barikiwa sana mutumishi wa Mungu ninapo sikia hi songs inanijenga kwa Imani nakuombea Mungu akutie guvu uduma yako izindi kwenda beli Na Mungu akubariki Sana sana
Jina la mwokozi Yesu kweli ana uwezo kwa kweli mwana wa Mungu aliye kuja na akafa kwaajili ya dhambi zetu,,na kamwe hatuwezi kua na mashaka wala ubabaifu yuko nasi milele daima
The name of the Lord is so powerful, shield and defender......a name which is above every other name💪 God's supremacy resigns forever....be blessed man of God🙏🙏🙏😘😘
Like ya 2020 "Pasipo msaada Yeye msaada Nikikosa Nguvu Anitia Nguvu Shida na mateso Yesu anifariji Nikikosa njia Yeye ndiye njia Napo hangaika Yeye nitulizo "
Truly encouraging, have no reason to worry about tomorrow, Yilima Kenya and the world still needs you to continue ministering in our lives hope, live long, Mungu azidi kukupa neema ya kuhubiri injili
Nikikosa nguvu anitia nguvu,,japo angaika yeye ni tulizo,,aliye ndani mwangu ana uwezo na mamlaka,,,,My best song it really helped me in the healing process when all seemed to fall apart,,,thank God for the strength
Huu wimbo kila ninapo sikiliza napata Amani moyoni,na pia nawa jasiri
barikiwa sana mutumishi wa Mungu ninapo sikia hi songs inanijenga kwa Imani nakuombea Mungu akutie guvu uduma yako izindi kwenda beli Na Mungu akubariki Sana sana
This song it so encourages great job keep it up be blessed
God bless you mtumishi,I am blessed,Sina hofu maana minajua aliye ndani yangu anauweza na mamamlaka.
Jina la mwokozi Yesu kweli ana uwezo kwa kweli mwana wa Mungu aliye kuja na akafa kwaajili ya dhambi zetu,,na kamwe hatuwezi kua na mashaka wala ubabaifu yuko nasi milele daima
Wenye tuko hapa 2024 kujipa hopes let's love one another ❤
Kwa kweli jina la yesu ni ngome nangao kwa walio na imani nao anajali wanton itukufu Karola kwake wiliam God bless you always
Wala sitishiki maana Nina yesu🖐️
The name of the Lord is so powerful, shield and defender......a name which is above every other name💪 God's supremacy resigns forever....be blessed man of God🙏🙏🙏😘😘
Nani atakufu woouuu
Amen Iko sawa wimbo
Amina mtumishi wa bwana nabalikiwa sana na nyimbo zako nikiwa huku Zambia mungu akubaliki sana
Jina la Yesu lanishindia, Amen aliye Ndani yangu namjua anauweza 1kings 6:16
Anayebarikiwa nahuu wimbo agonge like
Mimi wakwaza
Nami pia
Ameen
Yeah 50008@@maikodobogo3964 0
Mm huku
Pia mimi najuvunia jina la yesu
Aaaaamen naskia kububujika na 😢😢chozi la furaha barikiwa Sana
Can't get enough of this song ❤️😘❤️💘 ninamjua Aliye ndani yangu❤️💜📌YESU TOSHELEZA🤗🪐⚡✨📌
Amazing child of God
Ninamjua aliye ndani yangu. Najivunia jina la Yesu.
Glory be to God.
Nice sana willium
Ameen
Amen
Napenda nyimbo zako Sana,
Pray 4 mi i get saved
Ameen najivunia kwa hili jina la Yesu kristo limeniheshimisha Ameen barikiwa sana Mtumishi wa mungu kwa mahubiri kupitia nyimbo
Like ya 2020
"Pasipo msaada
Yeye msaada
Nikikosa Nguvu
Anitia Nguvu
Shida na mateso
Yesu anifariji
Nikikosa njia
Yeye ndiye njia
Napo hangaika
Yeye nitulizo
"
verytrue
goodworkpastor
MUNGU akubariki sana mtumishi wimbo unabariki sana
Ninamjua alie ndani yangu Ana uweza na mamlaka Ameeen
👏👏👏👏👏💪💪💪najivunia jina la yesu💪💪💪🇰🇪
Hallelujah sijaona kama yesu.ni kweli
lovely song... jina la yesu ngome yetu kweli kama wanadamu
ukija kenya utupitie for a interview
Mungu ni mkuu
Amen I'm proud because he who lives in me is greater than those of the world 🌎 Amen 🎉🎉🎉
Que Dieu soit ton bouclier, qu'il règne dans ta famille car tes chansons me donne la force 🙏
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu asante jina la Yesu lina nguvu
He has fought all my battles kweli yesu ni ngome yangu
Sina Shaka Wala sibabaiki kwa kuwa Yesu toshelevu jina lake hakika Ni ngome yangu.🔥🔥🔥🔥Ndugu umenibariki 2020 bado niko tu from Kenya Gonga like....
Pongezi mungu akuinue....linanibariki sana. Blessed sunday
Hakika hakuna jina lenye nguvu na uweza kama LA Yesu na halitakuwepo.
Truly encouraging, have no reason to worry about tomorrow, Yilima Kenya and the world still needs you to continue ministering in our lives hope, live long, Mungu azidi kukupa neema ya kuhubiri injili
Amen
Ninamjua aliye ndani yangu
.....jina la Yesu ni ngao yangu.
Kazi nzuri Yilima nafurahia vle ww mwenyewe unafurahia nyimbo zako,unacheza vizuri kweli
Wneye tuko hapa 2024 September gonga like 🎉❤❤
Hapa hatubaduki walai 💃💃💃💃
0:24 0:25 0:25 0:26 0:26 0:26 0:26 0:26 0:27 0:27 0:28 0:30 0:32 0:33 😮 0:35 😮😮😮😮😮😮
😮😮 0:50 😮😮🎉 1:00 1:01 1:02 1:02 1:02 1:02 1:02 1:03 1:03 1:03 1:03 1:03 1:04 1:05 1:05 1:06 1:07 1:07 1:10 1:10 1:10
😮
Hakika jinala yesu ndio ngome najivunia jinalayesu ndo kilakitu
Jina la yesu ngome Imara, kwa hakika ni jina kuu kuliko majina yote yanayothaniwa kuwa ni Makuu. Ubarikiwa Sana.
Nikikosa nguvu anitia nguvu,,japo angaika yeye ni tulizo,,aliye ndani mwangu ana uwezo na mamlaka,,,,My best song it really helped me in the healing process when all seemed to fall apart,,,thank God for the strength
Jina la yesu ni ngome yangu kwa hakika 🙏🙏🙏🙏🙏ubarikiwe Sana bwana william
𝐵𝑒 𝑏𝑙𝑒𝑠𝑠𝑒𝑑 𝑏𝑟𝑜 ..
Mungu wa mbinguni akuinue zaidi ya hapo naomba hii nyimbo nabarikiwa sana
Jina la Yesu ni ngome yangu hakika 🙏🙏😭😭
Barikiwa sana mtumwa wa mungu,waaah! Hizi nyimbo zako huwa zinanitia nguvu sana
Sina mashaka wala sitishiki kwa maana namjua aliye ndani yangu🙏🙏
Nyimbo zako najiona kama nimefika mbinguni daaaaah ubarikiwe maana zinaniingia rohoni
Asante Sana ndugu William kwa nyimbo nzuri, Mungu akubariki zaidi
November 2024 nko hapa leo 17-11-2024 saa tano na dakika 4...usiku...at kakamega county BUKURA AGRICULTURAL COLLEGE ❤❤❤❤...inaniguza sana hii
From Kenya🥰😍 much love Yilima and Tanzania
For real ninamjua aliye ndani yangu anauweza tena mamlaka 🙏🙏🙏🙏
Yaani huyu mwimbaji nampenda sana
Your song is beautiful and nice u continue to praise God and he will bless u thank you ❤❤❤❤😊😊😊
AMeeeeeern jina la ushindi napenda huwa sichoki kuusikiliza wimbo huuu yesu ahindia tararararara tarararara aaaaa
Adui hatawajipange yeye ningao yangu❤❤❤❤
Hallelujah, my helps comes from GOD WHO CREATED HEAVEN AND EARTH.
M
Ha
Nikisikiliza wimbo huu huwa nabarikiwa tu
Mbarikiwe mutumichi wamugu unaninuwa sana napataguvu zakusoga mpele
Am just repeating the song ni Kama ndo naisikia Mara ya Kwanza it has a message inside
hiwimbonihatarikubwa
Bila shaka kabisa wimbo mzuri sana
Barikiwa Sana mtumishi wa mungu.huwa nafarijika Sana na huu wimbo
Zabariki na kuinua
Mungu akubariki mtumishi kweli ni jina la yesu
Wakati ninasikiza Huu wimbo ninachaswa Na roho ubarikiwe sana
Pamoja sana mtumishi ,kijana shekalata from tanga aka Elisa nikolausi
Najivunia jina la yesu,,,,,namjua aliye ndani yangu anaweza na sibabaishwe miye
Ni naye yesu ndani mwangu ,huu wimbo umeniguza sana 🙏🙏🙏🙏
Kwa mambo tote yeye anaweza
najivunia jina la yesu bobote nilibo 🇰🇪🇰🇪
Wanaimba katika roho nakwel Mungu akubariki Mtumishi was Mungu
Yesu najivunia jina lako Hallelujah
Yeye nigombe imara yesu wetu a A mina
I AM SO BLESSED WITH YOUR MUSIC
IT TOUCHES MY HEART I KNOW THAT GOD WILL DO WONDERS
WIMBO UKO POA SANA NA UNANITIA MOYO
Najivunia jina la yesu kwa hakika anatenda mombo makuu
Sina mashaka wala sitishiki,ooooh God!!!
Can't get enough of this song,,be blessed man of God 🙏❤️❤️
Barikiwa sana shitiki hakika
Amen nakupenda Sana Yesu wangu
Namjua aliye ndani yangu yesu usiniwache.
Amen mtumishi wa mungu nabarikiwa sana ninapo sikia nyimbo zako na pia dances mavazi yao asante mungu akupeleke mbali.
Jina la Yesu ni ngome yangu,Jina la Yesu ni ngao yangu,atukuzwe mwokozi🙋🙋🙋🙋🙏🙏🙏
This song gives me courage whenever i loose hope
Hii wimbo nilijua Na ikanipa nguvu nyingi Zaidi katika katika hii Safari ya wokovu,,,barikiwa Sana mtumishi
Jina. Yesu🎺🎺🎺🤗nigomee🇰🇪🇺🇬
Nmebarikiwa kupitia wimbo huu.
Sina Mashaka na uwezo wako Yesu wangu
Najivunia kina la yesu wangu
May lord be that glory.you servant Eunice June
May God bless u man of God ur songs real blesses me
sina mashaka na aliyendani yangu si mwingne ni Bwana Yesu
Amina, ubarikiwe sana katika huduma ya bwana wetu yesu kristo, nafurahiya sana nyimbo zako ndugu.
Sins mashaka wala sitishiki
Najivunia jina la yesu
wimb huu mmeupend san namuomb mung na mom niimb nyimb za injil asanten
hongera Sana kaka William Mungu akubariki
uinuliwe sana viwango vingine
Ubalikiwe sana umenibaliki
Jina la yesu ni ngao yangu
Barikiwa. Na uzidi kuendea kazi yap mungu mtumishi
Amen jina la YESU ni ngao yangu ,sitishiki wala sina hofu
Elizabeth Nyello myourep