Amen aki hizi nyimbo zako zanisaidia sana nikiingi kwa maombi nikiwa huku saudi Aribia Mungu akuinue zaidi Huyo Mungu ndie anajulikana c hii miungu ya kwa mwarabu Amen
Seriously nyimbo zako zanibariki Sana I wish and hope to meet you William and Matha mwaipaja you guys rock in gospel music I love you may God continue to use you as vesicles.
Ee bwana nami ni mtumishi wako akuombapo william nipatie nami sehemu yangu ya mafanikio kupitia maombi ya william nami niko tayar kupokea baba ahadi zako Amen!
Hakika yesu wastahili katika maisha yangu, you really bless me through your songs mr William and may God continue uplifting you together with your team❤❤🙏🏻🙏🏻
Uimbaji wa kipekee Brother Yilima, Mwenyezi Mungu aendelee kukwinua viwango vingine na vingine. Nimekuja hapa leo nikiwa nimevunjika moyo vibaya sana na kukosa matumaini kwa maisha lakini baada ya Kuskiza huu wimbo na huo mwingine wa Naenda viwango vingine nimerundiwa na matumaini najua Mungu anakuja upesi.
Amen.... Halleluyaaa Halleluyaaa Halleluyaaa.... Hakika mungu umejulikana mbinguni hata duniani.... Barikiwa sana kakangu nyimbo zako zinaupako mno.... +254 twazipenda
Ewe mtumishi wa Mungu endelea kunena neno la Mungu kupitia nyimbo naye atakubariki Amen. umenikosha sana kwa nyimbo zako zote naamini "Nimebarikiwa kupitia Nyimbo zako Amen"
Umejulikana mungu wa lbrahim lsaac na Yakobo.mungu wa Eliya.mungu wa Daniel,wa Shadrack Meshack naAbedinock,uinuliwe mungu wetu milele yote barikiwa W Y
My favorite song always, My heart ❣️ rejoices when I hear how this song sings about the greatness of our God Almighty 🙏🙏🙏 be blessed brother William 🎉🎉
Mungu akupe uzima ,Maana nyimbo zako ni faraja tosha maisha ni .Anima .
Not Miaoat inlaw and the two people of work and people
Zaki
By
Wa
Dr
My God bless y you
Amen aki hizi nyimbo zako zanisaidia sana nikiingi kwa maombi nikiwa huku saudi Aribia Mungu akuinue zaidi Huyo Mungu ndie anajulikana c hii miungu ya kwa mwarabu Amen
Kweli mungu unajulika dunia na mbinguni,,huu wimbo naupenda sn,,ubarikiwe kaka ,,,inajenga imani❤❤❤🎉🎉🎉
Kotoko makasi queDieu te bénisse richement
Hakika wewe ni mungu
Amen hakika naiona neema huu nimwaka wa baraka kwangu,naenda viwango vingine
Mungu anatosha 🙏🙏🙏👍
Seriously nyimbo zako zanibariki Sana I wish and hope to meet you William and Matha mwaipaja you guys rock in gospel music I love you may God continue to use you as vesicles.
These two are adorable blessings
Asantee Yesu kristo.wewe ndio Baba yangu Baba wa wajane Ameen
Gracy Alexander kere
Kupitia kwa kinywa chako mbingu ya mwenyezi mungu itakufungukia,maana anasema tumusifu kwa kinywa vyetu naye atatusikia Yale tunenayo kwake amen
Sichoki kusikiliza nyimbo zako man of God,, be blessed🙏🙏🙏2024 june bado niko 🙏❤️
Kazi mzuri mtumishi WA mungu,,,,,nyimbo zako zinatubariki sana
Ubarikiwe Kwa kazi ya mungu
Bwana akuzidishe katika hekima na unyenyekevu uzidi kumtukuza milele. Uinuliwapo umtukuze yeye pekee
Hakika wewe Mungu umejulikana mbinguni na duniani sifa na utukufu wastahili wewe Mungu
Ee bwana nami ni mtumishi wako akuombapo william nipatie nami sehemu yangu ya mafanikio kupitia maombi ya william nami niko tayar kupokea baba ahadi zako Amen!
Hakika yesu wastahili katika maisha yangu, you really bless me through your songs mr William and may God continue uplifting you together with your team❤❤🙏🏻🙏🏻
for sure God is known to my life actually this is a man of God who agree with like here
for sure he is a man of God!!!!!!be blest
No he sing but he is evil
Amen.anastahiri kuabuduwa.nimwenye uwezo.akubariki niwakuaminiwa
Sijuw nimechelewa wapi the really worshiper Mungu akuinue viwango zaid yilima
Hakika utukufu ni wako Ee Mungu baba pekee .Tunakusifu milele na milele Ee Mungu mkuu .Mutumishi wa Mungu barikiwa sana.Amen
Eeeh mungu wa ibrahimu,isako na yakobo,naomba ujulikane maishani mwngu,
Am here Na hii corona Ww ni mkuu baba ww ni Mungu nikiwa Saudi Arabia 🇸🇦
Bwana Mungu aendelee kukutumia zaid Mtumishi,, Hakika wimbo huu umenibariki sanah na una utukufu mkuu sanah,, Mungu akuinue
Ubarikiwe sana brother. Wacha mungu abqki mkuu sikuzote maana yeye nimungu mkuu ana mpinzani amen.. Be blessed man of god.
Uimbaji wa kipekee Brother Yilima, Mwenyezi Mungu aendelee kukwinua viwango vingine na vingine. Nimekuja hapa leo nikiwa nimevunjika moyo vibaya sana na kukosa matumaini kwa maisha lakini baada ya
Kuskiza huu wimbo na huo mwingine wa Naenda viwango vingine nimerundiwa na matumaini najua Mungu anakuja upesi.
Kweli mungu umejulikan hakun wa kufanan na ww mungu🙏🙏
Thank you William napenda nyimbo zako
Amen.... Halleluyaaa Halleluyaaa Halleluyaaa.... Hakika mungu umejulikana mbinguni hata duniani.... Barikiwa sana kakangu nyimbo zako zinaupako mno.... +254 twazipenda
Mungo ni wajabu kweli.❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Hii wimbo inani encourage sana I love this song
Kweli wewe ni mungu muweza wa yote ubarikiwe mtumishi wa mungu
umejulikana mbinguni ata duniani , umejulikana katikati ya yanitama na kwa wajane, hakika we ni mungu, mpendwa kuokoka ni raha ya ajabu sana
Naupenda huu wimbo ajabu ilima kabarikiwa kwa mwili mweoesi zidishiwa AMINA
Kwa yesu Kuna raha wapendwa tujificheni kwake 2022 bado ya hit glory to God
huu wimbo huwa unanibariki xaana.Barikiwa tena zaidi yilima qwa nyimbo zenye mafunzo.Jose kutoka Kenya.
Eemungu utohombee umejulikana baba dinahnsama bwana wamawana unuliwe ubewesafa na utukufu baba thenqu ogod
The only gospel singer mwenye hua animba nyimbo from deeep in his heart touching songs .
Ewe mtumishi wa Mungu endelea kunena neno la Mungu kupitia nyimbo
naye atakubariki Amen.
umenikosha sana kwa nyimbo zako zote naamini "Nimebarikiwa kupitia Nyimbo zako Amen"
Unanibariki na nyimbo zako wacha mungu awe nanyi siku zote kwa kazi nzuri A men
Ogera sana mtumishi mungu akuinue sana
Utukufu hadi utukufu mtumishi
Thank you God for your divine blessings in my life
Hii wimbo unibariki mpaka nahisi mnyonge natamani kuona mwenye hii wimbo wanibariki
Dah, MUNGU akulinde sana na akupatie uwezo wa kufikiria zaid na kuhawilisha maarifa kutoka kwako kwenda kwa hadhira
Huu wimbo umenikosha roho! Much love from Kenya
Napenda nyimbo zako Mungu hakusaidie sana
Ubarikiwe mtu wa mungu me hata cjawai comment lkn hii ina ubako wa mungu
Wimbo huu umeweza na unabariki moyo wangu sana kila ninapo usikiza
Kati ya falme zote we ndio mfalme....What a blessing
May God lift Yu from where you are,manyimbo zako Sina nikusa sana❤🎉
Mtumishi nimeoenda kaziyako iko vizurisana mungu akubaliki
Barikiwa Sana Kwa nyimbo zako
Bwana William nanuombea kwa Mungu akubariki wewe na ki kundi unacho kiongoza
Umejulikana mungu wa lbrahim lsaac na Yakobo.mungu wa Eliya.mungu wa Daniel,wa Shadrack Meshack naAbedinock,uinuliwe mungu wetu milele yote barikiwa W Y
Betty Andeso
Mtumishi Mungu azidi kukutia nguvu
Baba wewe ni chaguo sahihi una stahili sifa zote Amen.
Amen,,, nyimbo zako zanifunza na zanishika rohoni zina mafunzo mno,,,, ubarikiwe brother
nyimbo zako huwa zinanitia moyo na kunipa nguvu; mungu akubariki Sana kaka William
God raises from the Ashes & uplifts One from Nothing to Something.
Hakika umejulikana
Hakika wewe ni Mungu na hauna mpinzani, ubarikiwe Mtumishi,,
God is God he deserves to be worship am thankful 🙏God for this far thank you man of God be blessed
Wimbo mzuriii eee umejulikana mataifa kwa mataifa yoteee aneb
Ernest Mtumba
Hakika Mungu umejulikana wewe ni Mfalme .
Ujumbe usiozeeka masikioni mwangu. Barikiwa mtumishi.
Mungu mkuu everything is possible before God the song is so blessing
Wow your song are very appreciated by my family it's our solution when we are in bad condition God bless you wherever you are
Ubarikiwe Sana jinsi unavyonibariki
MUNGU ainuliwe kabisa hana mpinzani oooh barikiwa sana pastor
Be blsd apostle William yalima may Almighty God lift u like never before.
My favorite song always, My heart ❣️ rejoices when I hear how this song sings about the greatness of our God Almighty 🙏🙏🙏 be blessed brother William 🎉🎉
Nabarikiwa sana ,hakika wew ni Mungu hakuna kama ww acha nikusifu
I really love the song....it makes me to establish the nature of God.... It makes me shade tears........
Rodgers Nyabuto she is vert tru song
The song carries a wonderful message..Take heart man of God
Kweli kabisa umejulikana adonai
My the
God place you ju wimbo zako zaniguza cabixa
Mtumishi WA Mungu, Barikiwa sana , Bwana Anakutumia, kazi njema 🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hakika Mungu umejulikana ww n Mfalme.
Sichoki kusikiliza nyimbo zako kaka hunibariki na kuniinua .2020 August bado niko
Kwaaaaa jamani mbona viingereza tu! Yaani naona mnanichanganya tu hapa aha!
God is good all the time.God of yesterday today and forever. Wewe ni mungu..... Amen
Barikiwa sana wimbo safi sana mungu awea nawea siku sote amen amen 🙏🙌👏
umejulikana mungu wangu mbingunii nakushuruku kwaajili ya mtumishi wako eeemungu
May you see the kingdom of God 🙏🙏🙏 your songs always bless me
Ubarikiwe sana mtumishi Hakika Mungu wetu matendo yake yamejulikana duniani kote.....
Ainuliwe milele muumba, ubarikiwe mchunngaji
Just tapping the anointing from u man of god
What blessing song 🤝🤝🤝 👏 👏 👏 👏 👏 👏
Mungu atabaki kua mungu
Hongera sana kaka William nyimbo zako huwa zinanigusa sana. Mungu azidi kukuinua Daima.
You are a great God 👍 👌 👏
Wastahili sifa zangu Baba!!
Amen Amen am blessed here saudia working
kwakweli nyimbo zako zinanibariki sana ubarikiwe sana na mungu mkuu mtumish
hakika mungu umejulikana,pokea sifa milele. amen.
From Kenya,I am blessed
ubarikiwe mtumishi amin
What a song. Wewe n mungu n mkuu
l never tire listening to your songs.be blessed man of GOD.WASTAHILI YAHWE
Woooooowww great man of God
Be Blessed
Amen mungu wambinguni akubariki mtumishi wa mungu
Nyimbo zako zanibariki Sana they always direct me to be on my needs praising God 🇰🇪🇰🇪watching from Saudi Arabia
God bless you sir my family and I Can't stop listening for your songs. They are so blessing songs. Thank you.
Amen
Unanibariki na nyimbo zako❤
Nakuombea Sana kwa Mungu ili akubariki😅