Ushawahi fika mahali hauna hata kitu unaweza pikia mtoto hadi unampea maji anywe alale? Umekopa hadi hauna pa kukopa tena. Madeni chungu nzima, sijui vile nitalipa, ufukara umenimaliza hadi nimeshindwa kumsaidia mamangu mgonjwa hawezi jitoa point A to Point B mguu umelemaa kabisa 😭😭.
I just read a testimony from fb of a woman who's son was unwell, visited many hospitals in vain, she listened to this song n went on her knees, the son was healed. Thanks to her ave known this great servant of God 🙏🙏🙏
I listen to this again and again, tears are never drying coz it reminds me of my hubby's burial, it was played there. His images never get out of my mind.😭😭😭 Rest in peace darling till we meet again
Ata ili nalipitia linapita eeh MUNGU tembea nami moyo wangu ni mzito nipangunze machozi asante MUNGU mbarikiwa sana mtumishi wa MUNGU na aendelee kukuinua kwa huduma yake
Amina kubwa hata Mimi bado namwamini Mungu katika hatari ya kugharimu uhai wangu kwani Mungu bado in msaada,wangu naamini hats hili linamwisho wake na mlango wakutokea Mungu ameuandaa anaushusha ili nipite salama ooh haleluya EeMungu nivushe salama nizidi kujipa moyo mkuu hatimaye nitashind kwa Jina laYesu aliye hai AMEN.BARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGU WETU ALIYE HAI
atahili linapita ninayo yapitiya nitashinda naibenda nyimbo zako zinanibariki sana mungu hakutie nguvu uendelee kutubariki ata corona hinahisha Amen tutashinda 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Japo napitia kwenye mangumu ya maisha kamwe sitampa shetani nafasi ya kuivunja nafsi yangu.. Mungu yupo Nami❣️
Nipe likes napenda huu wimbo
Ninayopitia katikati maisha yangu🙏kufwatwa na mishale🙏🙏najua itapita🙏🙏🙏
Mungu nikumbuke kupitia hii wimbo ndo yangu ipate kurejea najua hata Lina mwisho kufikuzwa n mme n mtoto mdogo n Sina kazi Mungu wangu usiniache
Wimbo huu unanitia moyo najua hili jaribu lililo mbele yangu litapita nikipindi tu, Mungu akubariki ngugu William
Ninayopitia n mengi hata moyo wangu Una vidonda ,but najua siku moja mungu atanifuta machozi😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
💔💔💔💔💔💔💔😭😭😭😭😭😭I won't stop praying until God do his best for me 😭😭😭😭😭💔💔💔💔🙏🙏stand by my side God 🙏🙏💔💔
😢hapo napitia katika magumu ya maisha eee Baba shetani Naye ananifuata mungu pigana na wale wanapigana nami
Hata kama naona ni manitowoc, lakini na jua yatapita, hiking kikombe nikizito baba nisaidie yesu in you l believe
Huyu Jamaa anaupeo sana w kufikir nyimbo za kukusa jamii,, Endele kaka mungu yu pamoja nawe
Ushawahi fika mahali hauna hata kitu unaweza pikia mtoto hadi unampea maji anywe alale? Umekopa hadi hauna pa kukopa tena. Madeni chungu nzima, sijui vile nitalipa, ufukara umenimaliza hadi nimeshindwa kumsaidia mamangu mgonjwa hawezi jitoa point A to Point B mguu umelemaa kabisa 😭😭.
Nakumbuka nikifukuzwa sababu yakuzaa watoto mapacha ooh mungu wangu mungu amenishikilia kilaupande
I just read a testimony from fb of a woman who's son was unwell, visited many hospitals in vain, she listened to this song n went on her knees, the son was healed. Thanks to her ave known this great servant of God 🙏🙏🙏
I listen to this again and again, tears are never drying coz it reminds me of my hubby's burial, it was played there. His images never get out of my mind.😭😭😭 Rest in peace darling till we meet again
Kweli kabisa kina mwanzo Niko na nwisho najipa moyo
Ata ili nalipitia linapita eeh MUNGU tembea nami moyo wangu ni mzito nipangunze machozi asante MUNGU mbarikiwa sana mtumishi wa MUNGU na aendelee kukuinua kwa huduma yake
Ata hili lina mwisho Mungu nipee nguvu ya kuvumilia Amen
Almost giving up.but this man of God William really rescued me from this negativity.