JINSI YA KUPIGA BEAT KWA KUTUMIA FL STUDIO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
  • VIDEO INAYO ONYESHA JINSI YA KUTUMIA FL STUDIO

ความคิดเห็น • 187

  • @josephkeneth4722
    @josephkeneth4722 2 ปีที่แล้ว

    Tisha sana broo wew noma sana

  • @bichepari9683
    @bichepari9683 2 ปีที่แล้ว

    Umetufungua saaaaaaana ubongo kazi Mzuli MUNGU Akushike mkono🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @tuinuanefilm9769
    @tuinuanefilm9769 ปีที่แล้ว

    Nice mkuu najifunza kitu kutoka kwao

  • @MastoMarianosarujiSaruji-le5cv
    @MastoMarianosarujiSaruji-le5cv ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri boss

  • @officialgavana354
    @officialgavana354 4 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri chief big up

  • @elcapitainemughendio6601
    @elcapitainemughendio6601 4 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuriiii sana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @NshokanoJanvier-x6g
    @NshokanoJanvier-x6g 26 วันที่ผ่านมา

    Naipenda

  • @MediaMediatz
    @MediaMediatz ปีที่แล้ว

    Umetisha kaka naomba pragi

  • @JohnJackson-h5r
    @JohnJackson-h5r 3 หลายเดือนก่อน

    Kaz nzur sana brother ila nitaktafuta unipe darasa na mimi

  • @MichaelPeaceTz
    @MichaelPeaceTz 2 หลายเดือนก่อน

    Daah broh weni mkasll sana nataka unigongee beat

  • @VitalisWandera-vv3vt
    @VitalisWandera-vv3vt 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nice job brother

  • @ALLYFERUZI-k5t
    @ALLYFERUZI-k5t 11 หลายเดือนก่อน

    Kazi mzuri mkuu

  • @justin37beats58
    @justin37beats58 4 ปีที่แล้ว +4

    Uko fresh sana kaka

  • @dangerclassic1
    @dangerclassic1 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nice🎉🎉🎉🎉😢

  • @manradhafighterfighter2404
    @manradhafighterfighter2404 2 ปีที่แล้ว

    oya projuser mim nakubali Sana kazi yako ya kufundisha naelewa mbk basi yani

  • @Bahachord1050
    @Bahachord1050 2 ปีที่แล้ว +1

    Aisee unaelewesha vzuri sana

  • @TamuzaKale
    @TamuzaKale 2 ปีที่แล้ว

    Hii ni kazi kubwa sana mkuu!

  • @ayubusiwakwi1713
    @ayubusiwakwi1713 3 ปีที่แล้ว

    Braza asant hakika unajua

  • @dmcommedy2768
    @dmcommedy2768 4 ปีที่แล้ว

    Umetisha mzee baba pande gani hizo boy

    • @bleezbeat2101
      @bleezbeat2101  4 ปีที่แล้ว +1

      Kunduchi mzee

    • @dmcommedy2768
      @dmcommedy2768 4 ปีที่แล้ว

      Pamoja mzee baba tatimba pande hizo siku

  • @mwaztrapbazzjp
    @mwaztrapbazzjp 2 ปีที่แล้ว +2

    Beat zuri

  • @joshuajohn4365
    @joshuajohn4365 4 ปีที่แล้ว +1

    Upo good mzee

  • @noelmgohamwende5743
    @noelmgohamwende5743 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali itabidi niwe student wako

    • @bleezbeat2101
      @bleezbeat2101  3 ปีที่แล้ว

      Karibu

    • @noelmgohamwende5743
      @noelmgohamwende5743 3 ปีที่แล้ว +1

      @@bleezbeat2101 Napend kuwa producer bleez nakufatilia kwamakin san kk

    • @bleezbeat2101
      @bleezbeat2101  3 ปีที่แล้ว

      @@noelmgohamwende5743 0762424401 Nichek Whatsup

  • @dimpo_africa
    @dimpo_africa 2 ปีที่แล้ว +2

    Nzuri

  • @onejimeljim2010
    @onejimeljim2010 4 ปีที่แล้ว +2

    Safi dana,namipiayani producer kutoka Congo drc,kuwanatuma tuu hizo tutoriel,nafurahi sana

  • @samwelmisaso3073
    @samwelmisaso3073 4 ปีที่แล้ว +3

    upo vzur

  • @siscoministry8400
    @siscoministry8400 3 ปีที่แล้ว

    Big up Kaka

  • @trissswirry6950
    @trissswirry6950 4 ปีที่แล้ว +1

    wow shukrani sana nimepata vitu vingi asante sana

    • @bleezbeat2101
      @bleezbeat2101  4 ปีที่แล้ว +2

      Asante na ww kwa kuonyesha ushilikiano 🙏

  • @PetsonVicent
    @PetsonVicent ปีที่แล้ว

    As ante Sana mkuu. Nitajifunza zaid kuhusu fl std kupitia mafundisho yako

  • @youngboy4192
    @youngboy4192 2 ปีที่แล้ว

    uko vizuri xhana xhana

  • @dammyflavour_official
    @dammyflavour_official 4 ปีที่แล้ว

    Daaaah Brook upo vzur saiz naweza kupga fl

  • @elishadai_daniford
    @elishadai_daniford 3 ปีที่แล้ว

    Nakubari Sanaa

  • @charlesyohana9920
    @charlesyohana9920 4 ปีที่แล้ว +2

    Bro nimekubali mkuu.. Ttz FL studio yangu nisave kazi haifunguki nifanye Je mkuu
    @nyagwa-Boy

  • @goddysurvivor2936
    @goddysurvivor2936 3 ปีที่แล้ว

    Nakubali

  • @erickemmanuel6432
    @erickemmanuel6432 3 ปีที่แล้ว +1

    Thank you bro!! Umeniinspire namimi sana i real like This👏👏👏👏👏

    • @dvjmedadi6107
      @dvjmedadi6107 ปีที่แล้ว

      Brother unaweza xana tu 😅😅

  • @diddysope8398
    @diddysope8398 2 ปีที่แล้ว

    brooh mi nakuelewaga sanaah

  • @jitaboyfrommaratanzania6678
    @jitaboyfrommaratanzania6678 3 ปีที่แล้ว +1

    Naomba nambayako yawasup brother

  • @justin37beats58
    @justin37beats58 4 ปีที่แล้ว +3

    Bomba

    • @bleezbeat2101
      @bleezbeat2101  4 ปีที่แล้ว

      🙏🙏🙏

    • @justin37beats58
      @justin37beats58 4 ปีที่แล้ว +2

      @@bleezbeat2101 kwanini aupost tena

    • @bleezbeat2101
      @bleezbeat2101  4 ปีที่แล้ว

      @@justin37beats58 Nilikua bize kdg ila tayar nishaanda hv karibuni ntaziachia

    • @justin37beats58
      @justin37beats58 4 ปีที่แล้ว

      @@bleezbeat2101 ninakuangalia brother

  • @wilejimsaxy8861
    @wilejimsaxy8861 4 ปีที่แล้ว +1

    nakubal broo

  • @z-style1982
    @z-style1982 4 ปีที่แล้ว +1

    shukran sana kaka umenifunza kitu ninacho kipenda

  • @MigoTalented
    @MigoTalented ปีที่แล้ว

    Excellent work, i need to know

  • @kitungastudioprodzecki735
    @kitungastudioprodzecki735 3 ปีที่แล้ว

    ,kaka nishakupa

  • @gelleyboy3783
    @gelleyboy3783 2 ปีที่แล้ว +1

    Unyama

  • @diconbreezy9622
    @diconbreezy9622 4 ปีที่แล้ว

    kaka wewe ni nomaaaaaaa

  • @youngmuxh2231
    @youngmuxh2231 4 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani xana nimepata vtu ving apoo

  • @inkuruzabibiriya2037
    @inkuruzabibiriya2037 3 ปีที่แล้ว

    Naomba nambayako

  • @IsackPoulIsackpaul
    @IsackPoulIsackpaul 10 หลายเดือนก่อน

    Nahtaj Cubase ,vp nweza ipataje brother

  • @godsonsteven153
    @godsonsteven153 3 ปีที่แล้ว

    I like dat plz unaweza nisaidia application hyo

  • @DJJIGAMASTERTZ
    @DJJIGAMASTERTZ ปีที่แล้ว

    kaka unajua

  • @africanmedia6248
    @africanmedia6248 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @RAFIKIKIZA
    @RAFIKIKIZA ปีที่แล้ว

    Vp bro

  • @theboyfamily988
    @theboyfamily988 3 ปีที่แล้ว

    Niaje Kaka kiukwer m nakukubari kbx ila m nashida kidogo ukiwa unatumia fl studio hakuna zingine program unazo ziweka mak m najitaidi ila m binakuwa binakata naomba kwahiro kaka yangu utakuwa umesaidia asante

  • @nathpanel7916
    @nathpanel7916 3 ปีที่แล้ว +2

    Samahan broo hv hvo vyote unavoadd vpo kwny fl studio au umedownload maan me vingine xivioni???

  • @iamthand2029
    @iamthand2029 4 ปีที่แล้ว +1

    Saf sna kaka 🇹🇿💪

  • @Wakilisha_podcast
    @Wakilisha_podcast 4 ปีที่แล้ว +1

    You are amazing

  • @shacool9627
    @shacool9627 4 ปีที่แล้ว +2

    excellent work

  • @kambalemoise9338
    @kambalemoise9338 2 ปีที่แล้ว

    mkali

  • @ibrahzackahzacharia3597
    @ibrahzackahzacharia3597 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka naweza kupata nmba yko ya whtssp

    • @bleezbeat2101
      @bleezbeat2101  2 หลายเดือนก่อน

      0753613120 iyo kaka

  • @johnshalua1064
    @johnshalua1064 3 ปีที่แล้ว

    Je ntakupataje me nahtaji kujifunza zaidi

  • @Wakilisha_podcast
    @Wakilisha_podcast 4 ปีที่แล้ว +1

    Nambula ya simu

  • @kante658
    @kante658 2 ปีที่แล้ว

    Natak kuj funz kak inakuwaj

  • @devismagoyo5597
    @devismagoyo5597 4 ปีที่แล้ว +2

    Nataman nijifunze kwako uko vizur bro

  • @UbwahAbdalah-el3dd
    @UbwahAbdalah-el3dd ปีที่แล้ว

    Oya Kaka me nataka kujua kuimix beat ya singel Kama singel nying za sasa iv

  • @daminalx3985
    @daminalx3985 2 ปีที่แล้ว

    Saf kak

  • @sadikihassani5662
    @sadikihassani5662 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimekua nakufatilia sana na nimejifunza mengi kupitia kwako

  • @TimothySirya
    @TimothySirya 2 หลายเดือนก่อน

    Unapatikana wapi mkuu

  • @bethelmediatheone1198
    @bethelmediatheone1198 4 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuri sana. Je namba zako ni zipi sizioni?

    • @bleezbeat2101
      @bleezbeat2101  4 ปีที่แล้ว

      Nichek wahatsup namba zipo kweny video hzo alaf ntakupa namba ya kunipigia

    • @bethelmediatheone1198
      @bethelmediatheone1198 4 ปีที่แล้ว +1

      @@bleezbeat2101 hapa kwenye tuitorio zako sioni namba zako.Labda !!!

    • @bleezbeat2101
      @bleezbeat2101  4 ปีที่แล้ว

      0685992302 whatsup iyo

  • @pmanpjjp
    @pmanpjjp ปีที่แล้ว

    respectful

  • @timothywasari1856
    @timothywasari1856 2 ปีที่แล้ว

    Naeza pata vipi fl studio 20?

  • @Benadotz
    @Benadotz ปีที่แล้ว

    Sana ee

  • @godfreyerio651
    @godfreyerio651 ปีที่แล้ว

    solute

  • @kitunguu6085
    @kitunguu6085 ปีที่แล้ว

    Naomba namba yako

  • @enockhenry3370
    @enockhenry3370 2 ปีที่แล้ว

    Bro nimekukubal sana na mim nin ndoto izo one day

  • @JJM_MEDIA_PRODUCTION
    @JJM_MEDIA_PRODUCTION ปีที่แล้ว

    Kaka habari yako naomba sample za nexus baadhi

  • @j.ndubula2570
    @j.ndubula2570 2 ปีที่แล้ว +1

    Nilitaka kujua pale unapopandisha cord juu na chini ili zibakie kivuli unatumia button gani ya PC?

    • @bleezbeat2101
      @bleezbeat2101  2 ปีที่แล้ว

      ctrl na mshale wa juu

    • @j.ndubula2570
      @j.ndubula2570 2 ปีที่แล้ว

      Nimekupata vzr..Samahani bro; Jambo jingine , unapokuwa umepiga pattern zako kwenye kinanda, kuna sehemu unazihamisha kila ulichopiga kinaonekana pale ... Pameandikwa
      Pattern 1, 2, 3 ..... Unacopy vipi?

  • @BernardBenitho
    @BernardBenitho ปีที่แล้ว

    Bro nifundishe jinsi ya kuzipata pragin ya hypersonic

  • @dayan_lee
    @dayan_lee 4 ปีที่แล้ว +1

    iko poa

  • @Westman6
    @Westman6 4 ปีที่แล้ว

    Ntakutafuta

  • @mukeshimanaalphonsine9898
    @mukeshimanaalphonsine9898 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @michaelmichael37
    @michaelmichael37 3 ปีที่แล้ว +1

    br naitj kujifuz zai nifanyaj

  • @iamthand2029
    @iamthand2029 4 ปีที่แล้ว

    Uko wap kaka

  • @shivermusic9147
    @shivermusic9147 ปีที่แล้ว

    🎉

  • @oliviabalilemwa4930
    @oliviabalilemwa4930 3 ปีที่แล้ว +1

    Imeg

  • @Wakilisha_podcast
    @Wakilisha_podcast 4 ปีที่แล้ว +1

    Nmeheshmu

  • @shivermusic9147
    @shivermusic9147 ปีที่แล้ว

    Mbona sioni no za simu kwaajili ya wtsp

  • @namsifuafraely4212
    @namsifuafraely4212 4 ปีที่แล้ว +1

    Naomba namba zako ili tuwasiliane vizur

  • @josephkeneth4722
    @josephkeneth4722 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaka naomba namba yako ya cmu

  • @shariphlilanda4563
    @shariphlilanda4563 4 ปีที่แล้ว +1

    Oya bro naomba namb yako, naitaj kujifunz

  • @abduliabdulah1082
    @abduliabdulah1082 4 หลายเดือนก่อน

    Kaka me sampo nitazipataje

  • @lich_si34
    @lich_si34 3 ปีที่แล้ว +1

    Unajuwa kutumia Logic Pro?

  • @dabokrecordandfilmproductionpe
    @dabokrecordandfilmproductionpe ปีที่แล้ว

    Unachonga beat Kama producer wa diamond plutnumz

  • @kitunguu6085
    @kitunguu6085 ปีที่แล้ว

    Vifaa ulinunua shingapi

  • @godfreykitoki9639
    @godfreykitoki9639 4 ปีที่แล้ว +1

    Baba umetisha ila ungepiga code ungenisaidia zaidi ila nimejifunza unauwezo mkubwa

  • @paylotbenjor5341
    @paylotbenjor5341 4 ปีที่แล้ว +1

    Daa kaka umenfunza k2 Uko vzur unakua kuelezea mpaka m2anaelewa

  • @bm8tz810
    @bm8tz810 4 ปีที่แล้ว +1

    Naweza pata linki ya kutafuta fl studio

    • @bleezbeat2101
      @bleezbeat2101  4 ปีที่แล้ว

      0789436594 Call me nikupe maelezo

  • @kabuchijunior5144
    @kabuchijunior5144 3 ปีที่แล้ว

    Natumia FL Studio Mobile (app ya simu) utawezaje pata sample ya kile nimefanya usikie?

  • @esa_traveller
    @esa_traveller 4 ปีที่แล้ว +1

    bleez mi nimei download sio mda lakini haina sample nzuri ka zako natumia fl studio 20 nafanyaje kupata sample

    • @bleezbeat2101
      @bleezbeat2101  4 ปีที่แล้ว

      Ninazo naweza kukutumia

    • @witnessgeorge7764
      @witnessgeorge7764 4 ปีที่แล้ว +1

      @@bleezbeat2101 bleez tusaidie samples kaka🙏🏾🙏🏾

  • @geraldmzazankhata9493
    @geraldmzazankhata9493 4 ปีที่แล้ว

    how can get a cheap
    xpand!2

  • @mohammedrajabu7426
    @mohammedrajabu7426 4 ปีที่แล้ว

    Broo unanipa mzuka coz mziki mtam kama software zikiskika vizur

  • @homeboy2307
    @homeboy2307 4 ปีที่แล้ว

    Naomba kujua kumix beat

  • @lich_si34
    @lich_si34 3 ปีที่แล้ว +1

    Unajuwa kutumiya Logic Pro x