Kumekucha MSIGWA AMWAGA UKWELI WOTE KUHUSU WABUNGE 19/ Mbowe anajifanya mjanja wale wabunge iko hivi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 368

  • @yohanamdemu9232
    @yohanamdemu9232 2 หลายเดือนก่อน +2

    Daaaaah kiukweli Mungu akuandalie moto wa kukutosha ndugu yangu huuu ni unafiki na machukizo kwa Mungu wako unaemsaliti

  • @zablonsegere2367
    @zablonsegere2367 2 หลายเดือนก่อน +2

    Swali kwa nini uyaseme baada kushindwa kura uenyekiti wa Kanda?

  • @GeofreyBernado
    @GeofreyBernado 2 หลายเดือนก่อน +4

    Uyu kasha kuwa mwehu ogopa sana njaa awa ndo mala nyingi huleta machafuko ya kisiasa watu wa dizain hii hawafai kuwa sehemu ya siasa miaka 30 ulikuwa umo leo nini kimekukuta muogope Mungu Msigwa aya yote ulishiliki leo usalti wako unaweza kukufanya ukaishi maisha ya hovyo sana mbelen .

  • @atupegemwakahesya
    @atupegemwakahesya หลายเดือนก่อน

    Unazidi kujivunjia heshima. Wanaokushangilia usifikiri wanakupenda, wanakuona kama mtoto mdogo. Mbona wewe mwenyewe unang'ang'ania vyeo? Umeongoza uenyekiti mara mbili. Sasa ulitaka mpaka ushinde mwenyewe? Mbona Mwabukusi uligombana naye sana? Ni vema mtu mzima ujitambue! Pole sana.

  • @clausdominic1518
    @clausdominic1518 2 หลายเดือนก่อน +11

    Wenjaa tu bro muheshimu alie kupeleka mjini 😅😅😅

  • @JOSEPHKAJORO
    @JOSEPHKAJORO 2 หลายเดือนก่อน +7

    Msingwa kama ungeshinda uongozi wa Kanda ya kusini-ungeyasema hayo-acha unafiki huo.

    • @thomastemu3332
      @thomastemu3332 2 หลายเดือนก่อน

      Ndiyo siasa bro hizo.siasa ni mchezo mchafu😅😅

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 2 หลายเดือนก่อน +5

    Njaa kweli ni noma..
    Huyu alikuwa mchungaji wa mbuzi au wa kanisani ? kama ni kanisani Sasa mbona umewaacha kondoo wenyewe huko church

  • @rammykandra2354
    @rammykandra2354 2 หลายเดือนก่อน +7

    Njaa mbaya sana inaweza kukuvua nguo adharani

  • @MasalujosephMayala
    @MasalujosephMayala 2 หลายเดือนก่อน +8

    Vipi kuhusu bandari imeuzwa au haijauzwa

  • @piusmdoe3200
    @piusmdoe3200 2 หลายเดือนก่อน +6

    Punguwani.punguza mhemko.punguza hasira.umekosa uenyekiti,pole kaka.Unayoiita NGO ile imekulea tangu ulipokuwa mzee wakati ule mpaka ukawa kijana

  • @JOSEPHKAJORO
    @JOSEPHKAJORO 2 หลายเดือนก่อน +5

    Msigwa njaa hiyo.
    Nchi hii ina matatizo mengi ya msingi,achana na chadema.

  • @jumaitanga9731
    @jumaitanga9731 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mfa maji haishi kutapatapa msigwa nibora kiongoz siyo kiongoz bora hata huko ccm atawavuruga hao ndiyo viongoz walio tajwa na mwl nyerere (baba wa taifa)viongoz malaya malaya kelele zote anataka nafasi ndiyo lengo lake .

  • @NoebethFaiza
    @NoebethFaiza 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa ni mshenge kweli kweli Hana mbele Wala nyuma

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 2 หลายเดือนก่อน +4

    Msigwa njaa, ubunge miaka 10, Iringa hata kiwanja cha ofisi hakuna, kanda umeshindwa kujenga ofisi. Umehamia CCM uokowe gorofa lako Dar. Wenye akili hupigana ndani ya chama hadi kieleweke.

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 2 หลายเดือนก่อน

      Kibaya zaidi anajiita mchungaji,sijui anachunga nini

    • @thomastemu3332
      @thomastemu3332 2 หลายเดือนก่อน

      Hahaa hakupewa hela na mboe yakujenga ofisi

  • @ezrommoshi9409
    @ezrommoshi9409 2 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu akae kwa kutulia ili dawa iweze kuingia. Ni MCHAWI ambae kwa kawaida baada ta kuloga na kuua usiku wa giza nene kwa SIRI huanza kutembea mchana kweupe akitaja watu aliowadhuru.

  • @nashirkamugisha9425
    @nashirkamugisha9425 2 หลายเดือนก่อน +8

    Hakuna wapenzani kupitia chadema
    1. Mbowe mfanyabiashara kwa kutumia chama
    2. Lissu wanampotezea muda labda aende kwa ZITTO

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 2 หลายเดือนก่อน

      Sio utani

    • @samwelandrew3852
      @samwelandrew3852 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kaka uyu jamaa anaonekana anasema kwel yan amepanic alaf mtu akipanic huwa anasema kwel

    • @musamsangi1610
      @musamsangi1610 2 หลายเดือนก่อน

      @@nashirkamugisha9425 Iwe kweli ama uongo Watanzania tubadikike hivi kumsema mbowe personal inawasaidia nini Watanzania kuhusu Dawa,kilimo,ajira,elimu na biashara.Hawa wanasiasa inawezekana hawana uchungu na nchi

    • @gadielkahemba6514
      @gadielkahemba6514 2 หลายเดือนก่อน

      Hakuna kitu hapo hata Samia kila kinacho fanywa utasikia kafanya Samia kwakua ndie mwenye kiti huo ni uroho tu wamadalaka.

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@samwelandrew3852Hana ukweli wowote ni njaa tu ndiyo inayomsumbua

  • @allyflavour8005
    @allyflavour8005 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa...hapa ndugu ungewaambia...wana nchi...kuwa maendeleo...yetu tujenge kuanzia upande gani...maana kuna umasikini...mkubwa sana...kupanga mikakati..kuinua vijana..waweze kufika mbali

  • @NuruVenance
    @NuruVenance 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ungepewa umwenyekit Ayo yangekwepo

  • @serafineslaa1082
    @serafineslaa1082 หลายเดือนก่อน

    Tusubiri upigwe uchaguzi mkuu ndiyo utamkumbuka Mboye unayemsema vibaya. Tengeneza chakula cha tawala unaweza kupata ka nafasi.

  • @reysonbihali6776
    @reysonbihali6776 2 หลายเดือนก่อน +6

    Yaan baada ya kuongea ni jinsi gan,atapambana na maisha ya watanzania akiwa CCM kazi ni kupiga taarabu tu.... Mimi simwelewi kabisaaa!!!

    • @Yangaone-h8j
      @Yangaone-h8j 2 หลายเดือนก่อน

      Umefeli pakubwa sana Msigwa sikutegemea hata siku moja jinsi ulivyokuwa na msimamo hadi mkapelekwa jela nakupigwa vipala kwakuitetea chadema leo umevaa kijani ama kweli siasa kiboko🤣🤣🤣🤣🤣

  • @EmmaculateGembe
    @EmmaculateGembe 2 หลายเดือนก่อน

    Na Bandari ziko wapi?

  • @geraldmasengo1576
    @geraldmasengo1576 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa nini aligombea ?na angepita je?

  • @CristinLyanga
    @CristinLyanga 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sura yako tuu, msigwa imejaa unafiki mtupu ,ungeanzisha chama chako basi kwani hata ccm imejaa mapungufu kibao! Nimekuchukia sana brooo, wenye akili tunajua kinachokuropokesha hapo ,na uongozi wewe hapo usahau,hata wenye ccm wenyewe tayari wamekuwekea???????.

  • @CristinLyanga
    @CristinLyanga 2 หลายเดือนก่อน +5

    Wewe msigwa ni mbaya sanaaaaa.

  • @allyflavour8005
    @allyflavour8005 2 หลายเดือนก่อน

    Viongozi mnatuchanganya sasa....hivi baada ya kusema sera...ambazo...zita watowa watu kwenye...umasikini....kazi kwa vijana....wakulima ...wafanye nini kuboresha...vilimo vyao.....kukuzaelimu..yetu...ajira kwa warimu wetu...haya unayo yasema..nazani hayana..msaada kwa mwananchi wa kawaida

  • @elidiustudoy2640
    @elidiustudoy2640 หลายเดือนก่อน

    Kama ww umeshidwa kubadilisha wew kiongz sis tutaweza vip

  • @BorchertWilliam
    @BorchertWilliam หลายเดือนก่อน

    Huyu mjinga sasa anazidi kuchizi anashindwa kuzungumza maendeleo atayaleta namna gani mda mwingi kuongelea chama alicho toka.

  • @HamadAthuman-p2o
    @HamadAthuman-p2o 2 หลายเดือนก่อน

    Chadema ni Majambazi tu hiyo Mbowe Foundation Pesa yote inaenda kwa Mbowe KADI ya Digietor ni Pesa za Mbowe na Mashamba yote ya Mbowe

  • @fredrickkaaya6287
    @fredrickkaaya6287 2 หลายเดือนก่อน +4

    Wewe hata uongee Nini huna unachoiongezea CCM zaidi ya kuwapotezea muda. Jamani narudia tena CCM Ina wenyewe wapeni huu muda anaopotezea Msigwa.Mambo ya Mbowe wana CCM wanahubiriwa ya Nini? Mbona alipokuwa Chadema hakufungua mdomo wake. Wana CCM amkeni huyu mtu ameletwa kukichafua na kukisambaratisha chama chenu.

  • @kasomishedrack5027
    @kasomishedrack5027 2 หลายเดือนก่อน +2

    Akose nafasi ccm uone Kama ataendelea kupiga kelele lazima atoke nduki.Yaani anajisifu kucheza timu nyingine akiwekwa bechi tu lazima asingizie wachawi.

  • @justifylugendo2470
    @justifylugendo2470 2 หลายเดือนก่อน

    Utafanya nini ukikuta ubadhilifu CCM?

  • @OphoroMinjaMinja
    @OphoroMinjaMinja หลายเดือนก่อน

    Oñgelea kuhusu rasilimali za nchi zinazomikishwa kwa waarabu

  • @EzeKomba
    @EzeKomba 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hapa tumepigwa hakuna mtu mna angalia ulaji tuu kukosa uwenyekiti Kanda ya Nyasa umesha kimbia

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 2 หลายเดือนก่อน +2

    MSIGWA ZUNGUMZIA SERA ZAKO UTAWAFANYIA NINI WANANCHI KUPITIA CCM, ACHANA NA CHADEMA WEWE VIPI. MBONA HUYO MBOWE ULIPOKUWA CHADEMA ULISHINDWA NINI KUMSHAULI MPAKA UMNANGE MAJUUKWAANI SAIVI "

    • @MnubiMm
      @MnubiMm 2 หลายเดือนก่อน

      Mkatazeni na Mbowe lema na lisu wasiitaje CCM waseme sera zao vinginevyo Kama huko ni haki na huyu anayo acha aseme

    • @maulidmusa8902
      @maulidmusa8902 2 หลายเดือนก่อน

      Badala ya kuongelea CCM yake ana leta uchawa

    • @samwelandrew3852
      @samwelandrew3852 2 หลายเดือนก่อน

      Kaka acha tujue ukwel kwanza ili tuwajue watu walivyo

    • @NassoroKulondwa
      @NassoroKulondwa 2 หลายเดือนก่อน

      @@JacksonFrances Acha amchane mbowe huo ukweli ndio maana inawauma

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 2 หลายเดือนก่อน

    Mwacheni aseme ndio demokrasia.

  • @bakaribakari167
    @bakaribakari167 2 หลายเดือนก่อน

    Msigwa kwa Hilo nikweli lisu alikuja kigoma 2023 na gari Moja viongoz wa wilaya nikawasikia mafuta yameisha vipi tunapataje ikaanza miningono

  • @mwadinijuma928
    @mwadinijuma928 2 หลายเดือนก่อน

    HUYU NJAA INAMSUBUWA HUYU SI MZALENDO MNAFIKI MGOMBANISHI KWANINI HAKUYASWMA HUKO

  • @PeterSaramba
    @PeterSaramba 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani Wewe chama kilichokulea mpaka umepata kujulikana sasa unasema vibyaa kweli Wewe ni lijoka msigwa na tena Wewe ni yuda isikariote aliyemsaliti Bwana Yesu kwa sababu ya pesa na Wewe uliamua kusaliti chama ya chadema kwa sababu ya kupewa pesa na C.C.M. ili uichafue chadema.

  • @FridayMwassa
    @FridayMwassa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona nchi ina matatizo mengi kuliko unavyotaka kutuaminisha

  • @vicentbunzal7342
    @vicentbunzal7342 15 วันที่ผ่านมา

    Msigwa ni chumiq tumbo tu huyo hana lolote chadem itabaki kuwa chadema tu hata aseme nini,tulishajia kuwa yote hayo ni nguvu ya pesa alizopewa na ccm ndo maana anaenda anaropoka hayo,eti mchungaji labda mchungaji wa wake za watu huyo hn uchungaji wwt tapeli mkubwa huyo,amewasaliti wananchi atashindwa kuiba sadaka kwa waumini huyu kweli!!!

  • @nyembobea7285
    @nyembobea7285 2 หลายเดือนก่อน +4

    Safi sana mwamba

  • @Yangaone-h8j
    @Yangaone-h8j 2 หลายเดือนก่อน +2

    Msigwa acha kufanya mchezo na mdudu anaeitwa njaa, anatisha ile mbaya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @frenktarimo4703
    @frenktarimo4703 2 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji et daaa njaaa mmbayaa kweli

  • @ernestmwasunga3021
    @ernestmwasunga3021 2 หลายเดือนก่อน

    Wenye D 10 ndo tunao muelewa Mzee msigwa uko vizuri baba

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 2 หลายเดือนก่อน

    Huna lolote njaa itakuua hiyo mchungaji gani unakuwa na tamaa hivo maneno ya mkosaji na hatukupi kura sehemu yoyote

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 2 หลายเดือนก่อน

    Haaaaaaa NO NO NO NO PLS , BORA MKAHUBIRI INJIRI , HAKUNA HAJA YA KUSEMA ULOKUWA UNAYAFANYA HUKO MZEEE , TUNZA MANENO YA KESHO MAANA USIJE AIBIKA SIKU MOJA

  • @antonyndinga8890
    @antonyndinga8890 2 หลายเดือนก่อน

    Hakika Mbowe Mungu akupe maisha marefu. Kumbe unaisaidia hivi chadema bigup sana.
    Msigwa hapa anajiaibisha tuu, baada ya kuongea hays baadae afanye revew ili ajifikirie ktkt haya yupo sahihi au kateleza.
    Maana hakuna point anayosema

  • @RaphaelMbughi-n1g
    @RaphaelMbughi-n1g 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni muongo kwnn usisema ukiwa ndani ya chama ww nikama Yuda alie muuza Yesu!!

  • @musamsangi1610
    @musamsangi1610 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tupe sera zako utatuletea nini kwenye achana na CHADEMA

    • @modestusndunguru7183
      @modestusndunguru7183 2 หลายเดือนก่อน

      Mbona tundu la chooo huwa anatukana....viongozi na ccm.mda wote..samia....ccm..maraagufuli......hamyaoni...ubaya ubwela.....kudadeki.....wape vidonge saccos wale.....😂😂😂😂😂😂...hadi waseme

    • @musamsangi1610
      @musamsangi1610 2 หลายเดือนก่อน

      @@modestusndunguru7183 sawa kama kutukana ni sahihi atupe sera zake basi Sasa yeye toka mwanzo wa mkutano mpaka mwisho anaongelea CHADEMA Watanzania wanataka maendeleo atuambie ataifanyia nini nchi iachane na mikopo ya mabenki ya makabwela.

  • @Anithawilielemi-uh3ww
    @Anithawilielemi-uh3ww 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa hiyo foundation si imesajiliwa kwa mujibu wa sheria,CAG hawajui?

    • @petermogha7025
      @petermogha7025 2 หลายเดือนก่อน

      Kuwa muelewa kuhusu hilo

  • @warrenmgode1837
    @warrenmgode1837 2 หลายเดือนก่อน +1

    Msigwa mbowe Yuko vizuli ichi zote kama malaw zambia hawajawhi badilisha uwenyekit hakahind walihama jbm wakamutukana ukabila udini kujipenda lakini walipiga kula wakalinda, Sasa ni Rais, muchungaji inatakiwa uwe na upendo usiwek na chuki

  • @JohnKalega
    @JohnKalega 2 หลายเดือนก่อน

    Mbowe hawezi kukujibu mtu kama wewe. Msaliti wa chama

  • @longinokamuntu8645
    @longinokamuntu8645 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ulikuwa wapi wakati upo ndani ya chama?

    • @papangomaitala7690
      @papangomaitala7690 2 หลายเดือนก่อน

      Nikweli,lkn iliuongee lazima uhame kwanza ndiomaana anasema

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 2 หลายเดือนก่อน +1

    MHE MSIGWA UNAONGEA POENT TUPU TUPO PAMOJA NA WEWE KATIKA KUMUUNGA MK9NO MAMA WA TAIFA LA TANZANIA MHE RAIS DKT SAMIA SULUH HASSAN. # TUNAIMANI NA SAMIA MITANO TENA "2025 - 2530 KAZI IENDELEE.

    • @JOHNKUBINGWA
      @JOHNKUBINGWA 2 หลายเดือนก่อน

      We ni mkundu na ww

  • @Hongkongman2
    @Hongkongman2 2 หลายเดือนก่อน

    Jibuni hoja zake ndio tutawaelewa
    Sio kusema njaa
    mchawi
    Hatutawaelewa

  • @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
    @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe unaomba cheo Kwa raisi nahupat

  • @maulidmusa8902
    @maulidmusa8902 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona ulipokuwa huko miaka 30 yote hujasema? Upumbavu tupu

    • @zobakazizi7637
      @zobakazizi7637 2 หลายเดือนก่อน

      Wakati wa kusema umefika. Mwacheni aseme ndiyo demokrasia.

  • @CafeJohn-n9o
    @CafeJohn-n9o 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe Nichawa kama machawa wengine unajitahidi kuichafua chadema lakini mimi naona kama unajidharirisha sana chedema ndo imekufika apo uripo wewe unadhani unaichafua chadema kumbe unajichafua mwenywe

  • @petrolima8612
    @petrolima8612 2 หลายเดือนก่อน

    We're unatafuta Chris serikalini guns lolote debe you wee

  • @GaudensiaKazana
    @GaudensiaKazana 2 หลายเดือนก่อน

    Huna jipya ww hao ccm wamekupa hela ndio maana unaropoka hapo.

  • @yohanaisayasimoni
    @yohanaisayasimoni 2 หลายเดือนก่อน

    Inashida gana trampo ni tajiri kabla ajawa raisi

  • @brownjvmtakimwa5586
    @brownjvmtakimwa5586 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona husemi umefanya Nini kwenye Jimbo lako si tunaitaji maendeleo siyo kuwasema wezio

  • @7675kio
    @7675kio 2 หลายเดือนก่อน

    Kiongozi.yeyote ambaye anabadilisha msimamo wake.kutegemea na nani anajihusisha nae, huyo hawezi kuongoza taifa. Mimi sina Chama na wala sitakuwa.mwanachama wa Chama chochote. Msigwa kanunuliwa na vipande vya fedha. Atawasumbua sana sana chadama.

  • @DionsMoshy
    @DionsMoshy 2 หลายเดือนก่อน

    jaman jaman inakuwaje vijana tusipoweza kugundua hivi vitu tutadanganyika sana tutafute njia za kupambamba na ukoloni mambo leo ndio kitu kinacho endelea kwenye taifa letu .tunadanganywa sana kwa kweli tunapaswa kutafuta mbinu za kupambana na kuleta ukombo mpya bila vivyo tutafanyiwa matendo haya na watawaachia watoto na vizazi vyao mpaka lini

  • @deusdeditsimba4452
    @deusdeditsimba4452 2 หลายเดือนก่อน

    Tunakubali ukweli wote,lakini Kaka Msigwa ulikuwa wapi Miaka yote?

  • @KassimHanga-xr7rb
    @KassimHanga-xr7rb 2 หลายเดือนก่อน

    Sema Sana lakiñi tunajua sababu umekosa madaraka na ndio viongozi wa Sasa wengi wao wanafanya hivyo

  • @juliusmsegu3347
    @juliusmsegu3347 2 หลายเดือนก่อน

    SASA KAMA MSIGWA ULIYAJUA HAYA ULIKUA UNAGOMBEA UENYEKITI WA KANDA YA NYASA WANINI KATIKA CHAMA CHA NAMNA HIYO? NA JE KAMA UNGESHINDA UENYEKITI WA KANDA YA NYASA HAYA UNGEYASEMA?? MNAFIKI MKUBWA MSIGWA.

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 2 หลายเดือนก่อน

    We msigwa bado unatamani chadema kama umekuja ccm tuongee ua kwetu achana na chadema...

  • @amedeusmushi
    @amedeusmushi 2 หลายเดือนก่อน +6

    Chadema oyeeeee❤

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 2 หลายเดือนก่อน

    MUNGU atamuhukumu Huyu Msigwa oooooh ni mpuuzi

  • @jamespeter5882
    @jamespeter5882 2 หลายเดือนก่อน +4

    Vp bandali msigwa imeuzwa au

  • @MaxCharles-wj5dg
    @MaxCharles-wj5dg หลายเดือนก่อน

    Jinga kwel hilii jamaa

  • @MAIGECHARLES-x7r
    @MAIGECHARLES-x7r 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wanasiasa siyo watu wakuwaamini sana aisee kama huku ulikotoka kunauovu je ina maana ukikuta ccm kuna uovu pia wakuiba utaachana na siasa au utachukua maamzi gani mm nafikiri kukimbia tatzo siyo njia ya kutatua matatizo tuungane kusema tu kuwa mataifa yetu yanashndwa kupiga hatua kwa speed sababu ya njaa kali kwa wanasiasa wetu

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 2 หลายเดือนก่อน

    Msigwa kumbe uko Ivyio unajidhalilisha

  • @EdwardElikunda
    @EdwardElikunda 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mnafiki siku zote ulikua wapi siku zote. Kukosa madaraka tu?

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe mbona siyo msafi kaa kimya huna jema
    Mwanamme kuwa mmbea hupendezi
    Hata wewe YUDA mkubwa tena fisi mla watu unataka cheo

  • @RodenMgata
    @RodenMgata 2 หลายเดือนก่อน

    Haya maneno ungeongea myaka 2 nyuma ningekuona wamana kweli

  • @MsevenShemakange
    @MsevenShemakange 2 หลายเดือนก่อน

    Mfamaji aishii kutapatapa unatafua ubunge mbwa ww kwendaaa ss ni mbelekwambele

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mshamba sana na huko unakokwenda utalia nakutoweka kama moshi

  • @giftotaru5808
    @giftotaru5808 2 หลายเดือนก่อน

    Uchawa na kujipendekeza kumekua kwingi kuliko maslahi ya wananchi

  • @MahamuduMsagula
    @MahamuduMsagula 2 หลายเดือนก่อน

    Njaa tuu we toka zako maskini mnafiki ww

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu asaidiwe, ni kichaa! Vichaa wengi sana nchi hii!

  • @GeofreyBernado
    @GeofreyBernado 2 หลายเดือนก่อน

    Huu ni zaidi ya ushoga na umbea .

  • @lazarojuma5958
    @lazarojuma5958 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ongelea mambo ya nchi yako achana na chadema mbwa ww serikali haina pesa wanafunzi hawana madawati ospitali hakuna madawa unashindwa kuongea fala kabisa unaongelea mbowe ulikua chadema uliwasema vibaya ccm Leo umekua danga la buku jero

  • @BillingsXaveryNshullo
    @BillingsXaveryNshullo 2 หลายเดือนก่อน

    Eleza jinsi Gani utanisaidia ccm siyo kumsema mbowe kila kitu...

  • @johnshayo9635
    @johnshayo9635 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa hizo ndo sera Mzee
    Yani we madongo ndo sera
    Acha njaa msigwa ,alafu we ni mchungaji ujue

  • @noelnoel4916
    @noelnoel4916 2 หลายเดือนก่อน

    Sema bro Sema Peter Msigwa

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 2 หลายเดือนก่อน

    Msigw unapolopoka kumbuka kuna sikuhayo yanakwisha na kuchukua ita baki na maneno yaliyo chuma mwisho utachuja Sofia

  • @JosephMwandoje
    @JosephMwandoje 2 หลายเดือนก่อน

    Unaidhalilisha taaluma ya uchungaji usihutubie majungu watanzania sio wajinga kiasi hicho

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 2 หลายเดือนก่อน

    Kwann ulipokuwa huko hukusema hayo

  • @mahamudumshuza6970
    @mahamudumshuza6970 2 หลายเดือนก่อน

    Unatushauri tuwe sote ulipo wewe ila punguza maneno ya ukali tulikupenda kwasababu ulikuwa mjenga hoja mzur wa kuwaeleza ccm ukweli tunakuomba vilevile ulivyo kuwa huwaogopi kuwa unawaambia ukweli panapo stahili ukweli uuseme maana wao wanapakusemea sio unalopoka2 ccm inawenyewe na hilo unalijua tunakuombea uwe mmoja wao ukosoe unapo ona hakuna haki ili taifa letu lipate afya jina liwe kubwa lizidi lile la chadema😊

  • @AliMwadini-s5q
    @AliMwadini-s5q 2 หลายเดือนก่อน

    Ukweli siasa ni mbayasana shida ya siasa ni kubadilishiana uwongozi kiongozi akitemwa tuumgomvi

  • @jumamkwanda8031
    @jumamkwanda8031 2 หลายเดือนก่อน

    Dada Jesca jiandae Chuma hicho kinarejea kwa namna nyingine

  • @juliusmsegu3347
    @juliusmsegu3347 2 หลายเดือนก่อน +1

    Chadema ina watu makini sana. Huu upuuzi anaoongea hauna mantiki na haiwezekani ikawa ni kweli. Ufusadi upi wakati kila mwaka CAG anakagua hesabu zao na hawana hati chafu.

  • @kaundavyoseena6514
    @kaundavyoseena6514 2 หลายเดือนก่อน

    Mbowe tatizo kuu

  • @PhilipoMwasha
    @PhilipoMwasha 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hana lolote shule za imma hazina walimu lakini watoto wao wanasoma shule za binafs kwa fedha nyingi,Tena ni waajiri wa serikali

  • @joelmichael9752
    @joelmichael9752 2 หลายเดือนก่อน

    Msigwa huna msimamo na una tamaa ya maharaja tu,Kwanini usimrudie tu Mungu na ufanye kazi za Mungu?

  • @vicenttarimo2203
    @vicenttarimo2203 2 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji ulikua ndani Ya chadema mbona umengoja mpaka umekosa madaraka japo unayoongea ukweli tutaamini vip na ulikua husemi wewe mwenyewe ulikua unaponda CCM .chama cha mapinduzi mtazameni huyu vizuri huenda iko siku atatoa siri ya CCM.

  • @kivumajunior4260
    @kivumajunior4260 2 หลายเดือนก่อน

    Uchungaji umekushinda sadaka hakuna Tena umepoteza mwelekeo

  • @julianajeremiah4353
    @julianajeremiah4353 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa uko kuna wasafi?