MCHUNGAJI,NAKUOMBA UJE KWA CONFERENCE YETU KENYA NRB MWEZI WA NANE TAFADHALI. HATA KAMA WEWE NI MU SDA BORA SOTE NIA YETU NI MUNGU ATUKUZWE. KARIBU MCHUNGAJI.NAPENDA MAHUBIRI YAKO SANA. WEWE NI MWALIMU WA NEEMA KUBWA SANA. UNAFUNZA POLEPOLE LAKINI INAELEWEKA SANA.BARAKA MCHUNGAJI
Sio Congo ttu wanaokuangalia bali na sisi tuloko Marekani tunakusikiliza au ninakusikiliza Mungu aniponye nitendee kazi fundisho hili ni langu barkkiwa mtumishi wa Mungu wetu aliye hai.
Namtukuza Mungu kwajili Yako, Bwana amenifanya mtu tofauti, kuptia ww Mungu awepmoj na weee sikuzote zamaisha Yako, nakupenda San, mtu wa daddy!🙏 May God bless you, and your family.!♥️
Barikiwa sana mchungaji lkn mm tuliachana juu niliambiwa kuwa si mume wangu na mtumishi yaani nabii so nko kivyangu je mungu anaeza kunipa mume mwengine
Asante Mchungaji, Nina swali : Kuhusu kumujengea Bwana Mungu nyumba ao kanisa,kuna watu ambao wanamujengea kweli Mungu nyumba ila pesa zenyewe zimepatikana kwa njia isiyo halali,je Bwana Mungu uitika iyo zawadi? Kwa mfano pesa za rushwa???
God bless you pastor neno zuri.naomba ushauri mchugaji Mimi n dada Nina umri w miaka 33 nimekuwa na mausiano zaidi y 3 yakialimbika Kwa sasa nimeta mwingine, alipewa namba yangu week mbili sasa, kwa kuonekana kwake ako sawa na ako very serious, lkn nimechoka Kwa maneno yake y kipuhusi.nanikimwambi tubadiri ajenda anasema icho ndicho kinanifanya nikuoe.mimi nimeamha kumwacha ila sijamwambia. Nisaidie Kwa ombi Mungu anipe wa kwangu
Mungu akupe aliye tayali aliyetayali haangalii yote hayoo na kukwambia upuuzi ni dhahiri unakoelekea si mazuri Omba sana mtu wa Mungu usiruhusu jambo lolote hapo litolewe
Mungu akupe nguvu siku zote ili uzidi kumtumikia. Kweli nabarikiwa na nashukuru Mungu kwa ujumbe wake unaoendelea kutoa changamoto katika maisha yangu.
Baba unanibariki sana 😢
Waaaa mungu atubariki zote 🎉🎉🎉🎉
Barikiwa sana mchungaji
Napataje Namba zake
napata ujasiri wakusonga mbele nikisikiliza mahubiri yako Mungu azidi kukubariki
Amen and amen Mchungaji kwa mafundisho ubarikiwe
Mungu azidi kukubariki kuna hatua umenivusha
Mimi naomba Nishii kwangu....mungu naomba ani bariki
Mungu wa mbinguni akubariki 🙏
Naxhukuru kwamafundixho yko nazid kubalikiwa, Ila swali langu hya maombi uki wa unaomb najikabiz kwayo
Nabarikiwa sana na injili yako nakuombea mema mchungaji ww ni mtumishi sahihi shambani mwa Bwana
MCHUNGAJI,NAKUOMBA UJE KWA CONFERENCE YETU KENYA NRB MWEZI WA NANE TAFADHALI.
HATA KAMA WEWE NI MU SDA BORA SOTE NIA YETU NI MUNGU ATUKUZWE.
KARIBU MCHUNGAJI.NAPENDA MAHUBIRI YAKO SANA.
WEWE NI MWALIMU WA NEEMA KUBWA SANA.
UNAFUNZA POLEPOLE LAKINI INAELEWEKA SANA.BARAKA MCHUNGAJI
Nabarikiwa hakika, kwani Mungu ananinoa kupitia wewe, Mungu akubariki na kukutunza na azidi kukupatia mafunuo kwa jina la Yesu Kristo
Bwana abarikikazi zangu
Ubarikiwe muchungaji
Ubarikiwe sana
Sio Congo ttu wanaokuangalia bali na sisi tuloko Marekani tunakusikiliza au ninakusikiliza Mungu aniponye nitendee kazi fundisho hili ni langu barkkiwa mtumishi wa Mungu wetu aliye hai.
Amen
Mimi ni Shuja in Jesus Name.
Ubalikiwe mtu wa Mungu
Ubarikiwe Pastor
Namtukuza Mungu kwajili Yako, Bwana amenifanya mtu tofauti, kuptia ww Mungu awepmoj na weee sikuzote zamaisha Yako, nakupenda San, mtu wa daddy!🙏 May God bless you, and your family.!♥️
Namushukuru Mungu kwa hili some paster ubarikiwe sana .Kila nikisikiliza some lako Natoka na ushindi ktk Bwana hakika nabarikiwa sana
Mungu akubalikisa
MUNGU akubariki SANA mtumishi wa bwana
Pr mbaga niombee imani yangu kwa Yesu kristo iongezeke kila siku
Kwa Imani mwananguataitwa kwenye usahili leo nami nitapata jibu nililo subiri kwa muda mrefu Asante MCH kwa fundisho la Imani
Mungu akubariki aendelee kukutumia Mchungaji, umenifungua macho ya kiroho sana
Barikiwa sana mchungaji lkn mm tuliachana juu niliambiwa kuwa si mume wangu na mtumishi yaani nabii so nko kivyangu je mungu anaeza kunipa mume mwengine
Mungu anisaidie
I trust one day nitakuwa smart Kama ww acha nijfunze kwako
Amina mch,nabarikiwa sana
Barkiwa pastor unanibarik Sana Mungu akulinde
mungu akubariki
Pastor mungu akubariki sana kwa neno la mungu
asate mungu kwa kunifungua kupitia mahubili Aya mungu akupe maisha mengi tunazidi kubalikiwa san
Nimebarikiwa sana na somo la leo,nasimama upande wa ushindi sio kupambana ili tushinde
Ninakushukuru Mungu wangu kwasababu ninaamini umenipa nyumba nzuri sana! Katika jina la Yesu.
mungu azidi kukutunza mchungaji, kiukweli ninabarikiwa sana na maubiri yako.naomba uzidi kuniombea.
asante sana kwa mafundisho.
Aki sauti
Mbina mme mute sehemu muhimu jamani tunajifunza jinsi ya kuomba. Asante pastor Mmbaga kwa mafundisho mazuri sana🙏 Barikiwa 🙌
Ameni
Mungu anisaidie ñiache madeni
God bless
Unanibariki kila wakati pastor ..pia nawe barikiwa
BWANA akuzidishie upako pastor ubarikiwe sana kwa mahubiri yako.
Asante sana inatia moyo
Amen.🙏
Amina
Ndiyo
Asante Mchungaji,
Nina swali : Kuhusu kumujengea Bwana Mungu nyumba ao kanisa,kuna watu ambao wanamujengea kweli Mungu nyumba ila pesa zenyewe zimepatikana kwa njia isiyo halali,je Bwana Mungu uitika iyo zawadi?
Kwa mfano pesa za rushwa???
Namshukuru San Munngu amekuleta kwa wakati sahihi, umewaponya wengi , kiroho na kimwil pia
Amen Amen
Nisaidie Baba nisimame katika ushindi siyo kupigana ili nishinde
MUNGU azid kukupa Afya njema ile mataifa wazid libarikiwe kipitia mafundisho yak🙏🙏🙏🇴🇲
Aminaa Barikiwa pastor kwa mafundisho ya MUNGU umenigusa moyo wangu
May God bless you pastor your teaching is supernatural from Almighty
Bwana akubariki mchungaji
Shukran sana Mchungaji.Ningeomba mtu ambae ana number yako anipe
+255 755 932 283
Amen Baba
@@MahubiriPrMmbagabarikiwa nami nimeipata Pr
God bless you pastor neno zuri.naomba ushauri mchugaji Mimi n dada Nina umri w miaka 33 nimekuwa na mausiano zaidi y 3 yakialimbika Kwa sasa nimeta mwingine, alipewa namba yangu week mbili sasa, kwa kuonekana kwake ako sawa na ako very serious, lkn nimechoka Kwa maneno yake y kipuhusi.nanikimwambi tubadiri ajenda anasema icho ndicho kinanifanya nikuoe.mimi nimeamha kumwacha ila sijamwambia. Nisaidie Kwa ombi Mungu anipe wa kwangu
Mungu akupe aliye tayali aliyetayali haangalii yote hayoo na kukwambia upuuzi ni dhahiri unakoelekea si mazuri Omba sana mtu wa Mungu usiruhusu jambo lolote hapo litolewe
Ameen mtumishi. Asante kwa somo Mungu aendelee kukutunia
Amen
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍
ila message zetu hureply💔
Pole. Ni nyingi sana! Nachelewa kuona. Tuma whatspp number +255 755 932 283
Mungu akupe nguvu siku zote ili uzidi kumtumikia. Kweli nabarikiwa na nashukuru Mungu kwa ujumbe wake unaoendelea kutoa changamoto katika maisha yangu.
Ameen 🙏🙏
Nabarikiwa hakika, kwani Mungu ananinoa kupitia wewe, Mungu akubariki na kukutunza na azidi kukupatia mafunuo kwa jina la Yesu Kristo
Amen! Mungu akutendee
111😮❤❤❤@MahubiriPrMmbaga
Amen amen
Amen