TANGA: UKIITAZAMA UTAIPENDA JINSI ILIVYO PAMBWA /UREMBO,UTAMADUNI,VYAKULA NA KAZI ZAO.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- Follow us on instagram : / thinkers_tv
: / utamu_wa_pwan
Kwa Matangazo / Habari Tupigie/ Tuma ujumbe kwa namba 06 87 42 92 33
#TANGA
#MAKALA
#UTAMUWAPWANI
#TANGARAHA
#TANGANAMAENDELEO
#TANGAYETUSOTE
#KARIBUTANGA
#yanga #simba #wasafi #wcb #thinkerstv #milladayo #pwani#azamtv
Maashaallah Tanga yetu raha zetu , ukarim wetu, upendo wetu, home sweet home
This is Tanga ......thinker again with amazing documentary
Mashaallh jiji langu kwenye raha 😍bada uwono temberee😋
ASSALAAMU ALEYKUM I AM PROUD OF PEOPLE OF TANGA I AM ORIGINAL FROM KENYA MOMBASA 🇰🇪 BUT I AM LIVING IN UK 🇬🇧. MY MOTHER SHE BORN IN TANGA SHE PASSED AWAY IN KENYA 🇰🇪 MOMBASA MY ALLAH PUT HEN IN JAANAT FIRDOUSH INSHALLAH AMEEN AMEEN AMEEN REMEMBER ME IN UR DUA UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 UK.JUMA MUBARAK TO ALL ISLAM AROUND THE WORLD AMEEN AMEEN AMEEN WS.
Ameen....lnshallah everything with just be good so don't be proud and don't be proudly.thank you so much Allah is forgiveness you
Nimefurai kuona tanga miaka 4 sasa sijakanyaga tanga naipenda tanga yangu💞💞💞💞💞
my fave city💚💛❤️
❤Tuna taka utuliziye bei ya ku huza Nyumba. Na utama duni ya wa sika watanga
Mashaallah
Nakumbuka nyumbani, nimefurahi kuiona Tanga tena niliiacha miaka 10 iliopita, ila nyumbani ni kutam kila kitu kipo hususan vyakula, kama michunga, ngogwe, bamia, nazi n,k.12.11.22.
Tanzania Tanga mzuri Sana kweli nakupenda sana kweli 💖💕💖💕
Sweet home 🏠... TANGA ❤
Maa shaa Allah
Makala Nzuri sana... utamu utamuni...hahahaha
My home sweet
😂😂😂njooni
Tanga ndo home
Tanga raha ,hasa ukiwa na pesa maisha bwelele sema pesa kulitafuta tanga kuipata ni ngumu mno Kama wataka utumia pesa yako karibu tanga
Kabisa Tanga nzr tatizo utafutaj mgumu
Tanga kuna pesa haswa kilimo , niamini ukituliza akili unapiga pesa maana masoko kama Dar ni karibu hata kupeleka kenya
Hayo ni maneno2 bro Tanga fursa kibao,acha kuamini hadithi za watu,, mtu kakaa kivivu Hana ubunifu mwishowe anaxema Tanga kugumu,,watu kibao wanatoboa2
Home sweet home
Ndio
Ushoga na usagaji ndo vimepamba moto
Kuna mkoa Ambao Hakuna Hayo Mambo Unayosema,,, Niambie mkoa Ambao Hakuna Hayo mambo Nikaishi mie
Nimesikia et Chungwa inalimwa wilaya Mbili muheza na Malamba Hahahaha Malamba Nayo wilaya Au
Maramba kijiji cha mtapwa bantu maramba niwilaya ya mkinga