RUSSIA VICTORY DAY PARADE: URUSI YAZISHANGAZA NCHI ZA MAGHARIBI KWA MATUKIO HAYA YA GWARIDE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 พ.ค. 2024
- If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
COPYRIGHT VIOLATION
For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright.
Hongera sana Russia 🇷🇺.
Hili taifa nila Umoja sana. Katika maisha yangu mataifa yanayo onyesha umoja ha magwaride ni Russia, Korea kasikazin, China, na Cuba na Ugeruman. Ila sijawahi ona graride la USA au UK, Frances lamba mpaka kiongozi mkubw afe
uraaaaaa urusi
Sawa sawa kabisa Mrusi
Nimemuona Muafrika ❤❤❤
Good job Russia ❤❤❤❤❤
Rafiki wetu mpendwa. Huraaaaaaaaaaaaahuraaaaaaahuraaaaaaa.
Hapo fikiria nchi ngapi ziliungana kwenda Ukraine kumwangamiza mrusi mpaka leo wameweza kumwondoa mrusi? Mrusi yupo vizuri
Kwa macho haya ya kawaida unaweza kuiangalia marekani kama ina jeshi kubwa. Lakini kiroho unajua hamna kitu hapo wameshapotea
Jamaa ana jeshi la kutosha
Mwamba, ukiona mahali Nato wanajiuliza kutia maguu juwa dhahiri muziki wa anga hilo ni mnene,,,huchezeki
Hivi Tanzania wana Vifaa vya jeshi kama hivi ??
Hata tukiwa nazo hatutegenezi wenyewe, tunanunua.
Bado watoto sana mbele ya USA
Nyie Si ndio mnaodanganywa kila siku kua marekani ndio Kila kitu ,wakati hawana lolote Wala hawajahi shinda vita popote duniani bila kuwa na washirika ,naona unawaunga mkono mashoga wenzio wa marekani mtapata tabu sana mpaka mkome shenzi kabisa nyie
Unàpata tabu ukiwa wapi ,kuhusu urusi hao ndio wanaume duniani sio nyie mashoga wa marekani na mtapigika Kila Kona ya Dunia mpaka mseme mbwa nyie
Kumbe wewe ni kibaraka wa urusi
Putini anajidanga sana Dunia hii hataipata
Shoga wewe
Atakae pata dunia ni nani
Kuna maafrica ni masenge bado sasa aipate ili aipeleke wapi
Haja na shauku yake kubwa ni kuona Waafrika na jamii zingine zilizokanyagwa na kunyonywa kwa muda mrefu zinajipata na kuweza kujisimamia zenyewe, hata ukiwa na tongotongo hautoshindwa kuona ukweli huo machoni pake labda uamue tu kukaza bongo.,amka bro.
Senge hili shoga bado tu linaiwazia mishoga yenzie ya marekani sie tupo Putin mwamba pekee wa ulimwengu ,sio mbwa nyie wa amerika mmelaaniwa Kila Kona ya Dunia
Good job Russia ❤❤❤❤❤