SAFI SANA MHESHIMIWA BITEBO, NI FANTASTIC MESSAGE, MANENO MACHACHE YENYE UJUMBE MURUWA TENA USIO NA UKAKASI, MWENYE CHUKI ATAENDELEA ILA MWENYE AKILI SAWA SAWA ATAZINGATIA KWA AFYA YA USTAWI MWEMA WA JAMII YETU NA TAIFA KWA UJUMLA!! AMEN.
Wewe ndio Mnafiki kwani huwezi kuteka ukajitokeza Hadhalani na kulani kitendo kile ukalia kabisa na ukenda Mbali zaidi kuwatuhumi watu wengine au Mtu ili lengo lako litimie haya mambo kwa ulimwengu huu ulipofikia yanawezekana watu wanahitaki UNUFAIKA kupata pesa mamlaka hata Kama kichwa chako ndio njia WATAKUCHINJA tu halafu watakuwa wa kwanza msibani kulia na kuombeleza kulani na hata kuwalani wenzao na kujipambanua wao ni Safi na wanauchungu Mkubwa Sana na marehem ukitaka kuwajua hawata kwenda pale kwa sbb lengo lau limetimia na ukiwaona wamerudi hawatakuwa na ushujaa Kama ule wa kwanza kwa sbb wamerudi kujua kinachoendelea mashaka zidi yao yameanza Damu ya Mtu itakufata tu
Muwemnamkaribisha huyu mama Samia hata kama si mkirusto ili roho mtakatifu aweze kumfundisha kuwa kuuwa ni vibaya. Pia aweze kujazwa upendo wa Mungu na kujuwa kuwa kutawala huwezi kulazimisha hata kwa kuuwa.
Acha kuuwa watu kwa kweli mauwaji huko nyuma haikuwa hivyo. Naomba wewe kwa sababu nj mkristo uwafundishe CCM waache ubabe na kufikili kuwa Inchi hii ni ya CCM. Wambie watu wenu waache uchu wa kukutuwala kwa manguvu kwa kutuuwa kwa ukatari.
Kama kuna watu kama Biteko kwanini CCM waibe kura? Hata za kwake waliba kama za askofu kura ziibwa na anafurahi kuwa ni mbunge. Yeye mwenyewe na watu wake waliiba kura 2020 na akafurahi. Wabunge wote 2020 waiba kura wazi wazi lao sifa zinakujaje
Kaka naisi ni mdogo kwangu ila nimekupa heshima, biteko tenda wema ndugu yangu acha kufata mkumbo wa chama chako na serikali yako, broo fanya mema ktk uongozi kwani namuona anko magu ndani yako
Hakuna ambaye hana hekima au mwenye maneno yakihunikihuni ukikuta wahivyo kalelewa namother single ambaye alishindikana hata kwa wazazi wake huwezi kuta hata mpiga dili tunaamini misingi yakufanya kazi kwa haki
CCM inafanya siasa za majivuno, na kufikilia Tanzania ni mali yawo na watu wote wafuate wanavyotaka hata kama hawapendi. Watanzania wanataka katiba mpya yenye kuwapa watanzania haki wote kwa usawa. Zile kauli za kusema CCM itashinda tukitaka tusitake hata kama wananchi hawakuwachaguwa wala Mungu kupenda, ni siasa chafu na za kiżamani
Mweshimiwa waziri hebu kumbuka maumivu uliyowaachia wafanyakazi wa Tanzanite one mpaka waleo hawajapata haki yao Kwa makosa uliyosababisha wewe mwenyewe halafu ukawatelekeza asee kumbuka wale ni watanzania wenzako
Mh, Biteko hekima hii uliyotumia Mungu akubariki na uliyoyasema uyaishi kwa jina la Yesu. Ubarikiwe ❤
Biteko anahekima Sana
Mungu akubariki zaidi kaka ❤
Mh.Biteko unahekima sana mungu akubariki
Hongera ndugu Biteko umeongea vzr mno, bg up, Tanzania imani itarejea tena, Roho wa Mungu atawale,
Hotuba conk but, je waliokuzunguka wenye kaulimbiu yao ya kumfanya mtu second to their ...., wanayafurahia haya na kuyaishi?
Nimempenda sana mheshimiwa ana hekima ya viwango vya juu
SAFI SANA MHESHIMIWA BITEBO, NI FANTASTIC MESSAGE, MANENO MACHACHE YENYE UJUMBE MURUWA TENA USIO NA UKAKASI, MWENYE CHUKI ATAENDELEA ILA MWENYE AKILI SAWA SAWA ATAZINGATIA KWA AFYA YA USTAWI MWEMA WA JAMII YETU NA TAIFA KWA UJUMLA!! AMEN.
Hapa BITEKO kavuna HESHIMA kubwa kutokana na hotuba yenye kila neno lililo na THAMANI .
The beauty of Catholicism🥰
Upo vizuri kiongozi mungu akuongoze
Unafiki nao uko kazini
Wale wale wanaoteka na kuuwa nao wako mbele kukemea
Kana kwamba hawahusiki
Tulia alitoa tamko nyooka nao
Wewe ndio Mnafiki kwani huwezi kuteka ukajitokeza Hadhalani na kulani kitendo kile ukalia kabisa na ukenda Mbali zaidi kuwatuhumi watu wengine au Mtu ili lengo lako litimie haya mambo kwa ulimwengu huu ulipofikia yanawezekana watu wanahitaki UNUFAIKA kupata pesa mamlaka hata Kama kichwa chako ndio njia WATAKUCHINJA tu halafu watakuwa wa kwanza msibani kulia na kuombeleza kulani na hata kuwalani wenzao na kujipambanua wao ni Safi na wanauchungu Mkubwa Sana na marehem ukitaka kuwajua hawata kwenda pale kwa sbb lengo lau limetimia na ukiwaona wamerudi hawatakuwa na ushujaa Kama ule wa kwanza kwa sbb wamerudi kujua kinachoendelea mashaka zidi yao yameanza Damu ya Mtu itakufata tu
Mungu akubariki mh kwa Busara hii nzuri
Best speech❤❤ mungu Mwema atuongoze
Safi sana naibu waziri mkuuu
Safi sana naibu waziri
Undugu wa kweli uwe ule aliohubiri Yesu wa kuwalisha walio na njaa, kuwatembelea wagonjwa na walio magerezani na kuwavisha wanaotembea uchi.
Point mama makinda anawezaje kumbe mama hamuangalii chalamila yeye yuko busy
What a brilliant speech!
Biteko Mungu Akipenda Utakuwa Rais Wa Awamu Ya 7
bitego umetisha ubarikiwe
Biteko upo vizuri sana hotuba safi hutuba yenye uhai Asante.
Naibu uko vizuri barikiwa sana
maCCM ukiyackiliza utadhani yanaongea kwa busara kumbe ni hypocrisy bin unafki!!
"Alie na mawazo tofauti na sisi sio adui yetu" kauli kubwa hii kama tutaielewa
Mungu tunaomba kuyaishi haya
Ki ukweli nakuelewa sana kiongozi
Ekarisiti takatifu ituangaze daima 😔🙏🙏🙏
Muyatekeleze munayo ya sema
Biteko 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hongera mkuuu umeongea vizuri sanaa
Tujenge jiji la Mungu SAUT safi sana. Unda SAUT alumn Mh Dr Doto Biteko
Umeongeya vizur kwa kweli
I would like to be your role model!! Your so clever Biteko!!
Rudia kusoma ulichoandika.. yaani wewe uwe 'role model' wake au yeye (mh Biteko) awe 'role model' kwako
😂😂@@josephlorri431
@@josephlorri431Elim yetu ya kuunga unga
Tanzania ya sasa haina na maadili.Ila Biteko uko vizuri san unakita kwenye maadili barikiwa san.
Na huu ujumbe uwafikie watumaji mauwaji na wauwaji. Serikali ya ccm na mwache kuigiza mnavyokuwa majukwani. Mungu anawaona.
Natamani miaka 10 ijayo Mh. Nchimbi awe Rais na Mh Dotto Biteko awe Prime minister.
Kiukweli kwakauli yako niyaekima sana biteko. Inatakiwa viongozi wengi wakuige
Muwemnamkaribisha huyu mama Samia hata kama si mkirusto ili roho mtakatifu aweze kumfundisha kuwa kuuwa ni vibaya. Pia aweze kujazwa upendo wa Mungu na kujuwa kuwa kutawala huwezi kulazimisha hata kwa kuuwa.
Mahubiri mazuri matendoyenu yakinyama Kwa taamaa.ya pesa
Sasa kama naibu waziri mkuu mbn utekaji na mauwaji ujajitokeza kukemea na ww una nafasi kubwa?
Binafsi huwa namuelewa sn Biteko huyu jama huwa hanaga unafiki,,
Mungu atusaidie
Huyu mh wakimpa nafas ya kugombea uraisi n moja kwa moja
MmekaA viti vya mbele na bado mnaivunjia heshima madhabahu kesho tutaona watoto wakinongonezana kanisani
huyu waziri Biteko mtakuja kumjua baadae maneno yake yanamafumbo ndani yake kama Nyerere
Hakika Mh Biteko ni kiongozi mwenye busura kubwa napenda sana jinsi ambavyo anaongea kwa unyenyekezu
Dotto Biteko wewe ni Kiongozi. Wewe ni hazina ya Taifa hili. MUNGU akulinde. Unaongea kwa kujiamini sana
Muheshimiwa Biteko pia ni kama mwanafalisafa hivi????nafuatilia sana hotuba zake...
Kumbe hii nchi ni Ya kikafiri Nmeamini kumbe kuna Askofu wa taifa na askof wa kikristo
Waarabu na wazungu walituacha vibaya kweli yani wametujengea chuki waliwapiga babu zetu alafu wakatuhubiri tumia akili
Acha kuuwa watu kwa kweli mauwaji huko nyuma haikuwa hivyo. Naomba wewe kwa sababu nj mkristo uwafundishe CCM waache ubabe na kufikili kuwa Inchi hii ni ya CCM. Wambie watu wenu waache uchu wa kukutuwala kwa manguvu kwa kutuuwa kwa ukatari.
BORA MSIIBE KURA, DC NA NAPE WALISHATUTONYA MCHEZO WENU
Kama kuna watu kama Biteko kwanini CCM waibe kura? Hata za kwake waliba kama za askofu kura ziibwa na anafurahi kuwa ni mbunge. Yeye mwenyewe na watu wake waliiba kura 2020 na akafurahi. Wabunge wote 2020 waiba kura wazi wazi lao sifa zinakujaje
Mbona kama picha nimeanza kuiona?
Soka yuko wapi?
Here we go
Hakuna kitu tuambieni nani anaua na kuteka ndugu zetu tutaandamana
Kwa ccm kuishi kama ndugu haipo shida munaongea sana ila munaaribu inchiyetu munapenda kutumikiwa na laia ila nyinyi amupendi kutumikia laia
Kaka naisi ni mdogo kwangu ila nimekupa heshima, biteko tenda wema ndugu yangu acha kufata mkumbo wa chama chako na serikali yako, broo fanya mema ktk uongozi kwani namuona anko magu ndani yako
Kama Kuna viongozi nawakubali ni Rais Dk Samia Samia Suluhu Hassan na Dk Dotto Bitego na Mkuu wa Mkoa wa Arusha
Very good speech
CCM! ACHA UKATILI NA HASA KUTEKA, KUTESA NA KUUWA! MUNGU ATASHUGHULIKA NANYI NA KUILETEA TANGANYIKA LAANA!
nakpenda biteko
Kwa hiyo ccm hamtaiba kura?
😂😂😂😂😂😂
Maneno t
Ila biteko unajua saaana
Unafaa kua rais
Undugu kuponya ulimwengu. Maneno tosha kumaliza umwagaji damu na mateso yasiyomstahili Mtanzania yoyote. Tuvumiliane twende na 4R kiukweli ukweli tuliponye taifa letu.
Hakuna ambaye hana hekima au mwenye maneno yakihunikihuni ukikuta wahivyo kalelewa namother single ambaye alishindikana hata kwa wazazi wake huwezi kuta hata mpiga dili tunaamini misingi yakufanya kazi kwa haki
CCM inafanya siasa za majivuno, na kufikilia Tanzania ni mali yawo na watu wote wafuate wanavyotaka hata kama hawapendi. Watanzania wanataka katiba mpya yenye kuwapa watanzania haki wote kwa usawa. Zile kauli za kusema CCM itashinda tukitaka tusitake hata kama wananchi hawakuwachaguwa wala Mungu kupenda, ni siasa chafu na za kiżamani
Halafu kula Jumapili wanaenda nyumba za Mungu. Hatari sana
hekima hiyo hakikisha watekaji wanawekwa hadharani na washitakiwe
Hawezi kuwaweka maana ndiyo mchakato wao ili wabakie madarakani
Rais ajae huyu
Maneno matamu kama asali natamani hayo maneno yangekuwa matendo kweli tanzania yetu ingekuwa paladiso
Hekima kimejaa mh biteko
Wajinga ndio waliwao..mtanzania anarubuniwa hata kwa maneno..
Maandamano yapo pale pale
Hakuna msukuma mhunimhuni
Ww ni rais ujae
❤
Biteko yupo smart sana
Uyo anaeua viongozi wachadema kama yupo ccm afichuliwe asiwaaribie serikali na ccm yote
Laic ndio nini?
Mweshimiwa waziri hebu kumbuka maumivu uliyowaachia wafanyakazi wa Tanzanite one mpaka waleo hawajapata haki yao Kwa makosa uliyosababisha wewe mwenyewe halafu ukawatelekeza asee kumbuka wale ni watanzania wenzako
Huyu jamaa anafanania yule Rais Magufuli inawezekana ni mtoto wa Siri wa huyo Magufuli.
Ni ndugu yake kama sikosei
Anae ibiwa kura ni zuzu hafai kuongoza nchi hata ubalozi wa nyumba kumi hafai.
Kumbe ninyi viongozi hadi ibadani nikunong'onezana tu
Iv. I
Kura msiibe
Nilijikuta tu nikiwa naichukia sana siasa, lakini kwa kiongozi wangu dotto biteko ni kiongozi wa mfano sana kwenye taifa hili
kumbe mweshimiwa doto unaakili nyingi ivi akiamgu nlikuwa sjaway kukufatilia kumbe unajielewa xana doto nakuombea uwe ata laic unajitambua mwamba mpaka umenitoa machoz nimekupenda doto akiamungu
Ukishaainga ccm akili zao wanajitoa ufaham
Kama Kuna viongozi nawakubali ni Rais Dk Samia Samia Suluhu Hassan na Dk Dotto Bitego na Mkuu wa Mkoa wa Arusha
Acha uchawa