Hongera saaaaaana kijana wetu yuko vizuri saaaaaana, Mungu akubariki saaaaaana kwa vipawa ambavyo Mungu amekupa. Tanzania msaidieni kijana wetu huyu.Awe faida kwa Taifa letu Hapa Tanzania. I watch from Norway 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇸🇯🇸🇯🇸🇯🇸🇯🇸🇯
Hongera,kina masud kp,yule dogo wa kigoma pkpl, trekta SUA .....na wengine weengi shida iko kwenye politics of Development .......hapa hamtatazamwq tena
yaaan huyu mtoto sio tu wakwenda veta bali kunahaja sana ya uwanzishwaji ya vituo vya vipaji na ubunifu maana nikikumbuka yule wamwanzo aliyepelekwa veta kwa mara ya mwisho anaonesha kweli aliongeza ujuzi lakini bado alihitaji zaidi ya pale. Hongera sana kijana wetu
Yaani amuulize masudi kipanya hawa watu hawataki tuonueshe ubunifu wetu duniani 🤔au tunaogopa kukosa misaada Nchi hii Tunakufa Na madeni😭😭😭Hongera kijana wetu nje ya Nchi utafanikiwa🙌🙌🙌
Huyu kijana anaweza sana na kipaji chake ni cha kipekee. Serikali, wadau, hasa watu wa usalama (nyumbu, Mizinga) chukuweni huyu kijana. Nchi yetu itapiga hatua kama tunaweza kuwekeza kwa vijana wa aina hii.
Kibongo bongo kwa selikari ni uongo. Mpaka ije/zije kampuni toka nnje ya africa ndio mambo yatakuwa mazur kwa watu wenye ubunifu. Maana hata ukisema eanzishe factory duùh msululu ni mrefu saana pia hata taasisi z kifedha haziko tayari kuwekeza ktk ubunifu.
Ongera sana kijana. chahatari katika inchi zetu za kiafrica kuna wabunifu wazuri wanaosubutu.ila ma, inginier watu wengi ni boya nafala sielewi kwa nini wanapoteza mda wao bure uko chuo kikuu.kisha badae wasionyeshe miujiza ya elimu yao.
Serikali yetu inatuletea madaktari wa kuongeza maumbo ambavyo havileti maendeleo yoyote katika jamii zaidi ya kuongeza uzinzi tu kwa taifa kijana kama huyu hutaona wakijitokeza kuendeleza hiki kipaji 🤦🏾
Naomba Serikali ye2 kwa heshima na taazima kuwaona na kuwaendeleza vjana wng waliomitaani, shuleni na vyuoni wapelekwe nchi za nje kuvuna ujuzi kwa maendeleo ya taifa letu hapo Baadae. Tusiwapuuze hawa kwani nchi za wenzetu watu km hawa nchi zngne ndo wameunda hz progrm km Twiter, fb nk
Huyu mtoto anacho kitu kikubwa sana ndani yake Mungu amuinue saaaana
Serikali inakiangamiza chao
Bongo nyoso sana wanachukulia easy alafu mtu akifanikiwa ndo wanajifanya wako proudly ....😅😅😅
indeed Amen
Umetisha dogo Mungu akusaidie hakika unaweza sana
mungu akubariki unakipaji kikubwa taasisi, viwanda pamoja na serikali huyu kijana mwendelezeni anakitu ndani yake
Kigoma kuna utajiri kibao Zitto fuatilia hiyo🎉
Home of talent 💪💪
Kigoma ya vipaji, hongera sana Utafika mbali sana dogo
Maashaallah mtoto Allah akutimizie ndotoyako
Dogo Yuko vizuri sana, Mungu ampe siku nyingi za kuishi
Mola akuhifazi naakufikishe mbali from Burundi 🇧🇮 we love you
Hongera saaaaaana kijana wetu yuko vizuri saaaaaana, Mungu akubariki saaaaaana kwa vipawa ambavyo Mungu amekupa. Tanzania msaidieni kijana wetu huyu.Awe faida kwa Taifa letu Hapa Tanzania. I watch from Norway 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇸🇯🇸🇯🇸🇯🇸🇯🇸🇯
Kama.we muha gonga like waha wote. tujuane
Samaki na Mawese ya Kigoma Zinaongoza Akili Sana na Kuna Kipaji
Mashaaa allah unatisha sana nakuombea mungu uzidi kuwa juu zaidi
Hakika dogo unaweza, Mungu akuinue zaidi
System yetu ya elimu ibadilishwe wanafunzi wawe huru kusomea wanachokipenda kama wenzetu wanavyofanya😮
Kabisa ujue bado elimu yetu inafata muongozo wa mkoloni serikali yetu haijaamua bado kufanya vya kwetu kama waTz
Shida serikali iko mbali na wanachi
Kabisa hapa ndipo tunafeli maana kila kichwa kina mfumo wa kipaji halisia kwa kila binaadamu
Fact
shida ni huyu mkoloni bado tunamuabudu hivyo ndo mna tunaua vipaji vyetu ila sio kwamba hatuwezi
Hongereni sana Millard Ayo. Mmemtendea haki Christopher
Mungu akusimamie mwangangu,
Very respect
Congratulations...ukiwezeshwa nakuona mbali sana ... MUNGU akusaidie na akukutanishe na watu sahihi ili uweze kufanikisha malengo yako
Kigoma kuna vipaji vikubwa sana ni vile serikali haijaamua kuuzingatia huu mkoa
Hongera,kina masud kp,yule dogo wa kigoma pkpl, trekta SUA .....na wengine weengi shida iko kwenye politics of Development .......hapa hamtatazamwq tena
yaaan huyu mtoto sio tu wakwenda veta bali kunahaja sana ya uwanzishwaji ya vituo vya vipaji na ubunifu maana nikikumbuka yule wamwanzo aliyepelekwa veta kwa mara ya mwisho anaonesha kweli aliongeza ujuzi lakini bado alihitaji zaidi ya pale. Hongera sana kijana wetu
He's so brilliant
Mungu akusimamie home boy
Mungu akulinde na mahasidi.
Hongera mkaka Mungu akupe maisha marefu utimize ndoto zako
Serikali yenyewe ya mwigulu Nchemba na mama samia kipaji chake kitaishia apo apo kigoma
Acha tu
Yaani amuulize masudi kipanya hawa watu hawataki tuonueshe ubunifu wetu duniani 🤔au tunaogopa kukosa misaada Nchi hii Tunakufa Na madeni😭😭😭Hongera kijana wetu nje ya Nchi utafanikiwa🙌🙌🙌
Hapana, kijana hatoishia hapo Bali atasonga mbele, ATAKUA ENGINEER kwny viwanda mbalimbali huko ugaibuni
Kweli kabisa ifike wakati vyombo vya habari vilipoti taharifa kama hivi nchi zilizo endelea watawachukua huko na kuwaendeleza
nakuona mbali sana dogo❤❤
Hongera sana.Kigoma isaidiwe
Mungu amfikishe mbali na akafanye makubwa zaidi ili kuweza kuisaidia jamii na Taifa kwa ujumla.
Afu handsome sasa dah❤❤🙏mungu akuinue
MashaAlla 👏👏👏💪💪🔥Allah Akuhifadhi 💫na Akuimalishe Elimu yako 💫👌💯
Utafika mbali mdogo wangu😊😊😊😊😊
Atafika mbal,Sir God ambless more
Ni zamu ya kigoma sasa.
MashaAllah 🎉🎉🎉
Hatari daaa,Mungu amzidishie kipaji zaidi
Huyu dogo katunukiwa kipaji kipo mkubwa sanaa Maa shaa Allah
Well come at kiigoma..hongera sana kijana etu.leka tutigite
Much respect
❤ongera sana mungu akuinuwe zaid na inshaallah ndoto zko zitatimiy serekali imekuone duniya imekuona alhamdulilah
Good job my son
Home is the best
Huyu kijana anaweza sana na kipaji chake ni cha kipekee.
Serikali, wadau, hasa watu wa usalama (nyumbu, Mizinga) chukuweni huyu kijana.
Nchi yetu itapiga hatua kama tunaweza kuwekeza kwa vijana wa aina hii.
aah hii nchi hii mdogo wangu achana na hicho kipaji km baba yako hana uwezo basi imeisha,, serikali inawaza madangulo tu
Viongozi iyo ndo azina ya nchi
Safi Sana Kijana mungu akulinde❤❤
Christofa John Masanja Hongera SANA
Huyu dogo serikali kupitia wizara ya Elimu inabidi imuangalie kwa jicho la tofauti ili kumuendeleza katika kitu ambacho Mungu ameweka ndani yake
Dogo anajua Sanaa
Kibongo bongo kwa selikari ni uongo. Mpaka ije/zije kampuni toka nnje ya africa ndio mambo yatakuwa mazur kwa watu wenye ubunifu. Maana hata ukisema eanzishe factory duùh msululu ni mrefu saana pia hata taasisi z kifedha haziko tayari kuwekeza ktk ubunifu.
Ongera sana kijana. chahatari katika inchi zetu za kiafrica kuna wabunifu wazuri wanaosubutu.ila ma, inginier watu wengi ni boya nafala sielewi kwa nini wanapoteza mda wao bure uko chuo kikuu.kisha badae wasionyeshe miujiza ya elimu yao.
Nomà Saana blood 💪 NaqubaR 💯👊🖐🏿🔥💥
Mungu amulinde
Hongera dogo
Hongera janja
Serikali yetu inatuletea madaktari wa kuongeza maumbo ambavyo havileti maendeleo yoyote katika jamii zaidi ya kuongeza uzinzi tu kwa taifa kijana kama huyu hutaona wakijitokeza kuendeleza hiki kipaji 🤦🏾
Yan Masha Allah Kuna vpaj
Kigoma talent for our life
Mnajua kujipigia vyetezo😂
Big up sanaaaaa
Jamaa kaongea vizuri mwisho kaharibu
Umetisha sana
Ulakozye, hongera sanaa shemeji yng naamini Kun sk tutapat ht treni y kwenda kigomaa
Mungu akutimiziye ndoto yako kijana.
mungu akusaidie ila Kwa bongo hii sijui
Umetisha dogo
Mashaallh mungu akuzidishie ufike mbal utimize ndoto zako
TZ tunautajiri mungu katubaliki kijana aenderenzwe katika kipaji alicho balikiwa.
Tungekuwa naserikal ingemsaidia ila kwakuwa hatuna kipaji chake kitaishia mtaani😢😢😢😢😢
Angekuwa wa wenyewe angesaidiwa....tumuombe Mungu amtangulie apate mfadhili...
Ni SAHIHI KABISA....kipaji kitapotea.....MFANO aliyegundua GOBORE...Kwa Sasa YUPO ndani....ila wangempeka JESHINI...MAMBO YANGEKUWA SAFI ZAIDI
Wachukue huo mwonekano wa tren aliyoitengeneza kijana na cyo wanatapeliwa nawachina wanatuletea makontena et nitren yaumeme
Duuh kwa nchi yetu hii,dogo omba jamani,China,na nchi zingine wakuone.
Mungu akukumbuke mtoto wetu uende mambele
Kigoma tumejaliwa kila kitu apachini ya juwa ❤❤❤❤
Pamoja na uchawi
@@miltonjohn9779 pow sehemu zenye uchaw huw kuna nidhamu sana. Huwez kula kitu cha mwenzie ovyo.
VIJANA WABUNIFU WEKEZENI NGUVU SANA KWENYE AGRICULTURAL MECHANIZATION ILI KUINUA KILIMO NCHINI NA MTAPATA FEDHA SANA IN FUTURE
Umenena vyema
Huyu ni Designer apelekwe NASA Marekani wanataka watu kama hao.
Ypo vzur xana xelkal iliangalie hilo
Asaidiwe sana.🎉
Duh hongera kijana
What are genius guy in Africa HQ😮❤❤❤
Kigoma safi❤❤❤
Duh huyu serikali imuunganishe na wafadhili ana talent kubwa mno.
Tatizo kwani weee usiwemfadhiri kumuuunga mkono na ubunifu wk
Hongera
👌👌👌
Hongera sana kijana Kwa sayansi ya ubunifu naiomba waziri amsimamie huyu kijana ana kitu kizuri sana
Issues ipo ktk inch aliyozaliwa full chenga 😅😅😅
MashaAllah ❤❤❤
Sema Africa atuna nyenzo vipaji vinapotea tu
Kwa Tanzania huyo dogo kkipaji kitapotea,
Huyo dogo alitakiwa akasomee hilo somo lake aachane na mengine maana anachelewa
Wazungu watakuja kuwadaganya eti wamchukuwe wampeleke ulay ila sisi wenyewe tu abaki nyuba sana ❤❤
my home now good boy hongera Sana
Hawa madogo wa kigoka sio watanzania
Respect ❤❤
Vitendo zaidi na siyo maneno tu .Kigoma changamkeni😮
Good jobs congratulations 👏🎉🎉
Apewe scholaship .Ulaya ndiyo train zao Italy ndio wenyewe🎉
Tanzania kuna vipaji but mpaka uonekane mmmh jasho mpaka likutoke congratulations boy
Huyo ataishia hivyo hivyo Tanzania yeti naijua 😭😭😭
Naomba Serikali ye2 kwa heshima na taazima kuwaona na kuwaendeleza vjana wng waliomitaani, shuleni na vyuoni wapelekwe nchi za nje kuvuna ujuzi kwa maendeleo ya taifa letu hapo Baadae. Tusiwapuuze hawa kwani nchi za wenzetu watu km hawa nchi zngne ndo wameunda hz progrm km Twiter, fb nk
Kigoma yangu❤
dogo ananifaa huyu
Mungu akufunike Sana mdg ang
watu kam hawa uzungun wanasomeá engeneering ila kwa bongo dah watamkataz maan anaingilia maokoto ya watu 😅😅😅😅
Home boy..🔥🔥
Hongera sana kijana fahari ya kigoma Masanja family
Kwa Tanzania 🇹🇿 huyo watu watamuacha tuu hatuna viongozi bora bali tuna bora viongozi
SERIKALI imsaidie huyu kijana ni physician Brain..
Naomba selikali imjari uyu kijana ndoto zake zisipotee bule,naomba sana, itamuumiza sana endapo ndoto zake zitapotea bule,