Eli phaz good job indeed 4 sure u have been of help to me kwa hii safari yangu ya tamaa ya kujua kucheza guitar I can confess that after keenly watching your videos at least I have idea and I'm proud of myself,
Sasa Mimi ni Joas nashukulu sana umenifundisha tangu sijui chochote Lakini Leo napiga nyimbo nyingi vizuri kabisa changamoto yangu naomba nipigie Kwa kuchambua nyuzi natamani pia Jinsi rahisi ya eare trenning
Vip man, aisee naomba ufundishe namna ya kuchambua rhythm
Eli phaz good job indeed 4 sure u have been of help to me kwa hii safari yangu ya tamaa ya kujua kucheza guitar I can confess that after keenly watching your videos at least I have idea and I'm proud of myself,
Am glad to hear my brother,,thanks
Mwalim me ni mwanz mwak sasas nipenda mambo yako nipe vya mwanzo
Ok ndugu
th-cam.com/video/HA9XJoWN14c/w-d-xo.html umeicheck video hii
Mwalimu nifundishe jinsi yaku piga rizima kiuraisi zaidi 🙏
Beautiful one bro ..
Great now I can make some improvement after watching hij video thanks bruh for kazi poa.
Ubarikiwe ndugu
hatujui kuseti gitaa
Unamaanisha nini?
kaka vidole hatuoni nyuzi vizuri
Asante brother mungu akubaliki
Na were pia
Nakukubali
Vizuri sana
Nakufuatilia mwalimu... Big up sana BIG BIG UP mwl.
Asante ndugu
@@Eli_Music asante, nimepata jibu lile la utofauti wa MAJOR, MINOR na BARRE CHRODS
@@Eli_Music ASANTE SANA
Amani
Kaka nakubali sana kazi yako naomba nielekeze jinsi ya kugusa chord step by step kwenye key C
Naomba tuwasiliane Eli
Sawa ndugu nicheck kwenye whatsap +27658918501
Wimbo huu, nyimbo hizi.
Unafundisha vzr unaelewa
Asante
Nimekuelewa sana
Nafurahi kusikia
Kazi kuntu
Asante ndugu
Daaaaah sante san bro unafundisha vizuri sana hadi mtu anaelewa uje upige wimbo wa mwema wa bella combo na paul clement
Ntumie link ya wimbo huu
unaeza ni chezea Rita by marlaw plzzz
Ni nzuri kabisa
Nyimbo za gosgel sana
Naombaa utufundishr namna ya kushikaa petlamu na kuitumiaa vizur kwenye gitaa
Asante ndugu ntaileta video hiyo
Aise ongera san mwalim eli
Brother nakubali sn umenisaidia sana katka safar yangu ya mziki ubarikiwe mno
Na wewe pia ndugu
Sasa Mimi ni Joas nashukulu sana umenifundisha tangu sijui chochote Lakini Leo napiga nyimbo nyingi vizuri kabisa changamoto yangu naomba nipigie Kwa kuchambua nyuzi natamani pia Jinsi rahisi ya eare trenning
Sawa ndugu,, kuhusu kuchambua nyuzi unamaanisha finger picking?
Brother tupo pamoja sana
Asante ndugu
Mambo vp. Je ukishika nyuzi tatu na upande wa kupiga unapiga nyuzi zote au ni vp...
Kwenye chord gani
Daah mpaka raha
Asante ndugu
MUNGU akubariki sana kaka mm Nataman kujua chords za lidhimu
Nyimbo ngani unahisi kama ila vitu unavyovitamani ili tuipitie
Waweza nitumia Link ya video uliyoitengeneza ya ku bar
Nimependa
Asante ndugu
Jambo?Nakufatilia sana kaka ila wengine hatujajua jinsi yakuchezesha vidole kwenye guitar unatuficha sana kweli vidole
Asante sana bro be blessed
Na wewe pia
Nauliza beiya guitar ningapi
👍
Hey brother chenye nataka utufunze barcode njo zenye zineshakua ngufu kwangu asante
Tunashukuru tunaitaji utufundishe gisi utaweza Tafuta mutu mu note
Sawa Vipi upo?
Nfundishe kupiga c code broo plz
Ok
Mwalimu ulisema kwamba utatufundisha cord nne zingine ahuja toa?
Mi naomba nifundishe mazoez ya vidole mana vidole vyangu vigum
Sawa
Me ndo naanza
Twende kazi nambie wapi umekwama
Ticha nataka kununua gitaa langu njifunze,lakin dukan wameniuliza ninataka gitaa ainagani ,nimeshindwa ,naomba ntajie Kama ilo ,linaitwaje
Hili linaitwa acoustic,,unaweza hata chukua picha kisha unawatumia
Kwani wewe unataka la aina gani
@@Eli_Music nili waonyesha video yako Waka niambia linaitwa galatone ,nimelinunua wiki ya pili hii ,saivi nafanya mazoezi ya vidole kupiga kode
Au nimekosea
Ndio galatone ni Kiswahili kisha acoustic ni kiingereza ila ni kitu kimoja
Mwalimu
Nambie ndugu
Kweli
🔥🔥🔥
Asante ndugu
Channel yako ili tukufate kihuraisi
Nyimbo ya yote mema by joel lwaga uje utupe totorrial yake mwalim naitwa danny
Naidondosha soon
Funzo hilo hapo th-cam.com/video/dCdrugRgn9M/w-d-xo.html
Funzo hilo hapoth-cam.com/video/dCdrugRgn9M/w-d-xo.html
Kaka nime anza na leo
Safi sana wapi nisaidie?
Mbona mi nikishika bar chords kidole changu hakijikunji kama wwe icho cha Pete nifanyaje kiweze kujikunja
Ntafanya video ha kujibu maswali na ntailiweka hilo,, asante sana
Kaka naomba nisaidie namba ya what's up
+27658918501
Tunaomba utuletee tutorial nyingine utufundishe kushia bar chords kwahililo utakua umetusaodia sana kk
th-cam.com/users/shortsD43T2aDuqLA?feature=share angalia link Hii
Mm nataka kujifunza gitaa naweza kujifundisha mwenyewe?
Elimu yako inanipa matumaini ya jua kupiga guitar
Nataka kujua kupiga solo nikitumia simple chord
Broo asante asee ila Mimi nina shida mkono wa kulia,, na pia ungeweka namba ya whatsp ingetusaidia sana bro
safi sana ndugu +27658918501
brother wangu natamani siku moja iwe Kama we bro endelea na masomo yk
Asante ndugu,,, ukitaka msaada wowote ninurishe
Kaka nomba namba yako ya whatsap
+27658918501
Brother me tayari nimenunuwa guitar ila sjui hata kupiga kwakifupi sjui chochote kabisa ila napenda sana nifeje ili niweze kufanya kama wewe
+27658918501 nicheck
Ndugu naomba kujua guitar inauzwaa bei gan?
@@tumaingospelrapper4231 +27658918501 nitumie whatsap
Flesh
thanks
Unapatikana wap nije tujifunze sote kwa pamoja kugain more skill
Niko South Africa ndugu +27658918501
Me natak nifundishe tachndio shida
Touch huwa inakuja taratibu kadri unavyozidi kujifunza nyimbo nyingi na kuwasikiliza wapigaji wengine
Naomb yako ya WhatsApp
+27658918501