ULIPOFIKIA UJEZI WA UWANJA MPYA WA NDEGE WA KIMATAIFA MSALATO DODOMA,NAIBU WAZIRI AFIKA KUJIONEA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 76

  • @sultanhamad4924
    @sultanhamad4924 2 หลายเดือนก่อน +24

    Dakika zote hizo ulizoongea umeshindwa kumtaja magufuli japo mara moja tumpe nae maua yake

    • @user-nb6yh2bn9y
      @user-nb6yh2bn9y 2 หลายเดือนก่อน

      Watakutukana niko pale 😢

    • @letthedeadburythedead2148
      @letthedeadburythedead2148 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe utakuwa shoga. Kwani akitajwa huko alipo itamsaidia nini au ataskia? Kama vp mfate

    • @abdulyabdunuru1476
      @abdulyabdunuru1476 2 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@letthedeadburythedead2148 shoga wewe na ukoo wako kakosea wapi au ndo unawashwa

    • @letthedeadburythedead2148
      @letthedeadburythedead2148 2 หลายเดือนก่อน

      @@abdulyabdunuru1476 muonekano wako na kaa yako tu kwenye hiyo picha unaonyesha unafirwa kuma dume wewe. Marinda na akili hauna ndo mana unaongelea mkunduni dumejike msenge wewe.

    • @sultanhamad4924
      @sultanhamad4924 2 หลายเดือนก่อน

      @@letthedeadburythedead2148 matusj yako mjibuji ni Allah 🙏

  • @egbertcharles
    @egbertcharles 2 หลายเดือนก่อน +17

    Ilikuwa ndoto ya Magufuli kujengwa Uwanja wa Msalato. Viongozi wa taifa letu atakama mnaogopa kutenguliwa vyeo vyenu jaribuni kuwa mnashukuru Jitihada za JPM.

  • @cidewashington670
    @cidewashington670 2 หลายเดือนก่อน +19

    The legacy of John Pombe Magufuli

    • @abuuramadhan8093
      @abuuramadhan8093 2 หลายเดือนก่อน

      Usituleteee usukuma wako na ushamba hyo magufuli ndo kajenga huo uwanja

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 21 วันที่ผ่านมา

      Mpaka Magufuli anakufa uwanja haukuwa umeanza

  • @kanaelikanuya7919
    @kanaelikanuya7919 2 หลายเดือนก่อน +5

    Jamani badisheni maneno tunamshukuru raisi , raisi,raisi kwani ndiye anatoa pesa mfukoni kwake ci Kodi zetu, washukuruni walipa Kodi ili kutoa hamasa ya kwa waendelee kulipa Kodi ,

  • @kassimubilali5259
    @kassimubilali5259 2 หลายเดือนก่อน +11

    Acha unafiki alianzisha magufuli

    • @kassimubilali5259
      @kassimubilali5259 2 หลายเดือนก่อน

      Sema alianzima magufuli mama ameendeleza ndiyo anastahili pongezi ila usiseme selikari zimepita wameshindwa

  • @elidifridajingu3153
    @elidifridajingu3153 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri ya magufuli. Ila kodi zetu hizoooo

  • @rojatv167
    @rojatv167 2 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu msenge sana mtu kaaza maguful una mpongeza samia

    • @allymusira2153
      @allymusira2153 2 หลายเดือนก่อน

      Si kweli uwanja ulianza kujengwa baada ya magufuli kufariki

  • @roberttarimo4956
    @roberttarimo4956 2 หลายเดือนก่อน +7

    RIP John Pombe Magufuli, naibu waziri amekosea kuwa late JPM ndo aliamua kufanya hivyo.

    • @veronicalaiser7869
      @veronicalaiser7869 2 หลายเดือนก่อน

      Acha tu waendelee haki ya mtu iko pale pale.

    • @salmanmagwe2612
      @salmanmagwe2612 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kwa nn kila mara unasisitiza atajwe Rais magufuli?ni km mmedhamiria ubaya fulani,mbona makao makuu Dodoma ilikuwa ni fikra ya mwalimu Nyerere na ndie alieanzisha ujenzi wake na hatajwi?mbona SGR ni fikra na plani ya Kikwete na hatajwi?
      Hii ni nchi Magufuli alifanya yake na Samia kafanya yake na wote wanatekeleza maamuzi ya wenzao waliotangulia au kuanzisha mengine na asipomalizia mwenzie atakamilisha

    • @christophersamwel8236
      @christophersamwel8236 2 หลายเดือนก่อน

      Shida yetu watanzania Sijuhi tumelogwa na Nani Now currently President ni SSH Pongezi ni kwake lakini Ndoto hizi ni za Mwl jk mwaka 1976

    • @venancemiyeji6804
      @venancemiyeji6804 2 หลายเดือนก่อน

      @@salmanmagwe2612 huo uwanja ni plani ya mwalimu toka zamani kama makoa maku ya nchi Dodoma sisi wenyeji wadodoma tunalijua hili eneo na watu walishazuwiwa miaka mingi sana na baadhi ya wengine walihamishwa kipindi cha mkapa. lakkini wakutimiza ndoto hizo pamoja na kuhamisha serikali dodoma alitafuta na hela za ujenzi wa uwanja tumeona hata kabla marehemu hajafa alimtuma Prof Paramagamba Kabubi na kaenda kufuata kuchukua benki ya afrika aambapo ni mkopo uliounganisha nabarabara za ring road. na hata angekuwa rais mwingine ilikuwa lazima atimize huo mradi lakini sio sifa kwa samia kwani nimuendelezo wa kazi iliyoachwa na uncle JPM.

    • @roberttarimo4956
      @roberttarimo4956 2 หลายเดือนก่อน

      Na yeye anatakiwa aje na ndoto zake, anatimiza tu ndoto za late Julius Nyerere and JPM. Ngoja mpaka atakapouza nchi ndo utaelewa

  • @ubunifulifestyle3492
    @ubunifulifestyle3492 2 หลายเดือนก่อน +8

    Aisee biashara ya kila siku tunamshukuru rais tunamshukuru raisi, rais nimtumishi wa umma na si mungu mtu acheni ulimbukeni, ifike mahala mshukulu walipa kodi maana rais analipwa mshahara na anatekeleza majukumu yake acheni uzwazwa

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 21 วันที่ผ่านมา

      Basi utapongezwa wew kijana

    • @ubunifulifestyle3492
      @ubunifulifestyle3492 21 วันที่ผ่านมา

      ​@@mosesnyelo1380 acha utaila anaestahili kushukuliwa ni mungu 2

  • @cidewashington670
    @cidewashington670 2 หลายเดือนก่อน +6

    Badala uwasifie watanzania kwa kodi zao nyinyi mnnasifia mama km katoa pesa mfukoni kwake,

    • @user-ji7sy2wi7b
      @user-ji7sy2wi7b 2 หลายเดือนก่อน

      Acha makasiriko unadhani kama raisi hana utashi unaweza kujenga hata ukilipa kodi ? Mbona kuna nchi watu wanalipa kodi na zinaliwa au unadhani serkali haina kampuni zingine? Kuna nyanda mbali mbali zinazo ingiza pesa sio kodi yako tu. Huo ni ujinga

    • @samwelrobeth7763
      @samwelrobeth7763 2 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@user-ji7sy2wi7bhizo nyanga gan wew . Serikal Ina biashara gan. Nyanja zilizopo Ni Mali ya watz Kama maziwa , utalii, Bahar vyote Ni Mali ya watz achen kujipendekeza hela zote Ni za kodi mikopo inakopwa atakupa rais ? Mbona hamtumii uelewa vizur

    • @charleskibiki217
      @charleskibiki217 หลายเดือนก่อน

      Kama maziwa na vivutio vya utalii ni Mali ya mtz hebu fanya kama unaenda kuzuruA MBUgani ukutana na askàr wàwanyama Poli umwambie nimaliyako kamahujapewa likesi la kuhujumu uchumi

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana serikali na ss walipa kodi.

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera zako wewe Kwa maelezo mazuri saana, Mwenyezi Mungu mpe Afya njema Rais wetu Kipenzi SSH

  • @elidifridajingu3153
    @elidifridajingu3153 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi ya magufuli

  • @muyongahassan2188
    @muyongahassan2188 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kilamtu anajuwa km nimpango wa jpm mama anamalizia programme zenyeamekuta

    • @filamupictures9349
      @filamupictures9349 2 หลายเดือนก่อน

      kitu ambacho ni chema hasa ukizingatia Magufuli ndiye alomteua Samia, ingekuwa sio Magufuli hakuna ambaye angemjua Samia kama makamu na kama Rais

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kwani rais anatoa mshahara wake kujenga uwanja huo?
    Aibuuuu

    • @zawadix9574
      @zawadix9574 2 หลายเดือนก่อน +1

      Lazima wa anze na kushukuru wa bongo nani ame tu loga!!!

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 2 หลายเดือนก่อน

      Mbona miradi isipojengwa unamlaumu rais ila akijenga hutaki asifiwe wabongo chuki tu ndo zina wasumbua

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 2 หลายเดือนก่อน

      Huyo ni wewe​@@mosesnyelo1380

    • @victorjames3730
      @victorjames3730 2 หลายเดือนก่อน

      Kwanza hela hatoi Yeye ni za ufadhili wa AFDB African development Bank

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 2 หลายเดือนก่อน

      @@victorjames3730 jibu swali kwanini mnamsifiaga magufuli akijenga kwani pesa alikuwa anatoa kwenye mshahara wake?, n why mirad isipo jengwa mnamlaumu Rais? Kama hahusiki

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee หลายเดือนก่อน

    Tunamshukuru rais Samia kwa pumzi ya uhai sorry Mwenyezi Mungu kwa....hahahaa.

  • @kalingaasukile8730
    @kalingaasukile8730 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri ya Rais Samia hii

  • @AbdallahArizona
    @AbdallahArizona 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimefurahi ulipoweka kumbukumbu sawa kuwa Ulianzwa kujengwa 2022 mwezi November maana ili tujue umejengwa na rais yupi maana ahadi zilianza tokea 1976

  • @jamesbundala4670
    @jamesbundala4670 หลายเดือนก่อน

    Mnamsifia Rais mpaka imekuwa kero sasa. Ataanza kuchukiwa.
    Ongelea utaalam moja kwa moja wote hapa tunafahamu Rais ni nani na anafanya nini

  • @fredyjunior6961
    @fredyjunior6961 2 หลายเดือนก่อน

    Here we go. Hongera mnoo

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv หลายเดือนก่อน

    Ring road 🛣️ imefikia wapi

  • @badrimanu2468
    @badrimanu2468 หลายเดือนก่อน

    Tanzania?

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 kutoka dodoma kwenda serengeti distance inakuwa fupi zaidi

  • @richq8678
    @richq8678 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa watu wanazingua sana Kila siku wanatuonesha njia tyuu alafu jamani muache unafiki nakujipendekeza

  • @TangaMashewa-qe8kk
    @TangaMashewa-qe8kk 2 หลายเดือนก่อน

    sawa tupo kwa kuanhalia halafu maziri tutayaona baada ya samia ajae ataonekana mbay kwasababu ya mazieri yanaoyofanyika ndivyo ilivyo

  • @richardnott4403
    @richardnott4403 หลายเดือนก่อน

    Hee jpm bwana ndo kaanzisha

  • @mustafachihepo5343
    @mustafachihepo5343 2 หลายเดือนก่อน

    Ndoto na kutekeleza ni vitu tofauti,kila mtu ana ndoto

  • @mwemezieladius5261
    @mwemezieladius5261 2 หลายเดือนก่อน

    😆😆😆😆😆😆 Kwan rais ndo katoa pesa hizo pesa akiacha amezikopa jpm na mkataba ukawa umesainiwa Samia aliweka jiwe la msingi lkn pesa aliikuta na huo mredi ulitakiwa uwe umeisha , eti mataifa kujifunza hv unaujua mji wa serikali wa misri nenda kaone alafu utaondoa hayo maneno 😂😂😂

  • @erastuskajuna812
    @erastuskajuna812 หลายเดือนก่อน

    Huu uwanja ni ndoto ya Magufuli. Tusimsahau mapema hivyo!

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 2 หลายเดือนก่อน

    Tunahitaji barabara ya kibaha Dodoma itanuliwe

    • @barikimbacho6731
      @barikimbacho6731 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisaaa. Ingependeza sanaaa

  • @aliakrabi8321
    @aliakrabi8321 2 หลายเดือนก่อน

    4:44 sio kweli dodoma to serengeti ni karibu zaidi ya Arusha, Mwanza na KIA to serengeti.
    bilioni 360, gharama kubwa sana. halafu uwanja ule wa mjini utakuwaje?

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi huo uwanja si unafadhiliwa na bank ya Africa (AFDB)?

  • @hajimgwami5224
    @hajimgwami5224 หลายเดือนก่อน

    JAMANI RAIS NDIO MAGUFULI NA RAIS NDIO SAMIA, WANAPOSEMA MHE. RAIS WANAAMANISHA KITI CHA RAIS HATA KESHO AKIONDOKA SAMIA KWENYE KIT KABLA KUMALIZA MIRADI YAKE ITASEM AHIVYO TU KAZI YA MHE. RAIS MAANA RASI NI KITI NA TAASISI SKIONDOKA WA KUONDOKA KAZI YAKE IMEISHA AWEZI TENA KUTANJWA

  • @fransicmushenyera9302
    @fransicmushenyera9302 2 หลายเดือนก่อน

    nyie mawaziri acheni kujipendekeza alie anza mradi huo ni JPM na akiwa na makamu wake samia hivi mkisema hivyo mnapungua nini badala yake hayo maneno yenu yanafamya wananchi wadhani kuwa rais anawatuma kumbe siyo nikujipendekeza tu

  • @roberttarimo4956
    @roberttarimo4956 หลายเดือนก่อน

    Anatekeleza tu kazi ambayo ilianzishwa na mtu, mwanzilishi ndo mwenyekupewa sifa, Yeye binafsi ameshindwa kuanzisha chochote amefanikiwa tu kupokonya rasilimali za watanzania na kuwapa waarabu kuanzia bandari mpaka maeneo ya mboga za hifadhi.

  • @mohamedkhalfan3553
    @mohamedkhalfan3553 2 หลายเดือนก่อน

    Rais bora zaidi Tanzania Mama Samia nchi ilikuwa imeanguka kiuchumi sasa imeanza kuinuka tena

    • @venancemiyeji6804
      @venancemiyeji6804 2 หลายเดือนก่อน

      Kwa kuongeza madeni na kuuza bandari bila kuwa na huruma kwa vizazi vijavyo na kurudisha utawala wa warabu kam a miaka ya 1400 wa utumwa wa mababu zetu na kubeba pembe za ndovu na kufungwa minyororo

    • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
      @RubenMtuwaMungu-bz8ee หลายเดือนก่อน +1

      Nchi iliweka rekodi kuwa middle income country ikiwa chini ya serikali ya JPM. So unaposema uchumi kuanguka kwa rekodi sahihi uchumi wa Tanzania ulianguka serikali ya awamu ya pili. Tangu serikali ya Mkapa Hadi hii iliyopo uchumi wa Tanzania haujawahi kuporomoka zaidi ukuaji wake umekuwa wa kujikongoja.

  • @rizikylaizer1602
    @rizikylaizer1602 2 หลายเดือนก่อน

    Mm hapo siwezi wapongeza kwani ni pesa serikali haina😢 inafaaa wajitahidi zaidi ya hapo watu wapige kazi sasa tunalipa ushuru wa nn

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 2 หลายเดือนก่อน

    WAOOO❤❤❤❤

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 2 หลายเดือนก่อน

    SAMIA SULUHU INTENATIONAL AIRPORT DODOMA

  • @allymusira2153
    @allymusira2153 2 หลายเดือนก่อน

    Mradi wa 2022 huu

  • @karimkinwary4668
    @karimkinwary4668 2 หลายเดือนก่อน

    Waambie waongeze spidi upande wa jengo

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huo uwanja uitwe SAMIA SULUHU INTENATIONA AIRPORT DODOMA

  • @vincentnzuzu6342
    @vincentnzuzu6342 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uwanja wa msalato uitwe Samia Suluhu Kwa heshima na kumbukumbu ya vizazi vijavyo