CHADEMA WATOA TAMKO LA WAGOMBEA WAO KUENGULIWA, "TUMECHOKA KUONEWA HATUTAJITOA MPAKA MWISHO"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 90

  • @HeriMohamedi-re7xu
    @HeriMohamedi-re7xu 3 วันที่ผ่านมา +4

    N'a nyinyi watanganyika mmezubaa sana cheki wazanzibar tunainjoy n'a TANGANYIKA rais wetu n'a mawaziti ni wanzibaf ila nyinyi zero

    • @angelsulle7177
      @angelsulle7177 วันที่ผ่านมา

      Kwani wewe humjui anayezubaisha Tanganyika????

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 4 วันที่ผ่านมา +11

    Samia na mkwe wako Mungu ameyaona atajibu soon Mnavyoifanya Chadema na Watanganyika sad

    • @sadickissa1600
      @sadickissa1600 4 วันที่ผ่านมา +1

      Chadema wajitoe huu uchaguzi, hakuna haki

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 4 วันที่ผ่านมา +2

      Hii nchi italaaniwa kwa uchafu huu. Yaani hii ni nini? Watu hawana hofu ya Mungu kabisa

    • @ceciliamagalabajimmy4391
      @ceciliamagalabajimmy4391 4 วันที่ผ่านมา +3

      Wakijitoa ndio furaha yao ccm. Wananchi kwa pamoja tuchukue maamuzi, tumechoka kuonewa.

    • @BrightShumbusho-i4y
      @BrightShumbusho-i4y 2 วันที่ผ่านมา

      Unachukua maamuzi kwenye simu?..hata siku ya kuandamana watu waliandama you tube tena wakiwa live😂😂😂😂😂😂😂​@@ceciliamagalabajimmy4391

  • @alexmichael5850
    @alexmichael5850 4 วันที่ผ่านมา +7

    Ivi kama kweli ccm natenda mema kwa nini mnacheza fauro kama kweli mama yenu anaupiga mwingi mbna mna mashaka...hapo ndo mjifunze kuwa wananchi walisha wachoka sababu wenye mali nchi hii ni wachache wakati nchi ni tajiri kila siku mnaiba pesa za umma

    • @nelsonnyamle
      @nelsonnyamle 4 วันที่ผ่านมา +1

      Wanajua hawakubaliki pamoja na huo anaupiga mwingi wao

    • @Kanyawela
      @Kanyawela 4 วันที่ผ่านมา +1

      Ivi chama cha Mapinduzi CCM imefikia kiasi kuogopa kura ?tatizo ni nini?mbona mama yetu anaupiga mwingi hata wenyeviti wa kupita bila kupingwa watakuwa hawana maana

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm 4 วันที่ผ่านมา +1

      Kwa nini hawa watu wawili wasishtakiwe leo kwa kuichezea Tanganyika ka kijinyumba chai. Kwa nini waruhusiwe kupotisha nchi, kupoteza muda wetu, kododi zetu namna hii na bado wako majumbani kwao. Wao nchi ni nini?Hawa ni wa Leta Fuji nchini. Je Polisi haijahisi huu uvunjifu wa amani?

    • @Mosesndahani
      @Mosesndahani 4 วันที่ผ่านมา

      Amemuaibisha mama ingekuwa mimi najihudhuru ni aibu sana.

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 4 วันที่ผ่านมา +4

    Watendaji hao walioshushwa Mungu awape kazi na ajira na kuwabariki sana maana hawajajiunga na ujinga wa CCM.

  • @CollinsAdolf
    @CollinsAdolf 4 วันที่ผ่านมา +1

    Unawaambia waingie barabaran kama kawaida yao kwa kuwa huna akili ndiyo maana kuna kiongozi mmoja wa ccm wanafikir kwa kutumia makalio ni mkusanyiko wa watu wajinga

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 4 วันที่ผ่านมา +3

    Mheshimiwa Mlema elimisheni wagombea wote kama alivyofanya Mh.Lissu kule same ili ujinga ukitokea uwe ni mwendo wa mapingamizi mpaka kieleweke

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 4 วันที่ผ่านมา +4

    CCM!! CCM!! CCM!! Hili Taifa sio mali yenu na Watanzania sio Bidhaaa mnazozimiliki. Chonde, chonde, msiliharibu Taifa kwa tamaa zenu za kifisadi.

  • @grasslugala9860
    @grasslugala9860 4 วันที่ผ่านมา +3

    CCM hawajiamini kabisa

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 4 วันที่ผ่านมา +3

    Nchengera tusikilize hii tanganyika siyo ya familia yenu

  • @johansenerasto5890
    @johansenerasto5890 4 วันที่ผ่านมา +3

    Samia must go

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 4 วันที่ผ่านมา +2

    Kwani hapa Tanzania kuna mtu hana vingezo na ccm wao wanavingezo mkatae chadema msikubali nao wanaingia maofisin kamwe kama ni mbaya iwe mbaya maccm wajifanya kuwa bora sana hapa Tanzania kitaeleweka tu na nyie msiyumbe kwa hili kwa hili chadema heri ubaya.

  • @MagdalenaNyakitale
    @MagdalenaNyakitale 4 วันที่ผ่านมา +2

    ccm akiri zao fupi mnarudishia wagombea fomu alafu kwa tamaa zenu mnavuruga mlizonazo ofosin hamjitambui welevu wako upinzani ccm pumba tu nchi sio yao tu ipo siku

  • @Abs-tz8dl
    @Abs-tz8dl 4 วันที่ผ่านมา +2

    Ccm ni unyani kabisa, wanaturidisha kwenye miti

  • @BenardLucumay
    @BenardLucumay 4 วันที่ผ่านมา +2

    Ni aibu kubwa mno katika Karne hii ! Ni mambo ya kishenzi, kishamba ,kijinga, kihayawani na kitoto!
    Botswana na Marekani hawataki ushenzi huu!

  • @AzizMasenga
    @AzizMasenga 4 วันที่ผ่านมา +1

    Siyo nchi yote!!!Duh kweli watu wamechoka na siasa za Tz.

  • @phillipmasungwa7365
    @phillipmasungwa7365 5 วันที่ผ่านมา +3

    CCM NI AIBU FIGISU ZA KIJINGA.

    • @stephenmsanzu9850
      @stephenmsanzu9850 5 วันที่ผ่านมา

      Acha matusi wewe ,sasa ukisema ccm ni wajinga ndo kusema nn?

    • @EmmanuelKiula
      @EmmanuelKiula 4 วันที่ผ่านมา +2

      ​​@@stephenmsanzu9850 Yassin na Phillip wametoa sababu za ujinga wa ccm, wewe unakataa!! Kanusha kwa hoja kuwa ccm hawako hivyo! Ujinga sio matusi, ni hali ya kutokujua au kujitoa ufahamu, ni umbumbumbu!

    • @EzekiaMtwale
      @EzekiaMtwale 2 วันที่ผ่านมา

      @@stephenmsanzu9850 KWANI co wajinga kwa huo upuuzi unaofanywa?! au nawe ni miongon mwao!!!

  • @HermanMassawe-sj4nj
    @HermanMassawe-sj4nj 4 วันที่ผ่านมา

    Mrema!!! Umsikize sana Boni Yai! Wewe ni laini!

  • @FelixSikanyika-r2h
    @FelixSikanyika-r2h 4 วันที่ผ่านมา +1

    Ipo siku😊

  • @AnordKirizestom
    @AnordKirizestom 3 วันที่ผ่านมา

    Pamoja sana

  • @bertinkimati2674
    @bertinkimati2674 4 วันที่ผ่านมา

    Hapo kwenye umri kukosewa ni tatizo kubwa. Nilikwenda kuomba vyeti vya kuzaliwa vya wototo wangu watatu. Nilimpeleka vyeti vya zamani ili kupewa vyeti vipya vilivyo kwenye mfumo wa kiwlektroniki . Cha ajabu vyeti vilipotolewa watoto wawili waliamdikishwa kuzaliwa mwezi mmoja lakini tarehe na mwaka zikiwa sawa. Hapo tayari wameharibu kabisa kumbukymbu zao za kuzaliwa. Hili ni tatizo kubwa mno

  • @EmmaMwaituka
    @EmmaMwaituka 3 วันที่ผ่านมา

    Nendeni ofisi ya tamisemi mkamwabie waziri husika awambie wasimamizi wa uchaguzi warudishe wagombea wote walio enguliwa ccm hawajiamini

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 4 วันที่ผ่านมา +2

    Msikubari na nyinyi nao mkatae wasiingie maofisini yakae bila kiongoz maana hakuna bora kuliko mwingine ccm wasilete ujinga yaani wanadhani kuwa watu wote ni sawa na wao Kwa wasimamizi NI CCM waamzi ni ccm.wanaokata watu ni CCM sasa tutaomba CCM nao wakae kado nao wachaguliwe kama watu wengine eti hao ndio wana rais kweli aibu kubwa.

  • @alexmichael5850
    @alexmichael5850 4 วันที่ผ่านมา +2

    Hawa mbwa ccm dawa ni kila mtu ashike panga bila nguvu ya Umma hawa mbwa watatutia vidole wallah.

  • @kiatu
    @kiatu 3 วันที่ผ่านมา

    Mimi nawashangaa sana CDM, hivi kwa nini mnashiriki uchaguzi ambao according to Tundu Lissu hamuwezi kushinda? Mtachezewa mpaka. Sasa mnawaambia waandishi wafanyeje, leadership bila decisive action is useless efforts and waste of our time

  • @StaphordMwalubona
    @StaphordMwalubona 2 วันที่ผ่านมา

    Yani

  • @levissanga8867
    @levissanga8867 3 วันที่ผ่านมา

    Kesi ya.nyani isipelekwa ngedere.

  • @angelsulle7177
    @angelsulle7177 วันที่ผ่านมา

    Mbona vyama vingine wametulia ninyi kulikoni??? Vurugu kutekwa kuuawa na kunyanyaswa. Mwombeni san Mungu awape Amani

  • @JumbeOjaso
    @JumbeOjaso 4 วันที่ผ่านมา

    Hivi kweli ,Ccm haiwezitena kushinda uchaguzi bila polisi na kutumia watendaji wa serekali?
    Chama hiki kikongwe kiko ICU mbele ya umma, ndiyo maana inaogopa uchaguzi.
    Kama syo kwanini inaogopa uchaguzi.

  • @simonchristian6319
    @simonchristian6319 4 วันที่ผ่านมา

    Tanzania haiwezi kuendeleea kamwe,maana hizi chaguze huku chini ni chekecheke la viongozi wakubwa huko mbeleni,sasa nyie chekekeche mnalitoboa,wanapiga wezi,Wala rushwa ,matapeli na waongo,,tuachieni huku chini wananchi tuamue

  • @CollinsAdolf
    @CollinsAdolf 4 วันที่ผ่านมา

    Acheni kulalamika lazima waingie kwenye uchaguzi hawa wanaomia ujinga tuwaonyeshe ccm tuko makin hawa wasimamizi tuwapige mapan.

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 4 วันที่ผ่านมา

    Huu upumbavu unalelewa na kiongozi mkuu ambae ni chawa, pamoja na wanainchi

  • @cyprianpetetmbonde6374
    @cyprianpetetmbonde6374 4 วันที่ผ่านมา

    Kuwaengua wagombea wa CHADEMA kinafiki nafiki na kuwapendelea ccm ni upumbavu wa hali ya juu,, yaani ni sawa na kuihujumu TANGANYIKA.

  • @hassankimaro3633
    @hassankimaro3633 3 วันที่ผ่านมา

    Tundu Lissu ameshasema kuwa chadema haina maandalizi hivyo itabaki inalalamika kuomba huruma

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 4 วันที่ผ่านมา +1

    Angeuwawa huyu aliyekamatwa tarime tena wamemuacha hai.

  • @godfredkimaro3292
    @godfredkimaro3292 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mpaka waseme

  • @EmanuelIsaya-sg8bk
    @EmanuelIsaya-sg8bk 4 วันที่ผ่านมา

    Toeni tamko. Huu ni msimu wa kilimo majumbani tuna mashoka,mapanga majembe pamoja na mbegu na mbolea kwa ajili ya kilimo.

  • @DandasiKundi
    @DandasiKundi 4 วันที่ผ่านมา

    Mimi naona walioenguliwa wote msimamizi wa uchaguzi watupe barua iliyosainiwa na mkurugenzi ili tudai tukadai haki yetu mbele ya Sheria.

  • @yassinnabwera4273
    @yassinnabwera4273 5 วันที่ผ่านมา +1

    Uchaguzi uko chini yao,Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi ni Mwanachama wa CCM ambae pia ni Waziri mwenye dhamana ya kusimamia Uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa TAMISEMI na Wasimamizi wote wa Uchaguzi kwenye Vitongoji,Mitaa,na Vijiji ni Makada wa CCM,kwa hiyo hiki kioja cha Uchaguzi chini ya CCM Tanzania,nini kinachowafanya CCM waogope kuwa na Uchaguzi ambao wanausimamia wao?

  • @geofreymatengo9746
    @geofreymatengo9746 2 วันที่ผ่านมา

    KILA SIKU MNALALAMIKATU CHUKUAENI HATUA TUMECHOKA MANENO

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo 3 วันที่ผ่านมา

    Tunayashuhudia ya mkwe mwenye kifua kipana

  • @JumaKonddo
    @JumaKonddo 4 วันที่ผ่านมา

    Aina aja ya kupga kula mana wanapita watu wao

  • @vincentmwaya6910
    @vincentmwaya6910 4 วันที่ผ่านมา

    Kwahyo naomba kufahamu inamana wapinzani tyu ndo wanakosea ccm hawakosei kujaza fom??

  • @godfredkimaro3292
    @godfredkimaro3292 4 วันที่ผ่านมา

    Vyama vya pinzani vikikosa nguvu ccm watatukalia kichwani bora vyama vibalanc

  • @salihinashamaghana513
    @salihinashamaghana513 4 วันที่ผ่านมา

    Mrema mmefanya kosa kubwa sana kitaalamu ,intelejensia yenu chadema Haina nguvu mmekaa Dar badala ya kuhamasisha nchi nzima watu wenu.Nendeni mkajifunze siasa na kampeni Kwa Trump ni Mzee lakini shughuli yake ni kubwa.Ccm. wanatafuta ushindi hawa na haja ya kuremba mwandiko.

  • @LEONARDFREDINAND
    @LEONARDFREDINAND 4 วันที่ผ่านมา

    Mnatuangusha viongozi wetu mwenyekiti kimya makamu kimya katibu kimya tunamuona Mwamba bonifas jakobo tumpe awemwenyekiti

  • @AnnaFelix-p1z
    @AnnaFelix-p1z 4 วันที่ผ่านมา

    Sisi kata yetu wameenguwa watu wengi 2 Kijiji chetu wameacha wajumbe wawili

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 4 วันที่ผ่านมา +1

    Ccm msilete machafuko. Hii inaonyesha ni jinsi gani mlivyo wajinga.

  • @BrightShumbusho-i4y
    @BrightShumbusho-i4y 2 วันที่ผ่านมา

    Acha waengue maana ninyi ni walafi...mnatetea pesa za ruzuku na kwenye maandamano sikuwaona😂😂😂😂saivi eti mnalalamika. Acha siasa za uchwara ebooo!

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 4 วันที่ผ่านมา +1

    Kwani fisiemu shida yao nini jamani

  • @dauditandila8109
    @dauditandila8109 4 วันที่ผ่านมา +1

    Hii ni aibu kwakweli. Sijui kwanini haya yote yanatokea?

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mbogamboga ni janga kubwa nyie msikubali mtu apite bila kupingwa

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc 4 วันที่ผ่านมา

    Unamkabidhi fisi bucha?

  • @AnordKirizestom
    @AnordKirizestom 3 วันที่ผ่านมา

    CCM IPO MIAKA YOTE IMEISHIWA HOJA ZA MSINGI IPISHE VYAMA VINGINE TUJALIBU PLAN B TUMECHOKA SANA HUWEZI KUVAA NGUO MOJA MAISHA YOTE HATA KAMA UKIIVAA UNAPENDEZA

  • @NicolasScania
    @NicolasScania 4 วันที่ผ่านมา

    Kata ya USANDA JIMBO LA SOWA JULIAS KASEMGA NAWAJUMBE WAMEENGULIWA

  • @kinkybanjukome217
    @kinkybanjukome217 2 วันที่ผ่านมา

    Hawa ma ccm ni washenzi wakubwa

  • @ClarenceHilaly
    @ClarenceHilaly 3 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢😢. 😢😢😢😢.

  • @AnnaFelix-p1z
    @AnnaFelix-p1z 4 วันที่ผ่านมา

    Hadi baazi ya watu wa ccm wamechukuwa kitendo hiki wamesema ongeeni tutawaunga mkono maana wamefanya unyama ivi typo Kwa wateuzi

  • @makusaro2289
    @makusaro2289 4 วันที่ผ่านมา

    Hii no uthibitisho wa jinsi wanaajiriwa vihiyo wanaachwa wanaostahili serikalini.

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 4 วันที่ผ่านมา

    Wakiengua chadema mia na CCM waenguliwe mia ili kulingana maana CCM si Mungu wala malaika chadema nanyi hamuna mwelekeo kwanini unasema kuwa mshinde hata mtaa mmoja mnawapa CCM nafasi na kibiri nyie la kufanya ni kutoa tamko na msimamo mkali kuwa hakuna mtu au mgombea kuenguliwa hata mmoj wote wapo sawa kwani CCM wao wamesoma sana na kuelewa sana nyie msiwe tangatanga simama imara maana chama mlihakikisha kuwa mnaleta watu sahihi sasa wasimamie na kama ni hivyo uchaguz usimame usiyendelee watu wamechoka kusema alafu wanatekwa na kuwawa na linaisha tu hivyo na kusahauliwa kumbuka nao wanafamily zao chadema mkiyumba mwaka huu tuu maana kuna watu wamejikatia hati miliki ya hapa dunian hawajui kuwa mungu ndiye ajue maisha ya kila mmoja hapa dunian kwa mfumo huu hatuon kuna umuhimu wa kupiga kura CCM watangaze tu watu wao wamalize tuendelee na maisha mengine wasitanie watu na kuwafanya kama watoto wajinga niliwambia kuwa tamisemi haiwez kusimamia uchaguz maana wana ipendeleo mkubwa sana ambao haufai watanzania tunawalaani sana hao wanao fanya hayo mambo kweli CCM chama cha rais ndicho kinafanya hivyo kweli naye anajiamini kuwa nchi ipo salama na ccm ni salama sijui ngoja tuone haya.

  • @makusaro2289
    @makusaro2289 4 วันที่ผ่านมา

    Waziri kihiyo amekubaliana na hakimu aliyehukumu ndiye apelekewe malalamiko ya rufaa?

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd 4 วันที่ผ่านมา

    TULITARAJIA RAIS MWANAMKE NA KUPAMBWA KUWA NI MPENDA HAKI KUTAKUWA NA UCHAGUZI WA HAKI TOFAUTI NA WA 2019 KUMBE CCM NZIMA IMEJAA MAFISADI TUPU!!!

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 4 วันที่ผ่านมา

    AIBU NA FEDHEHA KUBWA KWA MH. RAIS SAMIA BINAFSI NA SERIKALI YAKE YA CCM KWA MAMBO YA OVYO OVYO WANAOFANYIWA VYAMA VIKUU VYA UPINZANI VYA CHADEMA NA ACT WAZALENDO.

  • @kennedyjohn8900
    @kennedyjohn8900 4 วันที่ผ่านมา

    Sisi huku mwanza chadema tumejaza form 3 tumerudisha zote natukapewa nakala Moja

  • @EmmanuelKiula
    @EmmanuelKiula 4 วันที่ผ่านมา +1

    !!!!! 😮

  • @lgf7297
    @lgf7297 4 วันที่ผ่านมา +1

    You are wasting your time and that of the Mgombea. Mwache aende haraka kukata rufaa chonde chonde

  • @MamaMax-gu9bd
    @MamaMax-gu9bd 4 วันที่ผ่านมา +1

    😂

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 4 วันที่ผ่านมา

    Mafatani wakubwa wacheni kupotosha umma nyie bhana muogopeni mungu wenu mafatani wakubwa

  • @ChristianPalanjo
    @ChristianPalanjo 2 วันที่ผ่านมา

    P
    P
    P

  • @DanielMahenda-p8g
    @DanielMahenda-p8g 4 วันที่ผ่านมา

    Do😊 I'll p

  • @ContentSmartphone-rq6po
    @ContentSmartphone-rq6po 4 วันที่ผ่านมา

    Ingieni barabarani kama kawaidayenu