Mungu akupe utulivu safari bado mpaka utakapoweza kuimba na guitar yaani story zisikatishe unachokifanya mikononi na pia uweze kucheza chords as scales in five position zitakazo kupa utulivu pia sijaona kama una modes tofauti na uliyojifunzia ningesikia hata ile nyepesi ya dorian!, so safari bado tunafanyia mazoezi vitu vipya kila siku
Acheni kyoandisha kiburi ya huyu dogo bana kabaseke siyo rika ya huyu dogo basi kaulize hata hawa band ya kina Christian Bella shida alikuwa akiulizwa na demu ndiyo kajisikia sana Effect machine isije ikakudanganya kwamba uko juu na hauja tembea
Bro I think what you need is humility in your journey of music cz your still in that process am not a Tanzanian but I am Guitarist too but we know many guitarist there that we can't compared with you and just talk with somw people who don't know some Guitarist
Ndio kaka sema hawa jamani wamenifanyia uhuni sana kuniweka mtandaoni nionekane najikweza Walaniwe sana awa jamaaa kwanini msingeniambia mnamiweka mtandaoni mbona menifanyia uhuni hivyo aiseee kwanza nilipiga nyimbo kibau za wasani hapo amkunipa ata kumi na mtandaoni mnaniweka vip aiseee
Niee jamaaa mlaniwe sana meniwekaje mtandaoni na kwanini msingeniambia kwamba ni jambo la kwenda mtandaoni nimepiga nyimbo hapo miatano yenyewe yanauli mlishindwa kunipa leo mnaniweka mtandaoni vp ndo maana nilikuwa nawambia vitu ambavyo avipo maana nyie nilikuwa siwaelewi kwanza menichafua sana mtabidi aiseee ngoja
Kabaseke Benjamin ndio Baba Lao Africa
Hata yeye n kawaida tu acheni kutishika na effect hizo Yule mkongo mpiga sebene,,Tunataka Jazz kaka hiyo Miziki mingine siyo
@@frankjonas7704mlete huyo mkongo
Tafuta Benjamin kabasake akufunze maana ya guitar
Huyu jamaa mkali ila akutane na baba wa taifa NAHUMU GIDEON
Nakubaliana na wewe 100 kwa 100
Yuko wapi huyo natafuta mwalm wa gita
Nahumu Ni Mtu Na Nusu!!.Huyu Hata Robo Hamfikii Nahum
Uko fity lakini stay cool bro,,,Kuna wakali zaidi yako,,,so just chill,,unajaribu lakini kiacy,,,#flamme
Even I can do it guitar is my life style
Tz siyo ndogo wapo wengi sana wanaolijua kuliko huyu inaonesha hajatembea kuona wengine
Unajisifia sana kumbe hakuna kitu ovyoo
😂😂😂
Kiburi si poa...life is a journey
Praise singers Imependa hii natamani kujifunza nyumbani wote wanapiga gitaa ispokua mm
Kuna vichwa vingi hufikii,
Kuna nahumu gidion,emma gripa,andrew wa essence,jose kasomo,kenny guitar na wengine wengi
Gripa forever
huyu dada ni msenge sana isitoshe anavuta bangi anamhoji jamaa vitu ambavyo havipo baada aache jamaa apige gitaa yeye anaroka tu kmkm
Kaka mpiga gitaa uko vizuri vyote; gitaa na uwongo. Kweli uote unapiga gitaa kisha uende kanisani upige bass bila kufundishwa chochote!! Umetutia aibu wenzio na kulidunisha gitaa.
Kaka nilikia siwaelewi ndomaana nilikuwa najibu maneno ya mkato
Hahahhaahaha USO wake tu unaonyesha ni muongo muongo hahahah
Ana kiburi kibaya zaidi ya kile alicho kionyesha shetani mbinguni huyu amekutana na kakikundi kanako msifia kalewa kabisa🤔
Ana kiburi kibaya zaidi ya kile alicho kionyesha shetani mbinguni huyu amekutana na kakikundi kanako msifia kalewa kabisa🤔
Nime mkubali sana from U.S
Wengiwamekushinda Brother
Mwambie aje afunzwe guitar na mzee wa kazi Kabaseke
Kabaseke ndio mwisho...na ni humble
Huyo benjamin ni shida
I'm really happy very brother 🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🙏🙏🙏🙏🤩🤩🤩❤️❤️❤️
Benjamin kabaseke anakuaimbisa kakangu unarudi shule utajiona kama hujui lolote
Its Logic Pro 10, hiyo X ni Roman Numeric (namba kumi ya kirumi) keep the good work, simple setup but i hope it get the job done
Mungu akupe utulivu safari bado mpaka utakapoweza kuimba na guitar yaani story zisikatishe unachokifanya mikononi na pia uweze kucheza chords as scales in five position zitakazo kupa utulivu pia sijaona kama una modes tofauti na uliyojifunzia ningesikia hata ile nyepesi ya dorian!, so safari bado tunafanyia mazoezi vitu vipya kila siku
Nikupatej kijan nashida naww naitwa elias josph
Kuja kenya
Hebu mtafuteni yule anaitwa Benjamin kabaseke kwenye mitandao mshangae
Acheni kyoandisha kiburi ya huyu dogo bana kabaseke siyo rika ya huyu dogo basi kaulize hata hawa band ya kina Christian Bella shida alikuwa akiulizwa na demu ndiyo kajisikia sana Effect machine isije ikakudanganya kwamba uko juu na hauja tembea
Jamaa anapiga vzur lkn kelele ni nyungi
kuja KENYA ukutane na benjamin Kabaseke uone utarudi shule ya guitar kaka
Nakuunga mkono kabaseke noma
huyu jamaa ananibamba🎸
Tamani sana kujua gita na mimi
😂😂😂 kwanini moengezi Yako ya tisha kakini Dani guitare ya KO inaonyesha uzembe kuja Congo kwenye shule
Big up
Kuna wana wanavunja kinouma sema effect tu BA's
Ndio bro mimi siwezi jiweka mtandaoni kijinga hivi ni wauni tuu bro wameniweka
great kaka
Huyu jama ni hapana kwakweli
Ila haumzidi dally kimoko😂
Am so sorry bro 5 years experience is very small my advice to you is don't be misleaded by people who don't know about lead Guitar bro
For sure 😂😂😂😂
Nimeomba sana mfute hii video kwa amani ila naona ninyi sio watu wa anani mlaaniwe sana yani mlaaniwe sana
wapotezee bro, mi naamini wameshakupa mile stone nyingine
Kama ni tz nzima sawa lakini kuna watu kama Benjamin pale kenya mu check you tube
Hata yeye n kawaida tuu kuna vitu hafanyi kabisa
Unafanya vizuli Ila sio kwakujidai hivyo unajishusha kwakufamya hivyo wakusifu watu siio wewe kaka
Bro I think what you need is humility in your journey of music cz your still in that process am not a Tanzanian but I am Guitarist too but we know many guitarist there that we can't compared with you and just talk with somw people who don't know some Guitarist
Help me your contact number plz I like it
I'm here in Tanzania ask him if he knows what is the chords as scales and how many playing modes he knows can he mention them?🤔
🔥🔥
Natafuta mwalm wa gita
Sasa ndio nn khaaa
Kaka richa ya effect kaka mali ipo nimeziskia code unavyo tembea nazo
Huyo mdada ni mvuta bangii kabisa
Naomba namba za guitarist
Hapo nisawa kabisa
How can I reach you niko kenya
Duuh balaa
Ipo sehemu gani hii studio??
Ni hatari anajua
We jamaa naweza kukupataje? Gitaa langu lishakuwa mzigo najua cord chache sana! Nireplaly nikupe contact yangu
Check me out, I've got a couple of knowledge on guitar chords, Jazz chords, tunaweza kubadilishana ujuzi, karibu bro.
akuje Congo aongeze uchuzi wa kupiga hiyo vitu
Congo 🇨🇩 hawezani sana ona kwanza anadanganya guitar ya 200$ amegeuzi ni 2000$ huyu dogo ako feet sana kwa uigizaji siyo muziki
Mimi Congo nawapenda sanaa hatari!!..Wanajua Muziki Mzuri sanaa
Unamfaham kilaza? Unaijua historia yake?... yasije kukukuta nawe, ukawa kilaza part 2😂
blaza good
Skia kiburi..... Nkt. Na saa hizo ni makelele tu
Ni effects tu na kiburi nyingi, Yuko poa lakini sio mkali sana
Huyo bado aje tuweke shindano
Mashindano ya ninii??..Wanamuziki hawapo hivyo mashindano ya kijinga
Kaka nisaidie namba ya lema solo
Safari yako ya kupiga Guitar bado sana na kama ingekuwa shule la pili au la tatu yaani we bado mno au mweupe kabisa.
dogo wewe kwenye guitar bado sana niizo effect tu zinakubeba upigaji wako wa kawaida sana, fanya sana mazoez vidole vyako bado vizito sana
Ndio kaka sema hawa jamani wamenifanyia uhuni sana kuniweka mtandaoni nionekane najikweza Walaniwe sana awa jamaaa kwanini msingeniambia mnamiweka mtandaoni mbona menifanyia uhuni hivyo aiseee kwanza nilipiga nyimbo kibau za wasani hapo amkunipa ata kumi na mtandaoni mnaniweka vip aiseee
@@eliasjerusalem3978 hiv unamjua Kenny guitar ww hahahahaa
Muulize yeye
@@eliasjerusalem3978 kaka una kiburi mingi, hata kwa maongezi tu. Grow up bana.
Kila kitu pole pole na wakati wake kaka...
Muda wake waja🎸🔥🙏🏽🙏🏽
Niee jamaaa mlaniwe sana meniwekaje mtandaoni na kwanini msingeniambia kwamba ni jambo la kwenda mtandaoni nimepiga nyimbo hapo miatano yenyewe yanauli mlishindwa kunipa leo mnaniweka mtandaoni vp ndo maana nilikuwa nawambia vitu ambavyo avipo maana nyie nilikuwa siwaelewi kwanza menichafua sana mtabidi aiseee ngoja
Changamoto hiloo
Waache wakutangaze. Ss tungekujuaje? Usijali wanakutangaza
Namba za simu napataje Lema? Kuna kazi flani hivi unahitajika
Bro napenda niwe mwafunzi wako pokea ombi lng
Bro hawa ni wauni tuu wameamuwa kuniweka mtandaoni na kunichafua
Mbona wakawaida tu huyo
Kwely bro ni watu tuu wameamua kunichafua kuniweka mtandaoni nionekane najikweza aiseee
sio kawaida sana. yuko vizuri sana.
Sebene anazingua hana touch ya sebene apige miziki mingne
Ni kweli kaka awa jamaa wauni tuu wameamuwa kunizalilisha brother
Nilienda studio kwao ata ela ya nauli yenyewe sikupata na nilipiga nyimbo nyingi alafu tena wananiweka mtandaoni bila kuniambia bila kunipanga aiseee
We mbn unakuwa hvi?
@@eliasjerusalem3978 uko vizuri usisikie maneno ya wakatishaji tamaa. wachache wenye uwezo wako.
Kaka Eze bora umekuja maana kwa sebene nafikiri anatakiwa ajifunze kwako
Just be humble men as you speak about your journey of music that is the secret bro
Too much proud
Lema
Humuwei gripa wewe