Mungu nisaidie neema ya MANENO yasiyo FAA yafe kwakupitia maombi haya na semina hiii na MANENO yangu yapate kibali mbele zako Mungu na Neema Yako Mungu ilinde kinywa changu Amen
Mwenyezi Mungu,ninakuomba kupitia mtumishi wako mwalimu Christopher mwakasege akufungue mwanangu liberty katika masomo yake, akawe kichwa na siyo mkia katika masomo yake, akawe na hofu ya Mungu.Amen.
Ubarikiwe Mtumishi wa Neno la Mungu uliyepewa neema ya kutuhubiria ufunuo huu maana kama si neema uliyopewa je tungekuwa wapi leo. Maana tulikuwa vipofu. Our Heavenly God bless you.
Babakatika jina la Yesu kristo. Naomba neema ya mungu iandike upya kwenye maisha yangu. Nirehemu niko hapa chini ya msalaba wako. Nikumbuke baba usinipite.
Mungu uwatie watoto wote wakiume wamwabudu Mungu na Neema ya Mungu iwafunulie Kwa kazi zao Mungu uwakumbuke watoto wa kiume.
Mungu nisaidie neema ya MANENO yasiyo FAA yafe kwakupitia maombi haya na semina hiii na MANENO yangu yapate kibali mbele zako Mungu na Neema Yako Mungu ilinde kinywa changu Amen
Mwenyezi Mungu,ninakuomba kupitia mtumishi wako mwalimu Christopher mwakasege akufungue mwanangu liberty katika masomo yake, akawe kichwa na siyo mkia katika masomo yake, akawe na hofu ya Mungu.Amen.
Haleluya
amen amen amen, asante Yesu kwa neema hii ya kujua siri za mbinguni.
Ubarikiwe Mtumishi wa Neno la Mungu uliyepewa neema ya kutuhubiria ufunuo huu maana kama si neema uliyopewa je tungekuwa wapi leo. Maana tulikuwa vipofu. Our Heavenly God bless you.
Mungu anatisha sana
Babakatika jina la Yesu kristo. Naomba neema ya mungu iandike upya kwenye maisha yangu. Nirehemu niko hapa chini ya msalaba wako. Nikumbuke baba usinipite.
Utukufu kwa Mungu
Mungu akubariki sana mwalim pamoja na huduma yote ya mana❤
Bwana Atukuzwe milele
Amin
Ameen
Mungu abariki kazi yake kwa sababu imetukuka
Nimeikosa roho inaniuma yote kwa yote Mungu Atukuzwe
Nabarikiwa Sana natamani ningefika huko
Bwana aendelee kukutunza mtumishi.naomba mnisaidie kuomba kwa ajili ya mwanangu mgonjwa tupo hospital
Yesu ampoule kwa jina la Yesu. Amen
Mungu nipe neema na kibali cha kuoa.ndio ombi langu.
Heshima na utukufu kwa Bwana
Nabarikiwa sana
Na lihimidiwe Jina la Bawna Yesu kristo
Sifa na shukurani apewe Bwana
Ehe Mwenyezi Mungu najua wewe ni mwaminifu naomba baraka zako za kufungukiwa katika maisha yangu
Natangaza ukombozi juu ya vijana wa Tanzania kwa Jina lipitalo majina yote la YESU KRISTO. Damu ya YESU ikawafunike vijana wote wa Tanzania
Ubarikiwe sana sana
Naomba nisaidie kuomba kwa ajili ya watoto wangu ndalusya na mpoki nyenesya na kiristofa na bright mungu awaongezee neema ya ufufuo
Utukufu kwa bwana
Sifa apewe mungu
Amen,Utukufu kwa Yahwe
❤❤❤❤
Amen
I see the goodness of God😊❤
Amen
Ubarikiwe sana mwl mungu awabariki waimbaji ndio ninaushuuda zaidi ya moja
Nabarikiwa
🎉🎉
Utkufu kwa bwana
Eeeeeee MUNGU usie lala juu yetu ninaomba mke kutoka kwako
Ameen
❤❤❤❤