanaopotosha ukweli aende zake na afunge domo lake mnafiki mkubwa
😂😂😂
Thaifu sana huyu jamaa,,huyu ni mmoja wa watuhumiwa,,,
Kama Kuna ukweli ndani yake na ndio maana Dr Silaa alisema kwamba Chadema Tunatekana sisi Kwa sisi na hakuna kiongozi yeyote wa Chama chetu Chadema haliyewahi kukanusha.
Ivi Uyu Mzima Kwel uyu Mi Naona Kama njaa aliyonayo ni Ya Kiwango Cha Lami huna hata haya Usoni unavyoongea
Kumbe chadema ni wauwaji leo tumejua mbiv
Ninaamoni duniani kote propaganda imekuwa sehemu ya maisha ya watu na siasa.
Maendeleo hayahitaji maneno sana bali utulivu na akili kubwa. Maneno kama haya ni uchochezi na kuongeza taharuki kwenye jamii.
Kwa kuwa utaratibu upo kikatiba na kisheria, 1 ni President, 2. Bunge na 3. Mahakama. Taarifa za kweli lazima zitolewe kupitia mifumo ya mihimiri hiyo.
Tumekuelewa kwenye hii nchi mwenye akili ni wewe tu hao maaskofu na mapadre hawana akili hongera kwa hilo kijana mwenye akili
Hapo Sasa yaani chadema Wana nguvu Gani ya kuuwa Watu wakiwazidi nguvu polisi huyu ni chawa tu hakuna lolote
Mnatuchanganya Tuwachie polis mnamsumbua rais wetu
Mungu akulinde ujumbe umefikia.watanzania tumekuelewa na tumejua watekaji.mashehe wa Tanga wamemaliza kazi,na damu ya marehemu kibao itakuwa juu yao.asante Kwa uzalendo,hakika wewe ni mtanzania mzalendo
Mwanangu nakupata vizuri nikiwa mitaa wa smart join Nina bia Yako Samia mitano tenaaaaaa
Huyu alitekwa mjue ndio anasimulia hivyo ndio muone uovu wa chadema
Shida ni kwamba wt wanazani watekaji ni ccm tu na wameaminishwa hivyo tk kitambo.
Taifa la Mizaha ili. JPM aliuza wtz hua hajui kutafakari? Mizaha Mizaha.Kuna elimu kubwa Raia ipo kwenye tamthilia zinazo onyeshwa kwenye vibanda umiza. Tutafakari kuepusha balaa. Kusingiziana haisadii
Awashitaki chadema huo ni uwongo mtupu.
Yaani serikali imekubali kuchafuliwa na Chama cha siasa?😂
Huo ni uwongo wa dhahiri 😂
Yani hakuna mtu mjinga kama huyu chawa unataka cheo nakuonea huruma kama kweli ni chadema kwa nini hawakamatwi watiwe nguvuni hii serikali ina interijensia ya hali ya juu wangeisha kamatwa wote ccm wanaakiri hawawezi kukupa cheo kwa sababu hata wao wanajua unaongea uwongo
Kumbe unajua wasiojulikana tunahangaika polisi anza na huyu ana uhakika kama huyo
Wanapotezewa maisha it's means wanaenda kutuuwa kwani huyu jamaa vp kuma eee
Mawazo mazuri na asante kwa taarifa, sasa iundwe tume huru kuchunguza ili kumaliza manenomaneno
Katika watu wa kweli wewe nimmoja wapo insha Allah mwenyezimungu akuhifadhi
Amiin
Huo ni ukweli mtupu jamaa yangu. Kuwa mkweli kama ivo, ukweli humuweka m2 huru
Mshahara wa dhambi ni mauti. Yeyote atendae dhambi atakufa kifo cha milele kama hatatubu na kuungama dhambi zake
We kuma kweli ccm ndo wanapeleleza
Watu hawamfahamu mbowe ivi ninyi mnafikili wakina mdee walienda bungeni kwa kuhongwa na magu bila baraka za mbowe wabunge 19 wanunuliwe wote tena majembe yanayoaminika sio kweli mbowe anajuwa kila kitu namuamini msiamini mbowe atawarudisha woote kwenye uchaguzi mkuu huyu ndio mbewe
Kaka,achakupotoshawatu,zungumzia,ukweli,nakama,manenohayo,ni kweli,simngechukuahatua
Unatumiya nguvu kubwa kudanganya unajichosha
Kama ni mbowe na lisu wakamateni jaman mbona unaogea ujinga kamateni
Dah kweli hawa ni wahuni siri zinatoka sasa
Kukemea uovu siyo kazi ya Chadema, niyakila mmoja mwenye kujali haki na thamani ya maisha ya binadamu pamoja na huyu mjinga akiwemo!
Unachokiongea watakusikiliza cm wenzio co cc
Kila ninavyo zidi kumsikiliza huyu jamaa ndivyo ninavyo ona ana zidi kuni kela maana naona nakasilika nilikuwa simjuii na bado simjuii ila nisha mtoa kwenye siasa ana ongea kama mlevi
Woooote MTA ongea lakini mungu hadhiakiwi mungu at walaani na kizazi Chao watekaji
Ww nimchochexi kwahiyo chadema wanajificha wp jinga kabisa😊
chadema tupambane nao mpaka atoweke katka ulimwengu wa siasa,za kihuni, chadema haifai kupatahata kitongoji. wapigakula tushawaerewasana,
Waiyemteka Sativa Edger amewataja police boss na ushahidi anao
We ni shetani jike haya huna nchi ilivyo sassa wa Acha ujinga siku ukitekwa razima ujue Acha ujinga
Alietekwa anasura imepakwa mafuta hivyo. amelipwa huyu aje aongee uzushi msimuamini. Wapo wengi kama hawa, mbona anatetea chama tawala tu na kukisifia. TUSIWAAMINI KAMA HAWA WASALITI
Hao atekaji hawanahuluma hawamogop uit mungu
We muogope Mungu acha porojo kwenye mambo ya uongo.unaongea kwa chuki binafsi.
Apply HOLLYWOOD NDUGU YANGU ACTOR MZURI SANA
Hii akili hatakuendesha familia aiwezi
Watekaji mnatukana sana humu lkn matusi yenu hayafuti haya tunayoambiwa hapa. Ni wakati wa malipo kwa akina chacha wangwe na wenziwe
Yaani ww ingekuwa ruhusa yangu nikupigie simu ungekiona ningekutoa koromeo
Uchunguzi uanze na wewe We unaitukana serikali,rais chama cha ccm na jeshi kuwa ni vidhaifu muwe mnatumia hata akili ya kizaliwatu huon aibu fala wewe😢
Huyu anaye ongea ni Mpumbavu kama chadema ni Watekaji wameiomba serikali ilete uchunguzi wa kijaji au Sikotrendi kama ni chadema au ni poris au wahuni tujue ukweli upo wapi.
Kama munajuwa Mbona hamtaki Wachunguze Hapo Ndipo Mnachafua Jeshi la Police
UMELIPWA SH. NGAP KUONGEA HUO UTUMBO
Kwani 4R ni katiba ya nchi hebu nielewesheni
Pumbavu wewe chadema wana nguvu gani yakuishinda serikali ya CCM hadi watambe na kutembea na silaha hadharani
Mpuuzi sana huyu
Yanajulikana haya toka wakati wa Magu
Hamwezi kudanganya watu hata siku moja. Watu tuna akili zetu msitudanganye . Pumbavu sana.
Kamata huyu asaidie police
Jiunge akina Masanja Mkandamizaji UCHEKEDHE, hapa unaonekana bwege tu
Kaka SISI SIO WAJINGA TANZANIA TUPO MACHO ACHA KUTUMALIZIA MB YAANI WEWE UMELIPWA KUSEMA HAYA
Nani kakuita hapa tokaaa
Aaa njaa kitu kibaya saana,,hayo ndio machumia tumbo sasa.
Tusikilize kila mmoja wetu ili tujue adui wetu ni nani hasa?.
Huyu jamaa anatakiwa atoe ushirikiano akaseme wako wapi watu wetu
Hizi siasa ndo zinaaribuga taifa hizi siasa nyepesi nyepesi mno
Huyu jamaa akamatwe kwanza apimwe akili huenda ni mwenda wazimu au kama ndiyo ametumwa kuzungumza huu upuuzi pia mtuambie
MTU WA hovyo kabisa huyu mchizi
Siasa za Uchozezi!
Wewe ni mjinga sana
Sasa Serikali ushahidi si huo tayari
We jamaa mbona muongo. Viongozi walikubaliana kwanini usiseme viongozi tulikubaliana
Wewe Inatakiwa ukamatwe utoe huo ushahidi ....